Duh ulivyotaja viburudisho utadhani mnagawa bure. Kumbe mnazuia watu kuingia na maji huku mnaenda kuwauzia maji nusu lita kwa 1500. Rekebisheni hapo tu. Otherwise mko vizuri.
Hiyo safar ya saa 10 jioni Mnge isogeza iwe saa 11: 30 ama saa moja kamili Sasa saa 10 mapema hiyo jioni gani mtu bado hajamaliza mishemishe treni ishaondoka Ya jioni iwe na uhalisia wa jioni kweli
@@hassanlikwenangu8471acha zako ww hii you tube inatumiwa na watu wengi na mataifa mbalimbali wengine wanaweza kuona matangazo ya kiswahili lakini hawaelewi kilichoongelewa
Ratiba yenu sio sahihi, huo muda wa kuondoka Dar ingekuwa ni Morogoro ili wafanya biashara wapeleke bidhaa zao na wengine kuchukua mizigo/ bidhaa Dar na jioni isubiri abiria wa kutoka mikoani na Morogoro