Тёмный

"Kuongoza kwa stail ya Mwanri hapana" Rais SAMIA amkumbushia Aggrey Mwanri akiwafunza Wakuu wa Mikoa 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 159 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

26 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 213   
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 Месяц назад
Ibrahim traore ndio kioo cha africa hawa wengine na ruto wao ni vibaraka
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Месяц назад
traore tusubiri kwanza mapema mno , wapo wengi walioingia asksri kama yeye walishindwa vinaya
@user13375
@user13375 Месяц назад
Mwanri hakuongoza vibaya na alikuwa akisisitiza maendeleo sana, mwanri ni level nyingine..
@petermwijage9882
@petermwijage9882 Месяц назад
Mwanri ni mtu wakurudisha kwenye uongozi hasa tabora ss tunamwitaji sana siyo vyongozi wengine wakufanya jinai kwawanainchi
@wamburajohn1009
@wamburajohn1009 27 дней назад
Ndugu yangu tenda wema nenda zako.....wazuri wanakumbukwa na wanyonge.
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 11 дней назад
Mwari alikuwa vizuri
@mussaelia8693
@mussaelia8693 10 месяцев назад
Lakin mheshimiwa Aggrey Mwanri , katusaidia sanankuinyoosha Tabora yetu , angepewa tena .
@emmaboka959
@emmaboka959 10 месяцев назад
Wangeulza nn, kama unataka maswali njo huku kwa wananch, hao ni wateule wako, hawawez kuulza
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 месяцев назад
Tumpi pipi zake akalale Kyle
@halimashabani7373
@halimashabani7373 10 месяцев назад
Mkuu wamkowa tabora ndio bora sio Hao ulio nao
@majaliwacosmas3322
@majaliwacosmas3322 12 дней назад
Jidhalau mwenyewe kabla hujadharau mwingine Mwanri ni bonge la mchapakazi,SUKUMA NDANI
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 9 дней назад
Yaaani mwari akigombea cheo chochote kite wakati wowote ule na chama chochote kile atapata bila rushwa. Mwari amefanya kazi nzuri na wananchi wanamwelewa na kumkubali sana.
@malembobulongo3856
@malembobulongo3856 9 месяцев назад
Kwa kazi aliyoifanya mwanri alipaswa kupewa pongezi
@mashakaramadhan8406
@mashakaramadhan8406 День назад
.
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 8 месяцев назад
Labda mama yetu tukukumbushe sisi niwadamu hakuna mkuu wamkoa alifanyakazi iliotukuka kama mzeee gama namwanli alifanya vzur sana tabora mpaka saa sijaona wakuwazidd sijaona ngao ya umoja tumeishikilia
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s Месяц назад
Namshangaa
@David-if6nk
@David-if6nk 5 месяцев назад
Hii nchi kiukweli kwa hii awamu tumepigwa
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 10 месяцев назад
Kwa kweli Rais wetu anafanya mambo muhimu sana ila sijui kama hao viongozi na sisi wananchi km tunamwelewa,nchi haiwezi kuendeshwa kwa ubabe bali elimu na kujituma bila ya kusukumwa. Moja ya tatizo kubwa maofisini ni uzembe,utoro,wizi, kwenda kinyume na sera ya serikali kujinyanyapaa,kujidunisha ,kuogopana n.k
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 месяцев назад
Shetani ulisha wahi mkalibisha chumbani mwako? Mama wa kambo hatufai itoshe kusema hatufai habari za unamkubali na sisi tumkubali futilia mbali kama unamramba kisigino lamba kama nividole lamba hata miguu yote ww lamba ila usitulishe matango Poli hapa
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja Месяц назад
Hajawahi kutumbua mtu aliyeimba yeye kila mtu ni mzuri tu
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja Месяц назад
Hajawahi kutumbua mtu aliyeimba yeye kila mtu ni mzuri tu
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc Месяц назад
Mjinga ww hna hata1zulikwa wtz niujingatu ndiotunaouona eti kusifiwaga na wateulewako wnanchi hutaki hta kuwasikiliza kelozao yaanisasa wnanchi tunatawaliwa na makabulu
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 10 месяцев назад
Mama kwakweli nakuelewaga sana uko vizuri Mama yetu,ila hao watendaji hao wakuu wa mikoa wengine vichomi wako hapo wamekodoa macho wakirudi vituoni kwao wanaanza kuvurunda,tu Mungu awasaidie wajitambue nawaombea hizo akili zao wajielewe na waelewe ulicho waelekeza hapo na shindilia Mungu awasaidie. Hongera kwa busara zako Mama Mungu azidi kukupigania 🙏
@derickcowly6681
@derickcowly6681 10 месяцев назад
Chalamila kasimama kwenye nafasi yake vizuri sana
@gwakisanoah2538
@gwakisanoah2538 10 месяцев назад
Kwani Mwanri alikosea nini?
