Тёмный

HILI SIO KOSA NI UCHACHE WA ELIMU TUالمستنبطون من الخير شراً // SHEIKH KIPOZEO 

AL TIJARAH AL RABIHA TV
Подписаться 2,8 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

SUBSCRIB AL TIJARAH AL RABIHA TV

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 143   
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 дня назад
Jazaka Allah khaira shekh kipozeo
@tamimuathmani
@tamimuathmani 4 дня назад
Dalili aitumia kipoozeo hajirabu
@alawisaid280
@alawisaid280 2 дня назад
hoja zake hazina mashiko
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Cheikh wape ilmu hao hawaelew
@ShuaibuMsofe
@ShuaibuMsofe 12 дней назад
Uko sawa sheikh achana na hao kwani wanadhani kuwa mungu kawaongoa wao tu wengine hana haki ktk uislam
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th 6 дней назад
Shekh waambie wao wanaopinga washaongia pepon kwa kpinga kwao na ss tunaounga mkono n watu wa moton maana wao washakuwa mungu sasa
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 11 дней назад
Allah akulipe kheri.
@AbdallaRashid-s2m
@AbdallaRashid-s2m 12 часов назад
Upo sahii sana shekhe mungu akulipe kheri lakini nimiona umu wapo bahadhi ya waslam wasenge et wanataka dalili wakati dalili zote umieleza vizuri hawaelewi ndio maana nawaita wasenge
@HussainMaula-f9b
@HussainMaula-f9b 5 дней назад
Hao kazi yao ubishi tu kusoma Aaaaaa
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Mbona mnasema sana letene hizo dalili kama mko wajuzi
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Toweni dalili kama mwanamke amekatazwa kusoma mbele ya wanaume
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Leta hiyo dalili
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Wee ambaye sio chehena baasi leta dalili
@tamimuathmani
@tamimuathmani 4 дня назад
Hiyo nidalili juu yake inamipnga kipoozeo
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Wawe ma bubu wasiwe wanasema na sokoni
@yunusothmannofel244
@yunusothmannofel244 10 дней назад
Kipozeoooooooooooooooooo
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th 6 дней назад
Shekh wng kpzeo uspate tabu,hapo ndipo utagundua tofaut ya kuelewa na kukalili usipate tabu
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Kaziyenu tu nikumtukana cheikh mkiombwa dalili hamna hata hadith moja
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Nawaambie wake zao wasitowi sauti zao sokoni
@adammagawila9016
@adammagawila9016 9 дней назад
Makosa yapo Shekhe kipozeo...... Changamoto ni sauti za kike ambazo zinackika... Kuna njia nyingi za kuhamasisha kuipenda Qur'an sio hyo
@abdulmlawa5882
@abdulmlawa5882 9 дней назад
Akili ndogo Sana uliyonayo
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 8 дней назад
Hata hapo wew kipozeo na wew huna tofaut nao hata wew umeropoka haujatumia ustaarab Wal hata wew haujatumia utaratibu wa kuwakosoa
@SelemanKishoto
@SelemanKishoto 6 дней назад
Leta njia nyungine
@AbuuMuslim-b9o
@AbuuMuslim-b9o 6 дней назад
Hilalii hunahojaa mzee wewe unanjaaa unalolote kilakituu kina dalili sioo kwaiyoo laiyakoo
@ramadhanosman7840
@ramadhanosman7840 10 дней назад
Sheekhe yulesidadaak uwag unaelewa baas
@Seyfullah..online-tv-tz
@Seyfullah..online-tv-tz 7 дней назад
Yaani uislam unafundisha mathalan mimi leo nikienda kwa shemejiyangu hapewi ruhusa ya kuongea namimi kwa sauti yajuu kwa kunijibu kwake itakuwa sawa vip mwanamke nisie mjua asome quran kwasauti ya juu munahukumu vipi njie masufi
@YusufuKombojuma
@YusufuKombojuma 10 дней назад
Sauti ya mwanamke ni uchu
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 10 дней назад
Uchi kwa wakati ngani?ao una kuripukwatu?
