Тёмный

KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 432 тыс.
50% 1

Moja ya matukio muhimu ya kihistoria yaliyowahi kutokea ndani ya Zanzibar ambayo hata mtoto wa darasa la kwanza anatambua ni kifo cha Mzee Abeid Amani Karume ambaye aliuawa Aprili 7, 1972, siku ambayo sio rahisi kuisahau.
Jina lake ukamilifu ni Abeid Amani Karume. Alizaliwa Agosti 4, 1905 katika kitongoji cha Pongwe huko Mwera Wilaya ya Magharibi “A” Zanzibar.

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 262   
@alicegitau2942
@alicegitau2942 3 года назад
I don't know why but I love love history and I am just an 11 years old girl please tell me if you love history I feel alone guys
@mohamedboya5227
@mohamedboya5227 4 года назад
Asante kwa makala hii inatukumbusha mbali nawengene hatuwepo duniani
@b.3940
@b.3940 2 года назад
Karume hakuwa mzanzibari ni mzaliwa wa Lagos Nigeria jina lake halisi ni Prince Oyenusi Oga.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 месяца назад
We ndio ulimzaaa au
@b.3940
@b.3940 3 месяца назад
@@RomanMwinyi sina uke wa kuzaa mie lakini najuwa wewe unao. Si unikopeshe Mroma Mwinyi.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 месяца назад
@@b.3940 njoo uchukue nakufungia sasa ivi ndan adi asubuh mimb ya mapacha
@b.3940
@b.3940 3 месяца назад
@@RomanMwinyi 🤣🤣🤣🤣
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 месяца назад
@@b.3940 njoo ujionee kama uwaminii
@alshaqsi1369
@alshaqsi1369 4 года назад
Ukidhulumu na ww utadhulumiwa Mzee Abeid karume hakuzaliwa zanzibar
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
Alizaliwa Tanganyika.
@pendooscar9322
@pendooscar9322 3 года назад
Warabu wako mbioni kuwatawala Tena
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 3 года назад
@@pendooscar9322 Umeona eeh..hila haitatokea sababu Tz tupo na tunaamua
@salummzee9739
@salummzee9739 3 года назад
mola akuremu sote ndio safar yt allah atupe kheri
@uwezowamunguutendaokazi3043
@uwezowamunguutendaokazi3043 3 года назад
Usaliti ni hatari sana. Wapinga maendeleo ni watu hatari sana. Kila wakati nasema dunia aiwezi kua salama wakati silaha zipo na zinatumika na wasiyo penda amani. Mungu mkuu aturehem sote. Amen.
@ahally61
@ahally61 2 года назад
Huyo okelo alzaliwa wapi na ilikuwaje akaongoza mauwaji Zanzibar na alipomaliza alibakia wapi na ameishia wapi mbina tunamuona kwenye mwanzo wa historia za zanzibar tu lakini alivyoishia haelezewi na wala hamtwambii kama alikuwa nani wakati na baada ya mapinduzi
@mariselilekibalunye5933
@mariselilekibalunye5933 Год назад
Poleni sana mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@hashimmohamed3215
@hashimmohamed3215 2 года назад
Ndugu zangu. Tutambie kuwa hoja siku zote huvunjwa na hoja na wala si matusi na kashfa. Watanganyika na Wazanzibar ni ndugu na wengi wetu hatujawahi kuishi kabla ya Tanzania. Sintofahamu zitakuwepo na njia bora ya kuzimaliza ni kujadiliana kwa heshima, hoja na hekima. Mungu ibariki Tanzania.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 года назад
Well said brother
@mosaidi2633
@mosaidi2633 4 года назад
Acheni upotoshaji,Karume hakuzaliwa Zanzibar,ni mhamiaji kutoka Malawi enzi hizoo
@ramadhanimadanga9932
@ramadhanimadanga9932 3 года назад
Kumbe ww jjnga
@shukurusiwakwi6129
@shukurusiwakwi6129 Год назад
Uko sahihi alitokea nyasaland
@LingstonMwakaboko-q2k
@LingstonMwakaboko-q2k 5 месяцев назад
😂😂😂nimeona uongo umezidi mumechoka wengine museme katoka Niger Nigeria mara Malawi
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 20 часов назад
Znz hakupinduliwa sultan alipinduliwa mzanziba huo niongo
@alimohd8427
@alimohd8427 2 года назад
Nyerere ndo alomuua
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 2 года назад
Aliua kwarisasi watu wengi.nayy akauliwa kwarisasi.jmn ubaya ukowapi hii ndo sifa Allah.amuonei mjawake.
