Тёмный

SAFARI YA TRENI YA UMEME DOM - DAR, SHUHUDIA HESABU YA MASAA 4 KITUO HADI KITUO 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 93 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 247   
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 2 месяца назад
Mungu amlazè mahali pema peonies amina ,alikuwa kiongozi shupavu alie fanya kwa vitendo na si kwa maneno matupu ,tutakukumbuka daima
@Mohagnito94
@Mohagnito94 3 месяца назад
Huku Kenya, bado tunapulizwa na moshi ya treni ya Diesel. Hongera Tanzania. Napenda nchini yenu sana.
@faza4023
@faza4023 2 месяца назад
Asante tunawapenda Kenya pia ndugu zetu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 10 дней назад
sie tunawapenda Kenya...mko poa sana ndugu zetu. msijali yajayo yatafurahisha..subira tuu
@lucygodwin7590
@lucygodwin7590 3 месяца назад
Asante sana Hayati Magufuli kwa maono yako na asante Mh Rais kwa kuendeleza. Hakika watanzania mapungufu hayakosekani ila tujivunie serikali yetu. Watu wa kigoma wanasubiri wa hamu
@user-bk7sk7hc9g
@user-bk7sk7hc9g 3 месяца назад
Ni kweli kabisa madam
@stevenmasangula2104
@stevenmasangula2104 3 месяца назад
REST IN POWER JPM
@richardrichope3528
@richardrichope3528 3 месяца назад
Tuna ku miss JPM 😢 we really miss you 😢
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 месяца назад
Nammiss Yesu wangu aliyetenda miujiza ya kuwafufua wafu akiwemo Lazaro
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 3 месяца назад
​@@festokemibala5832yes ulimuon ya kaisar mpe kaisar
@henryxavery1713
@henryxavery1713 3 месяца назад
God bless Prophet.Amen
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 3 месяца назад
Mmmmh😢
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 3 месяца назад
​@@festokemibala5832ulikwepo??nyny ndio wanafik hupendi ndugu wanaoonekana kwa macho et unampenda MUNGU zaidi acha unafiki razaro umesoma JPM umemuona kwa macho yako 😢 pongeza hata hiyo injili bila miundo mbinu mizuri utahubilia wapi ?
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 7 дней назад
Hongera Mhe Rais kukwtembea kwny mazozo ya mtanguliz wako nguvu zielekezwe Bwawa la mwl Nyerere.
@malikkb6444
@malikkb6444 3 месяца назад
Hongera Trc hongera Watanzania..Ni jambo la kujivunia 👏👏
@goodluckharuna6284
@goodluckharuna6284 Месяц назад
Kiukwel ili ni jambo zuri tunamshukuru mwenyez mungu mbaka kufikia hapa ❤
@ellybrown5989
@ellybrown5989 3 месяца назад
Hongereni,nawaona watumishi wa Mungu ndani ya Train,Lazima upako ufanyike ili Baraka ziwemo katika chombo hiki cha usafiri.🙏
@emmagodson3048
@emmagodson3048 3 месяца назад
Tunamshukuru sana Mungu kwa kutupa Rais aliyekuwa na maono haya makubwa, watanzania hatutakusahau the late Maghuli RIP.
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 3 месяца назад
Mjomba magu kaacha historia
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 3 месяца назад
Hongera Magufuri bila wewe tungekuwa tunayashuhudia kwa wenzetu
@luganoessom1464
@luganoessom1464 3 месяца назад
nimefurahi kumuona mtumishi wa mungu mwamposa😊😇
@peterally-zv2km
@peterally-zv2km 3 месяца назад
Wote hao ni business man
@walterngowi5835
@walterngowi5835 Месяц назад
Mtumish wa Mungu wapi tapel huyo hana lolote
@salimsaid9852
@salimsaid9852 3 месяца назад
Hongereni TRC tunajivunia Watanzania tunapenda Miradi kama hii izunguke Tanzania nzima.
@zanzibaryetu.2608
@zanzibaryetu.2608 2 месяца назад
Hongera sana mama kwa kulikamilisha hili hakika watanzania tunajivunia sana kuwa na rais mtendaj kama wewe. Kazi iendeleee.
