Тёмный

HII KALI! MBUNGE KISHIMBA AINGIA na SARE za SHULE na MADAFTARI BUNGENI, AMVAA WAZIRI wa ELIMU.. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 93 тыс.
50% 1

HII KALI! MBUNGE KISHIMBA AINGIA na SARE za SHULE na MADAFTARI BUNGENI, AMVAA WAZIRI wa ELIMU..
NI mkutano wa tatu, kikao cha kumi na nne cha Bunge la 12. umeendelea leo Mei 04, ambapo mawaziri wamewekwa kikaangoni kuulizwa maswali na wabunge.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 3 года назад
We don't need educated people but we need great thinkers and creative people mbunge kishimba salute
@godfreymlowe4315
@godfreymlowe4315 3 года назад
Kiukweli kishimba ni mwakilishi wa wananchi
@ramadhanshiganza4926
@ramadhanshiganza4926 3 года назад
MH wangu, unamawazo makubwa kupita KIASI. Hongera mno. We ni zaidi ya Professor!!!! Huyu Mh abarkiwe MBUNGE WANGU KAHAMA MJINI.
@shadrackelikana7402
@shadrackelikana7402 3 года назад
wabeja sane
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 месяца назад
Hakiyamungu Mzee kishimba yuko sawasawa kabisa mama yetu mtafute ukae name mezani utapata HP ambo la manufaa
@abasijeremiah7925
@abasijeremiah7925 3 года назад
Wewe mbunge hongera sana baba yangu mungu akulinde una mawazo makubwa sana
@edwindaniel5135
@edwindaniel5135 3 года назад
Kweli Ana mawazo mazuri
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 3 года назад
Kishimba mheshima mtetezi wa wananchi mungu akubariki
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 года назад
mzee kishimba wewe ni genius
@peterfania1005
@peterfania1005 3 года назад
Yaani huyu mbunge amenigusa Sana anachosema nikweli na maisha hayo tumepitia yaani Baba ongera Sana sikuweza kufikia ndoto zangu kwasababu hizo njaa kukaa mbali na shule viatu ,macountebook 😞 kipindi nasoma niliichukia Sana serikali na matumbo Yao magufuli Tu ndio alikuwa anajua shida na vilio vya wananchi
@fidasjohn4700
@fidasjohn4700 3 года назад
Yaani Huyu mbunge hua namuelewaga sana
@joelkahuya8356
@joelkahuya8356 3 года назад
Huyu jamaa akili nying sana Mungu amuinue, nataman awe Rais kabisa
@nassorokamasesela3782
@nassorokamasesela3782 3 года назад
Ongera sana mbunge jumanne kishimba kwa kuwa funguwa watanzania vichwa nasasa wameanza kukuelewa unachokusudia kwa watanzania ongera sana mungu akulinde
@titomhagama5545
@titomhagama5545 3 года назад
Hatamimi
@rolethakaoo7468
@rolethakaoo7468 3 года назад
Bunge la sasa huyu ndiyo kidogo ana hoja.
@gresondavid2268
@gresondavid2268 3 года назад
Kwanini somo LA HISABATI lifundishwe kwa lugha ya kiingereza.Tunakosa wasomi wengi WA HISABATI kwa sababu ya ugumu WA lugha?Tusiwe wajinga Tukidhani kwamba kujua kiingereza in ujuzi Na fahari Kubwa.Tuwafundishe watoto wetu kwa lugha ya mama (kiswahili). Ili tupate wasomi wengi wenye utaalamu mkubwa.Kinacho ni shangaza Na kunisikitisha no kwamba;mtoto ana anza shule ya chekechea kwa lugha ya mama( kiswahili).had I Darasa LA sana atakuwa amemaliza elimu ya msingi kwa kipindi cha miaka 14. Form one had I Form four Lugha inayotumika hapa ni kiingereza.swali language kwa WIZARA husika Na serikali ;Hapa kweli tumedhamiria kulikomboa TAIFA kweli ama tunatania?.Ushauri wangu kwa WIZARA husika Na serikali in kwamba;Tuwafundishe watoto wetu kwa Lugha yetu ya kiswahili.
@msambi1251
@msambi1251 3 года назад
Akili kubwa standard 7
@pililmabula9559
@pililmabula9559 3 года назад
Hakika kishimba ni moja ya waheshimiwa wenye uelevu juu ya maisha halisi ya jamii watokazo mungu akubariki uzidi kuwa na maono zaidi.