@lugwetunje3896
@lugwetunje3896 2 года назад
Mimi ni mkenya nimesoma msg zenu na naona kumbe hamko pamoja wazanzibari wao wajiona ni waarabu lkn utaka kujua wewe si mwarabu bali ni mwafrika nenda warabuni
@abdillahijalalkhan2128
@abdillahijalalkhan2128 2 года назад
Hapana haja! Tazama kiyoo!
@sammarley1413
@sammarley1413 2 месяца назад
Nenda kakunywe cangaa kule madhare huna akili ww Kwani hapa kwenye comment kunarangi ati huyu mwarabu ama yule black???
@musawenkosigroup7962
@musawenkosigroup7962 3 года назад
Mbona amusemi kwamba John Okello kutoka Uganda ndo alieongoza mapinduzi...?
@okellonjaramba6759
@okellonjaramba6759 2 года назад
Please regnise Field Marshal John Okello as the true leader of the revolution of Zanzibar
@dianadenis7557
@dianadenis7557 2 года назад
They will never do that and its true John Okello rest in peace Amen!
@alikabeya138
@alikabeya138 2 года назад
Historia ya uanzishaji wa ASP umechapia walianza na AA kabla ya kuunganisha AA na Shiraz Association. Toa Uongo ndugu
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 года назад
Baraka Shilumba: hebu tupe kwa ueleo wako hao uliowataja ni nani?
@harounbuzohera4797
@harounbuzohera4797 2 года назад
There is a hidden story of Field Marshal John Okelo ,the man who masterminded the Revolution in ZANZIBAR.
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 года назад
Sante kijana
@aby21111
@aby21111 2 года назад
A criminal who killed innocent great grandfathers and grandfathers .What goes around comes around. 💃💃💃💃💃❤
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 3 года назад
duuh karume alikuwa ni mkubwa sana kiumri zaidi ya nyerere
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 года назад
Lakini kiakili nyerere mjanja NA ana akili mkubwa kaweza kuimeza zanzibari milele
@tariquexplore
@tariquexplore Год назад
​@@alialamoudi9729 heheh dhulma huwa inarudi tu Zanzibar one day tutawala tanganyika yenu fuck you ....mtu ambaye hana akili utajenga magorofa na shilingi 1 yetu ilikuw dola mbili za kimarekani na 5 paundi
@sammarley1413
@sammarley1413 7 месяцев назад
Ndio alikua mkubwa Ila kicwa maji
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 5 месяцев назад
​@@sammarley1413kwanini 😂😂😂😂
@sammarley1413
@sammarley1413 2 месяца назад
​@@fasterwalker1464 angelikua na akili japo kidogo angalitazama mzee julias nyerere yy kule bara anao warabu kibao nawahindi namakabila mengi tu yawatu weupe hajawauwa Bali amewarahisishia wafanye biashara nakuongeza ucumi wataifa Sasa huyu karume ambye nimuislam yy Alikuja nakarata isio nahekim yoyote hiv kuwauwa warabu nakupora Mali mashamba majumba yawazanzibar kama yy alitaraji nini? Matokeo ndio kama hivi kula risasi yakicwa fujo kwisha
@faridimohammed4823
@faridimohammed4823 3 года назад
Yeye kauwa wanga, munasahau mwaka 64
@ommyakili552
@ommyakili552 3 года назад
Uhakika unao????
