Тёмный

Israel inaadhirika Gaza! Wanakula kichapo! Wanaichokoza Hezbollah ili Marekani ije kuwaokoa! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 60 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 684   
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 месяцев назад
YAAAN ALLAH SUBHNA WATAALA NI MKUBWA SANA NA HAPA NDIO TUNAONA UKUBWA WA ALLAH ❤❤❤❤❤❤ NA RAHA YA DINI YA KIISILAM ❤❤❤❤
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 8 месяцев назад
Brainwashed 😂😂😂
@newgarden8036
@newgarden8036 8 месяцев назад
Sasa dini inaingiaje happo. Mimi naunga mkono kupigwa kwao Sababu ya uonevu. Ingawa ni mkristo
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 месяцев назад
@@Oldskulgemini9991 hata chizi humuona mwenye akili ni chizi sjui mwezangu uko upande gan??
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 8 месяцев назад
@newgarden8036 Duuuh sorry wewe ni muisilam au mkiristo sorry?
@SAM_163
@SAM_163 7 месяцев назад
VICHWA ZERO VINATIWA MOYO NA FUSE YA SNS 😅😅😅😅
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 8 месяцев назад
Shukran wajazaakumu llahu khayra
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 7 месяцев назад
Hawa wa Israel Mwenye Enzi Mungu ana wa ita wa habaribifu katika ardhi, Subhana Allah maneno ya Allah sio uongo. Swadaqa Allah Al Adhiim
@FADYANALOLA
@FADYANALOLA 8 месяцев назад
Kwenye hii vita ndo nimegundua wa israel sifa tu lkn battle on the ground wako zerooo 🔻🔻🔻🔻🔻🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸✌️💪🏻
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 7 месяцев назад
Mjini gani wa Israel umepigwa ukawa kama gaza
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
​@@ramadhanchenga46064:39 kwahiyo anapgana na majumba? Pofu kiunga
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 8 месяцев назад
USHINDI NI KWA WALIOAMINI PEKE YAKE JUST MARK MY WORDS FREE FREE PALESTINE ☝ ALLAHU AKBARU☝
@AliAdam-bz9wx
@AliAdam-bz9wx 8 месяцев назад
Shukrani Wana wa SNS . Ali Adam . Visiwa vya KOMORO , mungu awabariki wasemao kweli .
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 7 месяцев назад
Salaam Ali! Kuna biashara nataka kufanya biashara ambayo sote tutafaidika,tafadhali kama upo tayari nijuljshe
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 8 месяцев назад
Free paresistene from Rwanda
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 7 месяцев назад
Amina Amina
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 7 месяцев назад
Assallam alaykum waramatullah wabarakatuh Mimi Abdul kalim
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
​@@kavakurejeanBaptist-nk7jzwaaleykum salam warahmatullah wabarakatu
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz Месяц назад
@@HusseinSaguti-sj9nh Barak Allah fikum
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
@@kavakurejeanBaptist-nk7jz wanta kadhalika
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 8 месяцев назад
Allah atupe ushindi
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 7 месяцев назад
Amina Amina
@user-pr7yh1tx7z
@user-pr7yh1tx7z 8 месяцев назад
Taarifa zako DG sma zawachoma nimwiba kwa mashoga kwani hao sindio wenyekuharibu ulimwengu
@user-ul9oo5fr2k
@user-ul9oo5fr2k 8 месяцев назад
Fact
@jamilajuma3811
@jamilajuma3811 8 месяцев назад
Taifa la Mungu/ Wana wa Israel walioandikwa kwenye bible sio hawa ma zionists children killers coming from European countries🙌 watu hawana maarifa wanashabikia tu propaganda😢
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 месяцев назад
KWELI UNAYOSEMA HAWAJUWI TOFAUTI YAO
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 7 месяцев назад
Napenda Sana watu wanaofanya research kma nyie,...watu wengine wakiskia Israel wanadhani ni Israelites...kuna Israelis and Israelites,... kuna wajinga wengine wanadhani zionists/Israel/white supremacists hawa ndo Israelites wa kwenye biblia
@princegerard4704
@princegerard4704 7 месяцев назад