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 10 месяцев назад
Mwenyezi Mungu awabarik na tuwatakie Sabato njema
@costansiamrope6697
@costansiamrope6697 10 месяцев назад
Hongera rais wetu,umenifurahisha kwa kauli yako. Viongozi wengi walizoea kuitumia kauli ya maamuzi haya yametoka juu. Leo umewafunga midomo,hata walipo kuwa wanakosea wao kizingizio kauli imetoka juu. HONGERA KWA KULIONA HILO. Mungu azidi kukuongoza.
@tembarooney7899
@tembarooney7899 10 месяцев назад
Raisi Gani ....😢😢😢😢
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 11 дней назад
Ila mama huwa anaongea point sanaaa ,,hongeraa mama
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 10 месяцев назад
Tuseme ya kweli na yanayotuhusu kwa kila nyanja na ikibidi tusiwe woga wa kuyasema yote nafasi ndio hii ya kuyasemea tuliyoipewa na mama au Raisi wetu aliyotusemea
@maxmilianwiliammallyawilia2791
KAMTHALILISHA SANA HUYU MZEE KAZI NZURI ALIOIFANYA TABORA ILIPELEKEA MPAKA AKAPEWA UCHUNGAJI
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 20 дней назад
Baada ya mzee kikwete wewe mama ukienda vizuri sisi wafanyakazi tulifurahibsana enzi ya kikwete hakika yule mzee atakumbukwa sana .fuata nyayo zake mama bila kuogopa chochote sisi watumishi tutakukumbuka
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 10 месяцев назад
Mama Samia,mimi ninachotaka ktk maisha yangu ni AMANI tu ila ungetoa hili swala waarabu sina shida na uongozi,ukoo wangu hakuna anayefikiria nafasi hiyo na siwezi kumwangaikia mtu,nahangaikia Taifa langu TZ iwe na amani Thanks
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 10 месяцев назад
Sasa warrabu walifanya nini
@amosantony9546
@amosantony9546 10 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 месяцев назад
Usione haibu kumsema hafai tu bc inatosha mpaka treni ya Moro haizindiliwi kwasababu gani Yani unaiona bandari tu
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 17 дней назад
Mm kusema ukwer wakuu wamikoa AMBAO ntawakumbukaa skuzangu zoote na ntazid kuwakubar hatakama watastaafu nimzee wa Toronto mzee wa sukuma ndaniii na charamila aseee nawakubar Sana Hawa wazee WA kaz nataman skumoja nionane nae live hata niwanunulie soda mnisaidie kunkutanisha nao
@abdulhamidmusa8962
@abdulhamidmusa8962 Месяц назад
Soma iyo ..kiongizi makini
@issakisalu9237
@issakisalu9237 3 дня назад
Jamani hajasema mwanri aliongoza Vibaya bali anasema isiwe kama vile alitumia nguvu nyingi sababu watu walikuwa hawawajibiki kwenye maeneo yao, sasa anataka kila mtu awe kiongozi na awajibike kwenye nafasi yake isiwe kama enzi za mwanri kwa maana mkuu wa mkoa anafanya kazi mpaka za mlinzi hii imepitwa na wakati. Kama hunaelewa basi huelewi tena.