@faridimohammed4823
@faridimohammed4823 3 года назад
Uhakika upoo mkubwa sana
@rajakhamis8902
@rajakhamis8902 2 года назад
Watanganyika wameanza zamani kujipndekeza kwetu Zanzibar na hadi sasa sanazaliana tu hku
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
RIP Mkombozi wa wanyonge, may Allah shower His mercy on him and all Zanzibar fallen heroes. Mapinduzi daima.
@imash04tv20
@imash04tv20 3 года назад
mkombozi kweli maana hapo ulipo ww una njaa wale walofukuzwa wakauliwa na wengine wakarudi kwao sasa iangalie nchi yao
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
@@imash04tv20 alhamdulillah nipo vizuri, kilichowaleta Zanzibar nini? Si wanakie makwao, Zanzibar ni ya waafrika sio wamanga
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
Si wengebakia kwy majangwa yao wakati huo, wao ndo walokuwa na waya mkali zaidi wa njaa.
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
@@imash04tv20 Zanzibar itabakia ya waafrika daima, wananga hadi leo mate yanawadondoka, mapinduzi daima, usultani kwisha zake
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
@@imash04tv20 heri ya njaa kuliko utumwa na kutawaliwa, na hata dini, wapi na wapi eti ibadhi, khawareej, wazanzibari ni sunni muslims, wakome kuharibu dini za watu
@IBRAHIM-eh9vw
@IBRAHIM-eh9vw 2 месяца назад
Hatutosahau maishayetu yote😢😢😢
@fredelias5176
@fredelias5176 3 года назад
History is the past,present and future events
@dullaomar3610
@dullaomar3610 3 года назад
Kauwa na yeye kauliwa ukweli unajulikana na alie muuwa ni shemegi yake hakuna cha ukombozi ni mauwaji tu.
@rajakhamis8902
@rajakhamis8902 2 года назад
Huyo nyerere si ndio alie muwa karume ili watanganyika wapate kujipendekeza vzur hku zanzibar na kushobokea wazanzibar
@shaabansabour1214
@shaabansabour1214 Год назад
Watanzania bara, munapotosha ukweli. Yuko wapi hapa Fidel Mashal John Okello. Watu nyinyi wacheni uongo.
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 3 года назад
Chanzo cha kifo cha mzee karume ni nyerere mshenzi halafu karume hajazaliwa zanzibar jutaahid kuulizia kwanza kabla kutoa makala brother
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 года назад
Tofauti na mkewe, Nani mwingine atakupa ukweli...!
@feisal6592
@feisal6592 Год назад
Watsfutenii wanataka kumuuwa kijana wakee abireddd karumee plz mumewaonaa wahuthuria
@AllenSimon-rz8ye
@AllenSimon-rz8ye 3 месяца назад
Naipenda sana
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 года назад
Karume aliuwa wangapi mbona hakuzaliwa unguja alizaliwa Malawi Zanzibar alikua hana ndugu yoyote alitokea Kenya na meli akafika unguja kama baharia waongo historia ya uongo
@milleniyahmohamedy8787
@milleniyahmohamedy8787 4 года назад
Abdhihari Abdhallah acha upumbavu wewe
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 года назад
Mpumbavu.ni.wewe.semeni.kweli.karume.hakuzaliwa.Zanzibar.iko sauti yake alivosema unguja hana MTU isipokua mkewe na wanawe alitumiwa na nyerere kuuwa watu 64 kwa chuki aliyokua nayo kwa wazanziba nenda ukalitafute kaburi LA MAMAKE kama utaliona karume ni mmalawi alikua Kenya alifika Zanzibar na melj kama baharia acheni kupotosha watu ukweli tunaujua
@maikosaga3632
@maikosaga3632 4 года назад
Pole sana ndugu yangu kwa hasira zako ila fahamu huu mchezo hauhitaji hasira ndugu
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 года назад
Sjna hasira broo maoni ya MTU atakama huyapendi unatulia usiingilie MTU moja kwa moja
@nassormohammed1743
@nassormohammed1743 4 года назад
story yako nusu yake uongo
@fatmaali2050
@fatmaali2050 2 года назад
Hakuzaliwa Zanzibar huyu jamani hamuijui historia
@abdulazizislam1261
@abdulazizislam1261 10 месяцев назад
Kama alivyo uwa na yeye ameuwawa hiyo ni hukumu ya mungu
@riffayahmad2021
@riffayahmad2021 4 года назад
huna unalo jua....
