...WOW!!! Totally not what I Expected, yaan Mr Blue ndo anaadabu na heshima hivyo? Wewe ndo mfano wa kuigwa kwakweli. Nice one Blue, mungu akujalie mbeleni. Kwa akili hiyo na utulivu huo, huwezi kushindwa maishani. Nice Interview Salama.
nikweri mdogo wangu blu unga ni starehe ya matajiri sisi masikini bangi ndio hiwe starehe ya mwisho sasa umekuwa mkubwa na una mtoto pia. cha muhimu kuangaria familia na kujari kazi yako marafiki wapo kazi yao ni mbili 1 kukuharibia ,2 kukusaidia. hakiri kimkishwa man