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 4 дня назад
Hapa. kazi tuuuu
@fadhilimanjeka3729
@fadhilimanjeka3729 8 месяцев назад
Sawa Mama.....piga kazi....tunakuamini sana
@kepharichard4183
@kepharichard4183 Месяц назад
Mama mbona unapenda kusaidiwa saana!!!?? unapenda misaada sana
@danielmboje8751
@danielmboje8751 10 месяцев назад
Raisi mm binafsi nimekuelewa sana .
@zablonmlazi4415
@zablonmlazi4415 10 месяцев назад
Mama kuna mkurugenzi wa Chato ,hafai hata kuwa mwalim mkuu, wanaweza wakaomba kuwasaplai vitu na ukapeleka , wakuu wa shule wakaaandaa cheki ,mwisho aisaini yeye itoke ,,ikachukua ofsn kwake miezi hata 2. Mwishoe anaomba rushwa na hata ukimpa ili mladi tu wewe hela yako iludi kwenye mzunguko na bado Hatoi......mkuuu watu wako ni mfilisi ,
@bahatitumaini347
@bahatitumaini347 10 месяцев назад
Tunduma songwe sasa
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 10 месяцев назад
Hakika kazii inaendelea👏👏
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 10 месяцев назад
Hongera sana mh rais Kwa hutuba nzuri Sanaa Sanaa mh rais
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Месяц назад
Wabongo,huwa tunaelewa harakaaa😂. Ila huwa tunasahau harakaaaa😅
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 2 дня назад
Hapo wanatamani kusema shkamooh MUNGU watu 🤣🤣
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony День назад
mwanri alkuwa chumaa ni sawa na wabunge mia
@BotulphusAugustine
@BotulphusAugustine 10 месяцев назад
Wambie ila wasisitize haki kwa watu hakuna
@chademaelfhasmolell
@chademaelfhasmolell 9 месяцев назад
Mwandi alikua kiboko soma iyo
@limbeshishi7975
@limbeshishi7975 2 дня назад
Mwanri atabaki kuwa juu kileleni
@hassanibnabdallah5566
@hassanibnabdallah5566 10 месяцев назад
Ahsante Sana Mama, Tena Umewaweza Kweli Ulivyowauliza Kua Ataeenda Kinyume Ni Makusudi Eee
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 19 дней назад
Watu tunasikiliza hotuba ya maguful maana ww umejigeuza chura
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 10 месяцев назад
Mxiiiiiiiiiuu 😥😥Rip JPM
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 24 дня назад
Kamfufuwe basi
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 24 дня назад
@@mohamedelmi7435 Raana zinawasumbua vibaraka wa kahaba
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Месяц назад
Mwanri alikua mwamba. Alikua akinguruma wanasikia tu
@user-xb4qj5pd7x
@user-xb4qj5pd7x Месяц назад
Aggrey Mwanry aliitendea haki nafasi ya ukuu wa mkoa. Nashangaa kwa nini hajapewa tena hiyo nafasi.
@PAMA3542
@PAMA3542 2 месяца назад
Mama mh rais kweli wew ni mwalimu hakika mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kweli upo tayari kuwasikiliza na kuleta mabadiliko kwa wa Tanzania
@user-md7yd5el5k
@user-md7yd5el5k Месяц назад
Kabisa présidente juu kwa Mungu!!!!??? Makonda etiiiiii eneya uji kute. Good job na tanzania geuza izo sheria mbovu za wazungu etiii mihula 2 peke haitoshi kwa mama huyo.