@asmanmoha6679
@asmanmoha6679 2 года назад
Half baked information ....do research of karume death at length
@robertjunior9916
@robertjunior9916 4 года назад
Kumbe wasiojulikana walikuwepo tangu mwanzo 😭
@marcusraina3682
@marcusraina3682 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 года назад
Wanajua
@shaabansabour1214
@shaabansabour1214 Год назад
Innocent mashauri huwezi kuwa muandishi na msemaji wa Historian wakati wenyewe, wazanzibari bado wapo. Na ni wasomi.
@goldenboy7504
@goldenboy7504 2 года назад
Hao waaasisi na watoto wao wote mumewadharau awamu hii na ndio maana munakosa radhi siku zote unayemkuta muheshimu
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
Ndani ya ofisi si hadharani km title yako inavodai though your description is ok.Pia hakuna nchi inayotwa Zanzibari, it's Zanzibar ( pronounced Zanziba ) in Swahili.
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
Inayoitwa ( correction)
@dolldoll8483
@dolldoll8483 3 года назад
Lol we sijui wa wapi. Kiswahili ni Zanzibari english ndo Zanzibar(zanziba)
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 года назад
HISTORIA ZINGINE KAMA HAMJUI MSIWE MNASIMULIA
@jamesponeca8912
@jamesponeca8912 2 года назад
SEMA UKWELI NANI,ALIEMUUA USIFICHE,
@robertkasike4061
@robertkasike4061 4 года назад
Aliye muua karume aliuawa na dereva wa karume wakati ule ule msifiche ukweli mtafuteni dereva wake bado yuko hai
@lirastanley390
@lirastanley390 3 года назад
Yeah wanajaribu kupindisha ukweli wanatufanya watanzania ni mazokwa wakati ukweli tunaujua
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 года назад
Aisee kumbe iko hivo. Ndo tatizo la africa . Huyo dreva wamempoteza ili kupindisha historia pia ni ili asipewe heshima yake na kutunzwa
@dottoamos2902
@dottoamos2902 2 года назад
Bro uko wapi unisimulie
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 месяца назад
sasa wakamuulize kabuli au wap
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 3 года назад
Hawaachi kusema uwongo wamezoweya bado wanazidi kudanganya watu duuuu
@SalehToli-n1x
@SalehToli-n1x Год назад
Waafrica ni sawa na binadamu wote ubaguzi ni shida,m bora wetu ni mchamungu.
@ahmedkhamis1167
@ahmedkhamis1167 4 года назад
Uongo karume hajazaliwa Zanzibar zama hizi za uwazi na ukweli cjui kwann bado mnangangania uongo
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
Ndio maana mnatawaliwa na Dodoma.
@teacherchundu4062
@teacherchundu4062 3 года назад
@@uledimtumwa2406 Ninyi mlitawaliwa na mmalawi.
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
@@teacherchundu4062 Na sasa tunatawaliwa na mmakunduchi,watanganyika hatuna ubaguzi kama nyie waoman.
