Тёмный
No video :(

RAIS Ibrahim Traore NOMA Akacha Gari la kifahari atembea kwa miguu, Wananchi wapagawa kwa furaha. 

SAUT DIGITAL
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 80 тыс.
50% 1

#SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates#ibrahim

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@user-fl3fb5gh6b
@user-fl3fb5gh6b Месяц назад
Tulikuwa na moja tu Tanzania,Dr john magufuli
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Месяц назад
Huyu ni zaidi ya Magufuli.Hataki magari ya Kalahari, anasisitiza upatikanaji chakula kwa kuwawezesha wananchi nk
@princeganji2779
@princeganji2779 7 дней назад
Eti magufuli hahahhahha
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 14 дней назад
Mungu mkuu amlinde kiongozi uyu kijana. Amen.
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 Месяц назад
Kwa kweli Hawa wamepata Thomas Sankara! MUNGU ajalie nasi Tukipata Magufuli mwingine na sisi tutang'ara kama wao!
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Месяц назад
Magufuri nipigo kubwa sana kwetu Mimi kwasasa hakuna ninae muamini
@rashadally6871
@rashadally6871 Месяц назад
Mungu amlinde huyu mwamba
@MatanoTendegwa
@MatanoTendegwa Месяц назад
Ingekua anapigika fotokopi tungempiga moja kwa ajili ya apa kwetu kenya mungu amlinde inshallah
@EmmanuelGabriel-zm6nv
@EmmanuelGabriel-zm6nv Месяц назад
Africa inahitaji viongozi aina ya Ibrahim traore
@issamushi6389
@issamushi6389 Месяц назад
May God bless him,am Writing in english this to show the these evils of western country that we bless Ibrahim because we want Africa to be free and they have to leave us and our resorces,enough is enough
@mugambifredrick-r9s
@mugambifredrick-r9s Месяц назад
Ata huku kwetu Kenya 🇰🇪 tulikuwa na rais mmoja tu; Emilio Mwai Kibaki. Mungu ailaze roho yake pema peponi.🙏
@simontamba1285
@simontamba1285 Месяц назад
Ibrahim Traoreeeeee Ubarikiweeee bababbaa
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j Месяц назад
Baada ya Gaddafi Africa ndio kapatikana uyu mwamba hapa anamambo mengi
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Месяц назад
Huyu mwamba Mimi huwa namwelewa sana
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff Месяц назад
Huku kwetu tuna mama anaoupiga mwingi😂😂😂😂😂
@simontamba1285
@simontamba1285 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@user-rh4ej7oq9j
@user-rh4ej7oq9j 23 дня назад
Kazi isongeeeeee
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij Месяц назад
🎉🎉🎉mungo ❤❤❤inusuru 🎉🎉🎉 África kupitiya viyongzi hawaaa.
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Месяц назад
Rais wa afrika
@shabanbisaki
@shabanbisaki Месяц назад
Namukubali sana
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 Месяц назад
Mwamba wa tunakukubari sisi waafrika ambao tunaona nchi zetu zilivyo na unyanyasaji wa rasilimari zetu za Kitaifa ambanzo Mwenyezi Mungu wew JPM. Nakuombea Brother Ibrahim Thraole utupe nafasi sisi vijana wa Afrika tufike uko kwako
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 Месяц назад
Huyu mwamba ni kiongozi hasa
@issamushi6389
@issamushi6389 Месяц назад
Ingekuwa bongo hyu cjui kma angweza
@issamushi6389
@issamushi6389 Месяц назад
Amewekeza dola milioni 8 kwenye kilomètres sisi dola millions 20 naa,kwenye vx na hku watu maji umeme shida,anachukua asilimia 30 kutoka kwenye uwekezaji wa dhahabu sisi ni asilimia 16 zisizojulikana zinafnya nn maana dawa shida maji sida umeme shida kila kitu shida😢
@user-og9jt3mg4c
@user-og9jt3mg4c Месяц назад
Nampenda sana huyu Raisi Traole
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn Месяц назад
Rais anaependwa na watu kwa mioyo yaooo..kama alivyopendwa Magufuri na wanainchi....sio Rais anaefatwa na watu kwa upambeee kama huyu tulienae sasa....hatuna hamuuu kabisaaa
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Месяц назад
Weacha tu tunaumia ila sasa wapi tutasemeea tuvumilie tu ila tumemchoka wengi
@user-sb2wd4kq9c
@user-sb2wd4kq9c 17 дней назад
Moja kali kinara
@user-ip4zo1mr9z
@user-ip4zo1mr9z Месяц назад
🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉I like this
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 18 дней назад
YIYI NDUGUZAGU WA SAUT DIGITAL WADISHI AU WATU WA MIDIA KAZIYENU KUKASHIFU NCHIYENU MTU ANASIFIA KITANDACHAKE ANACHO LALIA HATAKAMA KIBOVU
@gauchogaucho7583
@gauchogaucho7583 Месяц назад
Hiii chanelii safii sanaa
@dismassmaranga8903
@dismassmaranga8903 Месяц назад
I salute him from Kenya bravo
@ameabdalla4697
@ameabdalla4697 Месяц назад
Masha allah
@gonanzaro5580
@gonanzaro5580 Месяц назад
Ruto must go
@user-fs3uy2tl6h
@user-fs3uy2tl6h Месяц назад
Shenzi sanaa . He is going no where
