Тёмный
No video :(

HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa KIFO Kwa WEMA Wake! 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 594 тыс.
50% 1

HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa KIFO Kwa WEMA Wake!
Mwaka alfu mia kenda na tano, alizaliwa Abeid Amani Karume katika ardhi ya Zanzibar kuwakomboa wanyonge kutoka kwenye mikono katili ya Sultan aliyewatumikisha kwa jasho na damu tangu enzi na enzi, kwa jina la Karume wanyonge wakavua unyonge wao na kukavaa Uzanzibar, wakatibiwa pamoja, wakasoma pamoja, wakaishi pamoja, wakaabudu pamoja, wakaoana pamoja, wakajenga uchumi wao pamoja, Zanzibar maisha yakapata maana.
Hata hivyo kilichomuondoa Sultan katika hivyo visiwa vya marashi ya karafuu si uraia wake bali ni dhuluma aliyowafanyia waswahili tangu utawala wa kisultani uingie Zanzibar. Ilikuwa 1698. Katika utawala huo mweusi aliwekwa katika daraja moja na mbuzi, samaki, nazi, karafuu na ardhi ndo maana aliuzwa utumwani na kumilikiwa kama bidhaa.
#karume
www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 872   
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 2 года назад
Kizazi cha leo cha Zanzibar tahadharini sana na historia hizi za kutungwa na wa Bara kwa maslahi yao. Lengo lao ni kuwaaminisha yale wa ayoyataka wao dhidi ya Zanzibar
@sikasika945
@sikasika945 5 лет назад
🙏🙏🙏🙏The golden voice kama unakubaliana nami like tujuane
@issaliyumba341
@issaliyumba341 5 лет назад
saf
@tamaraemmanuel9804
@tamaraemmanuel9804 5 лет назад
Why????????????
@sikasika945
@sikasika945 5 лет назад
Uiskii iyo saut tamara emmanuel
@muhamedyseif4575
@muhamedyseif4575 4 года назад
Tayson
@khalfankhamis6346
@khalfankhamis6346 4 года назад
Nimuongo tu mpumbav picha za hao waarabu ziwapi
@mohammednassor5612
@mohammednassor5612 3 года назад
Muongoo histori ya uongo ila mungu atatulipia wazanzibari zidi ya Tanganyika na nyerere mungu atamlipa kwa alio yafanya.
@salimabdillah1623
@salimabdillah1623 3 года назад
Big up bro, ni darasa tosha for generations to come. RIP Mzee Karume na makamanda wote wa Mapinduzi ya Zanzibar.
@AA-yr7sr
@AA-yr7sr 5 лет назад
Asante sana hii iko safi sana M/Mungu azidi kubariki na kazi yako Dennis Mpagaze
@johnhosea1321
@johnhosea1321 5 лет назад
Safi sana. Historia nzuri sana hii. Asante kwa Historia hii ya Karume
@mbarukumwede9846
@mbarukumwede9846 5 лет назад
Good
@kassimelseudally4825
@kassimelseudally4825 5 лет назад
Apo hamna historia anafurahisha wasojua tu hisoria ya znz na karume.
@kitonikitoni6299
@kitonikitoni6299 4 года назад
Zanzibar ingekua chini ya oman mpaka sasa aisee ingekua kisiwa tajiri sana
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 года назад
🤣🤣🤣🤣duuh
@tato8979
@tato8979 5 месяцев назад
😮😮😮😮
@specialclassic8986
@specialclassic8986 5 лет назад
Hongera sana kaka nakukubali. Ukimaliza historia ya mapinduzi Zanzibar tunaomba na Historia ya Maalim Seif sharif Hamad.
@irambadc5167
@irambadc5167 7 месяцев назад
Sharing km nani wewe zanzibar?