@msouthqualitymabati4657
@msouthqualitymabati4657 10 месяцев назад
Wanawake ni viumbe venye maswali na ili kufikia makubalino lazima uji elezee tuna imani na mama yetu kila anacho sema lazima kuwe na maelezo chanya sio mazoea
@petermwijage9882
@petermwijage9882 Месяц назад
but sisi wana tabora tunamtamani mwanri arudi huku maa na tunajua wapi alitukuta ,nn alifanya na wapi alitufikisha kimaaendeleo so we appreciate him so much
@nogigwatv0702
@nogigwatv0702 10 месяцев назад
Angemrudisha mwamri tabora ungekuwa wa maana sn
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Месяц назад
Mwamri ni bwege tu ndio maana katupwa nje, mzee wa magizo.
@mohammedyally7104
@mohammedyally7104 10 месяцев назад
Mama unataka maendeleo ya nchi yetu lkn watendaji wazembe usiwafumbie macho hap ndio wanaokuangusha miradi mikubwa inasimama haiendi vizuri unayaona Haya wanakueleza hembu mama tembea uone na uambiwe fanya kushtukiza uone mama
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 месяцев назад
Hana lolote
@athuman7480
@athuman7480 10 месяцев назад
Kweli kabisa raisi anakili kabisa kwamba Africa bila miasaada hatuishi kabisa duh
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 месяцев назад
Hajitambui huyu Yani inaitwa misaada halfu tunalipia Kwa garama kubwa jitambue ww mbumbu
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 10 месяцев назад
Tumepigwa na kitu kizito kichwani Mungu tusaidie
@abuumtoa2336
@abuumtoa2336 10 месяцев назад
Pole
@user-kq4yx3lg6f
@user-kq4yx3lg6f 26 дней назад
mama Yale maneno aliyoyatoa Mwigulu pale Bungeni wasiyatumie , Yale ya kusema dereva akigonga mtu akafa hanyongwe? Yale nafikili aliingilia kazi za Mungu bila kujitambua, ni maneno ya kupuuzwa.
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 10 месяцев назад
Madame president knows how to lead the people
@Immanueljosephmishinga
@Immanueljosephmishinga 26 дней назад
Kiukweri namkubali sana agrei kwani ndio mkuu wa mkoa alie kuwa tishio katika mkoa wake mlete dar....
@mailacamillius
@mailacamillius 11 дней назад
Mwalimu Mkuu!!???? Dalili mbaya. Kumtaja Mwanri kwa namna hii, ni kuteleza kwa ulimi au kughafilika!
@user-rk3iz1sb2m
@user-rk3iz1sb2m 10 месяцев назад
Hotuba ni nzuri sana.
@veryminja6513
@veryminja6513 10 месяцев назад
Shida mweshimiwa RAIS wangu sijui utafanyaje Hawa WATENDAJI WAWEKE UZALENDO MBELE shida ya maendeleo ni ya Kila MTU tatizo kubwa WATENDAJI wakipewa nafasi wanajitumikia wenyewe na kuwasahau wananchi
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 4 дня назад
no maswali yapo hizi kazi ngumu lazima MDA mwingine hutumie nguvu ya zaida maana nchi zetu bado hazijawa ktk mwongozo wa sheria so lazima tupige kazi kwa nguvu zote sio kufanya kazi kwa mazoea.
@geraldndila5172
@geraldndila5172 Месяц назад
Rais Samia kunawakat kama nakuelewa ivi ila kunawakat unanichanganya nashindwa kukuelewa vizur, kwamfano huyo Mzee wasomaiyoo alikuwa naubaya Gani kwenye utendaji wake wakazi? Mh rais taifa letu, nimala mia tukawa narais mpole kama wewe ivo ila watendaji wako wangazi zote wakawa kama akina mwanli , silaa ,makonda ,bashungwa, aweso , biteko , majaliwa,aly happy, sabaya ,nawengine wengi waaina hiyo nchi yetu itapaa sana hata kiuchumi, maana huku chini ndo Kuna madudu mengi sana viongozi wanahujumu sana milad ya selikali milad ambayo wewe umetoa fedha Ili itekelezwe, mila inatengenezwa chini yakiwango napesa zingine zinaishia mifukoni mwao , wakijiamini hayupo wakuwafuatilia , maana mh rais kusema ukweli huwez wewe kama wewe kufuatilia au kutembelea miladi yote nchini Hadi ngazi yamtaa nikitu ambacho hakiwezekani, hata kama ningekuwa Mimi nisinge weza, nakushaulitu mh rais wewe nikiongozi mzuri sana jitaid2 kututafutia viongozi wawajibikaji siyo wanaokuja kukaa maofisini2
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Месяц назад
Alikuwa sio mbaya yule mkuu wa mkoa sio kama chalamila
@mohammedyally7104
@mohammedyally7104 10 месяцев назад
Miradi haiendi mama haishi ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa pesa sasa mama Haya mpk lini ajira zipo kwenye hiyo miradi na kusipokuwa na pesa hiyo miradi haitaweza kuajiri lazima watapunguza watu makandarasi wengi wanalia hawajapewa pesa.
