Тёмный

Ifahamu biashara ya Saluni ya Kiume, Mtaji, Vifaa na Faida yake 

SASIMEDIA
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Ifahamu biashara ya Saluni ya Kiume, Mtaji, Vifaa na Faida yake

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@ndimiamon7425
@ndimiamon7425 3 года назад
Kama ww ni kinyozi kama mimi na umejiajili like👍 hapa
@amiriamosi1713
@amiriamosi1713 2 года назад
Elimu nzuri Sana, Ubarikiwe Sana Kaka.
@TheMint_tz
@TheMint_tz 3 года назад
Baada ya kutazama video hii wiki tatu zilizo pita sasa nimefungua saloon god bless you #Salum
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
sawa kaka tupo pamoja upo wapi, naomba unitafute 0712045119
@joycekonga4095
@joycekonga4095 2 года назад
Umegharamia mtaj sh ngap
@bonifacehamis4088
@bonifacehamis4088 Год назад
Mtaji shi ngapi
@mrhomeelectricaldesigner7074
@mrhomeelectricaldesigner7074 2 года назад
Safi bro unanishari vip mm ambaye mm siyo kinyozi ila nataka nifungue offisi ya saroon so how nitumie njiagani kwa ajili ya kumanage pesa ili nipate faida
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 2 года назад
Hata mimi nina saluni lakini si kinyozi na hii ndio ujuwe kuna muda mwenye wazo hapa pesa, mwenye pesa hana wazo,,,, kiufupi ni kuweka kiasi cha wiki kwa kila kiti baada ya kutoa gharama za umeme, maji, na madawa kwa wiki kilichobaki ni pesa yako
@scholaaroka8564
@scholaaroka8564 2 года назад
Asante Sana kwa somo zuri..
@JosephatPatrick-ww5cz
@JosephatPatrick-ww5cz 4 месяца назад
Nashukuru Kwa elim nzur. Ila n dawa gan zinahitajika katika saloon .unaweza ukaniorodheshea Ili ninunue❤❤
@agathamartine
@agathamartine Год назад
Hii imeenda....wah mungu akubariki sana kaka kwahili somo
@jacgulineJackson
@jacgulineJackson Год назад
Ndio nmekusikilz Leo coz nimekuw n wazo la kufungua salon ya kiume
@victorlespicus6884
@victorlespicus6884 Год назад
we Jamaa nakushukuru sana.... nikifanikiwa utakuja uione ofisi yangu Mungu akubariki sana
@VanyKiddi
@VanyKiddi 4 месяца назад
Safi brother umenifunza kitu natamani sana kuwa na office yangu ila ningependa unisaidie mawasaliano yako kama hauto jalii
@Ayubukavia
@Ayubukavia Год назад
Mungu akubariki kaka napenda san unasema point sanaa
@rayexon5915
@rayexon5915 4 месяца назад
Asante san bro me nmependa but ntak kuuliza vp kuhusu dryer
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 Год назад
Ahsante sana mwalimu kwa elimu
@mustafasadi8684
@mustafasadi8684 Год назад
Boss ni mashine gani niitumie ambayo naweza kudum nayo kidogo
@djjeretz9621
@djjeretz9621 2 года назад
Mungu akubaliki sana brother 👏
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 2 года назад
Asante kwa kutu patia elimu mzuli
@yasinijafari7947
@yasinijafari7947 2 года назад
Mm pia nnampango wakufungua saloon nmesikia ushauri wako ni mzuri sana
@mariamndaturu-he8uh
@mariamndaturu-he8uh Год назад
Kaka asante kwa idea hii ya biashara ya barber shop
@Perfect-migomigo
@Perfect-migomigo 3 месяца назад
Oh yeah Asante sn kaka 🎉
@PurchitoGoonza
@PurchitoGoonza Месяц назад
Ukitak kufungua saloon kali km barbershop uwe n shn ngp
@Nicksoncharless
@Nicksoncharless 9 месяцев назад
Bro namba zako naziapataje sasa
@nasra7257
@nasra7257 Год назад
Napenda kufanya utafti,kbla ya kufungua biashra nimekupenda sana
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 Год назад
karibu Nasra
@IssaHamis-n1l
@IssaHamis-n1l 6 месяцев назад
Nahitaji na me kufungua saloon me Niko Zanzibar naweza kupata wapi vifaa vizur vya saloon hasa hasa machine
@gasperjohnson2437
@gasperjohnson2437 3 года назад
Nimekupat xnaa mkuu,xhukran kw uxhaur wak
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
pAMOJA KAKA
@ga2revocatus91
@ga2revocatus91 Месяц назад
Ndugu nataka nifunguee ila najiuliza kinyozi nawaza namlipajeee
@AbutwalibuMohamedy
@AbutwalibuMohamedy 9 месяцев назад
Biashara nzuri haina msimu mtaji wa juu ni shs. ngapi?
@LokieLokie-ei8yz
@LokieLokie-ei8yz Год назад
Asante kakaang
@boazylazaro6724
@boazylazaro6724 3 года назад
asante nimepata muongozo; maan natarajiakufua son