@user-gn2tz9xd2m
@user-gn2tz9xd2m 3 месяца назад
Magufull alikuwa na maono makubwa sana sana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
kwa kweli..ameacha alama mwenzetu huyu baba
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 3 месяца назад
Hakika Sana 😢
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 месяца назад
Mitano tena haina jinsi, Hongereni wote mlio fanikisha zoezi hili hasa Kadogosa pia abarikwe Saaana
@godichua4457
@godichua4457 3 месяца назад
Mitano kwa nani? Tunataka rais mwingine hatutaki kuongozwa na mtu asiyejua njaa hii nchi imewahi kuwa na marais wawili tu Magufuli na Nyerere kwahyo 2025 tunataka mtu kama Magufuli acha tulale njaa pweterea pwete tunataka maendeleo sio kula, kula tutakula hata mihogo na maji lakini iwe kubwa kama jina lake lilivyo kubwa Duniani
@godwinsimba177
@godwinsimba177 3 месяца назад
Hongereni sana. Kiwango ni cha kimataifa, kwa tuliosafiri nchi nyingine, na kutumia usafiri kama huu tunaona.
@k.kswitzerland4168
@k.kswitzerland4168 3 месяца назад
Ni zaidi ya swiss
@richardchawenda5938
@richardchawenda5938 3 месяца назад
Asante saana jpm
@janetkyara8004
@janetkyara8004 3 месяца назад
nguo za wanadada zapendeza sana. stewardesses are truly smart, love them. this trip added to my bucket list😊
@PeterkedimoniNgobela-ek6ty
@PeterkedimoniNgobela-ek6ty 3 дня назад
Heshima za zangu kwa mama yangu samia suru hassani pongezi kwake Nani Kama mama
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 месяца назад
Safi kabisa. Mambo mazuri mnooo. Kila mtanzania awe mlinzi kwa mwenzie kutunza mazingira ya Treni yetu. Tupo vizuri aisee...
@deusdeditpeter8006
@deusdeditpeter8006 3 месяца назад
Kazi ya mwamba jpm itukuzwe
@fab7689
@fab7689 3 месяца назад
GOD is Greatest. Amen
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 3 месяца назад
JPM hakuwa mwanasiasa alikuwa kiongozi kweli kweli leo hayupo lkn sio siri iniater wa treni ya umeme ni yeye na wako wengi kweli leo wanasifu treni ya umeme lkn mwanzo walimpinga kweli JPM...Sisi vijana wa Tanzania tunasema WE ARE TEAM JPM FOREVER✊️.
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 3 месяца назад
R.I.P JPM
@subatv4001
@subatv4001 3 месяца назад
Kwa mda wa masaa manne from dom to dar 444k hapo ilikuwa inatembea kwa speed ya 111km/hr ikitembea full speed ya 160 km/hr itatumia masaa mawili tu Dar tu Dom..... Very impressive #Tanzania yangu maendeleo yetu
@JifunzeNenoLaMungu
@JifunzeNenoLaMungu 3 месяца назад
Ukitoa dakika za kusimama stand Morogoro inaeza kua inatembea 120km/h
@Soon815
@Soon815 3 месяца назад
Umbali dar to dom 742km
@JifunzeNenoLaMungu
@JifunzeNenoLaMungu 3 месяца назад
​@@Soon815Hiyo umepata wapi!?