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 10 дней назад
Jinga ni Jinga tu angalia unavyoropoko
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Acheeni kutumia akili zenu
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Kazi yao nikubishi bila dalili
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 10 дней назад
Hili ni shehena sio sheikh afu cku iz watu wanasoma din hawadanganyiki hauwez kutudanga unaonyesha umepinda sana
@khalfannasornassor7396
@khalfannasornassor7396 10 дней назад
Haipendezi kumzihaki mwenzako
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 10 дней назад
@@khalfannasornassor7396 kwani Mara ngap uwa anaongea pumba alafu akikosolewa ujitetea bila dalili zenye mashiko siona tofaut na aliekua wamemwita sheikh wa mkoa wa dar aliepta alhad mussa wote wamepinda naona anaongea kimaslahi anajipendekeza kwa bakwata hii dn usiongee kumfuraisha mtu sema kwa ajili ya Allah ji shehena ili ongo sana
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 10 дней назад
@@khalfannasornassor7396 shehena ili sio shehkhy siku watu wanasoma din weng uwez kutudanganya limepnda ili
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 10 дней назад
Sasa howo ndo uslam wako wa matusi ume utowa wapi ?adabu huna kabisaa uwahabi ao usalafi chida kweli
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 9 дней назад
@@fauznuhu9981 ukisikia kutetea ujinga ndio wewe bainisha hapo tusi lipo wapi ndio nyie mnafanya taasul na masheikh kana kwamba wao hawakosei bainisha hapo tusi liko wap
@Goshi-ov2wy
@Goshi-ov2wy 9 дней назад
Mimi ninavyojua, uislamu, Ni unyenyekevu, sasa nyie mnao mtukana shekh WA watu, hata kama amekosea sio vizuri, je vp Kwa wasiokuwa waislam, wanajifunza Nini, kutoka kwenu,
@MbaarakUweso
@MbaarakUweso 12 дней назад
من سن سنة حسنة wamesahu Ii kauli
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl 6 дней назад
Si uongo,ebu to a dalili ya kisheria sio nadhani ,dhana ndo haitakiwi
@zawiajuma715
@zawiajuma715 10 дней назад
Mbona hamkemei hao wanaotembea uchi huko barabarani mkiona mwanamke anasoma mbele za watu mwapiga kelele kama kweli mnamuogopa mungu nyie mnaoponda wanawake kemeeni hao wanao tembea uchi shimee
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 10 дней назад
Nyinyi masufi ndo mnaotia dosari kwenye dini
@Hasaniswalehe-x8j
@Hasaniswalehe-x8j 10 дней назад
Sawa mungu ndoanajuwa
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz 10 дней назад
Lazima awatetee makuhan wenzie hana cha ushekhe wake huyu
@mvuyekureabbas5441
@mvuyekureabbas5441 23 часа назад
Wakasome kwanza ili wajue maana ya dalili?
@salimhamad3878
@salimhamad3878 3 дня назад
Kwahiyo kama umar aliskia saut ya dada yake hao walio soma ktk mashindano uwanja wa taifa nao ni dada zetu?
@IbnYahya-u5m
@IbnYahya-u5m 11 дней назад
HUYU SHEIKH KACHANGANYIKIWA KWELIKWELI
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
usije kukuta ww ndo umechanganyikiwa n roho mby yko, tafakar kwnza imani yko
@AbuuAhmed-d4n
@AbuuAhmed-d4n 10 дней назад
Toa dalili Dini yetu ya kiislam haipelekwi kwa fikra za watu
@Hasaniswalehe-x8j
@Hasaniswalehe-x8j 10 дней назад
We're unadadalili gan mpumbav wew achaujinga
@abdulmlawa5882
@abdulmlawa5882 9 дней назад
Tupe dalili wapi Mtume alipanda gari, Mtume katuhimiza tufanye Kheri sasa kuwashindanisha wanawake kusoma kitabu cha Allah ni kosa
@WastarYoussuf-wb7fz
@WastarYoussuf-wb7fz 10 дней назад
Shekhe upo sahihi sana kwani hilo wameliona tanzania tu? Mbona dunia nzima kina dada zetu wanafanya mashindano ya qur'ani tukufu? Wa ache kuharamisha kila kitu. Mimi nadhani ni uchache wa elimu.
@karimuchande3659
@karimuchande3659 10 дней назад
Kwani umeambiwa dini inaangaliwa uwingi wa watu au kwa sababu jambo linafanyika sehem nyingi? Dini ni hoja na dalili na co uwingi au uchache wa wanaofanya.