​@@mahmoodmohammed1679unategemea kwa Akili yako Israel ya sasa ndo Ya Biblia au Iran ndo ile Uajemi kuweni na akili basi 😂😂
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 7 месяцев назад
@@princegerard4704 huna unachokijua ata ngoja nikufunze kitu...akujawai kuwa na taifa linaloitwa Israel kabla ya 1948...wanaotajwa ndani ya vitabu vya dini ni wana wa Israeli,...israel ni jina Jacob/yakobo...Jacob alikuwa na watoto wa 12,waliyokuja kujulikana kma Israelites,yaliunda makabila 12...ndo maana unaskia Wana wa Israeli,Yani Wana wa Jacob...wale walikua ni Israelites...walikua wakiishi Palestine,...1948,baada ya wayahudi kuuliwa Sana Europe wakaja na idea ya kuwa na nchi yao ya kiyahudi...Uganda ilikua moja kati ya nchi ambazo zilikua chini ya ukoloni,na waingereza wakataka kuwapatia Uganda wayahudi waunde nchi yao,ya kiyahudi...lakini haikutokea,wakaenda Palestine,Britain na allies walikua wameshinda vita vya dunia walikua na nguvu wakaamua "kuwapatia" wayahudi wa kizayuni/Zionists iyo ardhi ya Palestine,...iyo nchi ndo wameita israel,...iyo ni 1948 juzi tu its now 75 years...waliita iyo nchi israel wakijua kuwa watakukoroga ili uamini ndo wana wa israeli wale wa biblia....wale ni wazungu kutoka marekani,germany,britain,italy,...
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 7 месяцев назад
Kama sio hawa wenyewe wako wapi
@lukulomansour3087
@lukulomansour3087 8 месяцев назад
Dj smaa uko vizuri Sana makala zako zoote unazo tuandalia zimeenda shule zikahitimu nikipitwa na makala yako huhuzunika Sana hongera!! Sana dj
@fundedi7466
@fundedi7466 8 месяцев назад
Lakini anachelewa sana kuleta habar sijui kwa nn
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 8 месяцев назад
Dhulma haidumu kila mbabe Ana mwisho Allah jaalia mwisho wa hawa mashahud ktk ukanda huo
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 8 месяцев назад
Wape vidonge wameze bila maji hawa mafala wanaoisapoti Israel
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k 8 месяцев назад
Nilijua tu Kama Hamas itashinda tu maana Nilijua tu Kama wataumia maana huwezi pigana na watu wapo kwao duh 🙄 Israel 🇮🇱 hawezi kushinda pale tunamsheka tu pale tunamuona sasa kituko na mjinga mkubwa sana 😀😀😀😀😀
@sophiahezron3797
@sophiahezron3797 7 месяцев назад
Kama mishoga acha ife tyu
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 8 месяцев назад
Nakukubali sana my brother Allah akuifadhi inshaallah
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 7 месяцев назад
Bro wewe nimekukubali Allah akubariki sana wewe ni tofauti sana na yule Mpoki Buya Mwendagasi ni mkorofi na mdini sana eti ansema yeye ni Myahudi jamaa kauzu sana Dj Smak tuko pamoja sana
@sama-_8368
@sama-_8368 8 месяцев назад
Nakupenda kwa ajili ya Allah
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 8 месяцев назад
NAMI PIA NAKUPENDA KWAAJILI YA ALLAH
@bishweko
@bishweko 8 месяцев назад
Allah akupende ww zaidi
@officialkamdudu
@officialkamdudu 8 месяцев назад
kwanza mi kitendo cha kusikia mpaka sasa Hamas wapo ndio naamini hao ni Frredom Fighters na nawaombea kwa Mwenyezi Mungu kafir yeyote atakayeingia mikononi mwao shingo yake iwe halali yao
@fundedi7466
@fundedi7466 8 месяцев назад
Amiin
@hanifa9153
@hanifa9153 8 месяцев назад
Takbir Allahu akbar😊
@officialkamdudu
@officialkamdudu 8 месяцев назад
@@hanifa9153 ALLAHU AKBAR
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 7 месяцев назад
Amiin
@hawa6052
@hawa6052 7 месяцев назад
AMEEEN
@patriciatumain172
@patriciatumain172 8 месяцев назад
Mungu tu asimamie upatano upatikane Mana watu wasio na hatia wanakufa Sana hasa watoto wazee kinamama tna na wengine ni wajawazito wagonjwa mahospitalini jamni tufunge kwa maombi kila mmoja wetu amani ipatikane
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
Mchochez na amerika na washirika wake
@uwimana6533
@uwimana6533 8 месяцев назад
Asante kwa tarifa nzuri 🙏🙏
@bjngft4985
@bjngft4985 7 месяцев назад
Mpalestina kama Mpalestina..
