Тёмный
No video :(

Uhalifu, Mauaji na Ubabe wa MS-13: Genge hatari la Kimafia linaloisumbua serikali ya El-Salvado 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@frankjeremia7435
@frankjeremia7435 Год назад
Mwamba nakukubali sana kwamastory makali ambayo hunifanya nitenge munda wakusachi nakusikiza tu mastory bg up sana bro fredrick
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 Год назад
Duuh umewah kukoment.😂
@jeybullaz9323
@jeybullaz9323 Год назад
This Is SNS bro
@mackysuphian
@mackysuphian Год назад
Uc misi kuchangia chochote kwani ni sehemu inayo kuburudisha
@alexyohana4708
@alexyohana4708 Год назад
Sio wewe tu bro mi pia lazima nitenge mda kwa ajili ya simulizi na sauti
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca Год назад
Tuchangie kidogo ili ku support tunachokifanya, ahsante
@jamesjameswisdomtz1577
@jamesjameswisdomtz1577 Год назад
Huku kwetu unakubalika Sana kiongozi hongera Kwa Kazi nzuli 💪💪💪
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 Год назад
Lovely story with the information 😊
@yassersahin6639
@yassersahin6639 Год назад
Nomaaa sana ahanste kwa makala Nzuri
@teshacharles-rr8tb
@teshacharles-rr8tb Год назад
Pamoja sana mwamba kipaji tu brother kaka full mastor
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Hatari
@teshacharles-rr8tb
@teshacharles-rr8tb Год назад
Kipaji tu unacho brother mungu akubaliki mm huwa napendaga sana simulizi zako
@ramadhanidaudihaji2174
@ramadhanidaudihaji2174 Год назад
Hatari Sana daah 🤔🧐🙌🙌
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 Год назад
Noma sana bg up sana🙏
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Год назад
Hatari kabisa kaka 🇰🇪
@joseurembotz5164
@joseurembotz5164 Год назад
Hatari sana
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 Год назад
🙏
@ramaccr7525
@ramaccr7525 10 месяцев назад
Nakukubali sana bro
@samirmswahili
@samirmswahili Год назад
Sky uko vzr sana kwa simulizi sio swahili sio english rispect
@jamilally3916
@jamilally3916 Год назад
Hatar kabisaa🤔🤔
@mansourabdul3902
@mansourabdul3902 Год назад
Kazi kazi bro
@maramara5621
@maramara5621 Год назад
Wapigie risasi wote wote wasibaki hata mmoja. Wameumize wengi
@maryali2122
@maryali2122 4 месяца назад
Wapingwe sindano za sumu wsnaalibi vizazi vijao ndio mwisho wao fawa ya moto ni moto
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Год назад
Wana sns gonga like hapa tujuane
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 10 месяцев назад
Chukua hii
@suedhabibu3665
@suedhabibu3665 4 месяца назад
Hao waliokamatwa wapakiwe kwenye meli za kijeshi wakamwagwe katikati ga bahari yani kila kundi likikamatwa wanabebwa wanawamwaga baharini yani halaf wasitoe taarifa yani ile hawajulikani walipoenda wanapogezwa
@mucochanella1672
@mucochanella1672 Год назад
🔥🔥🔥🔥❤️
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 Год назад
Wauwawe
@jaystar1004
@jaystar1004 Год назад
Free
@l.m.a.7570
@l.m.a.7570 Год назад
Rais wa El Salvador ana asili ya palestine
@yamusahmasoud9107
@yamusahmasoud9107 Год назад
Sky tupechakula chamackio yetu nabongo zetu unaujua mpaka unazidi kaka uctutelekeze kama Millard ayo
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 Год назад
Nchi zingine zinasumbuliwa na Magenge magumu lkn Serikali inapambana sana kuyazuia. Tanzania tunasumbukiwa eti na PANYA ROAD Watoto chini ya Miaka 17 Kila Mtu anawaogopa mpaka Police na Serikali zimewashindwa. Dunia ina mambo
@saddybrezzy9777
@saddybrezzy9777 Год назад
SKY walker baddest voice PUNCH✊🙌
@mackysuphian
@mackysuphian Год назад
Hivi ni kweli kifo cha costa titch kuna nabii alitabiri kifo chake????
