Тёмный

THE FALL OF MY HEART 💔 | Sady Story | Love Story 

DONTA TV
Подписаться 429 тыс.
Просмотров 552 тыс.
50% 1

#bongomovie #2023movies #mapenzi #babakijacho #peteyaajabu #dontatv #mrhandsome

Опубликовано:

 

26 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 443   
@HadijaKasiwa-ho4ny
@HadijaKasiwa-ho4ny Месяц назад
Tangu nianze kufatilia movie zenu nilijifunza mengi sana ...good job team Kelvin khadija from kenya
@leonardmakenzi5329
@leonardmakenzi5329 Год назад
Tunayo funzo lakini kelvin tutoleange part two we needed to see how Irene ended up 😢mob love from Kenya
@sidemjapan-1941
@sidemjapan-1941 Год назад
Blazaa hii story ulifkiria nn mana kiukwl wadada wa saiv karibia wote wapo ivi bg up sanaaaaa good job
@annastaziagerald3473
@annastaziagerald3473 Месяц назад
Mihogo ina sura nzuri hiyo
@user-dq2yx9ni8x
@user-dq2yx9ni8x 2 месяца назад
Calvin kijana mwenye ubunif saana wa kuugiza movie i want your like❤❤ big up calvin
@kadzojamesjameskadzo3950
@kadzojamesjameskadzo3950 Год назад
Umenikumbusha mbali sana aky Kelvin,saa zote turidhike na mapungufu yetu sio Kila mwanaume ako na true love 😢😢
@JOHNjunior254
@JOHNjunior254 4 месяца назад
kenya is always locked.giving us life ideas and reality.kazi kuntu bladha kelvin
@abdulsalem-oj2pt
@abdulsalem-oj2pt 11 месяцев назад
Thats the realty i love you guys ❤❤ we are watching u worldwide...
@jamillahngala9087
@jamillahngala9087 Год назад
😢😢😢Kweli unaempenda Ana wake anapendana nae... Mapenzi shikamoo 😢😢😢mkipata mahali Kuna mapenzi ya kweli mnikumbuke na mm 😢😢😢.....Asant sana kaka Kevin Allah bariq🙏
@elishaochami
@elishaochami Год назад
Kuja nmeyaona
@jamillahngala9087
@jamillahngala9087 Год назад
@@elishaochami aaah nije wap sasa sitaki 😂😂😂😂
@elishaochami
@elishaochami Год назад
@@jamillahngala9087 nipo Kenya njoo nitakupenda
@usterbae
@usterbae Год назад
My dear hakun mapenzi siku hizi 😢
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BeatriceVivian-eg5pi
@BeatriceVivian-eg5pi Месяц назад
Onyexho la pili tafadhali lrene akijuta❤❤❤❤
@neemamrisho7500
@neemamrisho7500 11 месяцев назад
Duuuu jamn hili n funzo natamn ata ingeendelea kidogo 🤩🙏🙏🙌🙌🙌🙌 Kaz nzuriiii Mungu aendelee kuwapa vya kutufunza
@ericaheddy9796
@ericaheddy9796 Год назад
Kazi nzuri Kelvin wanawake wa ckuizi atujali utu Bali pesa tu ni bora mtu uwaze nae chini haya ni mapenz ya Dhati ❤❤ ur the best Kelvin khan ina mahudhui Mazur sana
@user-pf6mx6pc6q
@user-pf6mx6pc6q 11 месяцев назад
😢😢😢😢😢kwer mapenzi shikamoo irene ipo siku utamkumbuka kelvin iyo ni tamaa ya fisi dada
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Год назад
