Тёмный

HII NDIO HISTORIA YA SOKOINE NA JINSI KIFO CHAKE KILIVYOTOKEA 

LONGA TV
Подписаться 63 тыс.
Просмотров 134 тыс.
50% 1

#TANZANIA
#SOKOINE
#SUA

Развлечения

Опубликовано:

 

22 апр 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@ElizabethBeny
@ElizabethBeny Месяц назад
Jamn vzr havidum kanisan majambaz ndoyanaishi
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 Год назад
Nakumbuka tulimlilia sana
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Hawa ndo katika viongozi wazalendo na waadilifu wa bara letu la Afrika
@JamesLyakurwa-zi8kb
@JamesLyakurwa-zi8kb Год назад
Ñilimpenda Sana
@AbdallahSimba-wr1wr
@AbdallahSimba-wr1wr Год назад
Edward moringe sokoine alikuwa ni muadilifu sana msicomment kitu ambacho hamkijui kila kiongozi amefanya kazi kwa nyakati zake kuna watu wanatuletea udini hacha kama ijui viongozi wetu wanafanya nini Unafananisha viongozi mnajua julias nyerere kazi alizofanya
@daboy_255
@daboy_255 Год назад
Ile Dhana ya watu wa kaskazini hawatakiwa kuwa Marais ndo ilitekelezwa hapa ... ila jamaa ni mtu na nusu aisee
@allychale2885
@allychale2885 Год назад
Nandomaa nyerere analaaniwa na wazanzibari hadi leo
@saidramadhan5086
@saidramadhan5086 Год назад
Hongera Sana sokoine
@sylvanusmillanzi
@sylvanusmillanzi Год назад
Huyu ndiye kiongozi mzalendo SI kama mwanakwenda na makanjanja wengine
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 Год назад
Angekuwepo leo angeitwa dikteta
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Год назад
Huyu bwsna alikuwa ni mcha MUNGU
@kisotatiitye8221
@kisotatiitye8221 Год назад
Vichwa vya kitanzania halisi ndio hisi
@sebastiangeophrey7860
@sebastiangeophrey7860 Год назад
Wanajituma viongozi wetu watakatifu
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es Год назад
Alikua bado kijana kabisa daaaaa
@khamissaleh921
@khamissaleh921 Год назад
Mmm haya kifo chake kilipangwa au kilikuja kimazingira gani ?
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Год назад
Baada ya sokoine amefuata majaliwa, hapa Kat mawazir feki
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 Год назад
Walimuua people sio people
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Год назад
Watu watatu tu Tz
@edwinnzigo4670
@edwinnzigo4670 Год назад
Sokoine alikuwa nimtu nanusu hawa ndio viongozi bhana. Alafu anatoka mtu mmoja anasema wazuru wanadumu kivi?
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 Год назад
Mamburula ndiyo haya , yanayosema wazuri hawafi.yani nikauli yaajabu kbs kuwahi tokea.
@fadhilmoses5499
@fadhilmoses5499 Год назад
Alishiba makande yule mzee
@user-gr2ec5uj1s
@user-gr2ec5uj1s Год назад
Uyu na magufur ndio viongizi bwana sasa iv mafsad watupu
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Год назад
JPM alifuata nyayo za huyu jamaa!
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Год назад
Unajuwaaaa ivoivooo Tania nzuri uerewa WA maisha ya watu Hawa ndo viongozi WA kweri lakin mungu anajuwa tungekuwa mbari sanaa kiuchumi arooooo
@TamuzaKale
@TamuzaKale Год назад
Halafu mnajiongopea kwamba wakati wa Nyerere hakukuwa na upigaji?
@johnbabo975
@johnbabo975 Год назад
sijaona kiongozi km sokoine na mgufuli wengine wanaiga tu na hawatatokea kamwe
@hanafitotoya7762
@hanafitotoya7762 Год назад
Mimi naona shetani nimama yko mzazi pamoja na babayako
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Kiongozi ni SOKOINE na MAGUFULI wakina samia na kikwete ni mashetani wanaotembea
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Год назад
Kama ulivyo shetani ww.
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Год назад
@@yakobokuzenza6837 😂😂😂
@stevenbenedict1750
@stevenbenedict1750 Год назад
Lazima angekua raid baada ya mwNyerere
@stevenbenedict1750
@stevenbenedict1750 Год назад
Kifo chake ilikua in njama za mabeberu Kwa aliegonga gari lake hakua mtanzania.
@frashconnect.1
@frashconnect.1 Год назад
Watu hua wanajizima data, jana nimetoka mahakan mshikaj wangu aliandika upuuz kama huu na kupewa sifa, leo mwez wa 3 yupo ndani . Kijana kabla ya kuandika , Tafakari. Nione mjinga sasa, lakin utakumbuka siku 1
Далее
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Просмотров 422 тыс.
Hayati Edward Moringe Sokoine
1:26
Просмотров 9 тыс.
MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR NBS & OCGS
3:35
Просмотров 3,8 тыс.
Всегда проверяйте зеркала
0:19
МИША ПЛИТОЧНИК
0:19
Просмотров 4,9 млн
Power of science !! #shorts #explore #fyp
1:01
Просмотров 60 млн
Оцените переход от 0 до 10🤣
0:14