Тёмный

INASIKITISHA! KIJANA MTANZANIA ASIMULIA JINSI ALIVYOAMBUKIZWA UKIMWI GEREZANI/NDUGU WAMEFARIKI/UGUMU 

TimesFMTZ
Подписаться 541 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@samkandamasanula7548
@samkandamasanula7548 3 года назад
Pole sana broo
@beatricemuya5768
@beatricemuya5768 3 года назад
Pole sana mungu akufanyie wepesi
@lovvy854
@lovvy854 3 года назад
Ukiona kaamua kulieka wazi na wengi uwaga wanaficha duhh mungu atakufanyia wepesi insha'Allah Khair 🤲
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Jamani mungu amfanyie wepesi ndugu yetu ni huruma sana.
@ayshabombasana7388
@ayshabombasana7388 3 года назад
Daa pole mpendwa yote maisha ucijali
@shuuabdallah7815
@shuuabdallah7815 3 года назад
Daah.nimeumia sana
@lyilyanmussa5433
@lyilyanmussa5433 3 года назад
Mungu atakufunika katika mbawa zake takatifu
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 3 года назад
Allah akupe busara na kubwa zingatia dawa ivo ni mipango ya mungu na nimitihani km ilivo mitihani mingine Kupata ukimwi sio mwisho wa maisha kikubwa ishi kwa matumaini
@tunusefu2018
@tunusefu2018 3 года назад
😭😭imeniuma ana Allah akufanyie wepesi inshallah
@crala-d7z
@crala-d7z 6 месяцев назад
Pole sana kaka angu 😢😢
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 8 месяцев назад
Mbona ya miaka mingi sana iyo watangazaji bwana
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 года назад
Frank alitangazwa na maximum tv natulimchangia mshukuru Sana Zahir alikutoa pabaya mpk kufika hapo ulipo usiseme uliishia godoro na kitanda we omba tu msaada Frank uwe mwingi wa kushukuru🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@kevomakundi61
@kevomakundi61 3 года назад
Pole Sana bro mungu atakusaidia
@ngassangwegwe1989
@ngassangwegwe1989 3 года назад
Pole saana brother
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 года назад
Pole mdogo wangu daa
@tumabhay8576
@tumabhay8576 3 года назад
Pole sn kaka nakukumbuka zamani ulikua unafanya intaview za kujitangaza kua umeathirika.. Lakini ulikua unamaisha ya unafuu kwa mujibu wa kauli zako. Mackini saiv hali imekubadilikia umekua na hali ngumu ulikua kila ukiongea unaongea na tabasam kila mda unacheka tu lakini leo. Dah! 🤔 Unasikitika na sura yako Imejaa huzuni... 😞Inshaallah mwenyezimungu atakukhifadhi atakufanyia wepec na utafanikiwa mungu akuondoshee mazito ucdhalilike. Mungu akutie nguvu na imani. Mungu akuoe ustahmilivu na subra.
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 года назад
Kaka amini na uta pona kwa jina la yesu naomba wende mwenge mpakani kwa kuhani musa richard mwacha uta pona kwa jina la yesu
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 года назад
Kaka usikate tamaa Mungu ni mwema.Nakuomba sana ukimaliza hizo dawa uende ulkachukue dawa nyingine.Namuomba Alla aniwezeshe pesa nikuwezeshe mtaji
@fatmamsallam437
@fatmamsallam437 Год назад
Hasemi aliupataje ?
@happyjohn7630
@happyjohn7630 3 года назад
Wew mtangazaji ujui kaz unaoyo fany mulize alipataje hv
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 3 года назад
Walichangia viwembe alishaga ongea kipindi cha nyuma mwaka jana
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Masikini polee myHeee polee sana handsome boy jamani mzuri jamani eeeh
@masalujoseph3820
@masalujoseph3820 3 года назад
umeonaee
@happymariki824
@happymariki824 Год назад
Hiki kichwa cha habari mmm. Sema anashi na virusi vya ukimwi kusema kaambukizwa gerezani je alishiriki mpenzi na nani.
