Тёмный

IKULU YATOA FILAMU YA UTEKELEZAJI WA AHADI ZA RAIS MWINYI KISIWANI PEMBA 

OFISI YA RAIS IKULU PEMBA
Подписаться 629
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Ofisi ya Rais Ikulu Pemba imetoa makala maalumu inayolenga kuonyesha miradi ya maendeleo ambayo inaanza, inayoendelea kufanyika na ambayo imemalizika katika kisiwa cha Pemba kwa lengo la wananchi kujua nini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Hussein Ali Mwinyi amefanya kwa upande wa kisiwa cha Pemba.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 года назад
Mashaallah Raisi mwinyi Unaweza na nikienda home nitaitembea Pemba yote kuona haya but kazi Bado iendelee kipo chengine tutakuambia utuletee tena wenyewe kilikuwepo kikaondoshwa mikononi mwetu
@suleimanrashid8495
@suleimanrashid8495 2 года назад
Ofisi ya rais ikulu mko poa sana mungu awabaarik sana
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 месяца назад
Alipora ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad. Mwinyi hakushinda uchaguzi kihalali na ndio sababu anatuondosha njiani tuuu ktk miradi ya maendeleo tazama Bandari za Pemba. Bara bara za Pemba. Airport ya chake Pemba, hadi leo ni hadisi za Albunuwasi na comedian za kachara. Tukutane oktoba 2025 ndio mtajuwa kilicho mfanya mgema tembo kulitia maji.
@mahfoudhjuma4833
@mahfoudhjuma4833 2 года назад
Wete chake safi sana
@alinassor391
@alinassor391 2 года назад
Mwinyi mpeku ata ukiimaliza hio ziara kuzunguka pemba mzm miguu imeshafanya mabojeee hongera sana
@salummussa9871
@salummussa9871 2 года назад
Piga kazi mh wetu tunakupenda na kujua kuwa nchi inakimbia kwa maendeleo
@hamismberwa5672
@hamismberwa5672 2 года назад
Tunaomba Mh Rais Mwinyi atuone na sisi wananchi wa Shangafu,Mashuga,na Tondooni Bars bara hatuna ,tunaomba bara bara kupitia mkarafuu mmoja mpaka Minungwini
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 2 года назад
Mkoani jee haimo baada ya kujenga barabara muhimu mnajenga mgelema ukhanithi gani huu mie sielewi
@reynatjuma6202
@reynatjuma6202 2 года назад
Barabara ya mkoani ,chake jamani
@saidarafat9598
@saidarafat9598 2 года назад
Safi sana
@saidmaulid4478
@saidmaulid4478 2 года назад
Mama Kila lakhery
@dula3570
@dula3570 2 года назад
Mbona bandari na Barbara ya mkoani chake hamjengi kwann hamuoni Kama naile nimbovu
@mahfoudhjuma4833
@mahfoudhjuma4833 2 года назад
Dokta fadhila akichambua hesabu zake
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 2 года назад
Ushauri wangu miradi igaiwe sawa Kwa sawa unguja na pemba Kwa Nini unguja wanapewa mingi kuliko pemba?
@othmanalnabhany3208
@othmanalnabhany3208 2 года назад
BASI IANGAlIENI BARABARA YA CHAKE /MKOANI jamani maendeleo yawe kote sio ungujatu tu au pemba kaskazinitu kuna na kipande pia cha mgagadu, msengele mpaka kendwa kiwani kama hamuijui muulizeni Makamo wa pili anaijua hii barabara watu walishakula hela mara nyingi tu tokea utawala wa Salmin hadi leo
@alinassor391
@alinassor391 2 года назад
Mnajenga nyumba za walim kwani humo visiwani hamna walio na fani ya uwalimu mkawaajiri
@arkamibrahim6641
@arkamibrahim6641 2 года назад
Chani kumpamba Kwa mauwa hakuna jipya tumepa matumaini makubwa barabara sio kujisifia kuwa maendeleo Amani karume amejenga nyingi tu, hakuna kitu, watu wakisema na yy anasema watu wanasema sijafanya kitu, mbala mbla, mpaka leo wanafuzi mashuleni wanasima zaidi ya 60
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 2 года назад
Andika vizuri wewe sio bala bala ni bara bara wewe WA wapi? Wewe au porini
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 2 года назад
Ni mwendo wa filamu tu
@MAPETEE
@MAPETEE 2 года назад
Hakuna mabadiliko yoyot Labda njaa tunakufa njaaa
@MohamedAli-qf6et
@MohamedAli-qf6et 2 года назад
Mwinyi raisi wa ccm pamoja na juhudi zako za kututia changa la macho kwa maendeleo madogo madogo unayoyafanya hasa kwa kisiwa cha Unguja ambako ndiko unakoamini kuwa kuna ndugu zako wengi wa damu ,lakini hili kwetu halitokuwa ni kikwazo kwa Wazanzibari wanaojielewa kudai mamlaka kamili ya nchi yao ambayo ndiyo ajenda na siyo kutulazimisha kuwa chini ya ukoloni wa Tanganyika.
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 36 млн
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 130 тыс.
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Просмотров 344 тыс.
DR.MWINYI AING'ARISHA MICHEWENI
8:32
Просмотров 3,8 тыс.
DK.MWINYI ANGURUMAA KISIWA PANZA
7:56
Просмотров 1,7 тыс.
DK. MWINYI MUARUBAINI WA ELIMU YA JUU KISIWANI PEMBA
9:03
KANGANI WAMUUNGA MKONO DK. MWINYI
6:21
Просмотров 1,2 тыс.
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 36 млн