Тёмный
No video :(

ITAKULIZA KWA UCHUNGU: Majaji wa KIZUNGU walivyomuua Mtoto George Stinney Jr kikatili bila HATIA 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 5 месяцев назад
Wallah nilitamani hii MAKALA utuadithie, ila sikujua nakupata vip sky, maana nimekutana nayo umu RU-vid toka 2017, nilirudia rudia kumtizama anavyonyongwa inauma sana kwakweli, kuuliwa bila hatia 😢😭
@RamadanPaul
@RamadanPaul 5 месяцев назад
Mi huwa naona sisi watu weusi mungu hakutendea haki kabisa. Yaan kila kitu hatuna, maisha magumu afrika, tunazalauliwa hata katika nchi zetu, yaan kila kitu hatuna.😢😢
@BahatiDotto-mt4sc
@BahatiDotto-mt4sc 3 месяца назад
bas sawa tufike sehemu tujue wazi hawa watu weupe haki wamelaniwa toka enzi za watumwa bado mpaka sasa hivi wanatuigiza mjini ukiigizwa holword msanii umeisha chakwao nikpi namshukuru Mungu mrasha kwa kuwapa maarifa ueda nass tukaagaria picha tukajifunza jamani waafrika basi Mungu atosha
@mwajumakweli
@mwajumakweli 5 месяцев назад
Yani hi habali Kila ninapo isikiliza uwaga Ina niumiza sana
@mourinebey_kenya7027
@mourinebey_kenya7027 5 месяцев назад
Dah! Sky umejua kuniliza Leo 😭😭😭😭 NIKISEMA WAZUNGU NI MAPEPO HAMUELEWI 😢
@aminaali792
@aminaali792 5 месяцев назад
Mpaka leo America ni wabaguzi na waizi wa nchi za watu na hata hao Palestine wanawaonea na kuwadhulumu nchi yao Hasbunah Allah waneemal wakeel 🤲🏼😡
@abubakariali9848
@abubakariali9848 5 месяцев назад
Kaka mwambie Frank atuandalie 360 ya mzee Ruksa
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 5 месяцев назад
Hii story mara ya kwanza naipata ni kama miaka 8 nyuma uko hii inasikitisha sana kwa kweli nguruwe weupe ni wabaya sana mambwa haya
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 5 месяцев назад
😂😂😂😢😢😞🙏🙏🙏
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅
@joharia01
@joharia01 5 месяцев назад
Duuh inasikitisha sana ila watu hawa sijui wataenda kujibu nini kwa mungu kwa kuzulumu nafsi ya huyu mtoto mdogo Sana😭🙏
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 5 месяцев назад
Story inaumiza alikufa namaumivu makali ya rabi binadamu mtihani san 😢
@AdnaneisufomomadeMomade
@AdnaneisufomomadeMomade 6 дней назад
Duniani hakuna haki. Haki iko kwa mwenyezi Mungu mtukufu
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 5 месяцев назад
ivi mnajua kua wazungu ndio mashetani wenyew
@user-lt9yx2mh9k
@user-lt9yx2mh9k 5 месяцев назад
Allah atawaazibu vibaya izo kenge 😢
@faridithomas4859
@faridithomas4859 5 месяцев назад
Kwenye story ya kusikitisha kama hii kuna mtu atakuja kuomba watu wa_like comment yake!!! Absurd
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 5 месяцев назад
😂
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 5 месяцев назад
Et
@wadantz123
@wadantz123 5 месяцев назад
Unawajua watanzania 😂😂😂
@alphadreammedia
