Тёмный
No video :(

OMAR AL-BASHIR: Rais Aliyetema Mate Juu Yakamdondokea Mwenyewe 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 644 тыс.
50% 1

OMAR AL-BASHIR: Rais Aliyetema Mate Juu Yakamdondokea Mwenyewe
Tangu Sudan ipate uhuru mwaka 1956 imekuwa ni nchi ya vuta nkuvute. Full kunyoana nywele bila maji. Waafrika wanachinjana, wachina na wazungu wanakunywa mafuta, halafu vyombo vya habari vinasema tatizo la Sudan ni ukabila wa waarabu kuwabagua weusi kwa sababu ya ukafir wao na sisi tunakubali kama nyumbu vile. Wageni wanatugombanisha kama madume ya ng’ombe kule kwa wafugaji wakati wa mashindano ya wanyama, ng'ombe wanatwangana bila kujua sababu. Akili za ngo’mbe ndo zinatusumbua Afrika. Leo Bashir ametimuliwa Ikulu kama mbwa koko wa Afande Muroto wa Dodoma na wa Sudani kutokwa machozi ya furaha ambayo siku za usoni yatageuka kuwa machozi ya damu! Muda haudanganyi!
Unajua kilichomgharimu al-Bashir ni kushindwa kuusoma mchezo mapema na kuishia kuwatemea mate ndugu zake waafrika yakamrudia. Alimtimua kazi na kumtia jela Al- Tulab waliyekuwa naye tangu mapinduzi kwa sababu tu Marekani walimwambia afanye hivyo na ule mwaka wa shetani ulipofika al-Bashir naye akatupwa gereza lile lile alilomfunga jamaa yake, halafu akasema gereza lile ni hatari kwa afya ya binadamu, sasa siju al- Tulab na wenzake aliowafunga mle walikuwa mbuzi? Lakini pia siku ile Gaddafi anakufa Bashir alisema wasudan wanamshukuru Mungu kwa zawadi ya kifo cha Gaddafi na kujigamba kwamba vile vifaru, silaha na makombora yaliyotumika kummaliza Gaddafi aliyafadhili yeye kwa asilimia 100. Ntakusimulia ilikuaje, acha twende kwenye hoja kwanza!
#HISTORIA #OMARALBASHIR
www.youtube.com/watch?.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 604   
@doctorjohn1898
@doctorjohn1898 5 лет назад
Ananias Edgar hongera mjomba,,,,naipenda kazi yako sana... Shukran kwa hino historia.. Salam zimfikie mpagaze..
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 5 лет назад
Uyu Ananias Yupo vzr mno kwa sauti na mpangilio wa simulzi zake ni hatar huyu Mtu
@nasoralnaamani9237
@nasoralnaamani9237 4 года назад
Ananias. Fdgar. Tafazari Sana. Tunakuoba. Kuwatukana. Waarabu. Na kutowa histori.zao.kiuwogo. Asha. Asha. Hiya ruga Waarabu wenge wanaijuwa. Wewe umemkashifu. Marihim. Nassa sisi hatujakashifu raisi yoyote waa Africa. Tunakujuwaa acha acha. Kashif a.
@justinenyantoloma642
@justinenyantoloma642 4 года назад
Ningekuwa waziri wa habali ningemteua huyu kiongozi akawa msimamizi kweny kitengo nyeti cha habal nchini
@hadija846
@hadija846 3 года назад
@@justinenyantoloma642 Yaani mtangazaji wa hari ya juu sana na wakufurahisha mioyo ya watu nimempenda sana kwa kazi zake
@emersonrocky8724
@emersonrocky8724 3 года назад
sorry to be so off topic but does any of you know of a method to log back into an Instagram account..? I stupidly forgot the login password. I would love any help you can give me.