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 3 года назад
Dahhh,,, nahuzunika Wapendwa tumsadie japo mia mia tukichanga tunaweza kumuinua ili nae aweze kujikimu
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Umeongea Pont true
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Tusaidie number nina dada pia ni ugonjwa muasirika waowane jamani dozzi ale
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 года назад
Salam alekum pole sana naombo no yako
@frankfrancis2195
@frankfrancis2195 3 года назад
0747142486
@omaridarus8847
@omaridarus8847 3 года назад
Pole sana
@sophiageorge3565
@sophiageorge3565 3 года назад
@@frankfrancis2195 mungu bado ni mwema kwako
@anifamickidard4555
@anifamickidard4555 3 года назад
Napenda tu alivyo na furaha
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 года назад
Daaaa hatari sana
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 месяца назад
Bira aishi na cherry
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 3 года назад
Ulipataje ukimwi gerezani?
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 3 года назад
Alielezea kipindi cha nyuma alipata kwa njia ya viwembe kuchangia
@ngolegracesimon
@ngolegracesimon 3 года назад
Alishahojiwagwa na kituon kingine akasema alipata virus kwa njia ya kuchangia wembe
@brianmuchiri1098
@brianmuchiri1098 3 года назад
Alifanya interview na midia gani nione?
@aganthujohn7883
@aganthujohn7883 3 года назад
@@brianmuchiri1098 millard ayo Angalia alifanya huko
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 года назад
Maskini jamaniii inasikitisha Dunia hiii 🤦‍♀️
@paulmkalawa496
@paulmkalawa496 3 года назад
Alipataje maradhi
@moshimgaza5642
@moshimgaza5642 3 года назад
Atoe no asaidiwe. Mtangazaji nia yako umsaidie au
@RAFIKI_TANZANIA
@RAFIKI_TANZANIA 3 года назад
KAKA HUNA AKILI KWANZA WEWE UMESHAKUWA MUHUNI ALAFU UNACHUKULIA UGONJWA KAMA KITEGA UCHUMI SASA TUMEKUTUMIA PESA NYINGI SANA UNGEKUWA TAYARI UMESHAPATA MTAJI NIKUULIZE HIVI UNAJUA WATU WENGI TUU WANA UKIMWI WAKISEMA WAACHE KUJITUMA WAANZE KUOMBA OMBA ITAKUAJE
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 года назад
Kwani mlishawahi kumtumia?
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza Месяц назад
Anaomba hajarazimisha usimpe wewe tena acha kukatisha wasamaria wema tama
@halishmwarua2957
@halishmwarua2957 3 года назад
Fata dawa kaka usiache dawa ni hatar hiyo
@thelionwomen4970
@thelionwomen4970 3 года назад
Brother kuwa na ukumwi si mwicho wa maicha kaka yangu kuna watu wana roho mbaya tu!!
@jackjoshua3666
@jackjoshua3666 3 года назад
Wewe Frank wewe Aya bhana
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Mbona kwani unamfahamu
@dullajuma5295
@dullajuma5295 3 года назад
Muuuuuu
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 года назад
Mh masikin
@alittoalhabsi7507
@alittoalhabsi7507 3 года назад
Nyie huku kaka haja zoea kufanya kazi kwani ukimwi ndio sababu mbona sisi hatujitangazi yani anaomba omba bila kufanya kazi
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 года назад
kwani we unayo
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 года назад
Pole sana
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Enyewe nisha ona interview zake karibu nne toka mwaka juzi sijui kma ni mwaka jana mwanzoni
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 года назад
Muongo huyo tunamjua wa kiwalani huyo alikua anachukua wanawake Kama mvua na Alikuwa bajaji binge la bwana wenyewe wanamuita anataka tu hela huyo jina lingine wanamuita kafyome
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 года назад
Una ongea kweli mana hawa waandishi wakisema hiviulivyoandika watakutafuta wakuulize vizuri. Alikuwa kiwalani ipi mana mimi mwenyewe wa kiwalani midizini nyuma ya karakana
@fesalchambuso8023
@fesalchambuso8023 3 года назад
Usinambie duu 🙄🙄
@lyilyanmussa5433
@lyilyanmussa5433 3 года назад
Maadamu amekir mbele ya watu kwa yey n muathieik tayal ananutakaso wa mungu angeamua kunyamaza hakuna ambae angewez kujua na angeondok na Weng sisi ni nan hata tutoe hukumu ikiwa kwa kukir kwake tayar anamsamaha namkibali toka kwa mungu Sisi n binadam tu ujafa ujaumbika Kesho lawez kuku pat hat wewe pia wapo watakao sema ni muongo pia jamani ni wakat wa kumsaidia n si kumpa lawama
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 года назад
Kwahiyo sio mgonjwa ni tapeli?
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 года назад
@@lilyrose7983 sana
Далее
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн