Ahsante sana Global TV kwa makala za ki historia. ila kama mdau wenu nawaomba mtuchambulie pia historia za maisha ya Viongozi hawa wa Marekani na Iran. Hatujui Confidence zao zilianzia wapi ila Tunaona tuu vitisho na vikwazo vya kisiasa. Otherwise mi nawapongeza mana mko sahihi katika makala zenu
Ahsante sana global tv kwa kutuletea habari za ki histolia sasa tunaomba simulizi na histolia ya saddam hussein aliyekua rais wa iraq kuzaliwa mpaka kunyongwa ahsante
From Kenya. Guys I watch every video that you post. Not only do u research well,but you also have a good way of.presenting...kiswahili kizuri sana. Update us more on African issues... Thumbs up guys you are the best. 9/10
Jamani kuna watu wana akili saana hapa duniani wengine tupo tu. Kupanga big operation kama hii in few days salute to them. Mkiona watu wanapata mishahara mikubwa mnalalamika anafanya kazi gani. Hii ilitakiwa ipelekwe Hollywood ni bonge la movies na akili nyingi zilizumika . Kudos.
This is what they should teach in schools to avoid mistakes of our former leaders but governments don't put it in curriculum. That's the accountability of the tax payers money we'll spent💯🤔by Idd Amin and Mwalimu Nyerere.
Hongera sana global news TV kwa habari nzuri sana za kihistoria, Mungu awabariki sana maana ni historia inayo tukumbusha ya kale yalio pita na ya sasa yanayo tokea
Ningeulizwa au ningepewa nafasi yakutoa tuzo kwa msomaji bora wa makala za kusisimua hakika nisingemuacha kijana Ananias Edger.Unajua nimesoma creative writing. Hivyo Pamoja na umri wangu kuzidi nusu karne lkn huwa nafuatilia sana makala hizi,
huyu jamaa anafaa sana kutangaza TBC TV na TBC radio, ana sauti nzuri sana. Laikini mambo mengine kama za kina Lumumba, ''mabeberu'' na maadui wa afrika miaka ya 1960s, naona hajafanya research ya kina kirefu sana na mapana sana. anapapasa macho juu juu tu. Haya mambo yanahitaji udadisi wa hali ya juu sana, siyo tu lawama za hapa na pale, hazisaidii kitu.
Habari bro edigah kiukweli mungu kakubariki kwa kuimudu kaziii hiii ,sauti nzuri na simulizi yenye moangilio mzuri hongera ,pia naomba nikuulize hivi majuzi umepost simulizi ya kagame chaajabu baada ya dk 30 skuiona tena Hadi leo vp umeifuta kaka
Unakosea sana ukisema idd amin field martial sababu cheo hicho hawez pata sifa ya kwanza ya cheo hicho ni uongoze vita na ushinde sasa yeye kapigwa na mwl nyerere kwahiyo hawezi kuwa field martial ,hongera kwa kutupa historia makini bro🙌
Amin alijiita Field Martial co kwamba alishinda vita tatu hapana alijiita hivo kwa sifa zake tu ili aonekane yeye ni mwamba maana cheo cha field Martial kule Uingereza anapewa yule mwanajeshi aliyeshinda vita tatu mfululizo
dada never agreed with white people to be a coconut so their had to framing him dont tell us lies, same as 9/11 please stop feeding us white man lies sad telling lies written by white man...shame on you
Mungu banah fundi sana hakupi kila kitu huyu jamaa anajuaaaaa sana kuhadithia youtube excellent bro!! ila sasa muulize kama anajua mbembeleza dem wake 😂😂😂😂😂😂 utashangaa sana
Jaman watu wa global, tumesubiri sana muendelezo wa hii makala mpaka tumechoka, mtuwekee tunaham nayoo tutasubiri mpaka lini, au mmesahau kuwa mnaziweka kwaajili yetu,