Ukianza kutawadha wasema bismillaah husemi Tena kitu paka baada ya kumaliza ndio useme*ash'hadu anlaa ilaaha ila'llah wa'ashhadu anna muhamadan rasuulullaah
MashaAllah Allah akujazi kheri.. Lakini ni vizuri pia ungesema hii ni kwa mujibu ya madh hab ya imam flani, kwa sababu tunatofautiana pia madhahib mengine tusije kuona wanakosea kumbe ni sawa..
Asante kwa darasa, ila kwenye kutawadha kwenye miguu kuna muksheri kidogo maana inatakiwa uanzie kwenye goti hadi chini ya unyayo na sio kutoka chini mpaka katikati ya mguu
Sasa kutana na mashekh wa bakwana na waumini wao wanavyotawadha unaweza hata kutapika haswa wakisukutua Subhannallah jamaa hawajui dini wale hatari sana
Aa Masha Allah allahubarik Allah atakuhifadhi sheikh wetu twakupenda sana ❤ Natka urecord video ya mtu aliyeshindwa kutumia maji Namna ya ku tayyamam😢 plz
kama sijakosea nadhani ukiosha mdomo na pua yafaa unuse maji ili ingie ndani kabisa ya pua kisha kupuliza pua kutumia mkono wa kushoto.Alafu pia miguu huoshwakutumia mkono wa kushoto wala sio wa kulia.