@enockyohana6856
@enockyohana6856 5 лет назад
Africa ni bara mam LA dunian..pia ndipo mhara baraka Mungu alipo ziweka ..ukitizama mamb yote yanavy tokea utanielewa..siombi like ila tuendelee kuujua ukwel
@christophernyamhanga7888
@christophernyamhanga7888 5 лет назад
Kaka uko vizuri sana huwa napenda unavyo toa tarfa kama mnamkubali piga like
@babasayana1253
@babasayana1253 5 лет назад
Huyu jamaaa fundi sanaaaa
@rodrickbm8326
@rodrickbm8326 5 лет назад
Kama unamkubalii uyuu jamaa fanyaa kubofyaaa,, Mana ni Nouma.. Firee
@tungozaanzali3831
@tungozaanzali3831 5 лет назад
Chonjo bro sauti tamu
@zuwenasaid9707
@zuwenasaid9707 5 лет назад
Sio sauti hata makala pia ni matamu
@alexmerck2568
@alexmerck2568 5 лет назад
namkubari kinoma Noma
@sethsimon5746
@sethsimon5746 5 лет назад
Kaka Mpagaze uko vizuri saaana .Unajua kuunganisha matukio vizuri sana mkuu. Mungu aing'arishe taaluma yako.
@edwardguguyu7546
@edwardguguyu7546 5 лет назад
Kwa kifpi mpagaze Yuko Makin ktk ufafanuz wa matkio, hongera sana
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 лет назад
Ooh, AMINA
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 5 лет назад
@@mpagazedenis8395 Mpagaze nafurahia utangazaji wako ,utendaji kazi wako wasifiwa mpaka nje ya Tanzania.keep on my dear brother. Samson Niko Burundi
@juliuszakayo1792
@juliuszakayo1792 4 года назад
Ndugu Mimi Mc j. Nakukubali sana barikiwa..
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 Год назад
Ole wetu Alina baba hutukumbukwi kwa kama Ila mabaya tu
@davidleparakuo2401
@davidleparakuo2401 2 года назад
Asante Sana kaka keep up the good work 👌🏼👌🏼👏👏👏very informative, following you from Nairobi..
@abuuqaasim4815
@abuuqaasim4815 4 года назад
Mjomba hongera sana unajua kuwasilisha na kusoma habari pia sauti yako inaendena na kazi yako kwa niaba ya wasikilizaji wenzangu nasema togather we love you ❤❤❤
@johnmaiyo7384
@johnmaiyo7384 5 лет назад
Amen Amen. Mungu tusaidie wa Afrika tupe hekima yako tuache kuana na kuzarauliana. Inaumiza sana habari hii. Mungu tusaidie. Amen .
@salumumsike8175
@salumumsike8175 5 лет назад
you are the best brother.. Golden voice with insight of events connection....
@georgechombo3672
@georgechombo3672 5 лет назад
God bless you for the voice He gave to you my brother
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 5 лет назад
Is Not Easy. May God Help and Bless Sudan
@nafisamohammed9064
@nafisamohammed9064 5 лет назад
Hongera kwa simulizi. You give me history that I didn't know.
@bumijamshana9691
@bumijamshana9691 5 лет назад
Nafisa Mohammed mambo
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 5 лет назад
Brother hongera sana umegusa matukio yote. Nilijua nawe utachagua baadhi tu. Congratulation.
@BaineWamash
@BaineWamash 5 лет назад
Listening from Kenya. Content kali kabisa.
@mr.performance2533
@mr.performance2533 5 лет назад
Hizi ndo habari tunataka kuzisikia zakitafiti na cio zile za kusubiri vyombo vya magharibi viseme na waandishi wetu wanakopy na kipaste very brilliant reporting keep the good work bro
@ashaally6993
@ashaally6993 5 лет назад
Mashaallah hiyo sauti inanifanya nisikilize hata ingekuwa simulizi haiivutii ila sauti mungu kakupa 👌🔥
@abdulsalim8900
@abdulsalim8900 5 лет назад
Wacha nyege izo sikiliza story Iyo
@ashaally6993
@ashaally6993 5 лет назад
@@abdulsalim8900 nyege zipi sasa Salim ndugu yangu au una kiu ya kutukana?
