Тёмный

IBRAHIM TRAORE KAPINDULIWA TENA NA UFARANSA HUKO BURKINA FASO? 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@piuslyimo486
@piuslyimo486 7 месяцев назад
Sijapenda kichwa cha habari. Acheni iyo tabia si nzuri
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi Месяц назад
Clickbait
@hedwigkimario6993
@hedwigkimario6993 7 месяцев назад
Kwa kweli kwa kichwa cha habari iki mtatufanya tujiondoe. Imani itashuka kwako.
@abcstudiostanzania
@abcstudiostanzania 7 месяцев назад
MADA YA JUU NI KAMA MAGAZETI YA UDAKU. Ukisoma ndani tofauti
@amanbeyanga8055
@amanbeyanga8055 7 месяцев назад
Wazalendo tumeshutushwa na kichwa cha habari, tafadhari acheni kuturusha loho
@NyakahumaHashimu
@NyakahumaHashimu 7 месяцев назад
P
@KhamisAdam-j2k
@KhamisAdam-j2k 7 месяцев назад
Mbona mnatudanganya cici wafuatiliaji wenu au tuache tuhamie kwingineko?
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 7 месяцев назад
Namkubali mrusi kwasabb Hana historia ya kuitawala Afrika Bali ilisaidia Sana Afrika kipindi Afrika inapigania Uhuru ktk mataifa mbali mbali.
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 7 месяцев назад
Vladimir Putin ndiyo rafiki Bora wa afrika Hawa wengine majambazi
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh 4 месяца назад
Kabisa kabisa
@bahatiirene8846
@bahatiirene8846 7 месяцев назад
Jamaaan mnaturusha rohoooo
@abdallahdullah8642
@abdallahdullah8642 7 месяцев назад
Ctamani kuona viongoz wenye uchungu na nchi zao kupata majanga km Hawa kina traure.
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b 7 месяцев назад
Ni kweri au,acha habari za udaku,
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi Месяц назад
Hivi hao wachawi wa Magharibi wataliacha huru bara letu lini?!!!!
@petrofalles
@petrofalles 7 месяцев назад
tulikua tunawaamini,lakini kichwa cha habari kinawaondoleauaminifu.
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 2 месяца назад
Kichwa cha habari cjakipenda au nanyi mmesha anza kua waramba matako ya mabeberu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 7 месяцев назад
Shida ni kwamba waafrika wanafiki sana
@teresiahazivirawa-tz7gw
@teresiahazivirawa-tz7gw 7 месяцев назад
Yes
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 7 месяцев назад
Mfaransa alijuwa mwakilembe na mwandagasi vichwa vyao viko Israel na gaza
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Месяц назад
Kichwa cha abari hicho mkitoe mnaweza kutuua kwa presha please
@bukuruyassini
@bukuruyassini 7 месяцев назад
👍
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 7 месяцев назад
Safi mkuu
@athuman7480
@athuman7480 7 месяцев назад
Mnaanza uwongo sasa tulikuwa tuna waamini sasa naona mshaanza choprychopry
@PeteroJohn
@PeteroJohn 4 месяца назад
Fuateni utaratibu mzuri ili tuzidi kuamini mnacho sema
@rashidiamini
@rashidiamini 7 месяцев назад
Mnaandika vingine mnasimulia mengine hakuna chanzo chcht Cha hbr kilichoandika au kutangaza kuwa Ibrahim traore kupinduliwa
@chamzurykashamba1134
@chamzurykashamba1134 7 месяцев назад
Aaaa badilisheni kichwa cha Habari tafazali
@musanike3079
@musanike3079 7 месяцев назад
Wanajeshi wa Urusi washa fika Burkina Faso kumlinda
@MohamedHalake-cy8bh
@MohamedHalake-cy8bh 7 месяцев назад
Duh
@zayneryassin6054
@zayneryassin6054 7 месяцев назад
Mmeanza udaku kichwa cha habari kinaboa alafu kinacho ongeleka akiendani
@Adamchestemuzaahim
@Adamchestemuzaahim 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂kichwa cha habar aisee mnazingua sana
@abcstudiostanzania
@abcstudiostanzania 7 месяцев назад
Wamezingua wakiludia hivi mie nitabaki na Dj Smaa
@josephntungiye6232
@josephntungiye6232 7 месяцев назад
Nanyie mmeanza ujinga ee! Sisi tunatumia MB zetu na MB zinanunuliwa kwapesa acheni kabisa ujinga huyu tuta kimbia wote humu
@hajjisuffiani385
@hajjisuffiani385 7 месяцев назад
Mmeshapoteza muelekeo
@princeabuu8297
@princeabuu8297 7 месяцев назад
Kama hutaki kujielewa na kujitambua wewe endelea kuwa mzungu mweusi kaka
@masungadutta3823
@masungadutta3823 7 месяцев назад
Acheni ujinga
@user-df8uo2lg9t
@user-df8uo2lg9t 7 месяцев назад
SIJA PENDA KICHWA CHA HABARI MNATUKWANZA WAFUATILAIJI WENU
@ramaruzeduka4314
@ramaruzeduka4314 7 месяцев назад
Sasa hamujuwi kbs kama Paul kagame anajichiya urafiki waunafiki na traore na mnajuwa kabisa wanavio shirikiana na wamangaribi
@dengepandu9734
@dengepandu9734 7 месяцев назад
Mpoki tutakulalamikia kwa mwalim isaya mwalilembe
@chachamturi259
@chachamturi259 7 месяцев назад
Ndugu mwandishi, unajua nini, unachosha wasikilizaji. Ebu jaribu kuwa unaenda moja kwa moja kwenye maja, alafu unacho kiandika juu yapicha ndo kinacho elezwa wewe unaona unafanya vizuri lakini ukweli nikwamba una chosha najua unajalibu kuvuta mda ili picha linoge. Mbona ben son anaenda mojakwamoja kwenye mada. Alafu baada yahapo ndo mengineyo
@user-lc9zf6jw1r
@user-lc9zf6jw1r 7 месяцев назад
Huko kote ni kutafuta pesa Kwa njia za panya.
@MwandagasyaVicente
@MwandagasyaVicente 7 месяцев назад
Mwandagasya na wewe tena???
@tradamus4158
@tradamus4158 Месяц назад
Kumanyoko 😂
@livingstoneshakur5970
@livingstoneshakur5970 7 месяцев назад
Alo kaka benzon tunakuamibi tunakuheshimu weka kichwa ambacho ni relevant tutaview TU kaka sio kudangany
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 7 месяцев назад
Amerudia tena hii tabia ,alikuwa ameiacha mimi ni miongoni mwa watu wanao mfatilia Sana Isaya Bensoni ila Huwa sikubaliani nae na baadhi ya vichwa vya habari, Kama hivi
Далее
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Просмотров 12 млн
Atlantis and Other Legendary Cities
2:05:30
Просмотров 824 тыс.
#MIZENGWE: Wakudeka
16:45
Просмотров 10 тыс.
Ruto, this is tempting fate…
26:19
Просмотров 4,3 тыс.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Просмотров 12 млн