@tecnof1232
@tecnof1232 4 года назад
Msitubabaishe, Karume hakuzaliwa Zanzibar
@mohamedmaulid3187
@mohamedmaulid3187 4 года назад
He una maajabu wewe
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 3 года назад
Mm nataka niwaambie watanganyika au watanzania bara kwanza kabisa acheni kujipendekeza kwa wazanzibar,mbona ss hatuna shobo na nyinyi,pili km munataka kuandika makala ya viongozi wa Zanzibar na historian ya nchi basi anzeni kuandika historia ya nchi yenu ya Tanganyika na Kiongozi wenu km munashahu nyinyi mjnapensda kujipndekeza kwetu ss Kiongozi karume mungu amrehemu ameshatueleza kuwa Zanzibar itaongozwa na wa Zanzibar wenyewe na s vyenginevyo na haitoongozwa na watu kutoka kwenu Andikeni historian ya kwenu Tanganyika inawashinda mutawezaje kuandika ya Zanzibar ambayo tayar ni ambyo imewatangulia kwa mda mrefu sana
@gracekikula6279
@gracekikula6279 3 года назад
Hovyoooo
@pendooscar9322
@pendooscar9322 3 года назад
Haha yani ndomana warabu wanakula bata nyie mnatoa vyombo arafu Zanzibar ndio nini kwamfano huyo abed mlimuuwa nyie wenyewe yaani ata nyerere hausiki natena ipo siku tutavunja muungano atakae shinda vita ndio atakua mtawala loho mbaya mwajidayi mumeshika dini wakat mnafilana mumeambukiza paka tanganyika tuliokua hatuna mambo hayo nyooo
@eliaslazaro2809
@eliaslazaro2809 2 года назад
Mmekalia kuvaa misuri kilaktu kwenu niuvivu tu mmeishia kupangusa miguu ya waarabu tu.Inakuuma nn kuungana?
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 года назад
Nyinyi bado hamjawa na akili ya kujiongoza wajinga ninyi lazima tuwaendeshe kama ng'ombe bila hivyo mtatawaliwa tena na waarabu. Maana hampendi kujituma katika kazi zaid ya uvuvi wa samaki na kufirana2 mbwa nyie mtafanya mungu aichome tanganyika kama sodoma kwa ajili yenu
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 2 года назад
Acha hasira...jipangeni upya muikomboe nchi yenu... maana kwa Sasa ni mkoa tu wa Tanganyika huo.. Sioni njia ya nyie kujikomboa maana hamna jeshi, hamna polisi,hamna benki kuu,hamna sarafu...Sasa hiyo ni nchi au mkoa tu?
@pmanpjjp
@pmanpjjp 3 года назад
Rest in peace
@johnrimoy370
@johnrimoy370 4 года назад
Kichwa cha habari kinatakiwa kiwe History ya Karume.
@kasalimareju6052
@kasalimareju6052 3 года назад
Yaani maongo matupu tz karbia nzima
@godblessminja3380
@godblessminja3380 3 года назад
Kumbe hakuwa na elimu huyo mzee
@rahimasalim26
@rahimasalim26 2 года назад
Kama kulikua na ukoloni kabla ya mapinduzi Jee? hawa wasomi wote kina Nyerere , Karume, Aboud Jumbe, Ali Hassan Mwinyi etc walusomeshwa na nani? Kwa ajili wote ni wasomi na very smart wala huwezi kuwalinganisha na wasomi wa sasa
@makenakendi282
@makenakendi282 4 года назад
Aliye tumana kuuwawa kwa karume ni shetani nyerere
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
Ili iweje!!??? Tatizo nyie mnautamani utawala wa kisultan.
@makenakendi282
@makenakendi282 3 года назад
Ukweli ni huo ama uko Na jengine?
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
@@makenakendi282 Tanganyika itatawala Zanzibar daima.
@makenakendi282
@makenakendi282 3 года назад
Mpanda ngazi hushuka itafika wakati ndio utajua kachumbari hakipashwi moto....
