Тёмный

Iran yadai vituo vya mafuta na mtandao wa umeme vinafanya kazi kawaida baada ya shambulio la Israel 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 3,4 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@abdibrown5591
@abdibrown5591 2 часа назад
I love you my brother sns
@allysimu6856
@allysimu6856 3 часа назад
Mashaallah iran mashaallah 🇮🇷🇮🇷🇮🇷
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 часа назад
😂😂😂😂 Israel 🇮🇱 itawafua
@kayagoAziza-z2c
@kayagoAziza-z2c Час назад
❤❤ tabarakallah mungu awape nguvu
@feisalkhamis9445
@feisalkhamis9445 3 часа назад
Wa Kwanza
@vibetz9991
@vibetz9991 Час назад
Apo p.Diddy anafurahi sana
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 2 часа назад
Masha Allah
@RamadanPaul
@RamadanPaul Час назад
Sisi kama waafrika tupo pamoja na Iran 🇮🇷, Urusi 🇷🇺, china 🇨🇳 na KoreaKaskazini. Maana wanazuia utawala wa kimabavu wa wazionisti duniani. Nchi za afrika zimegubikwa na wimbi la ugaidi na uongozi mbovu, yote inasababishwa na nchi za ulaya na zionist, hivyo tusilaumu serikali zetu kuwa zinakopa sana na hakuna maendeleo kwani adui mkubwa wa afrika ni ulaya na zionist ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇸🇴🇸🇴🇭🇹🇭🇹🇸🇸🇸🇸🇸🇩🇸🇩
@zanzibarbikelife9815
@zanzibarbikelife9815 2 часа назад
🤝🇮🇷💪💪💪
@Badvoice707
@Badvoice707 Час назад
Iran kajitahidi sana kuzuia makombora zaidi ya mia ya israel yuko vizuri
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 часа назад
Poleni sana familia za wanajeshi wa Iran mlio fiwa na ndugu zenu, Wanajeshi wa kitaa huku kwenye mitandao wako wanacheka tu vitandani mwao na kunyampa eti wanaanza vikao. Nendeni Lebanoni mkaone uzito wa vita kama mtasifia
@Mubarak552
@Mubarak552 14 минут назад
Tunasimama na Jamhuri ya Kislam Iran, dua zetu zi pmj nanyi
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 Час назад
MUNGU ibariki israel🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱❤❤❤❤🙏
@Meshaqsamwel
@Meshaqsamwel 2 часа назад
Sio kwamba Israel alishindwa kulipua iv vituo ila kuna sababu nying sana zinazomfanya asifanye ivooo
@PaullyPuyetrov
@PaullyPuyetrov 2 часа назад
Kwanza haitakiwi upige miunsombini ya kijamii, sasa vita ni kushambulia kambi na vifaa vya kijeshi
@OmarSongoro-bp9pn
@OmarSongoro-bp9pn Час назад
Waisrael wa msata
@ZubeirKhamisAbdallah
@ZubeirKhamisAbdallah Час назад
Hana uwezo huo
@Meshaqsamwel
@Meshaqsamwel Час назад
@@ZubeirKhamisAbdallah sio kwamba hawana uwo uwezo ila kama wakipiga vituo vya mafuta na nyuklia kuna hatar ya kutokea vita ya tatu ya Dunia, pili UCHUMI WA Dunia utaadhirika sana coz asilimia 75 ya mafuta yanatokea mashariki ya kat
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Час назад
Kajigamba nakuahidi ...........we unakuja kumtetea Nini 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 50 минут назад
Viva Iran mbabe wamagharibi
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Час назад
Yaa Rab ilinde Iran inawateteya wanyonge
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 47 минут назад
Amin ya rabb
@ZubeirKhamisAbdallah
@ZubeirKhamisAbdallah Час назад
Mbn sns mm siwaelew na vichwa vya hbr vyenu
@geoufo2858
@geoufo2858 3 часа назад
Ililenga vyoo tuu wale wanajeshi walikuwa wanakojoa zao😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 часа назад
😂😂😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 часа назад
😂😂😂😂😂
@aminaali792
@aminaali792 2 часа назад
😂😂😂😂😂🎉
@سعدههوام
@سعدههوام 2 часа назад
😂😂😂 mungu anakuona 😅😅
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 часа назад
Umetisha kasim Suleiman 😂
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 49 минут назад
Israel alisema hatapiga Sehemu za nuclear wala vituo au mitambo ya mafuta sasa hiyo si kawada kuendelea kufanya kazi
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 2 часа назад
we mzee BRICS ulikuwa wapi...? umetudhulumu mno. Kesho kwenye GPS fanyeni juu chini muwe wote wanne❤. tena ikiwezekana masaa yawe manne na kuendelea.