@mariaernest9324
@mariaernest9324 3 года назад
Hongera Sana kishimba una mawazo mapana sana
@edwindaniel5135
@edwindaniel5135 3 года назад
Kanda ya ziwa ina watu wenye mtazamo wa maisha ya mtanzania
@AffectionateChess-mh5cz
@AffectionateChess-mh5cz 3 месяца назад
mzee kaja na vitu muhimu vyenye maana lkn huwezi amini wabunge wetu wanacheka tu 😢 najua kw sbbb wao hawaishi maisha yetu
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 3 года назад
Real Professor!!🙏🙏🙏
@EmmanuelSentimea-yu8no
@EmmanuelSentimea-yu8no Год назад
Mhe.Kongole sana kwa kusema ukweli na uhalisia wa maisha ya Mtanzania.Serikali iyafanyie kazi mawazo yako!
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 года назад
Huu mbunge tatizo analianzia chini tofauti nawengi wabunge ki ukweli niwa muhimu haswa kwawatu wamaisha ya chini
@kilingahamissi6734
@kilingahamissi6734 3 года назад
Mzee anawaza mbali sana mpaka anavuka mawazo ya wengine ndio maana wanacheka point zake halafu sionagi hata mawazo yake yakifanyiwa kazi
@upendoamani8164
@upendoamani8164 3 года назад
Kweli kabisa
@melkzedeckmaimu8344
@melkzedeckmaimu8344 3 года назад
Elimu ya bongi imekuwa nimajanga tyu
@titomhagama5545
@titomhagama5545 3 года назад
Hongera sana. Wewe ni raisi mtarajiwa
@lewismpangala927
@lewismpangala927 3 года назад
Na wewe ninani ajaye
@hildakapungu3230
@hildakapungu3230 2 года назад
Asante baba kama umeliona hilo .
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Kishimba anauchungu sana jaman
@johnrogath1066
@johnrogath1066 3 года назад
GENIUS
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x 3 месяца назад
asant sana mh
@geofreykilasi7354
@geofreykilasi7354 3 года назад
Point zote baba,miaka mitano tena...nitapiga kampain bure
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 года назад
Mh kishimba kanigusa nami maisha yangu asante mbunge kw hoja zuri
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 3 месяца назад
SAFI MH.
@mrholela7906
@mrholela7906 3 года назад
Creative man
@Worldunite
@Worldunite 3 года назад
Daaah,aisee hapo umeongea ndugu kishimba😀😀😀😀
@gilbertmshiha6032
@gilbertmshiha6032 3 года назад
Hongera mmh kishimba umeogea vizuri sana
@zaddochotienoopiyo1064
@zaddochotienoopiyo1064 Год назад
Please bring this man to Kenya please. Tanzania is blessed with thinkers not sycophants who have gone to school but does not think
@josiamedas2803
@josiamedas2803 3 года назад
Hongera sana baba hoja yako wazilialitoa majibugan
@keepforme6009
@keepforme6009 2 года назад
I like this guy!
@frankmashina3240
@frankmashina3240 3 года назад
daah ajira tatizo sana kwa vijana
@getrudeamos38
@getrudeamos38 3 года назад
Dah! Baba umenigusa sana vijijin saiz michango shuleni imezidi kabisa.
@faroukrashid5507
@faroukrashid5507 3 года назад
Hongera Sana kishimba .naona wenye meno wanacheka Kama vile wametoka sayali ya Mars.