@irambadc5167
@irambadc5167 7 месяцев назад
Kuuumbeeeee
@ommygzanzibar4711
@ommygzanzibar4711 5 лет назад
Ulijaribu kuifatilia historia ya Zanzibar ila bado umekosea mengi inahitajika uisome ili utupatie ukweli kuhusu Zanzibar maana mengi uliongea ya ukweli na mengi uliongea ya uongo ila hongera sana kwa ukumbusho
@issasuleimanmaina9233
@issasuleimanmaina9233 5 лет назад
mnafiki wewe
@stephenmwaisela263
@stephenmwaisela263 5 лет назад
huw mnako cha kufanyaa et
@daudmedardndegeulaya8193
@daudmedardndegeulaya8193 4 года назад
Ananias Edgar your so Great.
@Grandson254
@Grandson254 2 года назад
Kazi safi denis mpagaze,,, sauti ya kutegesha masikio
@charlesmataba8344
@charlesmataba8344 4 года назад
LEARNING IS AN ENDLESS PROCESS, YOU MAKE ME TO LEARN MORE!
@mohzentv6550
@mohzentv6550 4 года назад
Kaisome vizuri historiya ya Zanzibar maan huijui
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 3 года назад
WEWE unaijuwa
@dr.mialanotanganyika4401
@dr.mialanotanganyika4401 4 года назад
Keep informing people like me who really want to learn about African history. Well done bro and god bless you.
@FrancisNjorogeDesigner
@FrancisNjorogeDesigner 5 дней назад
Asante Asante sana
@josephmkuar7133
@josephmkuar7133 5 лет назад
Unique voice
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 3 года назад
Hii story imejaa uongo mwingi sana tena sana
@issaibony6386
@issaibony6386 5 лет назад
Historia hii ukweli wanajua marehem karum nyrr jumb seph na mungu ni ukweli mtupu anajua ukweli zaidi
@teddymashells2601
@teddymashells2601 Год назад
broh ni bingwa kwa kuzitangaza historias ,nakukubali sana kaka,hata sauti n the way you sound it, it's so fantastic n so experience. big up broh, more n more.
@abuusufian6506
@abuusufian6506 5 лет назад
Aliyemuua Mzee Karume anajulikana mpaka leo
@edgersenyagwa3583
@edgersenyagwa3583 3 года назад
Daah upo vizuri katika usmuliaji mwañangu hongera
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 лет назад
Allah amrehem karume,amiin
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 года назад
Akiwa ni katika watu wa rehma
@alawiali3475
@alawiali3475 3 года назад
Alizawadiwa kifo yeye jee aliwazawadia nini wapinzani wake na raia wasiokuwa na hatia ?
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 2 года назад
@@alawiali3475 nawala. Usingelikuwa na mdomohuo Sasa bila yy
@alawiali3475
@alawiali3475 2 года назад
@@ramadhantahila9131 wewe hujui kilicho tendeka unachukulia rahisi rahisi tu lau kama unajua ungekaa kimya usingeongea chochote na kipindi yupo yeye ulikuwa huwezi sema lolote ukisema utaitwa mchochezi na unapotezwa mazima.
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 2 года назад
@@alawiali3475 weye uliitwa hivo
@abdullahmarco5106
@abdullahmarco5106 3 года назад
Hii sio kweli bhana mbna muongo sana hakuzaliwa huko
@davidnchoji
@davidnchoji 3 года назад
"Uwezo wa mtu si ukubwa wa elimu yake bali matumizi mazuri ya akili yake".