@abdulsalim8900
@abdulsalim8900 5 лет назад
Samahan nlijua unaskilizia kwa hisia kunradhi dadaangu
@ashaally6993
@ashaally6993 5 лет назад
@@abdulsalim8900 Mimi sina neno
@msambichakaambrose2601
@msambichakaambrose2601 5 лет назад
@Asha Ally
@princemtotomzuri231
@princemtotomzuri231 3 года назад
Mwaka wa pili huu baado naisoma story book of Omary Albashiri kama umerudia tena kama mm Leo tena tarehe 10.10.2020
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 лет назад
Huyu mpagaze yuko vizur na anapenda kazi yake,,huwa naanza kukoment kabla ya kumaliza kusikiliza
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 5 лет назад
Historia nzr na imepata mtangazaji mzuri,you ar genius guy👍
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 Год назад
Oya jamaa unasauti zuri na vionjo vitamu sana ongera
@djatm1319
@djatm1319 5 лет назад
Mwana historia huyu kipenzi changu....nikiwa Kenya nakupenda sana sauti umebalikiwa nayo
@lesikankya7772
@lesikankya7772 5 лет назад
DJ ATM m
@jimadavejr9542
@jimadavejr9542 5 лет назад
Nakubaliana na wewe bro, hata kama ni tatizo kubwa Sana kwa wasudan wenzangu kutosikia lugha ya kiswahili!!! Long live bro,
@MegaAlexison
@MegaAlexison 5 лет назад
My goal is to meet this guy someday wewe na kuaminiaka kabisa
@khanakwasarahlydia2190
@khanakwasarahlydia2190 3 года назад
ata mimi
@damianmachilutv1167
@damianmachilutv1167 5 лет назад
Mkuu umejaaliwa sauti nzuri sana kwa utangazaji nadhani utafika tu
@slayingtee6044
@slayingtee6044 5 лет назад
Kazi nzuri..keep it up
@apostlesamuelkiariemuthoni7754
Bwana I salute you for the great work you are doing, tafadhali tufahamishe maisha ya Gadafi na alivyo malizia.
@johnmbugani6532
@johnmbugani6532 5 лет назад
We jamaa noma sanaaa! Tusome jamani kupata ukweli wa dunia
@stevegithuku458
@stevegithuku458 5 лет назад
Very nice and quality journalism. Excellent delivery, respect from Kenya
@goo6341
@goo6341 4 месяца назад
Shukran sana Kaka Ananias Edgar na Mwalimu Dennis Mpagaze ❤
@ndayishimiyeshabani3277
@ndayishimiyeshabani3277 4 года назад
Ambae hakukubali basi haja pita juo na wala hafatiliye history. Salute from Durban
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 лет назад
Asante san ndugu kwa histoli nzuri san mwenyez MUNGU akuzidishee maono zaidi
@gillahathumani4879
@gillahathumani4879 5 лет назад
Mkuu nakuelewa sana. Tuletee na historia ya farao wa misri mkuu
@erickfod3792
@erickfod3792 5 лет назад
hatari sana itakuwa
@kizamulenda8894
@kizamulenda8894 5 лет назад
Hongera sana.. unatupeya historia nzuri... ata sijachoka kukusiliza
@globaltv_online
@globaltv_online 5 лет назад
Asante sana mkuu
@mwalumwakili2541
@mwalumwakili2541 5 лет назад
The more reason i will always be following your post kaka ubarikiwe
@sarahtv8853
@sarahtv8853 5 лет назад
Yaani ww kaka unajuwa sana ❤️
@mickyomary5215
@mickyomary5215 5 лет назад
Yani adi raha unavyo tanganza sisi tunajua mzic tu unaotupa raha kumbe kunasauti zakuongea zaidi ya mzic raha sanaaaah mungu akupe maisha marefu kwautangazaji👏👏👏👏👏
@penanahome5191
@penanahome5191 5 лет назад
Thanks bro God bless you to this msg
@gideonredson7895
@gideonredson7895 5 лет назад
Your professional I like your stories
@allymafita4443
@allymafita4443 4 года назад
Bro NAKUKUBALI SAANA, UNA KITU CHA UTOFAUTI, NATAMANI KUFANYA NAWE KAZI👏👏👏🤝🤝🤝
@mgobanyapazi7738
@mgobanyapazi7738 5 лет назад
Wachonganishi wote Africa Mungu atawaalani na kuwadhalilisha kwa uwezo wake. ALLAH AKBAR!!!