@idrismbarak84
@idrismbarak84 Год назад
*Mano Dura Policy*
@maryali2122
@maryali2122 4 месяца назад
Bidamuwaina hii no tishp za ulimwemgu tafuteni njia zkuwatokomexa wpelekwe kwenye poli la wanyama wakali watamalizika ni kitoeo cha simmba kupumzisha bibadamu shukulani
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 Год назад
Uko juu mtangazaji ujaiba bando yangu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Sasa wanalipwa au, maana hilo lengo pia ni kazi ngumu kwakweli.
@davidtentacion3104
@davidtentacion3104 Год назад
Elsavado ipo Bara gani hii nchi
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 Год назад
America
@MohamedSuleiman-id7zl
@MohamedSuleiman-id7zl 11 дней назад
Ipo Amerika ya kati imepakana na nchi za Panama, Honduras, Nicaragua Haiti, kiufup hzo nchi huitwa Latin county
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Год назад
Hawa viumbe 🏴‍☠️
@lussewaclassic6188
@lussewaclassic6188 Год назад
Bigup
@chomaboy2104
@chomaboy2104 Год назад
Brother wwe unakipaj
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Год назад
Kuna watu wana jiishiitu utasema hawatambuwi uwepo wa Allah!🤦‍♀️
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Rais mwenyewe msela atawaweza tu
@ibrahimroble3837
@ibrahimroble3837 5 месяцев назад
Tutatuma polisi wa kenya waeke amani ya kudumu😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Dunia hii ina mambo jamani wamejichora mpaka kinyaa
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 Год назад
Kama wataka juju story y pabloEscober tafadhali enda kw Chanel y Abel mtua A K A Mkurugenzii 😃mm nilimjulia huko, alikua hatari kw usalama
@pendosharif-kw4gl
@pendosharif-kw4gl Год назад
Inaandikwa kama medellin ila inatamkwa kama (medeyin).
@saidinsenda954
@saidinsenda954 Год назад
Salut mwamba we mkali napenda simulizi zako nakupata nikiwa Burundi
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Год назад
Hawa niwatu hatari sanaa sura zao tu ni tishio
@mdundotv4501
@mdundotv4501 Год назад
Una sauti nzuri ya usimuliaji lakini rekebisha matatizo ya L na R. Mfano unaposema msululu, sio Msululu ni Msururu.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Год назад
Kiswahili fasaha ni Msululu na sio 'Msururu' usirekebishe kitu ambacho wewe mwenyewe ndio hukijui
@kemmyboy
@kemmyboy Год назад
Wewe ndio hujui umekosea sio msururu
@billskeez92
@billskeez92 Год назад
Kaka Sky tunaandalie 360 vita vya DRC na M23 na Rwanda
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊
@athumanjuma2772
@athumanjuma2772 Год назад
Big up sana SNS, siku ukipata nafasi tupe madini kuhusu Cartels kiundani
@Direct-0000
@Direct-0000 Год назад
wamekosa heri
@abdulsimba7052
@abdulsimba7052 Год назад
Mwamba sauti kama mirad ayo
@ambwenemwamwimbe153
@ambwenemwamwimbe153 Год назад
Ndio sauti yake yupo kwenye media kabla ata Ayo
@ambwenemwamwimbe153
@ambwenemwamwimbe153 Год назад
Nimeanza kumsikia akiwa R.F.A miaka iyo
@sapparworld1733
@sapparworld1733 Год назад
Huyu ni zaidi ya millard,coz english pia inapanga so ni international presenter
@davabackup7767
@davabackup7767 Год назад
SNS
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 Год назад
Tatizo watashindwa kuwaukumu kwa kukosa ushaidi, Haki za binadamu watapiga kelele kwa kuwa hawana makosa sababu ushaidi akuna, kwaiyo tuseme inaweza kuwa wanawashikilia kwa muda tyyu Kisha watakuwa Uhuru na hapo ndio mabalaha yatakapozi Mara mbili yake Tena kwa umakini zaidi Yani bila kuacha ushaidi
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Год назад
Hpo hakuna ushahid boss hau direct wameshaanza kutumikia kifungo hizo tatu zote zina nembo zao MS 13 nawamehamishwa gereza tayari wamepelekwa marekani kwenye gereza lamateso makali watakaa milele
@ramaccr7525
@ramaccr7525 10 месяцев назад
Ndo shida iyo
Далее
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 15 млн
Mohammed bin Salman, Saudi Arabia's controversial prince
1:14:53