@alphadreammedia 5 месяцев назад
😅😅
@omarychilala7948
@omarychilala7948 22 дня назад
Hakika kidonda kilichopo moyoni sijawai kupona kabisa ulale sehemu salama mdogo wangu
@Zafarankanyange
@Zafarankanyange 5 месяцев назад
Iy story inaniumizaag saan awa jamaa tunaishi nao ila duhh 😢
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 5 месяцев назад
😭😭😭😭 nimelia jamani Mungu atamlipa huko aliko
@AnneOtieno-hi8uj
@AnneOtieno-hi8uj 5 месяцев назад
Very heartbreaking 💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 5 месяцев назад
😢😢Mungu wangu,roho ya huyu mtoto itanena juu yao
@saidmasika8738
@saidmasika8738 5 месяцев назад
atakwenda pata haki kwa mola wake na wote walousika watakwenda kukutana nae ndio makufuli alikataa ukumu ya kuwaa
@songweairport7602
@songweairport7602 5 месяцев назад
SAD,NOT EASY TO HOLD BACK TEARS
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 5 месяцев назад
Daaha black lives matter❤harafu utasikia nitafutie mzungu 😏😏ubaguzi bado upo usipo Pambana ulaya ni noma sana rip george hizo damu za waafrica walizo mwaga zinawarudia huko marekani GOD SPEAKING
@JacobEduadr-yb6pi
@JacobEduadr-yb6pi 5 месяцев назад
Wa kwanzo ku comment like zenu
@oscartheicon2716
@oscartheicon2716 5 месяцев назад
What have you comment?? 😅😅
@helvinngereja6169
@helvinngereja6169 5 месяцев назад
HIV likes zinawapelekaga wap???
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 5 месяцев назад
​@@helvinngereja6169eti jaman😂😂😂
@samolamsille3928
@samolamsille3928 5 месяцев назад
One love kwa sns
@wemakalama6458
@wemakalama6458 5 месяцев назад
So sad wallahy😭😭😭
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 5 месяцев назад
Am speechless 😭
@qunjantv6105
@qunjantv6105 5 месяцев назад
Please Sky this story its emotional usijaribu kutuma maadhui kama haya unaweza kusababisha chuki dhidi ya wazungu tafadhari
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
Kwani wewe unawapenda wazungu? Sisi tunaishi nao uku ila Never relax hawatupendi hatuwapendi life goes on
@Zafarankanyange
@Zafarankanyange 5 месяцев назад
Tunaishi nao ila ubaguz upo japo sio wadhahir.hawatupend na mm siwapendi.
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 5 месяцев назад
Acha watu wajue ukweli.. Hawa wazungu wanatuchukiaga sana sijui kwanini walikuja kutuchukua huku Africa
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 5 месяцев назад
Wanajua mtu mweusi ndie Adam wakwanza..wao wakazaliwa na Adamu so wanajua tukijua tutawadharau sana ndio mana hasira zinawazidi sana
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 5 месяцев назад
Walimuua lakini wamemuheshimisha hadi milele.. Dunia inamjua nakumuombea mema Kila siku kazi kwao waliomuua
@fravythemistocless6903
@fravythemistocless6903 5 месяцев назад
😢
@LizenMaker
@LizenMaker 5 месяцев назад
Mungu atutunze.