@verostaherman4952
@verostaherman4952 3 года назад
Makena kendi shetani mwenyewe nijonge kama una hasira
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 3 года назад
Mbna mauwazi ya maraisi ni africa tu na sio continent zengine africa sisi ni matajiri sanaa tukiacha kuaibudu dollar tujisisimamie wenyewe watakuja wao kutuabudu sisi
@nassorhabdalla1734
@nassorhabdalla1734 3 года назад
Nenda kasome vitabu kabla makala. Ktk makala yako Kuna Mambo sio sahihi. Chama cha ASP hakikutoka na chama cha mabaharia. Kilitokana na muungano wa African Association na Shirazzy Association. Afro ( African) Shirazzy ( Shirazzy) party
@lirastanley390
@lirastanley390 3 года назад
Walale pema peponi viongozi waasisi wa taifa letu tukufu hayati mwl.julius k nyerere na hayati Abeid Aman Karume
@dogracfalijala3051
@dogracfalijala3051 3 года назад
Mmmh makubwa kw nn wat atupendan APA dunian in njia t yakupta
@talisajoo3355
@talisajoo3355 2 года назад
Rip
@petermunanka3827
@petermunanka3827 2 года назад
Wewe muongo zamani darasa la 7 halikuwepo
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 года назад
La nne na la 8
@issahajiday4398
@issahajiday4398 4 года назад
Kiswahili chogo hukijui ....nenda kafatilie history ya wenzako sio kwetu .
@allymwazoa6301
@allymwazoa6301 4 года назад
Hivi kanali mahfudh ni nani?
@skywalkercool6788
@skywalkercool6788 4 года назад
free.facebook.com/WatanzaniaMashuhuri/photos/a.454736727904699/475211132523925/?type=3&_rdc=1&_rdr
@halidihemed1006
@halidihemed1006 4 года назад
Wasio jurikana walikuwepo kitambo tu!
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 года назад
Hivi karume hajawahi kuuzwa sokoni ?
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 2 года назад
Kila mtu anajua nyerere ndio alie muua Abedi amani karume na chanzo cha kifo cha karume nimuungano na ushahidi upo kabsa German
@jarsjam8894
@jarsjam8894 2 года назад
Karume alikuwa mkulima na mawaziri wakwezi
@saeedaltae2169
@saeedaltae2169 3 года назад
Uongo hy amezaliwa 1902 sio 1905
@philbertcelestin2702
@philbertcelestin2702 3 года назад
Mwaka wake wa kuzaliwa haufahamiki sana.kakini 1905 ndiyo unatambuliwa!
@mauadaud4447
@mauadaud4447 3 года назад
Kweny historia uwo ndo mwaka aliozaliwa 1905
@saadnahoda707
@saadnahoda707 4 года назад
Allah amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema peponi
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 года назад
Allha amlipe makosa yake kama vile alivouwa watu ambao hawana makosa yoyote
@abdallahjuma8168
@abdallahjuma8168 4 года назад
@@abdhihariabdhallah760 ndio pahala pake ndio hukumu yake ukiua na ww utauliwa 2 kwa njia yoyote hle
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 года назад
Abdhihari Abdhallah unaushahidi wowote? au unaropoka tu
@abdhihariabdhallah760
@abdhihariabdhallah760 4 года назад
Ushahidi wa mini mirambo
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 года назад
Abdhihari Abdhallah ushahidi wa kuwa aliuwa la kwanza,tumefundishwa kuwa tusiwe wenye kuongea mabaya ya marehemu wetu,swali ulishawahi kuwasikia Wakristu wakiongelea mabaya ya Mwl Julias Kambarage Nyerere?