@user-fk7rt6rz4i
@user-fk7rt6rz4i 7 месяцев назад
Free Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 hao ndugu wengine sina habari nao mimi mwafrika
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
Kongo nikolon la ufaransa ndio marafiki zenu hata lugha mwatumia kifaransa na ndio anaemichuuza Mkataeni kwanza mfaransa km niger bukinafaso nk
@flm1530
@flm1530 8 месяцев назад
Sky sio kila siku unamuwek dj asmaa weka na mkristo mwingn aelezee huyu jamaa yupo upande mmoja mtoe
@mwanahussein5935
@mwanahussein5935 8 месяцев назад
Zipo channel za wakristo hasaaa na wanayosema ni haya haya uyaonayo hapa coz huu ndo ukweli apa hakuna udini
@KhadijaDija-ir2hq
@KhadijaDija-ir2hq 8 месяцев назад
Kwenye comment wakristo ndio wanaojifanya hawamuelewi Dj sma lkn kwa uwezo wa allah ipo siku mtaelewa tu kma allah alivyoahidi (karibuni mtajua kua sivyo hivyoo)
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 8 месяцев назад
Tukumbushane ukiandika Allah anzia na A kubwa
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 8 месяцев назад
Tatizo watu hawana elimu, waislam mnadhan Israel ni taifa la Kikristo la hasha haiko hivyo. Takwimu ziko hivi Wayahudi 79% Waislam 18% Wakristo 3% KWA HIYO HIYO VITA NI YA WAISLAM VS WAISLAM ISRAEL wakristo ni wacheche sana
@ssaa7495
@ssaa7495 8 месяцев назад
Who is Allah??
@tricenathan
@tricenathan Месяц назад
Tatizo lako umekurupuka nioneshe taifa lolote la kiislam walio amka na kuanza kupinga unyanya saji wa Israel zidi ya Gaza sisi wakristo ndo tunao amka na kupinga kelele vita viishe
@alibinali_
@alibinali_ Месяц назад
Wao wa Israel hawatambue wakiristo ata kidogo hao ushoga ndio kitu kikubwa kao 🗑 🚮
@FADYANALOLA
@FADYANALOLA 8 месяцев назад
#freepalestine🇵🇸🇵🇸🇵🇸✌️✌️,#foreverresistance🇵🇸🇵🇸🇵🇸♥️💪🏻💪🏻……
@hudumablack9339
@hudumablack9339 8 месяцев назад
DJ SMA Kwetu sisi ambao tuko nje ya group tafadhali usitusahau kututumia vigongo vipya kila siku hapa RU-vid. Tunakumiss sana kwa uchambuzi wako wa RussoUkrain war na siasa za kimataifa.