@سعدههوام
@سعدههوام 2 часа назад
💪💪🇮🇷 ❤❤❤
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 часа назад
😂😂😂😂😂 uzur Israel ilisema nitashambulia kambi za kijeshi ila mkiludia kurusha mafataki yenu Israel 😂 nyukria na vituo vya mafuta vitapigwa kama ngoma 😅😅
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 часа назад
Zipo salama maana Israel haikuzilenga ... endapo kama wangekuwa na niya hiyo hata Nuclear facilities za Iran hazingesazwa....jaribuni ujinga mwengine
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 часа назад
Ok yahudi mweusii
@PaullyPuyetrov
@PaullyPuyetrov Час назад
Huna unalojua, Myahudi ndie Aliye muuwa Yesu, kisha uyo uyo unamtetea. Mm nataka apigwe asiwepo kama zamani miaka 1930. Walikuwa wana nchii wanatanga tanga, kwa kuwauwa manaabii na mkusulubu yesu
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Час назад
@@PaullyPuyetrov Soma Warumi 11...na uache kuficha chuki zako dhiidi ya wayahudi Kwa kisingizio cha kumuua Yesu
@abubakarmussa5519
@abubakarmussa5519 48 минут назад
​@omondiowino7875 anakwambia ukwel mkirsto mwezangu ww mtu kamuuwa mungu wako uyo uyo anae mtetea ww UKIRSITO haupend asa uko uko unapo kutetea ww kuna makao makuu ya ushoga Israel 🇮🇱
@abubakarmussa5519
@abubakarmussa5519 45 минут назад
​@@PaullyPuyetrovmm huwa najiulza hawa wakirsto wengine huwa akili wanazitoa wap za kuwapenda mayahud wamemuuwa yesu awo awo ndo makao makuu ya ushoga Israel 🇮🇱 kwass na pia wayahud ukristo hawaupend asa na wanasema yesu mtoto wa zinaa na bado wakirsto wengine wanashabikia mayahud
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 2 часа назад
Mwandishi bwana kila clip lazima aseme eti shambulio limesababisha mazala madogo wakat Serikali ya Iran imekili mpaka sasa wanajeshi wake 4 wamefaliki kutokana na shambulio hilo
@zachariamtemba8434
@zachariamtemba8434 Час назад
Nilijua tu, SNS sponsa wako ni AL JAZERA. Soon itajulikana wapi ulipata dili hili la kuanzisha media. Nilikukubali sana ukiwa Star Tv but now nishakuelewa jinsi ulivyo kibaraka wa media za nje. Foolish
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 3 часа назад
WAYAHUDI WEUSI like hapa😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 часа назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 часа назад
😂😂 Israel ili mkubali ni taifa lenye uruma imepiga kambi tu ila manajesh wamekufa kama sisimizi😅😅😅
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 49 минут назад
​@@raydanfrenk kama wanavyofanya Palestine na Lebanon
@Billystewart999
@Billystewart999 2 часа назад
HEY LET PEOPLE KNOW WHAT HAPPENED TO LIL DURK
Далее
Why This Country Was Erased From History
16:50
Просмотров 1,4 млн
Ip Man 2 | Initiation Fight
10:41
Просмотров 1,3 млн