Asante mpenzi nimejifunza mengi na nimejua vingi kupitia ww. Mpaka hapa nilipo fika nafanya maandalizi mwez wa nne Mungu akinipa uzima nafungua saluni yangu,❤️❤️ Mungu akubariki Farida hujawahi kuwa mchoyo kwa kile ulicho nacho nakupenda sana mama
Asante umenfungua kam me nipo mbeya vip kuhusu hiyo kodi vipi nikipata room ya ya 40000 den nika decorate yaan pia vip kam siwezi kusuka nifanyaj natak nifungue salon ya kike
Mi naona kama huwez kusuka sio kwamba hutoweza kufunguwa ila kdg naona kama utanyonyeka, arafu mnyakaz akicha kwako kazi anaondoka nawateja wake maana pare wanamfata yeye
Asante dada Mimi nilianza na mtaji mdogo tu wa Kodi pekeake,hapohapo nimenunua baadhi ya vitu vichache,kunamatatizo yalinikwamisha nikashindwa kuendelea,saiz nipo tu nyumban,naomba ushauri wako nifanyeje ili nami nitoboe nikamilishe ofece?please naomba ushauri.nipo Mbeya