@SirajiIbrahim-wy6vc
@SirajiIbrahim-wy6vc 10 дней назад
Nyie ndio mnasema Bora mzinifu kuliko mtu wa maulid ​@@karimuchande3659
@Saidyomarybakary
@Saidyomarybakary 10 дней назад
​@@karimuchande3659hao ni mapenz ya dunia tu sio din mana watu wanatafuta zawad na umaarufu
@madeomaembe7765
@madeomaembe7765 8 дней назад
Sasa usitete kwa kuangalia duniani wanafanyaje,, simpingi sheikh...
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 10 дней назад
Kwa akili za hawa wajinga itabidi kwenye madrasa watoto wakike wasome kdg kdg ili wanaopita nje msiskie au ziwekwe "soundproof" na waliimu wawe wakike woote,, acheni ujinga ujinga,, somen mujue makusudio ya hadith.
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 8 дней назад
Nyote ni wajing na wapuuzi na mara nying nyiny waislam mliozaliwa kwenye dini ya kiislam Kuna mambo mengi mnayakosea sana ,na mjifunz kwa wale wasio kuwa waislam wapi mumeona wakikosoana kama nyinyi mnavyokosoana Kila siku kweny mitandao? Ndivyo MTUME S.W alivyowafundisha? Acheni hizo uislamu ni dini nzur lkn unaaharibiwa na Wachache mliozaliwa humo waachen wageni dini nyiny mmeichoka
@yusufulukamata7152
@yusufulukamata7152 3 дня назад
Bado na ww umeingia kwenye makosa mana umetukana kuwa ni wajinga unafikili kwa kuandika ivo wao watajifunza nn toka kwako au wao ndo watakuona ww ndo umepotea mchamungu huwa hatoi maneno yenye kashif lekebisha ukali wamaneno watu wapate kujifunza kupitia rai zako
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 2 дня назад
@@ahmadSeif860 Hiv unafkri nyiny na hao jamaa ni nan mjinga?
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 10 дней назад
Hakuna pazi walikuwa wanavaa vipi au kama wanavyovyaa leo
@hafidhsuleiman3575
@hafidhsuleiman3575 9 дней назад
Sishangai kuongea hivi kama aliweza kumuunga mkono mzee yussuf kurudi mjini
@yunusothmannofel244
@yunusothmannofel244 10 дней назад
Haya tuendeni tutafika ila huu ndio ujahil mkubwa kupata kuusikia
@ramadhanosman7840
@ramadhanosman7840 10 дней назад
Kwann asiazin mwanamke
@Hasaniswalehe-x8j
@Hasaniswalehe-x8j 10 дней назад
Kaaa kimya bwana
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 8 дней назад
​@@Hasaniswalehe-x8j Akeeje kimy wakat kauliza? Sio unamnyamazisha kabla ya kujibu swali lake
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 8 дней назад
Hilo swal hawawez kukujibu ila watahishia kukutukana tu maan ukwer nao unauma hata huspanik wazoee tu
@amenakenya7993
@amenakenya7993 10 дней назад
Ww Mzee ENDA kadone din mwanzo ndio uje uonge kwani upo patupuuu bumbumbu mzungu wa reli
@IbraFareed
@IbraFareed 10 дней назад
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako VIWETE SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
ww uliyesoma dini, ukowap mchango wko kw jamii kuwafnya watu kuacha upuuz na kumwabudu Allah, acheni choyo, roho mby na kujifnya mnajua kila kitu
@sudihammad7387
@sudihammad7387 7 дней назад
Masunni wanashida sana yaani jamani mashekhe nyie kina kipozeo nawaomba mtengeze elim kubwa sana kwenye vichwa vya watoto wetu maana hawa watu wanaroho mbaya
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 7 дней назад
Hahaha dah yani ww ni muislam na unamuomba kipozeeo ndio aweke elimu kubwa kwa wototo wenu wew unafanya kazi gani usisome dini yako na ukaitafuta hakki ukairithisha kwa wanao kwaiyo apa kwa kipozo ndio umona kuna elimu ?kwa fatwaa hizo.?
