@@abuushaymaatz kwanza mawahabi huwa hawana adabu. Nauliza kiswahili unajibu kizungu jee ndio wazazi wako walivyo kufunza?. Kabla kuingia katika maneno ya mafuta tuanze kwenye hayo maandishi yanayosema "KUNUSURU HAKI NA KUNUSURU WATU WA HAKI" JEE MWENYE KUNUSURU NI WEYE NA MAFUTA AU MWENYE SIFA YA KUNUSURU NI ALLAH SW?!!!. si unasema yote ni mazuri. Sasa huo ushirikina mliouandika hapo unasemaje?. Au mawahabi mshageuka nyie ndio miungu mnaonusuru watu Sasa? 🤔. Hee! Mazito mliobobea katika ushirikina wenu. Muandishi mshirikina na weye jaji mwenye kupitisha ushirikina au sio. Mimi naomba MWENYEZI MUNGU SW ANINUSURU USHIRIKINA WENU NA WALA WEWE NA MAFUTA HAMNA UWEZO WA KUNUSURU VIUMBE VYA ALLAH SW WALA HAMNA UWEZO WA KUNUSURU QURAN YA ALLAH SW ILA QURAN HUNUSURIWA NA MWENYEWE ALLAH SW NA KILA KITU HUNUSURIWA NA MWENYEWE ALLAH SW ALIOVIUMBA. WATU WA HAQQI HUNUSURIWA NA ALLAH SW NA HAWAHITAJI NUSRA YENU. NYIE MNAWEZA KUWANUSURU NA ADHABU ZA ALLAH SW AU KUWANUSURU WAKIDHURIWA NYIE MTAGEUZA KADAR YA ALLAH SW?!!!. NYIE MAWAHABI NI WAHUNI TU, GENGE LA WAHUNI LENYE KUROPOKWA TU NDIO NYIE. WATU WEMA WANASUBIRI NUSRA YA ALLAH SW NA HAWASUBIRI NUSRA YA MAKAFIRI NA WEYE NA KASIMU MAFUTA.QURAN, BISMILLAH... "IDHAAJAA NASRU LLAHI WA LFAT HU" ITAKAPOKUJA NUSRA YA MWENYEZI MUNGU SW....... " KWAIO NUSRA NI YAKE YEYE MWENYEZI MUNGU SW NA NUSRA HAIPATIKANI KWA UKAFIRI NA USHIRIKINA WENU👣
Ndio twajiona tuko ktk haqi na twaamini hivyo biidhinillah, kwani wewe vipi mwenzetu wajiona uko katka batwili au huna yaqini na njia uliyopo(unayumba yumba)? Ahahahahahahahahahahahaha