@marthageorge5043
@marthageorge5043 5 месяцев назад
😭😭😭😭
@saumumsomali485
@saumumsomali485 5 месяцев назад
maskini mungu amurehemu na wao walofanya hivyo hawataishi milele
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 4 месяца назад
Dah 70yrs
@user-zt3nj5yj2j
@user-zt3nj5yj2j 5 месяцев назад
Haijawai kutokea kupendwa na hawa watu mtu mweusi ila kwakua kunakitu wanaitaji kwetu to ndio wanatuigizia upendo to Hadi Leo waafrica wanamaeneo Yao nawao wanamaeneo Yao hii to inadhihilisha kua wao nasisi nitofauti kabisa wanakutana na wale masikin wenzetu wenye mchanganyiko wanawaoa na kuolewa nao et wapo nao ulaya nakutamba bila kujua wapo chini ya maisha ya watu nakutumikishwa bila kijitambua
@Official83640
@Official83640 5 месяцев назад
Sasa dd zenu wanavyowapenda kila leo wanaendelea kuolewa tu na Wazungu wala hawaogopi 😂😂😂
@user-zt3nj5yj2j
@user-zt3nj5yj2j 5 месяцев назад
@@Official83640 watu weusi wanapaswa kutawaliwa adi dunia inaisha kamwe hatuwezi tujikomboa
@TaarabChannel
@TaarabChannel 5 месяцев назад
Very sad.... Mupitie na kwangu wambea ❤
@VascoSamson-ox8bx
@VascoSamson-ox8bx 5 месяцев назад
Huwa sipendi hukumu ya kifo kabisa binafsi huwa naona ni kama zambi kubwa Sana ni Bora mkafunga kifungo cha maisha jela lakn siyo kumuua
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 5 месяцев назад
Kweli ndugu kifo ni Mungu mwenyewe ndio anatoa sio sisi kuingilia kazi ya Mungu
@abuusufian6506
@abuusufian6506 5 месяцев назад
❤❤
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 5 месяцев назад
Inasikitisha nilipata kuangalia documentary inauma sana afu wako busy na vibeg vyao posta na Zanzibar
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 5 месяцев назад
Ukimtoa Millard Ayo ,inafata SNS taarifa zao una enjoy kusikiliza na za uhakika
@buchosatv2020
@buchosatv2020 5 месяцев назад
yes
@user-ih9mg6sb7x
@user-ih9mg6sb7x 5 месяцев назад
😭😭😢
@esternjauzi6310
@esternjauzi6310 5 месяцев назад
Nawapendaga hawa sns
@SaudaZigaba
@SaudaZigaba 5 месяцев назад
😢😢😢
@surusuru1994
@surusuru1994 5 месяцев назад
Alafu niabie et niwabede wazugu 😏
@stev644
@stev644 5 месяцев назад
Kaka frank utuandalie nakala 360 ya martin luther wa kanisa KKKT kuhusu chimbuko lake
@user-cf8re1vm7o
@user-cf8re1vm7o 5 месяцев назад
Walitakiwa kunyanyaswa kinyama hata wakija hapakwetu mambwa hawaa siwapendi mpaka nakufa wazungu ni mambwaaaa!
@Nyanda506
@Nyanda506 5 месяцев назад
😢😢
@fathmafatomo2962
@fathmafatomo2962 5 месяцев назад
💔💔💔💔
@brunoh_bx
@brunoh_bx 5 месяцев назад
Mida mingine ni bora kukaa kimya tu, ona dogo kilichomponza ni kuwaambia polisi kwamba alikutana na marehemu kabla ya kuuawa😢
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 5 месяцев назад
Hawa walimtarget kuanzia mwanzo. Wala chanzo sio hcho. Walitaka weusi wahame kabisa hlo eneo.