@user-ul9oo5fr2k
@user-ul9oo5fr2k 8 месяцев назад
Najikuta nikitokwa na machoz juu ya haya mauwaj😢😢😢😢
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 8 месяцев назад
Nhtr ndugu yangu😢
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
Mauaji Gani? Kwa mujibu wa sma255 Israel wanatembezewa kichapo ayo mauaji unayoyaona ni propaganda wanauwawa ni Israel iyo ni sna255
@user-ul9oo5fr2k
@user-ul9oo5fr2k 8 месяцев назад
@@josephwilliam5813 hao Israel cha ajabu hawawaui wale walengwa maana wahanga wakubwa ni wanawake,wazee,na watoto
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
@@user-ul9oo5fr2k yes,,ni kweli
@laylayl5166
@laylayl5166 7 месяцев назад
Mwenyezi mungu atawalaani Israel na mayahudi na maziyuni kwa dhulma wanayoifanya
@mozasultan1676
@mozasultan1676 6 месяцев назад
Amiin yarabi
@edouardmanirampa4951
@edouardmanirampa4951 8 месяцев назад
Asante sana kaka kutujuza ushindi wa Gaza
@kawiche4911
@kawiche4911 7 месяцев назад
TAFADHALI MAANDAMANO YANAYOENDELEA DUNIANI NI KUWAUNGA MKONO WAPALESTINA NA SIO KUUNGA MKONO KIKUNDI CHA HAMMASI lakinUnaeleza vizuri sana tunamshukuru
@issakhamis9581
@issakhamis9581 8 месяцев назад
Free Free palestin ❤❤❤❤❤❤❤❤
@ashtube1333
@ashtube1333 8 месяцев назад
Asante sana unasema kweli yote tunafahamu
@user-re2hr8pc7x
@user-re2hr8pc7x 8 месяцев назад
Sisi tunaokuelewa tunajua huwezi kutudanganya Sasa mwenye kuona hamuelewi dj smaa asituchanganye
@biasharaonline693
@biasharaonline693 7 месяцев назад
Nimekubali mwamba 💪🙌
@mbarushimanasalimking6961
@mbarushimanasalimking6961 8 месяцев назад
Allah akuzidishe Elimu kaka DJ
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 2 месяца назад
Nakuombeya mungu inshallah nitakuja kutowa mchago wagu nakufatili sana tuko pamoja munchen
@khadijarashid5434
@khadijarashid5434 7 месяцев назад
Moyo umefarijika sana kusikia haya angalau kuona dua zimejibiwa.Na nyie waandalizi wa program hii pia munafungu lenu kwa Allah kwa kuangazia ukweli.Allah awezeshe zaidi
@GasperyTz
@GasperyTz 7 месяцев назад
Good job bro
@kidyybravo5267
@kidyybravo5267 8 месяцев назад
Safi sana Dj smaa tunaekelewa, Sema tufungue macho kuhusu mambo ya jewish lobby marekani na mikakati yao
@AishaTarimo
@AishaTarimo 8 месяцев назад
Allah Akbar
@user-mi9yv2qi5c
@user-mi9yv2qi5c 7 месяцев назад
Upo vizur san kaka nakukubali 🎉🎉🎉🎉
@AliNgumbao-g2u
@AliNgumbao-g2u 8 месяцев назад
Asalamu aleykum na sikiza kutokea kenya ..mombasa
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 8 месяцев назад
Walaykum msalam 😊
@FundiSimu-z5v
@FundiSimu-z5v 7 месяцев назад
Waalaykum salaam
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 7 месяцев назад
Danganya tu hila gaza hali ni mbaya sana tena sana
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 2 месяца назад
Wewe kichwa chako ni tope kinachoongelewa japo ni kuwa kuua raia wameweza ila sio wapiganaji wa hamas
@user-nj1if8dl2c
@user-nj1if8dl2c 7 месяцев назад
Nakubali mzemzima salut
@user-yc1cm2ns5o
@user-yc1cm2ns5o 7 месяцев назад
Bravo bravo brother keep it up
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan 7 месяцев назад
Napenda unasema ukweli
@khamisisheha3397
@khamisisheha3397 7 месяцев назад
Hingera sana tuko pamoja
@mathayodaniel812
@mathayodaniel812 8 месяцев назад
Amina baba
@alnaseralshaukail3350
@alnaseralshaukail3350 8 месяцев назад
Shukran sana
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 8 месяцев назад
Allah anauwezoo sana na ataendelea kuwadhiirisha tuweke macho waumini InshaAllah 😢iposiku Palestine 🇵🇸 watapata amaani
@SAM_163
@SAM_163 7 месяцев назад
Msingechapika miaka yote kama ni mkubwa kiasi hicho😂😂😂😂😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
@@SAM_163akiliako ndogo nusukujiko i can't argue with you am sorry
@abdimwalim3505