@maikomsigwa7377
@maikomsigwa7377 5 лет назад
Jamaa yupo vizur bhn yan huchoki kumuskiliza aiseee
@AbiudiMwandi
@AbiudiMwandi 5 месяцев назад
Hongera mpakaze Kwa kazi nzuri Kwa simulizi
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 2 месяца назад
Nimependa story ❤❤❤
@flaviejuliusanney2823
@flaviejuliusanney2823 5 лет назад
Yaani kwa huyu jamaa naweza weka bando zikaisha nikaweka Tena nisijutie kuendelea kumsikiliza jamaa huyu!...yo my favourite and the best narrator bro ananias, mfikishie salamu mwenzio.mpagaze popote alipo Kaka!
@mdeeboy846
@mdeeboy846 5 лет назад
Nice,unasimulia vizuri.Keep it up
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 лет назад
Amen Amen. Inasikitisha sana wafrika kushindwa kunia pamoja ili kuyashinda mabaya ya madui. Mungu atusaidie.Amen.
@siliakilojasi4188
@siliakilojasi4188 3 года назад
Jamali.akasome.kwa kichwa.hikii.noma.sana.umetisha
@khalidali1130
@khalidali1130 5 лет назад
Kaka mungu akubariki kaz yko usichoke kutupa uhondo tunakpenda sn bro
@patrickkimoyo8626
@patrickkimoyo8626 4 года назад
I love your analysis
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 5 лет назад
tupe mauhondo big up sana ananias edgar mungu akubarik kwa kutupa habari moto moto
@selemanmwita6255
@selemanmwita6255 5 лет назад
asante sana kwa historia hii kuntu.
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 5 лет назад
Africa ,my continental, love u
@rudomgera6394
@rudomgera6394 5 лет назад
Aise ndo yale yale ya South Africa. Ngozi nyeusi yakana ngozi nyeusi where are we heading. Asante sana ediga kila nikisikiliza hizi historia napata point mpya na kuwa mpya
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 5 лет назад
I appreciate you job, good.
@farryswaleh8279
@farryswaleh8279 4 года назад
uko vizuri sana sautiyako
@mohammedally2914
@mohammedally2914 5 лет назад
Upo vizur sana brother. Mungu azidi kukuongezea kipaji chako aiseee...
@globaltv_online
@globaltv_online 5 лет назад
Asante sana.
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 Год назад
Unaelezea vizur sana na unaviujo vizuri sana ,onger kwailo
@husseinmfinanga3293
@husseinmfinanga3293 5 лет назад
mpagaze mko vizuri sana ongora sana ananiani edag kazi nzuri
@raymondbazilishayo990
@raymondbazilishayo990 5 лет назад
huu ni ukombozi kwa wale ambao hawaijui historia ya Africa big up sana bro chee'r up
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 года назад
Asante sana my brother from another mother
@mohdyussah825
@mohdyussah825 5 лет назад
Mpagaze uko vizuri kwa ku report Big up Africans leaders always is selfish daah Yani hawa jifunzi Kila siku ujinga ule ule . Allah help this bara lenye kiza Ameen
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 лет назад
Asante sanaaa
@officialsalmazayn2938
@officialsalmazayn2938 5 лет назад
Nakupenda Bure We Kka 😍😍😍
@nashonlubata1357
@nashonlubata1357 5 лет назад
We dad mamb
@kennedyrubaza5846
@kennedyrubaza5846 5 лет назад
THANK YOU VERY MUCH my brother
@petrochengula9480
@petrochengula9480 5 лет назад
Umetisha bro
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 лет назад
Una kipaji cha kusimulia una haki ya kupata tuzo ,upo vizuri sana. Hongera.29.04.19
@henryhenry8150
@henryhenry8150 4 года назад
Good story
@peternyaome5357
@peternyaome5357 4 года назад
Kazi nzuri my brother from another mother
@michaelmuchomerson2658
@michaelmuchomerson2658 5 лет назад
God bless africa God bless mtangazaji, ngoja tena nirudie kusikiliza na bundle nyingne.