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
TUPO PAMOJA UKIWA TAYARI Utaniambia tuje kukutembelea
@Clvestar
@Clvestar Год назад
Big up🙌
@EliaWeddingphotographer
@EliaWeddingphotographer 7 месяцев назад
Naomba kupata namba yako kiongozi
@zombiesup_tz4621
@zombiesup_tz4621 Месяц назад
Bro sijasikia kuhus mtaji inagharimu shingap kwa kila kitu kabisa
@IddyMsangi
@IddyMsangi 10 месяцев назад
Pamoja sana.
@TheMint_tz
@TheMint_tz 3 года назад
Nimepata ushaur mzuri ubarikiwe
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
akhsante sana mkuu
@yusufyuss8518
@yusufyuss8518 3 года назад
Mm nataka kufungua saluni ndogo ya vifaa vifuatavyo kioo kimoja na kashineoja he alinagalimu bei gani
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
Nzuri kaka, kioo futi sita kwa nne ni elfe 60 hadi 70 na mashine feki ni elfu 50 oriji ni laki moja na ishirini jubla uwe na laki mbili bado kodi hapo kaka
@mwajumajafari8218
@mwajumajafari8218 Год назад
Kaka nipe namba yakooo
@DottoMussa-fx8pn
@DottoMussa-fx8pn 9 месяцев назад
😢safe sna bwna salumu
@costansianjau1760
@costansianjau1760 2 года назад
Nahitajii kufungua saluni ila wanasema haina faida wanasema nitapoteza fedha
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 2 года назад
Si kweli kaka hakuna kisichokuwa na faida hapa duniani , wewe tuu unajipanga vipi kupata faida, na vipi unaweza mikakAti, je nani unamueka,,
@aminabirai2194
@aminabirai2194 10 месяцев назад
Usisikilize ya walioshindwa ndg mi mpk Jan 24 itakuwa tayar inshallah 🙏🙏
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 2 года назад
Namba namba please
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 2 года назад
0712045119
@zaytoona2215
@zaytoona2215 Год назад
​@@fursamiamiachannel8548 naichukua no yako
@jacgulineJackson
@jacgulineJackson Год назад
me ntka kujua mtaji mdg kbx ambao nawez anzaa nao mkp kumiliksha salon ya kiume
@issaomari5297
@issaomari5297 3 года назад
Gud mr
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
akhsante
@joramlondomanyika6612
@joramlondomanyika6612 2 года назад
Nataka kufungua saloon nashukuru kwa shule
@shikopaschal2329
@shikopaschal2329 2 года назад
6
@erickicris6961
@erickicris6961 Год назад
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 2 года назад
Tuwekee nambar yako kaka
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 Год назад
0742045119 karibu sana
@emmanuelbura3033
@emmanuelbura3033 Год назад
Mim nahitaji kiti
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 Год назад
viti vip o vini mkuu je upo maeneo gani
@gracempanda5051
@gracempanda5051 Год назад
Na vinyozii wanalipwaje
@ramadhanikatundu9912
@ramadhanikatundu9912 3 года назад
Hii megic inatumiwaje
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
MKUU MEGIC hunatumia kwa jailli ya kuonyolea ndevu hii unapakaza kwenye kidevu
@MrGodwin225
@MrGodwin225 2 года назад
mm pia nataka nianzishe biashara ya saluni
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 2 года назад
Kila la kheir mkuu mwenyezi mungu akujalie ufanikiwe
@brightnjau363
@brightnjau363 2 года назад
Nahitaji mashine za kunyolea tunafanyeje
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 2 года назад
nitafute 0712045119 salaam simba
@joramlondomanyika6612
@joramlondomanyika6612 2 года назад
Nataka mawasiliano ili nijue zaidi
@zainabunaheeli1980
@zainabunaheeli1980 2 года назад
Ko kiujumur uwe na shingap
@paulonjozi1638
@paulonjozi1638 3 года назад
Salon yangu ina 4 daisy ila nataman ningekusikiliza kabla ningejua ving
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 3 года назад
Tupo pamoja kaka mapambano muhimu ili tufikie vitu vikubwa mkuu
@ramadhanijaphar4826
@ramadhanijaphar4826 3 года назад
Nakbl🤛🤛🤛👊👊👊
@fursamiamiachannel8548
@fursamiamiachannel8548 2 года назад
Pamoja
Далее
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 64 тыс.
EASY BALD FADE HAIRCUT TECHNIQUE | FULL BARBER TUTORIAL
19:25
Hivi ndio vifaa mhimu vya salon ya kiume
3:52
Просмотров 4,4 тыс.
How This Kenyan Woman Built 200 Homes In Kenya?
30:44