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 7 дней назад
Unachukia ndugu zako waislam eti kisa wanafata sunnah za MTUME SWALA,LLAHU ALEY WASALLAM,,sasa apo kwa kipozeo ata wafundisha dini au kula mirungi?
@medimisi6930
@medimisi6930 5 дней назад
ana act bongo movies huyu au hujamuona au alifikiri nini
@abuuthaabit-lr2jh
@abuuthaabit-lr2jh 8 дней назад
huyu anapenda mizigo kama alivyosema mwenye kwa hiyo hapo anatetea mambo yake
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 11 дней назад
Mzee mirungi uliacha na sigara hahahahahahaha mzee huna maktaba mzee
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
baba yko pombe kaacha lini?
@ramadhanosman7840
@ramadhanosman7840 10 дней назад
Afu ww. Elimuyako ya kusomea kwenye magenge ya kahawa
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 10 дней назад
Matusi kwenu ndo halali tuna wajuwa
@zamuzeco
@zamuzeco 10 дней назад
Sheikh dalili ulizotoa ni dhaifu ni kabla ya baadhi ya hukumu za kiislamu hazijateremshwa
@manhajsalafafrica
@manhajsalafafrica 7 дней назад
Leo ndo nimetambua kipozeo ni Sponji
@amanimwabilo3623
@amanimwabilo3623 10 дней назад
Mpuuzi kweli huyu mtu
@jumamkwelengala4599
@jumamkwelengala4599 10 дней назад
Shekh toa dalili utufundishe
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
km hupo tyr kujifunza utapinga kila kitu, kw7bu umejiandaa ivo psychological
@saidsoudamiri4054
@saidsoudamiri4054 10 дней назад
Abu jahal alipewa dalili zote na bado alimkataa Mtume Muhammad SAW
@AbuuUnais
@AbuuUnais 10 дней назад
Huyu ndugu hajielewi sasa huyo umary alisilimu kwa sauti ya dada yake coz inafaa kusikilizw sauti ya maharimu sio mwanamke asiekuwa anakuhusu
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 10 дней назад
Ivi mwanamke analia msibani kilio ambacho si cha maombolezo kwa maana hiyo yupo kwenye makosa kwa kua saut yake imesikika
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 10 дней назад
Akilienu anakyo kifikiria ndo kiko kichwani mwenu
@hassansaul7098
@hassansaul7098 10 дней назад
Sasa najiuliza, kwa nini mashindano yasingekua wanawake tu, ndio wahudhurie? Na ndio wawe majaji?
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 10 дней назад
Wana wake wali muimbia mtumi madina na hakukataza nyinyi muna kataza wakisoma qurani!?da mna mzidi mtumi?
@ramadhanramadhan4948
@ramadhanramadhan4948 7 дней назад
Una dalili ya hilo?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 12 дней назад
Amna dalili ni makosa kweli mwanamke atakiwi kunyanyua sauti mbele za watu Hilo ni kosa sema watu wa bidaah mnatumia akili kuhalalisha Jambo kwani si hata muziki mumehararisha juzi yule kijana jahli saidi wa mombasa kasema muziki halali katika hadhara ya maulidi na watu wanamsifu tuuh! Huko ndo mliko fikia
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 11 дней назад
Wewe wacha ujinga wewe pimbi,naomba nikulize kama kweli unajifanya kila kitu unajua Hebu tuambie hizo hadithi zilizosimuliwa ni Bibi Aisha(r.a)alizisimulia Vipi wakati yeye ni mwanamke?
@fikratulmuhibbonlinetvismail
@fikratulmuhibbonlinetvismail 10 дней назад
Soma tena soma san
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
ni wivu tuu na kujifanya mnajua kila kitu, uislam ni dini ya Allah naye mjuz wa kila jambo, sio kila jambo jema linalofnywa kuwaona wenzenu ni bidaah hio sio sw yakupaswa pia kutafakar imani yko
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 10 дней назад
We jitu jinga sana
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 10 дней назад
Wee mpumbavu Sana, ni saut Gan ilokisudiwa
@zamuzeco
@zamuzeco 10 дней назад
Hutakiwi kutowa
@zamuzeco
@zamuzeco 10 дней назад
Dalili ambazo hazina mashiko
@kheiramour2973
@kheiramour2973 10 дней назад
Toa mashiko kwan mnadhan sote tuwe km nyie hilo haiwezkn hata upewe nchi uiongoze ww bc haiwezkn
@kheiramour2973
@kheiramour2973 10 дней назад
Toa mashiko ww al akhy
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 11 дней назад
Kuna watu bado wanamsikiliza huyu mpuuzi? Katika wapuuzi ambao hawafai kuzingatiwa huyu naye yumo.
