Daaaah! Mtu muhimu sana kwa Tanzania, I can't believe, ooooh! My God. Aaaah! hamna namna pumzika kwa amani mwl. Nitamc mno mafundisho yako. RIP mwl Peter Mitimingi
Naamin kazi umeimaliza hakika unastahili kwenda kupumzika kwa BABA ,hata Baba mungu ana jivunia wewe.💪👋 Tumshukuru mungu hata kwa hili * Asante Baba * Nami naomba nijalie mwisho mwema nifikie kusudi lako la kunileta Hapa Dunian, Naomba utusamehe tulipokosea ma utuongoze kataka haki yako.
Mungu tusaidie tuwe tayari mda unaofaa na usiofaa hakika shoka liko shinani kukata,Nenda kamanda wa Yesu tutaonana baadaye,haya yote yatokeayo yatufundishe kuwa na mahusiano mazuri na Mungu.
R.I.P MCHUNGAJI NA MWALIMU KATIKA WATU NILIOKUWA NAWAKUBALI SANA KUHUSU MAISHA YANGU NAMBA MOJA NI WEWE UMENIACHIA KITU MANINJA ZANGU WA Zanzibar GONGA LIKE
najua inauma lakini inafaa uzoee R.I.P baba mwenye busara zako akika mengi nimejifunza kupia wewe ulipotoka umeacha pengo kubwa sana ila nakuhaidi kuyafanyia kazi nilijifunza kutoka kwako na bado uliyo yaacha nitaendelea kuyasikiliza na nitayafanyia kazi bwana alitoa na bwana ametwaa .Amen
Kuishi ni kristo,kufa ni faida. *kweli,ulimuishi kristo kwa mafundisho yako ya neno la mungu,na imekuwa faida kwako pia kwani Nina imani na wewe kuwa,umekaa mbele ya mkono wa kuume wa YESU kristo,aliyekutuma kazi uliyoifanya imeonekana ndani na nje ya mipaka ya Tanzania* Pumzika kwa amani commander wa Injili,tutakukumbuka daima.Tulikupenda sana lakini mungu ameamua kukupumzisha,mwenye sikio na asikie Yale Roho aliyokutumia kuliambia kanisa. Amen.
Najiuliza sana hivi hawa viongozi wote walipangiwa kufa mfufulizo kipindi hiki, tukiiweka kando coronavirus?wachukue samlpe kuhakikisha ninini maana na yeye kakutana na wengi wasichukulie kirahisi rahisi hasa makanisani maana watu bado wanakutana coronavirus wanaweza kumpata yeyote. RIP mchungaji Mitimingi
Daaaah kwel mzee umeenda jaman😭😭😭😭😭pumzika kwa aman japo mahubir yako yamenitoa mbali sana camin kama ctackia mahubir mengine kutoka kwako😥😭😭😭...ulale pema mwlm.
@@kulwasanyiwa6901 nimejifunza mengi kupitia huyu mtumishi na nitayafanyia kazi nisipo msikiliza na ugua ndio hivyo Mungu kampenda zaidi Mchungaji wangu Mungu amwekepema
Nimeumia hadi miguu haina nguvu kwann jamn wachungaj walimu wa vijana wanatuacha uwiiii😭😭😭😭juz mama rwakatire leo mito mingi kweli hii dunia sio yetu daah.