Inauma sana tamaa tuache umekosa vyote dadangu 😢😢😢
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Год назад
Tujifuze kitu hapo Asanteni sana keven pamoja na walio shirirki❤❤
@user-lh7fk5mk1w
@user-lh7fk5mk1w 9 месяцев назад
New follower for real inauma aki mapenzi wewe😢😢
@CeciliaMutua-pu8ds
@CeciliaMutua-pu8ds 4 месяца назад
❤❤❤ big up Kelvin kazi nzuri 🎉🎉🎉
@francekolmban
@francekolmban 2 месяца назад
🍎💖
@faredahfaredah1074
@faredahfaredah1074 11 месяцев назад
Mwanaume hafanyi hivyo dada utaachwa ndoa niuvimilivu mwisho utakula mbivu nawapend sana❤❤❤💯💯🙏🙏💋
@SeleJackson
@SeleJackson 29 дней назад
Dada usifanye mapenz ya ujiga samaria penzi lako😅😢😂❤
@SeleJackson
@SeleJackson 29 дней назад
Kelvb unamoyo ndug yangu huyo mwanamke ndo aneye kupenda
@ZuberKitime
@ZuberKitime 3 дня назад
Good job kaka angu toka meaza kufatilia movie zenu mejifuz mengi sana kitoka kweni
@user-bi9wu1ut9f
@user-bi9wu1ut9f 11 месяцев назад
Mapenzi shikamoo 😢😢😢😢😢 acha ni kae tu😢😢😢😢
@rizikimziray1123
@rizikimziray1123 10 месяцев назад
Marhabaaa 😊
@user-px3ct3nq6r
@user-px3ct3nq6r 11 месяцев назад
Daaa Mungu aturehem wanawake kweliiii mapenz jotojoto usipime moyo sukuma dam sivingine😭😭🔥
@janetmbaji5579
@janetmbaji5579 11 месяцев назад
Kelvin ww kila saa ni machozi 😢😢tu kwa mapenzi maskini pole 😮😮sana hiii❤ kitu inauma sanaa kam hauna pesa
@focusmambo6240
@focusmambo6240 11 месяцев назад
Kuanziaaa leoo mimi ni shabikiii wakooo Calvin😢😢😢😢
@user-fd7he6gb9b
@user-fd7he6gb9b 9 месяцев назад
Daah! Mwenye mapenzi ya dhat ni yule anaekuvumilia Kwa kila hal, mob love from Kenya ❤
@KizaFelix
@KizaFelix Год назад
love you from the US you always teach me thanks
@BunuYuzo
@BunuYuzo 2 месяца назад
Unae mpenda kampenda mwengine😢
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Год назад
Kwanii kuachana sh.ngapiiiii😂😂😂😂😂mbonaaa nayaweza ayooo jamaniii naweza kuishi vovote na mwanamke wala haipingwiiii mbonaaa wahuni tunaishii tuuuu😮😮😮😮😮
@user-lz8kb9ds8k
@user-lz8kb9ds8k 10 месяцев назад
Waaah kelvin nimeipenda sana movie yako good job❤❤❤❤
@user-ef4kj4wv7z
@user-ef4kj4wv7z 8 месяцев назад
Kazi nzuri kelvin
@KemigishaShallon-dj8ps
@KemigishaShallon-dj8ps Месяц назад
Wawoooo hapo ndiyo nilikuwa natamani nione aki ya mungu nimejifunza mengi katika maisha tuache tamaas😢
@mwantumubakari7303
@mwantumubakari7303 11 месяцев назад
🌹🌹♥️♥️♥️good job kelven
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 10 месяцев назад
Kaz nzur 🙏 mwenye upendo wa dhat niyule anae kuvumilia hasa kwenye ugumu wa maisha . ♥️♥️♥️
@samwelsanga3116
@samwelsanga3116 4 дня назад
Nakubali sn kk Movie inatufundisha sn hasa ya dada wakazi