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
kwa matusi yko utakuja jikuta badala y kuongoka unakwenda kuswekwa jehanam, Allah atunusuru na atujaalie mwisho mwema, shekh hajaongea lolote baya
@SirajiIbrahim-wy6vc
@SirajiIbrahim-wy6vc 10 дней назад
Nawewe pia haufai kuzingatiwa kwa Sababu haujakamilika
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 7 дней назад
Wewe huna akili
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 11 дней назад
Sauti ya dada angu pia haram? Toa dalili ya sawa sheikh
@IbraFareed
@IbraFareed 10 дней назад
Sheikh ile siku walikua watu wangapi Siku alokua ana SLIM Sayyidina Umar رضي الله عنه unajitia aibu sheikh
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
mkishalishwa matango pori n mashekh wenu bs hapakalik, na bi Aisha alipokua akisimulia Hadith za mtume alikua na wanawke tuu?
@YassirMapoch
@YassirMapoch 12 дней назад
Khaaaa shekh unajisikiliza unachokiongeaaa au unaongea kwa lengo la kujidhalilisha? Umesema Swahaba kasilimu kwa kusikia quran ikisomwa na dada yake, sasa hilo neno dada yake katika dini ina hukmu gani.
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
ukimsikiliza kiushabik kwakua ushaandaliwa na mashekh wenu utapinga kila jambo ht likiwa jema
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 10 дней назад
Sasa hao ni wakezako jushekhe awe muongo?sauti ya mwana mke ina mahala pake paharamu buda aho wana uliwa gazi wana towa sauti wakiomba hakizao kwa hivo hiyo saiti ni haramu pia?na je ina zidi qurani?ilimika acha ushindani
@SwalahaHusseini
@SwalahaHusseini 12 дней назад
Mwanachuoni gani aliekutangulia kutoa qauli kama hiyo uliyosimamia wewe ? omari alimsikiliza dada yake wew huyo bint mmalekani ni dada yako? au huyo mrusi ni dada yakooo? halafi fikra zinaweza kujatu hata ukiwa mbele za watu na aliekaribu na wewe asijue kitu ama sivyo kaka ?
@IbraFareed
@IbraFareed 10 дней назад
Imam Adh-Dhahabi, the renowned Hadith scholar and critic, was so appreciative of women scholars of hadith that he said, “We couldn’t find a single instance of a woman scholar of hadith being guilty of lying in the hadith narrations.” In light of these, there is no reason for us to suggest that women cannot recite the Quran aloud or participate in Quran competitions.
@YusuphAlly-b3k
@YusuphAlly-b3k 6 дней назад
Kweli huyu ni kipoozeo, shekh gani azungumza pasna dalili. Mtume amekataza kuchanganyika na wanawake., na sauti za wanawake kusikika, nyinyi mtachotaka ni pesa tu! Mwatetea matumbo yenu, lakn dini hilaina taratibu hizo. Nani ktk wema miongoni mwa maswahaba n.k walifanya mashindano?
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 11 дней назад
Naam zimetulixana nafsi za waislam kwamba muziki haram. Ila hayo ysnayonasibishwa na dini ndio yanaradiwa yanaonekana yako sawa ndio yanaradiwa
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 дней назад
ni choyo, roho mby na kujifnya wajua kila kitu
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 10 дней назад
@@halidimgonza5945 hapana bali anaekupenda hukushika mkono usiende kwenye matatizo na asiekupenda hatokukataza wala kukuamrisha. Hivyo hawa wanaokemea yale yasiokuepo wakati wa mtume wetu wanatupenda
@AbuuMuslim-b9o
@AbuuMuslim-b9o 6 дней назад
Hilalii hunahojaa mzee wewe unanjaaa unalolote kilakituu kina dalili sioo kwaiyoo laiyakoo
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ? #cat
00:29
Просмотров 163 тыс.
HII NI KIBOKO YA WAHABI
19:33
Просмотров 10 тыс.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37