Nakumbuka mwaka 2012 2:47 hadi 3:37 ndiyo ilikuwa sehemu yangu ikifika hapo nasikia kama kulia, jameni mapenzi nyie wacheni na kupenda ni kwengine sahivi unaona yote kawaida tu.
Tamuuuu tamuuuu tamuuuuuuuuuuuuu hay mashair w mzee uliyatongoa wapi wallah maan hiiii ht km hun usingiz uw na Kz ya kushush konten utaliach chini apo usikiliz alojaaliw maashhaallah saut si nene c nyembamb lkn w wach Lkn inshaallah namie yul nimpendae kwa dhati ndan y moyo siku moja Miad itakamilik tuliaidian na inshaallah tutaoan Love u
Mimi pia. nakumbuka washenga wote walikatazwa kunisimamia. Nakumbuka ndugu wa bibi harusi walivyokuwa waenda kwa baba yangu kusitisha nisimuoe. Nakumbuka ndugu zangu walivyoshiriki kuizuia. lakini mwisho nikaoa nikiwa alone bila mwmber hata mmoja wa familia yangu. Siku ya harusi nikaletewa barua kwamba nisiende kuoa kwani bi harusi kachumbiwa na mtu mwingine..... lakini Allah akafanikisha na sasa tuna watoto wanne, miaka kumi na sita tukiwa happy.... hakika likiandikwa linakuwa.