Mzee Matata aamua kuuza shambalake kwa shiliong million 3, Baada ya kuuza anamkuta mnunuzi mpya akiuziwa kwa sh mill 38, hapakutosha kwani Matata hakutaka kukubali lakini kwa bahati mbaya mwenyekiti alikuwepo na kumuambia kuwa alikwisha uza kwahiyo sio shamba lake tena.
14 авг 2016