@JumaAbdallah-gn5qu
@JumaAbdallah-gn5qu Месяц назад
Good Mama 👍👍👍
@johntengio1438
@johntengio1438 Месяц назад
Mama shikamoo kama itakupendeza tunamomba mwandri agrey Kilimanjaro
@davidmwita3008
@davidmwita3008 10 месяцев назад
Hapo mama hakuna alie elewa somo,
@user-sp2fm4qd2h
@user-sp2fm4qd2h Месяц назад
waandishi wanafikisha ujumbe vibaya, hajasema kwamba mwanri alikuwa kiongozi mbaya . kasema style ya kiongozi mpaka uambiwe majukumu yako kama mwanri alivyokuwa anawaambia ma engineer yeye hapana ...anataka mtumishi ajue wajibu na majukumu yake atekeleze
@user13375
@user13375 27 дней назад
Lugha tata, unaweza kueleza utakavyo,ila wengi tumeelewa,si ulivyoelewa🤣🤭🤭🤔🤔
@user-mx2tx5eg9x
@user-mx2tx5eg9x 10 месяцев назад
What a leadership style,Yuko simple 👍
@checkchannel3876
@checkchannel3876 10 месяцев назад
Mwandishi wa title ya clip na title yake ametafsiri tofauti maelezo ya Rais. Kwa hiyo kilichoko kwenye title si kilichoko kwenye maudhui ya clip husika! Mnakurupuka mno katika uandishi wa title zenu!
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 месяцев назад
Kwani kaandikaje mjuaji mramba nyao za mama wa kambo
@checkchannel3876
@checkchannel3876 10 месяцев назад
@@alexmalyango1405 We una akili kweli hata ndogo tu, au ulizaliwa akili zinaangalia nyuma? Ulipelekwa shule kweli, au ndo vile? Kwanza umetokea wapi, shimo la choo au mitaro ya maji taka? Kwanza habari ya video hii we umeisikiliza vema? ukilinganisha na title we unaona title iko sawa? Halafu we ndo unaiona hii habari leo? Na comment yangu ndo unaiona leo? mbona ya siku nyingi sana? Matusi yako yakurudie wewe mwenyewe mramba nyayo zako mwenyewe, mtu ambae huna chembe ya akili!
@chawalive
@chawalive 10 месяцев назад
😂😂😂😂Sina swali Mh raisi
@user-mt3jc6no5w
@user-mt3jc6no5w Месяц назад
Ichi yangu Tanzania 🇹🇿
@checkchannel3876
@checkchannel3876 10 месяцев назад
Alichomaanisha Rais ni hiki, si kwamba ni vibaya kuongoza kwa staili ya Mwanri, hapana, ila anataka hao Wakuu wa mikoa wasisubiri kuambiwa cha kufanya kila wakati na Rais! Ndio maana ya mfano wake wasisubiri awaambie "fanya hilooo! Msisitizo wake ni kwamba wajiongeze katika utekelezaji wa majukumu, si kusubiri maelekezo tu! Ili mradi wafuate sheria. Na binafsi namuunga mkono katika suala hili. Hivyo mwandishi wa title, title yako iko tofauti na uhalisia wa alichomaanisha Rais.