@user-ss2vl2mf6h
@user-ss2vl2mf6h Год назад
Since I start watching you people I learned alot from you thanks
@charitykatuveemutheu8056
@charitykatuveemutheu8056 9 месяцев назад
Mapezi shikamoo pole sana Kelvin
@mauwabanda2746
@mauwabanda2746 9 месяцев назад
Da hii imeniumiza sana namwonea huruma sana kev utazan kwel kha
@daftonmwakima9331
@daftonmwakima9331 Год назад
Mob love to you people watching from Kenya next part please
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 2 месяца назад
Nimeipenda sana
@user-oi2mg4wd9b
@user-oi2mg4wd9b 10 месяцев назад
😮pole sana kelvin
@agneskarembo7805
@agneskarembo7805 4 месяца назад
Movie zako ni nzuri kelvin
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 7 месяцев назад
You touch every one brother , keep it up but try also to use Eng subtitles so that every one can understand
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 Год назад
Duu pesa siyo kila kitu namshukuru Allah nalizika na hali yangu Alhamndullah
@VicentMwanga-dz6ot
@VicentMwanga-dz6ot 10 месяцев назад
Nazikubali Sana kazi zako ety broooo
@user-kh5rk3rk2s
@user-kh5rk3rk2s 5 месяцев назад
Nzuri
@NeemaSitta-ih4mi
@NeemaSitta-ih4mi 3 месяца назад
Ama kwel mapenz shkamoo
@suleyanderherrera9510
@suleyanderherrera9510 15 дней назад
Napenda sana muvizenu
@suleyanderherrera9510
@suleyanderherrera9510 15 дней назад
😢😢
@stacynamala9393
@stacynamala9393 Год назад
Awayz 👌🔥 keep going guys 🥰 mob love from 🇰🇪
@emmanuelizakayomathayo5648
@emmanuelizakayomathayo5648 Год назад
😭😭 kaka ujakosea kitu yani mpaka jina haya uliyo yatoa wapi coz ndicho kilicho nitokea mimi nasiyo mbali ni mwakajuz tuu kaka
@kaidamuthee4753
@kaidamuthee4753 11 месяцев назад
Tafadhali leteni kila movie na sehemu ya pili 2one vile irine anateseka sehemu ya pili bt u guys much ❤❤❤❤❤❤❤❤
@JuniorNaftariMahenge-mt8jg
@JuniorNaftariMahenge-mt8jg 11 месяцев назад
Mmmmmh!kweli jmn juu ya ilo
@EmmilyMakokha-mg2cg
@EmmilyMakokha-mg2cg 10 месяцев назад
Napenda sana filamu zako Calvin
@EuniceNgorra-vl1xz
@EuniceNgorra-vl1xz Месяц назад
Naipenda saana u ubunifu wenue,nimejifunza mengi
@STOPNIZERTZz
@STOPNIZERTZz Год назад
Aise hii move kali🔥🔥 n hii nyimbo y nani , ???
@pendomwaringa7597
@pendomwaringa7597 Год назад
Njamani tujifunze basi kupenda mutu kutoka moyoni tusi pende mtu kwaanjili ya kutu😎🤔💓💓kelven pole sana
@GaelKabungel
@GaelKabungel 6 дней назад
Aksante sana kwa somooo🎉❤
@wilsonmwamuramwamura1953
@wilsonmwamuramwamura1953 5 месяцев назад
Wow nice lesson usidharau mwingine kwasababu unaona kunao wengi wanapenda mwesho wake yanakukuta kama yalivyo mkuta huyu.