@user-mm6fe9vz2p
@user-mm6fe9vz2p 6 месяцев назад
Really wanted person
@wangwemseti7592
@wangwemseti7592 3 года назад
Maono ya mh kishimba yafanyiwe kazi yanatija kwa taifa letu msimpuze ana mtazamo wenye maslahi mapana na yanaeleweka kwa kila mtu
@blandinalukole5535
@blandinalukole5535 3 года назад
Magulification of Africa
@ellymakongo656
@ellymakongo656 3 года назад
Mawazo ya kishimba ni mawazo ya Magufuli yaani Africa kufanya mambo mazuri ya dunia hii lakini kwa tafsr yetu wenyewe
@ramadhanshiganza4926
@ramadhanshiganza4926 3 года назад
Hongera mno, MAWAZO makubwa Sana, TULITAFAKARI NENO KAZI. UKWELI INATAKIWA IWE WATANZANIA WOTE.WANAOFANYA KAZI
@inocentkaiza8791
@inocentkaiza8791 3 года назад
Dah kama vile comedy ila inamaana sana hongera
@eliayeremialeli1806
@eliayeremialeli1806 3 года назад
Huyu baba ni wise man mzuri sana
@eliayeremialeli1806
@eliayeremialeli1806 3 года назад
2025 mimi namshauri huyu baba achukue form mbona anaongea ukweli sana hadi nachanganyikiwa wise man
@peterhano8706
@peterhano8706 3 года назад
Hongera mheshimiwa J4 kwa mawazo mazuri
@secheamon
@secheamon Год назад
👏👏👏🙏
@charlesgasper2243
@charlesgasper2243 3 года назад
He is a good thinker not bad to be useful in your hall!!
@billypaul6072
@billypaul6072 3 года назад
Point
@eligiusstephano9106
@eligiusstephano9106 3 года назад
The most intelligent MP
@dominicksamwel7578
@dominicksamwel7578 3 года назад
Big up mbunge wangu
@victorernest7702
@victorernest7702 3 года назад
Utu uzima dawa 🙌🙏
@jeromekabogo9456
@jeromekabogo9456 2 года назад
Mh. Uko vzr mnoo asant sanaa
@fredrickstephano4689
@fredrickstephano4689 3 года назад
🙌🙌🙌🙌🙏
@izraelyherman4467
@izraelyherman4467 3 года назад
Hongera kishimba
@felisteryusuph8829
@felisteryusuph8829 3 года назад
Aiseee safi sana nimeipenda hoja yako bro
@elasydeogratias832
@elasydeogratias832 3 года назад
Nakubali
@abuumbegu8657
@abuumbegu8657 3 года назад
Come on Kishimba you are in right path!!
@abuumbegu8657
@abuumbegu8657 3 года назад
Teach them how to think!!
@gidyonmshani5259
@gidyonmshani5259 3 года назад
Bg up kishimba kahama mnajembe kweli
@aishaaa1757
@aishaaa1757 3 года назад
Hongera sana kishimba kwa kuongea ponti
@karolyimani7824
@karolyimani7824 2 года назад
Mhe:Kishimba. Nimekuelewa.
@teychriss3248
@teychriss3248 3 года назад
Procurement !! Eti unajifunza kununua nn miaka 3??😂😂! Ila kweli !
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 года назад
Mh kishimba umeongea pointi watt kauda book yana bei kweli ila kwa yoniform nyeupe ni nzur pia toka enzi 😢
@renatusaugustine3410
@renatusaugustine3410 2 года назад
Tatizo ni kwamba kwan tumelazimishwa ziwe nyeupe kwa nn wasivae hata nguo nyeus au nyeupe hata rang nyingine
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 3 года назад
Mheshimiwa Spika amesoma Sayansi. (Ndiyo maana Baba wa taifa J.K. Nyerere aliiheshimu sana Mei Mosi. Alisoma historia) .
@sewamadaraka4757
@sewamadaraka4757 3 месяца назад
Hivi kwa Nini akunaga taarifa anapotoa hoja mh kisimba?
@marrymwashinga2170
@marrymwashinga2170 3 года назад
We baba umejua kunifurahisha MWe!
@kilulumtunyungu9369
@kilulumtunyungu9369 3 года назад
Alafu jamaa yupo serious hachek
@seydouchanzila1248
@seydouchanzila1248 3 года назад
Muheshimiwa nimependa hoja zako mungu akupe afya njema ili uendelee kutuelimisha inshaallah
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 10 месяцев назад
Haijawahi tokea wafanyakazi kuomba punguzo la mshahara?