@MasanjaLucas-jf9cg
@MasanjaLucas-jf9cg Месяц назад
Watu weusi wanakoswa tu kiongozi mwenye kuwa upande wao,,lkn wapo tayar kutawaliwa na mtu mzalendo 1 tu Africa
@EwaldAntony
@EwaldAntony 20 дней назад
Natokea Tanzanian na mkubali sana
@msafiriomary893
@msafiriomary893 3 дня назад
Natamani kutoka magufuli tungepata rais kama huyu inchi ingejengwa sasa tumebaki yatima hakuna kinacho enderea zaidi ya maneno
@rajabumshana8167
@rajabumshana8167 9 дней назад
Mzalendo Magufuli amekufa Tanzania amezaliwa Bukina Faso
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Месяц назад
Kwa mbaali nimeona na Bendera ya Urusi ikipepea
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 Месяц назад
Yani nikiskia au kumwona iblahim taole nikama namuona jpm mana nasisi watanganyika tulitamba sana tulijiona tuna laisi gaflatu jamaa wakafanya Yao tukaingia au tukaludi msoga , Leo nizam ya BURKINAFASO nao wamepata jpm wao naomba mungu alinde huyu jpm wabukinafaso ipo siku ataludi wakwetu
@issamushi6389
@issamushi6389 Месяц назад
Wee Acha tu mungu amlaze pema leo tunachukua asilimia 16 kwenye dhahabu Ibrahim wa juzi t anachukua asilimia 30,sijui ss mwisho wetu nn
@AlexNikola-ky2dm
@AlexNikola-ky2dm Месяц назад
Wewe rais na kukubari sana endelea na mwendo huohuo
@seifusengondo9170
@seifusengondo9170 Месяц назад
viva afrika
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 Месяц назад
Yani mpaka laha
@newbornhaule
@newbornhaule Месяц назад
Hakika magari mazuri Ac,mziki mzuri viyoyozi lakini RAIA hawana huduma nzuri za afya ,chakula na nk inaleta Raha gani? Kizazi cha Afrika kinaanza kuuona sasa uzalendo tuliosimuliwa na kuuona kwa uchache sana
@basilsimon676
@basilsimon676 Месяц назад
Tatizo bongo tunayumba sana Mangu alivoanza tukarefusha midomo na alisema tutamkumbuka ngoja kwanza akili itusogee vizuri ndo tuwe na heshima apa mji bado hatujasema vizuri
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 Месяц назад
Mwamba huyo hapo
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 Месяц назад
Huyu sasa ndo Mwamba
@mamohamed1252
@mamohamed1252 Месяц назад
Samahani jitahidi matamshi sahihi na majina. Kwa kweli unashida
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Месяц назад
JPM wetu na alikuwa kama huyu mwamba
@EmanuelNicholaus-of1qg
@EmanuelNicholaus-of1qg Месяц назад
I see Magufuli spirit in this President
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840 19 дней назад
Wachache katka wengi
@suddytele3692
@suddytele3692 Месяц назад
Magufuli freva
@MashauriissaMohamed
@MashauriissaMohamed 26 дней назад
Kama wewe ni kiongozi jifunze 3:24
@NicoleMakaveli-wr6mm
@NicoleMakaveli-wr6mm Месяц назад
Raisi akitembea kwa mguu ni inakuwa ni tarifa??
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Месяц назад
What i like about Traore he is so BISHOO,,he cant shake hands he only give 5,,,No corona hahahaa young presidents suits the world
@simontamba1285
@simontamba1285 Месяц назад
Fact said madam respect to you Us is shetawn
@user-rc6tc6dp5x
@user-rc6tc6dp5x Месяц назад
You want him to be poisoned through handshek !!??
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Chiz
@richardrenatus9582
@richardrenatus9582 Месяц назад
SASA ZAMU YA TUNDU LISSU, 2025 UNDER CHADEMA
@maase2023
@maase2023 Месяц назад
Utawala wa mabavu umepitwa na wakati na hautakiwi hivo lazima aondolewe traore na nchi ufanyike uchaguzi mpya wa kihalali
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Месяц назад
Tulia huwenda wewe ni ccm maana ndio mawazoyenu mgando
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Месяц назад
Uliwahi kuona wanannchi wakiandamana kiongozi abaki madarakani ama unaropoka jifunze siasa wala ajalazimisha kubaki wanannchi wote hawataki aondoke hata ingelikua ni tz yangu Mimi ngemuunga mkono
@maase2023
@maase2023 Месяц назад
@@abubakarimussa9131 ufanye maandamano burkina faso hujui kufa nn? Yule ni muuaji ww sio kama ruto msomi na mpole wa tabia! Traore anatembea na bastola 4 sasa ww huoni kama ni muuaji huyo
@maase2023
@maase2023 Месяц назад
@@abubakarimussa9131 huyu traore hamna kitu ataondolewa muda wowote
@nizarrama225
@nizarrama225 Месяц назад
umekula kande uende ukanye sasa huna akili hata moja
@ObadiahMutambo
@ObadiahMutambo 23 дня назад
𝑁𝑎𝑘𝑢𝑜𝑚𝑏𝑒𝑎 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑢𝑤𝑒 𝑐ℎ𝑎𝑐ℎ𝑢 𝑘𝑤𝑎 𝐴𝑓𝑟𝑖𝑐𝑎 ,,𝑛𝑖 𝑘𝑤𝑒𝑟𝑖 𝑚𝑎𝑟𝑎𝑖𝑠 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑜𝑚𝑏𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑡𝑢𝑠𝑎𝑖𝑑𝑖𝑒 𝑤𝑎𝑎𝑓𝑟𝑖𝑐𝑎
Далее
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 4,4 млн
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 1,5 млн
MAENDELEO UJENZI WA FLYOVER
4:04
Просмотров 4,2 тыс.