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 4 года назад
Naona kijana wangu kama unasema uongo wala huijui stori ya karume -wala hakusoma na wala hakuzaliwa zanzibar hizo nchi ulizo zitaja wala hazijui yote ulio ya sema yote ni uwongo
@meddy2group605
@meddy2group605 3 года назад
yeye mwenyew kasema haujasom hata shule ya msingi
@HappyFountain-yu6ob
@HappyFountain-yu6ob 6 месяцев назад
Huijui kabisa historia ya zanzibar
@charleslyuki691
@charleslyuki691 3 месяца назад
Leta wewe ya ukweli
@soudmtoka6497
@soudmtoka6497 4 года назад
Umekosea Karume hakuzaliwa Zanzibar
@badrumohd5066
@badrumohd5066 3 года назад
U ndo unakosea man hujuw kinchoongelwa
@harunakayega5531
@harunakayega5531 3 года назад
Ndo useme wewe kazaliwa wapi na hiyo elimu unayosema kaipatia wapi usilete ubishi ambao hauna point za msingi hoja upingwa na hoja so pinga kihoja na siyo unatoa tu pingo bila hoja toa hoja yako
@user-po1cq9so9h
@user-po1cq9so9h 4 месяца назад
Hujui chochote Rais Karume kazaliwa kijiji cha pongwe Mwera
@hajiameir8688
@hajiameir8688 4 месяца назад
Mpgaze acha uongo karume hakuzaliwa zanzibar karume amekuja zanzibar mgongoni kama alivyokuja Ali Hassan Mwinyi sema kweli mnachuki na wazanzibari kwasababu tu ya waisilamu na uisilamu lakini Mungu atawalipa mulichotufanyia
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 3 года назад
Mungu ndiye anayejuwa
@rehmadamian8020
@rehmadamian8020 5 лет назад
Asanten sana r.i.p our president
@seifhabib5987
@seifhabib5987 4 года назад
Kweli Historiya ya Zanzibar huijuwi ata kidogo ,tutafute wenyewe tukufundishe huku tunakulisha khaluwa na Kahawa .njoo Malindi hapa Simba aliponywishwa Chai.
@surusuru1994
@surusuru1994 9 месяцев назад
ndo mnavusemaga haya saw alikufa nanin
@tintz3157
@tintz3157 5 лет назад
We jamaa ni noma kwa simulizi na Mungu kakujalia sauti yenye mvuto kwa watu kupenda kusikikiza hata km story haisisimui ila kwa sauti yako mtu atapenda kuisikiliza,keep it up,nakumbuka nilikuomba utupe story ya Steve Biko mwanaharakati to South Afrika
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 лет назад
👍👍👍
@masoudzanzibarali9994
@masoudzanzibarali9994 5 лет назад
Napenda sana kazi zako na kila siku nakuunga Mkono lkn hapa umekosea kidogo, Abeid Karume hajazaliwa Zanzibar alizaliwa Malawi na kabila yake ni Mnyasa Mama yake aliamia Zanzibar Karume akiwa na Umri wa miaka 10. na waliamia Mwera nje ya Mji wa Zanzibar
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 лет назад
Afrika ni moja hiyo isikupe shida, mipaka hiyo tuliwekewa na wazungu ambayo tunahitaji kuivunja...
@makungumzee1823
@makungumzee1823 4 года назад
it is gud gid
@makungumzee1823
@makungumzee1823 4 года назад
iko poa
@abuu-bakarshaaban6246
@abuu-bakarshaaban6246 4 года назад
Nakukubali sana lkn umefeli kwa history ya karume bado hujaijua kabisa tuulize wazanzibar tukwambie
@sirajimakame1972
@sirajimakame1972 3 года назад
Nenda zk huna lolote mpemba mchafu lasaba ujafika nachuki zako fanyeni mkae kwenu pemba hatuwataki unguja
@djatm1319
@djatm1319 5 лет назад
Uwezo wa mutu si elimu kubwa... Hapo nakubaliana nawe... My best reporter... Mob love from Kenya
@seifmajid8088
@seifmajid8088 5 лет назад
Elimu ni nuru, unakubaliana na ujinga, nani aliyekwambia elimu haina uhusiano na uongozi, mtakaa na kusupport ujinga, ndio mana hatuna Maendeleo kwa sababu nchi inaendeshwa na wajinga.
@djatm1319
@djatm1319 5 лет назад
@@seifmajid8088 nani alikundanganya hivo how many people are educated in Africa and have no jobs...