@deusmgema8612
@deusmgema8612 Год назад
Kishimba tano tena
@mundalikope581
@mundalikope581 3 года назад
Ndugai Leo tu umeongea point
@zaddochotienoopiyo1064
@zaddochotienoopiyo1064 Год назад
He should be next president in TZ
@salehrasta9165
@salehrasta9165 3 года назад
Kishimba msemaji wa wanyonge wa kweli
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 3 года назад
Eti mgongee wewe ndio anaekupenda
@husenijumakipanga9017
@husenijumakipanga9017 3 года назад
Muheshimiwa mawazo yako ni makubwa na mazuri kuyafata lakin tatizo lipo kwenye utendaji,utendaji ndo tatizo kubwa
@niwawilson4477
@niwawilson4477 3 года назад
amenikumbusha kahama old xcul kitambo hicho
@patrickKitambo
@patrickKitambo 3 года назад
kishimba amezungukwa na pisi kali lazima ateme madini
@busumabuileme2153
@busumabuileme2153 3 года назад
😂😂
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 3 года назад
Hahahaa umewakilisha vwema sana
@johnshile9246
@johnshile9246 3 года назад
Waambie kuhusu mikopo elimu ya juu ubaguzi was praiveti na gavmet
@doriselipokea651
@doriselipokea651 4 месяца назад
Yani basi tyuu
@bizimanaabedi5177
@bizimanaabedi5177 3 года назад
Kweli na wapenda wa bunge wa tanzania
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 3 года назад
M nakupenda kwa hela yt😂😂😂
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 6 месяцев назад
Unafikiliaga nini wewe mzee jamani mmmhhh
@jeremiamalima9112
@jeremiamalima9112 Год назад
Ww JAAMAAAA
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 года назад
ndyo maana shule za vijijini hutajua kama ni uniform nyeupe au la , sijajua walizingatia nini wakati familia nyingi za kitanzania ni maskini. labda wapikiwe shuleni. kubeba chakula sikubali italeta shida zaidi.
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 3 года назад
Huyu ndiye mchangiaji Bora wa bunge hili Hana poyoyo na vijembe
@davianofficial6972
@davianofficial6972 3 года назад
Mh kishimbaaa
@sememakolo9360
@sememakolo9360 2 года назад
Kishimba unaakili ndefu
@mcmwamba572
@mcmwamba572 3 года назад
Miaka Mia baba
@aminalafaeringaizangaiza614
@aminalafaeringaizangaiza614 3 года назад
Yani Kura yangu utapata uko saihi kabisa wengine wanaingia bungeni kukodoa macho tu na kucheka tu kwa manufaa yao
@emanuelmbwiga690
@emanuelmbwiga690 2 года назад
Tatizo mawazo haya hayafanyiwi kazi,waziri yupo hapo lakini anacheka tu,wala hachukui hatua yo yote ile! Eti huyo ni msomi!!
@renatusaugustine3410
@renatusaugustine3410 2 года назад
Dah ana akili sanaaa
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 3 года назад
Kumtengenezea sanam lake shngap😂😂😂
@eliayeremialeli1806
@eliayeremialeli1806 3 года назад
Huyu baba nataman awe rais siku moja nimpigie kura yangu
@mariambmganga8674
@mariambmganga8674 3 года назад
Kweli tumpe anafaa
@deogratiusndoto8553
@deogratiusndoto8553 2 года назад
2025 jamani huyu ni mtu hongera Sana kishimba
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 3 года назад
Sjawai kukupinga kishimba
@evarestmrema6455
@evarestmrema6455 3 года назад
Sikukuu ya wakulima???!
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 3 года назад
Hujawai kosea mzee
@gilbertmshiha6032
@gilbertmshiha6032 3 года назад
Achana na ulaya
@salwasuleiman8943
@salwasuleiman8943 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣yaani umeacha nicheke sana umeongea sahihi
@tauhidally6930
@tauhidally6930 3 года назад
Mueshimiwa opo sahihi kabisa elimu zisifichwe kamauchawi naongezea hili mueshmiwa ata kufuma uchongaji ushoni na ubunifu, mbalimbali ,heshmakwako.
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Год назад
Nicheketuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 6 месяцев назад
Fungua shule waonyeshe mfano una akili nyingi sana
@kapondamsita476
@kapondamsita476 3 года назад
Hahaha uposahihi
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 3 года назад
Maprofesor hao makaratasi tu hawafakiriagi
@pendaeljonathan5254
@pendaeljonathan5254 3 года назад
Wambie hao wana wamazo finyu
Далее
Я ж идеальный?😂
00:32
Просмотров 143 тыс.
Прохожу маску ЭМОЦИИ🙀 #юмор
00:59
Я ж идеальный?😂
00:32
Просмотров 143 тыс.