@abdimwalim3505 7 месяцев назад
Asante sana bro
@maidimples8236
@maidimples8236 7 месяцев назад
Big up bro
@kawiche4911
@kawiche4911 7 месяцев назад
Asante
@maryamm3738
@maryamm3738 7 месяцев назад
Kabisa kaka free palestin❤❤❤❤❤
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 7 месяцев назад
Hahaha etii mtu anakula mapoda atatoboa mbele ya watu wanaokula uji wa Ulezi na mihogo.. Noma sana aiseee. Nimemuona mwamba Scott Riter
@mustaphamatelefone-lc9pr
@mustaphamatelefone-lc9pr 8 месяцев назад
Asante sana DJ sma
@YusufuAhmadi-sr1hu
@YusufuAhmadi-sr1hu 7 месяцев назад
Asante kaka nakuelewa sana mwenyezimungu akulinde Natokea kigoma
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c 4 месяца назад
Mungu akubariki na habari zako nzuri sana nakupenda❤
@awilali5998
@awilali5998 Месяц назад
Thank you bro
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 7 месяцев назад
Hawachapwi wala hawashindwi hayo ni yako wewe usiyeijua Israel,Israel ni Jeshi la Bwana Ushindi ni lazima.🙏🙏
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 6 месяцев назад
Bado tunakuona umo humu,bado hujatoka tu,inaonesha habari za humu zote zinakufaa na akili yako imefunguka, lkn vidonge ulivyopewa bado vimekukwama hujaweza kuvimeza
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 6 месяцев назад
Hilo ni jeshi la bwana wako israel, lkn la kustaabisha zaidi huyo bwana wako yeye hata hakujui wewe
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 6 месяцев назад
@@salimali-rf9er 😅😂
@patersonsaid6053
@patersonsaid6053 8 месяцев назад
Hongera mkuu unatufunza vilivyo...
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 8 месяцев назад
Hakika
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
Mwnyz Mungu hayuko pamoja na madhwalim Israel Itashindwa tu papoja na mapesa inayopewa nasilaha kutoka marekan naulaya
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 8 месяцев назад
Free Palestine 🇵🇸
@user-mg9nk4mq5f
@user-mg9nk4mq5f 7 месяцев назад
Nakupenda kaka❤❤❤
@issajohn5996
@issajohn5996 8 месяцев назад
South frica
@saidabou6342
@saidabou6342 7 месяцев назад
Shukran sana smaa
@HappyAlbatross-us3bg
@HappyAlbatross-us3bg 3 месяца назад
May ALLAH protect Palestine and Free Palestine
@mfaumemkoma-ey2jd
@mfaumemkoma-ey2jd 8 месяцев назад
Nina kuelewa sana nakupa tano kwahabali zenye kina nipo nawewe kila unapotoa lipoti nina sikiliza kutoka Qatali asate
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 7 месяцев назад
Masha allaah gd
@MbonimpaMp
@MbonimpaMp 7 месяцев назад
Napenda Sana mwalim
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 8 месяцев назад
Tunakufata sana kaka
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 7 месяцев назад
Mwenye Enzi Mungu awa shinde wa Israel na majeshi yao na wote wanao wa saidia wa Israel laana ya Allah iwe juu yao. Hasbuna Allah Wani'mal Wakiil ala Israel na wote wanao wa saidia wa Israel laana ya Allah iwe juu yao. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 7 месяцев назад
Shukran dj.asm wewe unajuwa kusema uhaki
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Месяц назад
Nafuta habari yako dj.sma napenda kila habari yako mpia nipate nipo tayari kwa mchango wako
@fauziaalmaamry8360
@fauziaalmaamry8360 Месяц назад
Mimi nipo Oman muscat nafatia sana habari yako
@bashirimussa2938
@bashirimussa2938 8 месяцев назад
Shukrani kw juhudi zako
@ibrahimkondo3297
@ibrahimkondo3297 6 месяцев назад
Shukran tuelimishe ilikua hatujui tunaambiwa kinyume. Eee mola wetu waangamize waizraeli wote
@MussaCharles-xr5zx
@MussaCharles-xr5zx 8 месяцев назад
Free Palestine
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 6 месяцев назад
Shetani atashindwa kwa uwezo wa mwenyezi Mungu na majeshi yake ya halali Hezbollah maana yake ni nguvu ya Mungu.