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 2 месяца назад
Karume hakuuliwa na mswahili
@mahdidadi486
@mahdidadi486 4 года назад
Yani ww unawalisha wenzako matango pori wanzanzibar tunajuwa kila kitu japo munapotosha
@ramadhaniayubu6103
@ramadhaniayubu6103 5 лет назад
Kwa simulizi upo vizuri kaka hongera sanaa
@samirimbaruk6420
@samirimbaruk6420 5 лет назад
Hana lolote
@kimanititus
@kimanititus 4 года назад
Beautiful stuff. Nimesoma mengi
@zephaniakilalo551
@zephaniakilalo551 5 лет назад
Big up sana broo nakubali sana kazi yako, ni wachache sana leo watu kama ww, GOD BLESS YOU BELOVED
@shabanally1862
@shabanally1862 5 лет назад
Super hero...............
@foryoucreatorsinstitute8212
@foryoucreatorsinstitute8212 5 лет назад
Wanne kucoment like zenu
@nkunzimanabashir8030
@nkunzimanabashir8030 5 лет назад
Good presenter.thank u Ananias
@harunakayega5531
@harunakayega5531 3 года назад
Huyu jamaa noma sana aisee kwa story upo vyema
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 года назад
Nyerere (Mr X) alifanya njama za kuuwawa kwa Bana wa Taifa la Zanzibar hayati Abeid karume.
@kasalimareju6052
@kasalimareju6052 3 года назад
Na mm nasikiaga kama.ww
@soudmtoka6497
@soudmtoka6497 4 года назад
Karume ni moja ya wasomi wa zamani... pitieni vyema historia hii msilishi wenzenu matango pori
@nassorali5511
@nassorali5511 2 года назад
Baba karume hakuwa na elimu
@abdallahrunwa1886
@abdallahrunwa1886 5 лет назад
Ndugu yangu mwanahistoria sehemu ya kwanza hongera sana sehemu ya pili wazanzibar wajitambuwe kwa historia hii waache kulaumu walipoangukia badala ya kusahau walipojikwaa ndugu yangu mwanahistoria ujumbe umefika sasa kazi kwenu...!MUNGU Ibariki Africa Amiin...!
@mangofish9079
@mangofish9079 5 лет назад
Hakuna historia hapo kuna ukiritimba ule ule wa uafro shirazi na uhizbu tu hapo Na uwongo mwingi umechanganywa na ukweli.
@WaleedKharusi
@WaleedKharusi 4 года назад
I recommend also reading Kwaheri-Ukoloni, Kwaheri-Uhuru
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 4 года назад
Huyu jamaa nilikuwa nampenda utangazaji wake bila kuelewa km ni mjinga kiasi hiki na inawezekan na histry zote unazoleta ni za uongo
@badrumohd5066
@badrumohd5066 3 года назад
U ndo muwongo
@badrumohd5066
@badrumohd5066 3 года назад
Nyie ndo wale wajingaa
@nasseralaufi9308
@nasseralaufi9308 3 года назад
Broo historia ya Zanzibar huijuwi aliepindua na kuuwa wazanzibari ni Nyerere
@Dazuu9884
@Dazuu9884 3 года назад
huna akili wewe kima wewe kaa kmy uko umesoma wap ww ungekuja ww bac kutoa histor nyama ww
@khamisjuma3899
@khamisjuma3899 4 года назад
Inawezekana kua historia huijui au umeficha ukweli
@simonchisongela7558
@simonchisongela7558 5 лет назад
Good, sasa watanzania washindwe wenyewe kuijua historia ya Nchi yetu.
@bjaymastertz4828
@bjaymastertz4828 5 лет назад
broo nakubari sana kazi yko hubabaishi napenda sana historia unazo zitoa broo
@shaibhamdun5225
@shaibhamdun5225 3 года назад
Historia ya Zanzibar huijui usiaibike.