@annastaziagerald3473
@annastaziagerald3473 Месяц назад
Kumbe wanawake wa hiv wa kuweza kumwambia mwanaume anampenda wapo jaman
@user-tb5ri3cu2n
@user-tb5ri3cu2n 6 месяцев назад
Jamani hiyi siyo mapenzii,tafuta,anaye kupenda achana n'a yule asiye kupenda,courage
@Maulidmilanzi-st8hi
@Maulidmilanzi-st8hi 29 дней назад
kaz zako nzul San mungu akuongoze vyema
@HappyHappy-uo8hj
@HappyHappy-uo8hj 11 месяцев назад
Aakiiiii movie 🎥 zako ni nzuri sana nimependa sana movie 🎥 zako kelvin i love you bro lakini mtakavingi huko vyote ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇰🇪 Asante sana nafurahia sana nikiangalia 🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Год назад
Unakaaa kwa demuuu unafukuzwa kama kolooo 😅😅😅jamaaa anafurahiii hukooo ndanii😅😅😅😅 nyieeee majiraniiiiii😂😂😂😂😂😂😂
@user-gf7sr1kt5d
@user-gf7sr1kt5d 4 месяца назад
Tamaa mby tena san aisee tuwen n subira ss wanawk kevo anatufunz kwaiy atakaeshik aya mafunz atakuw mke bora sana❤❤❤
@Dianaf774
@Dianaf774 Год назад
❤❤❤much love from kenya
@bahizirenoella5234
@bahizirenoella5234 24 дня назад
Naelewa kitu. Siku zote mutu mwenye kumupenda mutu hujitowa kwake piya humuvumiliya
@Rehemaosman-vn4fu
@Rehemaosman-vn4fu Месяц назад
Tujifunze wadad usimzalau mtu hana kitu kwan ipo siku maana hata yule tajil alipitia hal ya umaskin so tujifunze dada kaumbuka😢
@ntacobazongira4557
@ntacobazongira4557 Год назад
Daah aisee 😢😢😢😢😢 had nimelia asanteni San kwa kaz nzr ❤❤❤❤
@festoalex9322
@festoalex9322 Год назад
Sema nini mnajitahidi sana ila kity ambacho kinakosekana nikwamba mna anzia katikati mana hatuelewi mwanzo wamapenzi yao paka alikubali muuza maji
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
Mwanaume km uyu mm ningevumilia kbs kuliko niliopitia 😢😢😢😢😢😢
@francekolmban
@francekolmban 2 месяца назад
Coul I be with you love 🍎💖💞🤦
@user-kj6kv8qh1h
@user-kj6kv8qh1h 8 дней назад
Waaaah hii niya mwaka uliopita aki nimechelewa
@halemamoon1782
@halemamoon1782 11 месяцев назад
Irene ww wenzako huku gulf tunataman kupendwa ili tuekwe km wanawake wengine ww umemdharau mtu mwenye mapenzi ya kweli kwako...
@tina-my4rn
@tina-my4rn Год назад
Waaah hiii moto🔥🔥🔥
@user-me2dt3hr8x
@user-me2dt3hr8x Год назад
😢daah hii move imenitoa machoz yn sn dah😢😓
@ashatomas9914
@ashatomas9914 7 месяцев назад
Dada waongea ukwel mungu akupe kipaji zaidi Cha kuelimisha waume wanaougua mapenzi km kelvin
@MayengDulu
@MayengDulu Месяц назад
Edekeza hiyo
@IsaacKarakach
@IsaacKarakach 14 дней назад
Good work kelvin
@Perfumeafrica
@Perfumeafrica Год назад
Yes, muv nzuri🎉
@JoyceMapigano
@JoyceMapigano Год назад
Nifundisho kubwa sana kwa madada wa Leo tufundishie wake zetu jamani nyumba hazilaliki
@appsplay4324
@appsplay4324 Год назад
Movie nzuri n yenye mafunzo ila inahuzunisha😢😢😢
@user-jx4st5hd8d
@user-jx4st5hd8d 9 месяцев назад
