Muvi iko nomba Sana kwa kweli ila taizo ni moja tu kipande inaisha dakika zenyewe chache ila zile sini muhim ambazo tuna ham nazo hamuchezi munazinguwa munaweka Mambo mengi hayana ata maana. tulio pamoja na hili tujuane kwa like apa.
Jamani now days mmekua na Kazi nyingi mnatuma kidogo sana mjitahidi basi mfanye kama zamani busati tv movie Ni nzuri Ndio ila sasa ikichelewa kama hivi inakosa radha
Candy doa ni ufumilivu na kuomba sana mwenzi mungu ailinde sasa. Ww ulionelea ukatafutane na mizimu ona sasa umepoteza kila kitu samahani dada tujifunze na kendi
SCRIPT ZA KUONGEA ZIMEKUWA NDEFU SANAA, YANI EPISODE NZIMA KUNA SCRIPT MBILI TUU MPAKA CHARACTERS WENGINE WANASHINDWA KUONEKANA DIRECTOR PLZ REKEBISHA HILI, FUPISHA MAZUNGUMZO KWA CHARACTERS. though ni kazi nzuri sanaa.. keep it up team💯
Hahaaa mapenzi ya dawa simapenzi jamani nimejifunza mengi hapa kheri nijikibali nilivyo mtu akinipenda anipende asiponipenda nikipendwa na wazazi wangu inatosha wallah hii movie inamafunzo mazuri sana hongerani sana Wana busati kwa maelimisho yenu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kai uko sawa bt Tasha why Sania?? Halaf 😂😂😂😂😂mama candy jamani nipe nafasi nipumue hta kidogo,,aty ndevu kama mbuzi za nini eishy hyu mama Ako on next level 👏👏 very interesting show nawapenda sana mie jirani wenu 254🇰🇪🇰🇪
Kazi za hawa ni danger ni nzuriii hatari ukiangalia huwezi acha angalia kiukweliiii ziko na mvuto tuliopak movie nyingine na kufatilia hii comment chochote