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 5 лет назад
Proudly Zanzibar
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 2 года назад
MWENYEZI MUNGU MKUBWA HAKI ANALETA SUBHANA ALLAH WATAALLAH HAKI TUMEIONA KWA VIONGOZI WAOVU MADHALIM WAHUNI MAJAHIL MWENYEZI MUNGU MKUBWA ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
@zuwenamohamed3642
@zuwenamohamed3642 3 года назад
Kazi kupotosha watu tuu
@amosmahona433
@amosmahona433 4 года назад
Dunia Ina Mambo mengi Sana pumzika kwa amani shujaa Abeid Aman Karume
@lm6373
@lm6373 3 года назад
Tangu warabu wali toka zanzibar mume fanya nini ila kutukana tuu na hadisi za uongo.
@hammerQ954
@hammerQ954 5 лет назад
Kamkubwa kazi nzuri sana ila wazawa tunakushauri njoo kisiwa mwenyewe tukupeleke sehem za kupata historia hapo kilichotokea ni kuficha makucha ya wazungu🙌🙌 ❤zanzibar❤❤❤❤❤
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 года назад
Wala sio wazungu peke yao na akina John Okelo nae Kaujore na wengine kutoka bara
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 4 года назад
@@ukhtyalpha1344 okelo sio mbara
@jumasaidi8157
@jumasaidi8157 4 года назад
Seminar ya kipalapala Tbr. Upo vizuri sana msomaji
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU WANAFIKI MADHALIM WEZI HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN 😮😮 KARUME KAZALIWA MALAWI NA KALELEWA KAJA MDOGO NA KAWA MKUBWA NA AFYA YAKE LAKINI TABIA YAKE IMEBADILIKA KUWA NA TAMAA.😮😮😮😮😮😮WEWE SIO MZANZIBARI HUJUWI HISTORIA YA ZANZIBAR.
@t33pelos77
@t33pelos77 5 лет назад
Historia nzur mtangazaji upo vzr Asante sana
@richardnyeura3015
@richardnyeura3015 5 лет назад
Vzur Sana kwa habar ya karume
@shadiahemed7909
@shadiahemed7909 4 года назад
Tatizo unapindisha ukweli baba usiogope tupe ukweli halisi VP muungano alisemaje
@shadiahemed7909
@shadiahemed7909 4 года назад
Muongo ww Zanzibar kama ilikua ya weusi kiongozi wao nani
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 года назад
@@shadiahemed7909 kwa hiyo zanzibar kulikua na mawe...waarabu walikuja wakaikuta zanzibar ina watu weusi hata kama hupendi..!!!
@khamissaleh921
@khamissaleh921 4 года назад
karume hajazaliwa zanzibar hapo umekosea
@solomonadams6337
@solomonadams6337 Год назад
Aliye kupa Historia ya Father K kakudan'ganya rudi Zinjibar ukaitafute tena Historia ya Father K sawa.thanks
@AlyAly-dp7iv
@AlyAly-dp7iv 13 дней назад
Mpumzika kwa amani pia❤😢
@user-ry8ky1tf1n
@user-ry8ky1tf1n 5 месяцев назад
AFRIKA HAINA WEMA KARUME GADAF MAGUFUL SADAM WAFRIKAHATUONIMBALI KWAUTUMWAWAAKILI WARABU WANARUDI AFRIKA
@mcdebora525
@mcdebora525 4 года назад
Nimeipenda sana kaka uko vizuri
@nusulaally6379
@nusulaally6379 5 лет назад
Uk vizur sn brother 👍👍
@bobnaahtv730
@bobnaahtv730 4 года назад
Karume alijichanganye kumgawia nchi nyerere
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 3 года назад
KWELI???
@abdillahimohd8614
@abdillahimohd8614 4 года назад
Karume hakuzaliwa Zanzibar Bali alikua baharia kutoka uganda
@salumseif8495
@salumseif8495 4 года назад
no from malawi
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 года назад
Asante kwa simulizi
@mazeenmasoud7297
@mazeenmasoud7297 4 года назад
Huyu fala kwa history hii yote haiko sawa
@iddmohammed1086
@iddmohammed1086 3 года назад
Unaonaje km iyo historia ya kweli ukaitoa ww unayeijua?