😮haya madharau jamani pesa🙆🙆🙆 asanteni wausika nawapenda sanaa
@winnymwathi3098
@winnymwathi3098 Год назад
Move zuri kabisaa 💕💕💕
@sanjaweja
@sanjaweja Год назад
Hamna kazi mbaya mnafanya vizuri sana 🥰🥰🥰
@ramadhan-uh2lt
@ramadhan-uh2lt Год назад
movie nzuri inafundisha nimeipenda bure
@mariammsumule6045
@mariammsumule6045 24 дня назад
Good job
@ChristianRugenge-kd1xh
@ChristianRugenge-kd1xh 11 месяцев назад
Unaye mu ita baby kumbe naye baby👉👉👉 one ❤️ from South Africa 🇿🇦🇿🇦
@thumaacute
@thumaacute 11 месяцев назад
Moja bunge l funzo umewez kalvn kazi nzur😢😢😢
@PamelaNaliaka-dk1xq
@PamelaNaliaka-dk1xq 27 дней назад
Aki kweli wewe Irene wacha madharau mtu mwenye mapenzi ya kweli kwako ni Kevin tu wew unataka pesa siyo mapenzi,,,,,,
@user-fp2su1wv9k
@user-fp2su1wv9k 9 месяцев назад
Natamani nfnye kaznawe ningefurahia sana kelvin mng akupe maisha marefu
@lucykarimi796
@lucykarimi796 Год назад
Great movie ❤🇰🇪
@user-xb3cb9vf5v
@user-xb3cb9vf5v 7 месяцев назад
Mimi pia nimezama donta tv,hongera vijana wenzangu
@user-vr1je9vu9g
@user-vr1je9vu9g 11 месяцев назад
❤❤❤❤more love from kenya
@jacobsyonga996
@jacobsyonga996 8 месяцев назад
Ongeren mnanpa raha sn n move zenu
@halemamoon1782
@halemamoon1782 11 месяцев назад
Tamaa mbaya jmn...na mtaka yote moja humponyoka...Pole yako dadaa...ushaur mzr tu njoo gulf upambane utafute vya kwako
@zainabkariuki3639
@zainabkariuki3639 Год назад
Asanteni sana Kwa buridan na mafunzo mazuri mnayo tupa
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 Год назад
Kazi safiiiiiii🎉🎉🎉🎉
@janetmbaji5579
@janetmbaji5579 11 месяцев назад
Jamani mapenzi nyieee aaah😭😭kama hauna pesa jamani Kelvin wanimaliza kaka yangu
@egideningwanira3407
@egideningwanira3407 Год назад
Irene baki ukikoma manawake hamsikiii bora hadi mjionee..@Kevin hongera san hata kam ulichitiwa kiasi hiki katik filamu hii 🇧🇮
@thomasdimme7899
@thomasdimme7899 7 месяцев назад
Dah
@FrankMwenemboka-zv4eo
@FrankMwenemboka-zv4eo Год назад
Nawapenda sana
@user-cl7mu8mz6p
@user-cl7mu8mz6p Год назад
Nmependa sana❤❤❤
@user-dq8xq5np9q
@user-dq8xq5np9q 11 месяцев назад
Nimejifunza mengi xana anasiachi kufatilia movie zako Kelvin
@mkacibeiib7278
@mkacibeiib7278 Год назад
mashallh Kwa movie lkn mapenz bana asikuambie mtu pole ❤❤
@margarethkayuni8586
@margarethkayuni8586 11 месяцев назад
Dah nmejifunza ktu 🙌
@KennethMAMBA
@KennethMAMBA Месяц назад
Daaa inaumiza sana😢😢
Далее
Make Up with Balloons 💄☺️🍓
00:23
Просмотров 3,1 млн
Впервые дал другу машину…
00:57
Просмотров 746 тыс.
MC TAXI: АК-47
35:14
Просмотров 469 тыс.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
Просмотров 983 тыс.
PEPO LA NGONO 💞 | PART 02 | Love Story ❤️
25:22
Просмотров 298 тыс.
FIRIGUS PART   A - THE BEST OF HEMEDY SULEIMAN
1:02:07
Просмотров 271 тыс.
Make Up with Balloons 💄☺️🍓
00:23
Просмотров 3,1 млн