@kenedynyamohanga9898
@kenedynyamohanga9898 10 месяцев назад
Bora we umemwelewa and that is true
@user-hb1iw9uj3x
@user-hb1iw9uj3x 10 месяцев назад
Ni kweli,
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 10 месяцев назад
Waandishi wanaandika heading za kuvuta wasikilizaji zaidi
@checkchannel3876
@checkchannel3876 10 месяцев назад
@@rodgersgregory7198 Nafahamu lakini kuna muda mtu anaandika heading mpaka unaweza kudhani ni kiazi!
@KisimaTv99
@KisimaTv99 10 месяцев назад
Umeelewa vema. Alichomaanisha Rais hatotoa maelekezo yatakayopoka nafasi ya mkuu wa mkoa au katibu tawala.
@saidtembele3070
@saidtembele3070 10 месяцев назад
Dah mwandishi andazi kweli title ya video na kilichozungumzwa tofauti
@alexmwashifungwe5174
@alexmwashifungwe5174 10 месяцев назад
Nakubali sana Rais wetu mpendwa
@henrychacha5592
@henrychacha5592 10 месяцев назад
Rais wangu nakupenda sana. Natamani ufanye ziara sido Dar es salaam angalau nikushike mkono.Kaza uzi mama tuko nyuma yako ❤❤❤❤❤❤❤
@josephhusein3383
@josephhusein3383 10 месяцев назад
Niulize swali nitumbuliwe, acha nikapige hela😂😂😂😂
@user-nv7kj3gl3o
@user-nv7kj3gl3o 9 дней назад
Kwanini mama gesi usiwekeze kwa nguvu zone. Tunapikiya na magaripiya yanatumiya gesi .mama tunafeli vipi cc.mama mbona kama tumerogwa
@francofrederick972
@francofrederick972 Месяц назад
Hajatumia mfano wa Mwanl kwa ubaya ni uelewatu do maana Kuna 100 na Kuna 0 yenye macho
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 месяца назад
Hao wote hakuna kitu. Ni wezi wameapishwa
@MahdouMomba
@MahdouMomba 10 дней назад
Juma Nature:- "Tembea kwa mwendo wa pesa nchi ishauzwa hiii, ya leo kali afadhali ya janaa" ya leo kali mjomba mentali njoo tutafakali tupige mistari eeee" by Juma Nature huyo
@saidimtame2320
@saidimtame2320 10 месяцев назад
Una taka msada wa nn unashindwa kusimama mwenyewe
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Месяц назад
Mrudishe mwanri mama
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 10 месяцев назад
Maallim Samia
@happynkya9770
@happynkya9770 10 месяцев назад
❤❤❤❤
@ernestjoseph7988
@ernestjoseph7988 10 месяцев назад
Mama wewe kweli una hofu ya mungu tunakuombea kwa mungu .hatujawai kuwa na kiongozi makini kama wewe mungu akulinde
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 10 месяцев назад
Ndio auze bandari au ww mjukuu wake?
@ismailseleman2952
@ismailseleman2952 10 месяцев назад
HuyuRais kiukweli abawezajuon anaweza kuongoza munguambariki hakuna mwanadamu.asie kosea
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 10 месяцев назад
Umekulupuka
@barakamashimbe9457
@barakamashimbe9457 10 месяцев назад
Acha ujinga 😃
@ksmally1985
@ksmally1985 10 месяцев назад
Tatizo kubwa la viongozi hawatatui matatizo ya wananchi.wao wamebaki kukaa ofisini tu. Wanachi wana shida nyingi za kutatuliwa na viongozi, ngazi ya mkoa,wilaya,tarafa, kata,na kitongoji.lakini mpaka asubiriwe kiongozi mkuu kutoka juu ndio wanachi wanafunguka matatizo yao.