@princemtotomzuri231
@princemtotomzuri231 4 года назад
Ananias Adgar una sauti nzuri xanaa
@rudboy8459
@rudboy8459 5 лет назад
Nakupata vizuri,pongezi 🇰🇪
@misaluucha6029
@misaluucha6029 5 лет назад
Wakwaza leo namba like zenu jamani
@twaliburajibi856
@twaliburajibi856 5 лет назад
Jamaa ni noma, uko vizuri
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 5 лет назад
kaka huwa sipitwi na hiz historia shukran sana
@Chinno1ize
@Chinno1ize 5 лет назад
Simulizi nzuri sana ukijaaliwa tena naomba utuwekee kisa cha Joseph koni wa uganda
@goldenboy8385
@goldenboy8385 5 лет назад
Listerning from kenya you are the best presenter ever asante sana ndugu yangu kwa historia
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 лет назад
Ukisikia usalama wa bando ndo huu, Mara zote sijutii kujiunga ili nije huku
@paulcastor6054
@paulcastor6054 5 лет назад
Good job brother nakuon mbali sana juu ya kazi yako ya kutuelimisha
@mulirohilary209
@mulirohilary209 5 лет назад
Mpagaze I admirer the work u do fantastic ur an inspiration asante mno
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 лет назад
Thank u so much mkuu
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 5 лет назад
Storiii nzuriii sanaaaaaa!!Duh hongeraaa!!
@chidiomari.65
@chidiomari.65 5 лет назад
Asanten sana kwa mliondaa hii story, 🇹🇿🇫🇮
@saintpatronekeey9647
@saintpatronekeey9647 Месяц назад
2024 mpaka leo na angali iyi makala ni moto 🔥
@andrecorte3681
@andrecorte3681 Год назад
Asante sana kwa kutupa elimu ya maisha
@richardwanga831
@richardwanga831 5 лет назад
You are the best brother!!🙌🙌
@alexmerck2568
@alexmerck2568 5 лет назад
hongera bro kwakazi nzuri unaitendea haki kabisa
@sanilodaniel1458
@sanilodaniel1458 5 лет назад
Naomba utuandalie historia ya nyerere na mwinyi kaka nakukubali sana
@charlesnjau2423
@charlesnjau2423 5 лет назад
Nice work young brother!
@karimamir1998
@karimamir1998 5 лет назад
hizi ndo zinakufaa, combination nzuri ww na Mpagazi n keep it up.
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 лет назад
Kabisa
@monicamichael8119
@monicamichael8119 5 лет назад
Nakupnda San kakaa unajua kutangaza asanteee
@thomasbobtv7584
@thomasbobtv7584 5 лет назад
Aizeh wee ni doctor wa kila historia....nipo Nairobi Kenya
@saidomar5555
@saidomar5555 5 лет назад
Thanks
@nelsonnevlin2919
@nelsonnevlin2919 5 лет назад
daaaah mtangazaji umejitosheleza vizuri kabisa...step kwa step..umetisha
@paschalantonymanyasulamany6632
Ebwanaee ediga Mungu akulindesan
@globaltv_online
@globaltv_online 5 лет назад
Amina
@abdulibrahim2104
@abdulibrahim2104 4 года назад
Zambi sana masikini huyo mtoto hakiyamungu
@hafidhsaid6212
@hafidhsaid6212 5 лет назад
trying to be a Muslim i am proud to be a Muslim
@habeebomerabubaker4817
@habeebomerabubaker4817 3 года назад
Good
@abdulaziz703
@abdulaziz703 5 лет назад
😂😂😂 eti ukiona gari limeharibika na abiria haondki, ujue kuna mzigo wake humo ndani.. Tuendelee tu
@babalois7240
@babalois7240 5 лет назад
Mtangazaji uko vizuri like Davistar Mata
@douglasmwenda8086
@douglasmwenda8086 5 лет назад
Kabisa bro keep the fire burning
@dadyabdullatif254
@dadyabdullatif254 5 лет назад
Brother upo vizuri sana! U deserve the best!
@nisilesanga3602
@nisilesanga3602 5 лет назад
Nakukubali sana kaka mkubwaaa jah bless
@nisilesanga3602
@nisilesanga3602 5 лет назад
Mpiga picha alikuwa hana ubinadamu kabisa nampongeza mke kwa kumpiga chini🙌🙌
@ntandikasimu3933
@ntandikasimu3933 3 года назад
N unyama ulioje jmn nusu choz linitoke
@magessamagessa5502
@magessamagessa5502 5 лет назад
Upo vzr
Далее
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 1,5 млн
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Просмотров 824 тыс.
BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20
18:32
Просмотров 617 тыс.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Просмотров 79 тыс.