@brunoh_bx
@brunoh_bx 5 месяцев назад
@@Fx_expertmoneymaker001 Naelewa but labda asingesema kama alikutana nao wangekosa sababu ya kumtuhumu
@Juleseilondja
@Juleseilondja 5 месяцев назад
😢😢😢😢😢😢😢🔥🔥🔥🔥
@user-qv2qq5bx3r
@user-qv2qq5bx3r 5 месяцев назад
😮😮😢😢😢
@moseskulola6913
@moseskulola6913 5 месяцев назад
Wazungu sio watu kilasikunasemaka ivion hata family members hawakukuwapo jamani ..Gorger mtoto mudogo kafa bila haita kweli heeeeeeee mungu mukumbuke
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 месяцев назад
Ndio maana 😏 siwapendi kabisa hawa wazungu unakuta wafrica wakwetu huwakumbilia utadhani wanakutana n Mungun eti kisa ngozii nyeupe tu
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 5 месяцев назад
Hapo unakuta kimtu kunasema kunataka kuolewa na ayo mangurue
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 5 месяцев назад
@@user-pg6db8jl2y tamaa umaskini ndio n akili ndogo ,hao watu hawatupendi sisi wafrica ni sisi tumejipendekeza kwao
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 21 час назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@deomloka683
@deomloka683 5 месяцев назад
Inahuzunisha sana
@bandolatztrump2470
@bandolatztrump2470 5 месяцев назад
Wee Tajir Sky kwann usituandallie kipind katika Redio or Movie
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 5 месяцев назад
Cha ajabu miezi mungu hata wao wazungu wanakufa
@b.chantal5831
@b.chantal5831 3 месяца назад
😢😢😢😢
@mohamedally121
@mohamedally121 5 месяцев назад
Marekani Ana historia mbaya sana ya ubaguzi, had sasa bado unamtaguna, cha ajabu anataka dunia iamini kama yeye ndo mstaarabu na mtetezi wa haki za biadamu,shame him
@WwddffDdssaa-rq3xu
@WwddffDdssaa-rq3xu 5 месяцев назад
Iyi stolly. Mimi kirasiku 😭😭😭😭
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 5 месяцев назад
Kwani hawa watu weupe sijui tuliwakoseaga nin ?Endelea kupumzika salama Babu,umezaliwa mwaka mmoja baada ya bibi amgu kuzaliwq
@RamulaKabugho-bk8vk
@RamulaKabugho-bk8vk 5 месяцев назад
Haki haipotei 😢
@daylight1707
@daylight1707 5 месяцев назад
Afadhali angenyamaza wakatafuta wenyewe
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 месяцев назад
Hapo ndio utajuwa maana Ya white supremacy 😢😢😢
@hopechidera
@hopechidera 5 месяцев назад
Hata weusi wanaubaguzi mbaya. Binadamu wabaya wabaguzi wapo na wazuri wapo...
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 месяцев назад
@@hopechidera Ila hatuja fika hatuwa yakuandika Choo : Wazungu tu Choo : Weusi tu Mtu unakuwa na roho mbaya hadi unatunga shetiya Ya kwenda kunya 😳
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 5 месяцев назад
Wazungu wanaroho mbaya 😢😢😢
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 5 месяцев назад
Kuna story nyingine kuna mtoto wa miaka 14 au 13 aliuliwa 1955 kwa kumtizama mwanamke wa kizungu
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 5 месяцев назад
😢😢😢😭
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 5 месяцев назад
Elezea hii story ya Emmett till ni mtoto aliye uliwa 1955
@samirahemedy3526
@samirahemedy3526 5 месяцев назад
Akii nimejikuta na lia
@user-cf8re1vm7o
@user-cf8re1vm7o 5 месяцев назад
Ingekuwa amli yangu ningetembea na mashine kila napokutana na mzungu namuua
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌。
@samirahemedy3526
@samirahemedy3526 5 месяцев назад
Aya yote tulio pitia baado una mkuta mtu kweusi shoga😮
@dullydebadest5738
@dullydebadest5738 5 месяцев назад
BLACK LIVES MATTER✊🏿💔💔
@mussajuma7460
@mussajuma7460 5 месяцев назад
Alafu utamsikia mtu mweusi pray israel or pray for france wakat wao hawatupendi
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
Hakuna taifa linalompenda mtu mweusi, kuanzia wazungu, waarabu, wahindi, wachina you name it. Wenyewe kwa wenyewe tu hatupendani
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 5 месяцев назад
Kipindi iko wazungu walikua wajinga nampaka sasaivi wapo baadhi yao bado wapo
@oscartheicon2716
@oscartheicon2716 5 месяцев назад
Hii kesi si imefufuliwa juzi ama??
@hopechidera
@hopechidera 5 месяцев назад
C ndio unaambiwa haki yake imepatikana miaka 70 baada ya kufa kwake...
@Zafarankanyange
@Zafarankanyange 5 месяцев назад
Duh inauma san ssa iyo haki iv itasaidiya nn😢
Далее
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 276 тыс.