Тёмный

IDRISSA MAKUPA: Diamond anisaini WCB/ Mke na watoto wangu wanaishi kwa kazi ya viuno vyangu 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

23 июн 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@amanobrahima4897
@amanobrahima4897 6 лет назад
kupaa maneno yako yote ni kweli ila Kwa jinsi nnavyo kujua wewe kipaji cha mpira umekiacha wakat bado kipaji chako kipo juu sana , keep it Up
@rozeypwizzy6472
@rozeypwizzy6472 6 лет назад
wengne hawajakufatilia ila aliekufatilia hauliz maswal ya kishoga. hyo mtangazaj anaboa... maana ww ni zaid ya msanii salute kwako
@diomedesmtayoba3955
@diomedesmtayoba3955 6 лет назад
Noma sana kk
@jeanmalilo2465
@jeanmalilo2465 6 лет назад
Kweli nakubali
@Lituli_jr.
@Lituli_jr. 6 лет назад
jamaa katisha anajua kutawala jukwaa kwenye interview
@kaobamaabel5561
@kaobamaabel5561 6 лет назад
nakupenda bure sanaaaaaaa mzee baba fanya kaziiii.
@bernardchibwana6176
@bernardchibwana6176 6 лет назад
Namwelewa sana huyu raia anajua sanaaaa
@velaalberto7766
@velaalberto7766 6 лет назад
Dah new boko ni timu ya mtaani kwetu hii... nakubali sana brother
@nasrahussein8408
@nasrahussein8408 6 лет назад
safi sanaa
@Mngoniboytv
@Mngoniboytv 6 лет назад
Uko juuu
@kingkasuku9703
@kingkasuku9703 6 лет назад
Me namjua sana nyuko vizuri
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 лет назад
Kesho kutwa atakuja kusema kua alikua akiekti movie za kikomandoo yy na John Rambo kule America.
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 лет назад
Jitahidi Arsanal wanaweza kukusajili
@furahasolange2278
@furahasolange2278 6 лет назад
Wambie kaka ongera sana kwa kazi zako. Wasikusumbue na maswaliiiiiiiii
@josephmpemba8951
@josephmpemba8951 6 лет назад
Swali moja majibu 100000000 umetisha mzee baba
@tatuomar4164
@tatuomar4164 6 лет назад
Maneno mengi kweli hhhhhhhh
@chrissynguby2332
@chrissynguby2332 6 лет назад
Nomansana
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 лет назад
Na kukubari sana kaka
@tifahally3088
@tifahally3088 6 лет назад
Idrisa ana movie nyingi zote nzur
@michaelchiza
@michaelchiza 6 лет назад
Tunauza BP MACHINE (ELECTRONIC BLOOD PRESSURE MONITOR) kwa punguzo la asilimia 20%. Nakuomba uniandikie ulizo lolote DM au PIGA SIM 0715905167. Please kindly LIKE.
@nicksonchiko9913
@nicksonchiko9913 6 лет назад
leo nimecheka sana 😂😂😂
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 6 лет назад
Uyo jamaa kwenye mpira ni Fundi sana sjui ttzo nini daaa ⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽♿⚽
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 6 лет назад
Eti muulize mjomba alisema ukitembea peku kuna vipaji vyakuingia kutokana na waafwa walio enda na vipaji vyao ila havirudi mbinguni je yakweli
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 6 лет назад
Nakutana na mose iyobo tufanye mamboyetu 😂😂😂
@mohammedrajab3142
@mohammedrajab3142 6 лет назад
jamaa anajua kumwaga mchele
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 лет назад
ushapiga lite zako hapo 😂😂😂
@chidybwax8080
@chidybwax8080 6 лет назад
Tabu watapata sana
@Aidenkuye
@Aidenkuye 6 лет назад
Vipaji lukuki😨
@mamennassir7813
@mamennassir7813 6 лет назад
Midoo nakuelewa baba
@thoyarashid5782
@thoyarashid5782 6 лет назад
Mondi chukua huyu jamaa amepromote WCB kimpango
@amalflores8919
@amalflores8919 6 лет назад
Thoya Rashid Exactly
@andreymalisa1625
@andreymalisa1625 6 лет назад
hahaha jamaa noumaa
@fatumamachemba9887
@fatumamachemba9887 6 лет назад
hahaha sura ka ukwajuu
@j...876
@j...876 6 лет назад
Mondi tuna thamani uyo jamaha ajihunge na wasafi,!!!tuna mwitaji uyo jamaha!!
@yakubyusuph249
@yakubyusuph249 6 лет назад
mwaka huu waigizaj watapa tabu xana
@happymwakajila499
@happymwakajila499 6 лет назад
Mtamazahadii ahahhaahaahhahahah kachapia
Далее
Мелл хочешь сына от Дилары
00:50