@khadijavassardanis3178
@khadijavassardanis3178 3 года назад
Pumzika kwa amani
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 года назад
Anaepinga histaria hii na kuchukia huyo sio mzanzibari na tunahasira nae sisi wazanzibari
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol 6 месяцев назад
Hato iona hata haruf ya pepo
@hemedytengu5718
@hemedytengu5718 4 года назад
Aliye muuwa karume naye alikufa na musijifanye hamumjui , chogo tu
@lirastanley390
@lirastanley390 3 года назад
Wanajaribu kupindisha ukweli wakat aliuawa na akajulikana vzur kbs wanatufanya sisi ni mazoba ila wajue tu ukweli halisi tunaufahamu tena kitambo sana hvyo imekula kwao labda wakawadanganye mataifa ya jiran tena kuzaz kipya maana cha zaman chote kinajua
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 года назад
@@lirastanley390 hakuna anaejuwa alizaliwa lini hao ndugu zake waliotajwa hapo ni uongo sikweli karume alikuja zanzibar akitokea mombasa na meli ni mnyasa hii stori niyauongo kwa kauli yake karume alisema zanzibar hana mtu isipokuwa mke na watoto wake hao wengine walitokea wapi hakuna hata kaburi lililooneshwa kuwa ni la bbke au mmke
@joojombi2341
@joojombi2341 2 года назад
Story yako ya uongo dogo njoo Unguja tukujuze kabla kutoa habari potoshi dogo
@AminaHassanKhamis
@AminaHassanKhamis 6 месяцев назад
Naomba kuu liza kwni kuna alo zaliwa zanzi bar au sote niwaha miaji tu
@remistv94
@remistv94 2 месяца назад
💔
@pascarmwatosya6815
@pascarmwatosya6815 3 года назад
R,I,P.
@saidaly8201
@saidaly8201 2 года назад
Mbona husemi uhuru wa zanzbr mana mpnduz yamefnyka bada uhur
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 5 месяцев назад
itakua john okero naliamua kulipiza kisasi nini
@halidhamaad177
@halidhamaad177 2 года назад
Bro hujui historia ya karume tuache
@AhmedSEIF-w8w
@AhmedSEIF-w8w Месяц назад
😂😂eti linasem karume kazaliwa mwera ety 😂😂
@jojininga1780
@jojininga1780 3 года назад
Walimuuwa kalume niwatu wasiojulikana
@amraniramadhani7412
@amraniramadhani7412 3 года назад
Acha uongo rais wa kwanza wa za nzibar, alikuwa ni Mohamed shamte,ndie alieshinda Kwa kura,alimshinda abeid,
@philbertcelestin2702
@philbertcelestin2702 3 года назад
Mohamed Shamte alikuwa waziri mkuu(Kiongozi mkuu wa serikali)mkuu wa nchi alikuwa Sultan Jamshid Hadi napinduzi ya Jan .12 1964 ndipo Karume akawa Rais.Kwa hiyo Karume ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar lakini ni mkuu wa pili wa serikali ya Zanzibar.
@rajakhamis8902
@rajakhamis8902 2 года назад
Wanaharamu wa tanganyika hatumutaki hku zanzibar kwa nn hmkai kwenu
@ahmedrashid2037
@ahmedrashid2037 2 года назад
Wacheni upotoshaji nyie kenge hakuna asie jua kwamba karume hakuzaliwa Unguja ni mzaliwa wa Malawi ni wa kuja kuuwa watu na kuchukuwa Zanzibar akushiriyana na nyerere pamoja na watanganyika hamuwezi kutupotosha tunajuwa kila kitu.
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 2 года назад
Mungo karame hakuza liwa unguja
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 3 года назад
ZANZIBAR sio zanzibari usiliharbu jina letu
@halidihemed1006
@halidihemed1006 4 года назад
Alie sababisha kifo chake na kashaa tanguria mbere ya haki
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 года назад
Halidi Hemed ni nani huyo?
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
Ilimlazimu kuuawa ili neno litimie.
@jumakhalid5554
@jumakhalid5554 2 года назад
Waongo
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 4 месяца назад
Nahisi huyu wanamsifia tu lkn ukifatilia alikua mtu mbaya
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 3 года назад
Du!! Kumbe Fatma Aka Shangazi kafanana na bibi yake 100%
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 года назад
NIKISKIA ZANZIBAR NAONA NIPITE TU
@siasapolitiks5624
@siasapolitiks5624 2 года назад
Because History is written by the winners videio depicts a false verse History of Zanzibar's revolution by omitting he truth that Field Marshall John Gideon Okello of Uganda was real force behind of Zanzibar's revolution. But when Karume took power to be President, he expelled John Gedion Okelo from Zanzibar maybe to Glorify himself as the architect of the revolution.
