Тёмный
No video :(

HUU HAPA WASIFU NA BALAA LA ASKOFU ANAYEIKOSOA VIKALI SERIKALI YA CCM NA MAOVU YOTE 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 168 тыс.
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@sambulugu9988
@sambulugu9988 Месяц назад
Uko vizuri Mtumishi! Amen!
@ahmedhamis
@ahmedhamis Месяц назад
Hongera sana kusimamia haki
@JacksonMahende-ho2wb
@JacksonMahende-ho2wb Месяц назад
Safi baba askofu uko vizuri sana
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 Месяц назад
Big up Askofu!
@Bihagaze
@Bihagaze Месяц назад
Sio Kilaza ni JITU hasa Safi sana
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b Месяц назад
Ndo maana uko CHADEMA aisee ccm hawawezi kua na mtu makini namna hii 👏👏👏👏
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 Месяц назад
❤❤❤❤
@johnmkama8902
@johnmkama8902 Месяц назад
Mungu akubariki sana ujipange kugombea sasa mwanamapinduzi wa kiroho utusaodie na hapa kwamambo ya kiwmilini ubarikiwe sana AMEN
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Wekeza za Kwa mungu atatoa adhabu Kwa ccm
@HassanYellows
@HassanYellows Месяц назад
Askofu wewe ni askofu kweli umetisha mkuu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Месяц назад
Roho haina ufuasi maana kila roho itahukumiwa yenyewe.
@c2vconnection
@c2vconnection Месяц назад
Nimemkumbuka "Multi-sectoral" aliyekuwa anagombea U spika wa Bunge baada ya Ndugai kujihudhuru
@Wamisangi
@Wamisangi Месяц назад
Biblia inahitaji mafunuo na ulewawa wake unahitaji Maongozi ya Roho Mtakatifu na jinsi muhusika anavyoishi maisha yake binafsi yaliyo na Hofu kwa Mungu na pia sawasawa na Mapenzi ya Mungu.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Месяц назад
Shida Roho Mtf mwanadamu utayapimaje?
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Месяц назад
Huna uaskofu ww ni mhuni tu! Ww cyo askofu kama ni askofu basi wa mchongo ww ni motoni tu toka hapa nan amekuuliza?
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Месяц назад
MBONA SIO DÒCTÒR UMEFUTA UJINGÀ TUU
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 Месяц назад
Unataka apewe udoctor kama wanavyopewa wale wengine??????
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b Месяц назад
Acha kukalili, kwa elimu hii hata raisi hafati hapa raisi wako alisomea Mambo ya maktaba huko Tena kwa kuungaunga usichanganywe na neno Dr wengne wanapewaga tu😅
@user-xe3fo1bh5s
@user-xe3fo1bh5s Месяц назад
Kumbe wewe ni wa gwajima sasa mbona unatofautiana na gwaji boy
Далее
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
Просмотров 12 тыс.