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 5 лет назад
Hongera kwa taarifa
@nasrashariyan2661
@nasrashariyan2661 3 года назад
Acha ujinga bwege wewe mbona hamna picha za kupigwa zinazoonyesha utumwa au mwarabu anampiga mwafrika mnadanganywa halaf mnadanganyika picha zilizopo hapo ni za kuchora tuu
@mandelasakara-no3bw
@mandelasakara-no3bw 6 месяцев назад
Kiweli nakupata sana mkuu
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 лет назад
Ahsante sana nimekupata vyema
@FeyOmary-we9xu
@FeyOmary-we9xu Год назад
Nimekua nikifatilia simulizi zako mbali mbali kuhusu baadhi ya viongozi, Lkn Leo nimejifunza kitu Kutokana na simulizi hii ulioisimulia kuhusu Mzee karume na znz, Nimejifunza kwamba simulizi zako ni zakupanga na kuungaunga, Kiufupi ni Uongo ndio unasimulia, Maana yake kama nimegundua hili kupitia simulizi hii, Nikua simulizi nyengine zote ninazitilia mashaka kiufupi kutoka sasa nimekosa kukuamini, Na nikushauri acha kupotosha historia ni kitu kikubwa na muhim.
@kissysimbaa2350
@kissysimbaa2350 4 месяца назад
Hapo kweny Kifo umegonga Penyewe 😂😂😂😂Japo wazanzibar Hawaminig Mwamba Alikufa Kwa ugomvi wa kifamilia na si Marehem Nyerere 😂😂😂😂
@omarikidato2958
@omarikidato2958 5 лет назад
Storia tamu na yenye kusisimua thx bro
@mohammednassor5612
@mohammednassor5612 3 года назад
Historia yako imejaa uongo mwingi ndani yake alie muuwa karume unamjua vizuri tu wamefanikiwa malengo yao ila mungu yupo pamoja na sisi ata lipia kwa alicho kifanya juu ya zanzibar , na hakuna mzanzibari aliyefanywa mtumwa hizi ni kasumba historia ya zanzibar inajuilikana vizuri t.
@ismailnoor6729
@ismailnoor6729 4 года назад
Zanzibar siyo tanganyika acha kujipendekeza ww siku ya siku kila nchi na mswala wake cha pili kalume siyo leader. Kauza nchi kwa mchonga meno atapigwa na athabu mbaka kesho
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Hii historia yako mwenyew wew na mabunju wenzio
@nassorhamed1054
@nassorhamed1054 4 года назад
Nilikuwa nakukubali sana kumbe ww ni zero kabisa
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 3 года назад
Zero kafanya nn?
@foodsatisfaction7335
@foodsatisfaction7335 4 года назад
Sijui!!!!!!!
@ibrahimndungu2301
@ibrahimndungu2301 4 года назад
Mimi roho yangu hutulia nikiskia tu “mwadaaji ni Deniz Mpagaze na mimi ni Ananias Edgar”
@tecnof1232
@tecnof1232 4 года назад
Unampenda,lakini historia zake zina walakini, anajuwa kusifia kamakusema Karume kazaliwa Zanzibar, si kweli, wanaojuwa historia wanasema kafika Zanzibar yu mgongoni mwa mama yake, tena kazaliwa katika ardhi ipi ya Zanzibar, lakini si vibaya kama unapenda iyo sauti ya uyo mtangazaji wako, mwambie atowe historia yakinifu, sisi tupo macho, hatutaki kudanganywa!