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 25 дней назад
Yaan viongoz wachapa Kaz ndo wanachukiwa hii nchi,ndugai alisema ukwel akatumbuliwa,mpina kasema ukwel kapgwa Pini hii ndo Tanzania ya walafi wachache
@emmanuelbahati6259
@emmanuelbahati6259 20 дней назад
Mama hapo nimemuelewa vizuri,hajakosoa mwenendo wa mwanri,bari ametumia mfano wa viongozi kutegemea sauti kutoka ngazi ya juu kama alivyokuwa anaelekezwa enjinia na mwanri,tufuatilie vizuri,mheshimiwa rais katumia mfano
@jacksondismas4109
@jacksondismas4109 11 дней назад
Fact
@K.L.P.TMWANGATA6635
@K.L.P.TMWANGATA6635 28 дней назад
Hapo kwa MUNGU kuacha kusema na watu direct ni wew na mahusiano yako na MUNGU na viwango vyako vya imani na kumpenda yeye
@user13375
@user13375 27 дней назад
ka imani kadogoo,🤣🤣🤣🤣
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 Месяц назад
Mhh.hakuna mkuu wa mkoa aliyependwa ktk hii nchi kama mwanri na haitatokea huyu mzee mwanri aliinyosha tabora na kwenye huo utawala mama huyo alikua ni makamu wa rais magufuri na aliona mwanri alivokua akifanya kz au ni chuki binafa nn.mi ndio maana sipendi siasa kbs
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Месяц назад
Mama usilee watumishi wazembe.Haya watu wapelekwe mputamputa kama anavyofanya Makonda.
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 10 месяцев назад
Soma hiyooo
@engineeratandi4267
@engineeratandi4267 8 дней назад
Sawa mama
@MwasiSamweli
@MwasiSamweli 28 дней назад
Ibrahim traore huyo ni mwamba wa Africa
@godfreybeatus8396
@godfreybeatus8396 Месяц назад
nacheka Mimi Yani hamna maswali🤣🤣
@user-qf2mg1bu4u
@user-qf2mg1bu4u 10 месяцев назад
Raisi leo umenikosha kidogo unaongea kwa upole adi nashawishika 2025 nikukpe kula yang
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Месяц назад
Yani viongozi wetu wengi ni 😂 tunashindwa kuigia hata kwa anayofanya rais wa Burkina Faso Adam traore Yani tunaenda kama mbuzi Alie fungwa kamba .
@user-dd8ud2gk4l
@user-dd8ud2gk4l Месяц назад
Alikuwa mfuatiliaji yule hakutaka TU taarifa zakwenye makaratas ndomana alikuwa anajridhisha kuuliza asome ni nn kimeandikwa
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q Месяц назад
Mkee wa mtuu akiwa kazini ni haki kumambia mimi .ni kiongozi nina mkee mzuri jieeleze
@abdallahkiliaki3744
@abdallahkiliaki3744 10 месяцев назад
Maendeleo hayana lelemama. Nchi zote zilizoendelea kw kasi huko Asia zilikuwa na ufuatiliaji wa karibu wa miradi km alivyokuwa akifanya Magufuli na Aggrey Mwanri. Bila hivyo tutaendelea kuibiwa na miradi kutokamilika. Matokeo yake ni umaskini, tena umaskini wa kujitakia. Tusilaumu ukoloni mamboleo. Hatujitambui!!! Tatizo letu Watanzania hatujui tunachokitaka na hatukitaki tunachokijua.
@ChinaBoy-jh8bm
@ChinaBoy-jh8bm Месяц назад
Natuma ujumbe kutoka adisababa nakuombea mama wetu ushindi munono
@anastazialushika
@anastazialushika Месяц назад
Kama makonda jamaa yuko vizur sana tena ni mbunifu sana acha awapige spana watendaji wote wazembe,waongo, na wala rushwa waige kwa huyu mwamba
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 10 месяцев назад
Hao wanakuogopa tu hii ndio ccm ilivyo rasi ni kama mungu mtu
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 29 дней назад
Kujichekesha ndo game inayonipaga taabu
Далее
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1,3 млн
KIZAAZAA CHA RC MWANRI KWA DEREVA ALIYEGONGA MTI WAKE
5:04
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55