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 года назад
ALAFU HAYO YOTE ALIPOTELEA WAPI MELI ZILIZOFIKA BANDARINI
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 2 года назад
Fatuma karume asili yake kumbaro yaani mpakistani
@kaimuulongo6004
@kaimuulongo6004 4 года назад
Sio kama ajajulikan kajulikan mbon naye kauliwa apo apo
@barakashilumba1103
@barakashilumba1103 4 года назад
Hakika mema yake yanakumbukwa.milele namilele zote ni hila za watu weupe
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 4 года назад
Wewe unae sema stori ya kurume huijui mulize mzazibari atakueleza stori ya karume wewe ni mtanganyika hujui chochote yote unayo sema niya uwongo au unapalilia kitumbua chako
@aishayusufu2082
@aishayusufu2082 4 года назад
Said Albusaidi unaliwa
@shamtesaid1377
@shamtesaid1377 3 года назад
Nyinyi nyote wazee wenu wakuja tu msohaya
@dkt.mohammedsaid8337
@dkt.mohammedsaid8337 3 года назад
Waongo : hamjafanya utafiti . Mmekurupuka . Zanzibar hakuna Kijiji Cha pongwe.
@sharifjuma227
@sharifjuma227 2 года назад
Hahaha kipo kaka usikatae hahaha
@davidmwita3008
@davidmwita3008 2 года назад
Miaka mitatu madarasa Saba
@allyhemed2434
@allyhemed2434 2 года назад
Mtangazaji sio Zanzibari ni Zanzibar nenda shule kwanza
@livinusmugisha5469
@livinusmugisha5469 2 года назад
Tofautisha kati ya kiswahili na kiingereza
@amraniramadhani7412
@amraniramadhani7412 3 года назад
Acha uongo , rais wa kwanza wa za zibar
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 года назад
Ukisoma comments utagundua wapemba ndio waliopanga kuuawa Jemadari Karume.Wapemba wanaamini Karume sio mzawa wa Zanzibar ila ni Mmalawi.Ndio maana wanachuki na Mapinduzi matukufu.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 года назад
Unauweleo mkubwa wa kujua nani Mpemba nani MuUnguja kwa kusoma hoja. Kama huijui historia ya Zanzibar bora usichangia maana naona hapa unataka kuzidi kuwachafua WaZanzibari kwa kuleta "Upemba na Uunguja"
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 года назад
@@ahmedalbalooshi8518 Wewe muOman
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 года назад
@@uledimtumwa2406 sijakuuliza wewe kwenu wapi.Ardhi ya Allah ni kwa ajili yetu sote.
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 года назад
@@ahmedalbalooshi8518 Zanzibar ni ya Wazanzibar Wanyamwezi hatuna fursa.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 года назад
@@uledimtumwa2406 Wanyamwezi nao pia wako miongoni mwa WaZanzibari toka enzi
@fugameza6011
@fugameza6011 4 года назад
Sasa wewe undhani ukifuga kuku utapata kenge kashandikiza mauwaji halafu vipi
@salujuma4530
@salujuma4530 3 года назад
huyo alomuua alikua hajulikani antokea wp
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 года назад
Alitumika kumuwa Karume kwa kuwa baba yake aliuliwa na utawala wa Karume , makomrade walitaka kupindua sasa walipofeli wakahairi.ila jamaa akaona wacha tu alipizie kisasi
Далее
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5
34:09
Китайка стучится Домой😂😆
00:18
UTAWALA WA DK SALMIN AMOUR-MAKALA MAALUMU
22:46
Просмотров 46 тыс.
Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili
31:05
Просмотров 2 млн
Китайка стучится Домой😂😆
00:18