@user-fk2ij8gg7x
@user-fk2ij8gg7x 3 месяца назад
Uko vzr Sana kakaendelea kutupatai taarifa
@chemihambo-hu9xp
@chemihambo-hu9xp 7 месяцев назад
Nakubar kaka
@AmisseSulemane-sb4re
@AmisseSulemane-sb4re 7 месяцев назад
Is true
@user-rx2vi2yp9w
@user-rx2vi2yp9w 8 месяцев назад
Tunasshukuru kwa dozi ya ubongo
@alswahabein-99alkhazain91
@alswahabein-99alkhazain91 7 месяцев назад
Nabado Allah atawashinda Allahu Akbar
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 8 месяцев назад
Nakuskiliza nikiwa 🇸🇦 kutoka 🇧🇮
@songoroalamin3376
@songoroalamin3376 3 месяца назад
Ukweli utabaki kua ukweli utake usitake hongera sana bro
@GabrielSky64
@GabrielSky64 8 месяцев назад
Hakuna ushindi kwa hamas bro wakati raia wameisha Wana angamia😢sa ni ushindi Gani huo basi tu ni akiri ndogo inapo ongoza akiri kubwa na ndio Hamas. Sipo upande wowote binafsi napenda Sana amani
@mwanahussein5935
@mwanahussein5935 8 месяцев назад
Kumbuka wao wanauwa raia hovyo lkn hamas wanauwa wanajeshi na adi Sasa ni zaidi ya wanajeshi elf tano wapo chini ya ardhi bado walojeruhiwa bado waliokua Machizi... Tel Aviv wananchi wanaandamana hujiulizi nn tatizo kwa kifupi Israeli imeumbuka vibaya sio tu kushindwa yaani ni aibu Ila tu netanyau kaamua kukaza fuvu.. Kifupi wananchi wanataka ajiuzulu na akijiuzulu ataishia jela
@sammarley1413
@sammarley1413 7 месяцев назад
Naskia papa ameruhusu ushoga nikweli?
@josephkostans9128
@josephkostans9128 8 месяцев назад
Asanteee sana mkuu
@MRFRED-iq8bu
@MRFRED-iq8bu 8 месяцев назад
Wacha fitina. Nenda Gaza uone kama utapumua kwa siku
@Gulfnas1
@Gulfnas1 8 месяцев назад
2024 kazi tunayo....
@margaridaagostinhoacaciona3656
@margaridaagostinhoacaciona3656 5 месяцев назад
Mashalhaah mashalhaah mashalhaah mashalhaah mashalhaah mashalhaah alhaamdulilaah takbir alhaahu akbaaar alhaahu akbaaar alhaahu akbaaar alhaahu akbaaar alhaahu akbaaar alhaahu akbaaar alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na ushindi Palestine watapata inshaalhaah inshaalhaah inshaalhaah
@SaidAlley-gh9zr
@SaidAlley-gh9zr 7 месяцев назад
Hongra brodhar
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 месяцев назад
Noma Sana
@user-fm5md9xn5g
@user-fm5md9xn5g 7 месяцев назад
Timu U.S.A tuko vizuri
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 7 месяцев назад
Watching from Johannesburg south Africa.
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 8 месяцев назад
Asante bro ukweli kbs 🇰🇪
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 8 месяцев назад
Israeli wawuwaji
@user-ff5vk1sn6d
@user-ff5vk1sn6d 7 месяцев назад
Free palestina. From Tanzaniya❤❤❤❤❤
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
ALLAH AKIBAR
@ssaa7495
@ssaa7495 8 месяцев назад
Uongo huo acha kupotosha wajinga wenzio
@Fauzfakikhamis5281
@Fauzfakikhamis5281 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 8 месяцев назад
Hellow Dj Sma. Kuna mda sauti yako inakuwa chini sana. Israel hakunq kitu zaidi ya bwebwe tu
Далее
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 6 млн
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 4,3 тыс.
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 6 млн