@ahmadakishingo1935
@ahmadakishingo1935 4 года назад
@@tecnof1232 ww ulikuwako unaesema karume alikuja mgongoni
@azizajarwan303
@azizajarwan303 3 года назад
Hahaahhahahah
@nassorozubery7394
@nassorozubery7394 3 года назад
😅😅😅 ,, km mm ty
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 года назад
Kusema kweli yaliotokea mwaka stini na ine inasikitsh sana kwanza nataka kukuambia kwa waarbu wa oman ni watu wawema sana katika nchi za kiyarabu pili ni waaslamu NA dini ya kiislaam inahurumisha utumwa hivyo alietufundishs mtume mohamed NA katika uchaguzi ya mwesho sultani alichguliwa NA wa zanzibari NA sultani alikua anapendwa lakini ungereza inashunganisha watu wakaja watu kutoka tanganika usiku wa manane wakawakusanya waarbu kutoka manyumba zao kwa ujumla watoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi wakawekwa kwa mashimo makuubwa wakawazika wamewaua kinyama hiyo tanganika imepata uhuru bila ya kumwags damu lakini zanzibari waliouwa elfu ishirini walikufa hiyo sio thambi kesho utasema nini kwa mungu ni uaislsmu hao hasbuna allah wanema alwakil
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 4 года назад
Waache wazanzibari wanaoijua Zanzibar wasimulie historia yake
@calvinjura7299
@calvinjura7299 4 года назад
Long live Sheikh Karume
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Cjui ulisimuliwa na mlevi
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 года назад
Bwana weee sauti nzuri mjamaa. Picha sizo sio za kweli ni za kuchora na walochora ni Wazungu.. Nyumba hawakupewa bure za Michenzani wamevunjiwa nyumba zao ndio wakalipwa bila ya TV ndani. Na wananchi wote wa Zanzibar walishiriki kujenga hizo nyumba.
@dubais9018
@dubais9018 4 года назад
Sio kweli hsya unsongea znz ni yetu na sie watu weusi historiya hiyo hamna bb yangu alikuwepo mji mkongwe kabla ya mapinduzi hakuona hsyo kutupwa msiti mitaani hii ni uongo mwingi
@bintmarmar4323
@bintmarmar4323 4 года назад
wasema Karume ndie aliemgaiya Nyerere nchi yetu na Nyetere akaimeza
@salimmohamed3998
@salimmohamed3998 3 года назад
Sio kweli
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 года назад
Genius Ananias Edgar may god bless you Bro
@bahariahd6299
@bahariahd6299 3 года назад
HISTORY IS A STUDY OF FACT. USIDANGANYE WATU SOMA UJUE HISTORIA YA ZANZIBAR.
@isaackmapesa5265
@isaackmapesa5265 5 лет назад
Pumzika kwa aman huko uliko mh.Karume
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 5 лет назад
Very sad story
@salumseif8495
@salumseif8495 4 года назад
haina ukweli hata 1%
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 4 года назад
Hata hili la kuuliwa Karume huujui undani wake unakisia tu.
@biramsakh9212
@biramsakh9212 4 года назад
Sasa io 64 walipoua siwalikua washapewa serikali tokea 63 kwann waliua Wazanzibar mpaka watt wachanga nawatt wakike. Mmh yashapita mingi zanzibar. Allah ndie ajuae
@asrymohd6690
@asrymohd6690 5 лет назад
Yaani Leo umenifuahisha kweli kwa historia nzuri na yakweli big upsana
@zarihayussuf4969
@zarihayussuf4969 5 лет назад
Mtangazaji unasemaa uongo kopa sie alie pinduwa serikali
@zarihayussuf4969
@zarihayussuf4969 5 лет назад
Wala huyo John okelo hakupinduwa serikali peke yake kila mtu alipewa sehemu yoke ni wengi walopinduwa hiyo serkali
Далее
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Просмотров 426 тыс.
ФОТОГРАФИЯ ЦЕНОЙ ЖИЗНИ
32:38
Просмотров 1,6 млн
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Просмотров 938 тыс.
Developmentalism & Welfarism - Dr Julius Nyerere
1:47
Просмотров 3,1 тыс.
ФОТОГРАФИЯ ЦЕНОЙ ЖИЗНИ
32:38
Просмотров 1,6 млн