@drisayaambulatoryvetclinic1514
@drisayaambulatoryvetclinic1514 3 месяца назад
Umbali inategemea na njia pia ndio maana kwa ndege unaweza kuta ni km 300​@@Soon815
@godichua4457
@godichua4457 3 месяца назад
Magufuli ni mwanaume wa wanaume, sio huyo mlabata wenu c hata sisi tumeoa tunaona vile mama asivyokuwa na sauti kwenye jamii nyingi watu na akili zao timamu wanampa nchi mtoto wa kishua asiyejua njaa kama sio Magufuli sijui tungekuwa wapi
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 3 месяца назад
Mungu akupumzishe Kwa Amani JPM Asante Kwa naono yako na Mama samiha Ameyatekeleza
@mustaphabett5616
@mustaphabett5616 3 месяца назад
More love from Nairobi capital city of kenya....congratulations 🎊 mama samia suluhu for the investment
@mustafakhanjiwala5582
@mustafakhanjiwala5582 3 месяца назад
Hongera Sana. We wish We Take TRC as Serious Business Asset and Build Better Future for Tanzanian and Tanzania.We Should Be Careful About How We will Manage this Great Railways Huduma for Raia Without Nepotism and Embezzlement of Funds Etc. Journey Has Just Begun. Ahsante.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
hapo kwa kweli ndo mtihani,,,
@CarolineJoel-ch3cg
@CarolineJoel-ch3cg 2 месяца назад
Asante JPM
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 3 месяца назад
Mungu ibariki tanzania
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 3 месяца назад
Da ipo vzr sana hongereni sana serikali yetu ya jamuhuli ya muungano ya Tanzania
@HassaniMzee
@HassaniMzee 3 месяца назад
Mtumishi wa Mungu Mwamposa mtu wa watu
@user-ch8it5jr8m
@user-ch8it5jr8m 3 месяца назад
Big Up JPM lion of africa for the all time nobody's like u
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc 28 дней назад
Mashallah
@antonynjoka7318
@antonynjoka7318 3 месяца назад
Congratulations Tanzania for your electric trains
@user-is9tw9jy5y
@user-is9tw9jy5y 9 дней назад
Mashallahha Tanzania tupo juu
@adammbuba7230
@adammbuba7230 3 месяца назад
Safi saaaanaaaa
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 3 месяца назад
JPM SAMIA BIGUP
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
haswaaaa
@RUBENNGAYA
@RUBENNGAYA 3 месяца назад
Vituo viitwe MAGUFUL I STATION
@pharoah-ahmose6075
@pharoah-ahmose6075 19 дней назад
Kudos
@edwinmaywa
@edwinmaywa 2 месяца назад
Congratulations tanzania yenu naona nipoa kushinda yetu ya kenya ukiangalia interior design hizo viti sana sana
@queenesther2639
@queenesther2639 2 месяца назад
Ww ipende nchi yako! Manung'uniko hayatakusaidia kitu! Na Kwa taarifa yako nchi yako ina muda mrefu Sana iko na train ya mwendo Kasi ñi ww Tu huijui
@edwinmaywa
@edwinmaywa 2 месяца назад
@@queenesther2639 it's goood to say truth we are ahead of them but upande wa seat wametushinda kitizetu mbofu sana zinaangaliana, zao economy class ziko poa
@vero57
@vero57 3 месяца назад
Wafanyakazi wasafi kama wa wezetu wa uro star 👌👍🇹🇿👏👏👏😃
@jafarisaidi4988
@jafarisaidi4988 3 месяца назад
"RELI YETU MAENDELEO YETU TAIFA LETU" KAZI IENDELEE 👏
@JifunzeNenoLaMungu
@JifunzeNenoLaMungu 3 месяца назад
Very useful video, Jaribio jingine muonyeshe speed ya treni mbele kwenye dashboard inasomaje.. au kwa kutumia App ya simu inayoonyesha speed
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 3 месяца назад
ipo vizuri
@vero57
@vero57 3 месяца назад
Hongera sana Tanzania 🇹🇿
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 месяца назад
❤❤❤
@nashonjoel20
@nashonjoel20 3 месяца назад
Hongera sana Mama Samia kukamilisha Mradi kwa hatua ya Dar Dodoma, tunakuombea ukamilike mpaka Mwanza na Kigoma.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
kajitaidi mno mama huyu..kuhakikisha amalizie alichoanzisha boss/kaka// na Rais wake John Magufuli
@KelvinWambura
@KelvinWambura 3 месяца назад
Spending unafakima Mama Samia hongera Kwa kusimamia show to the end
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 3 месяца назад
Hongera sana serikali ya jamhuri ya watu wa Tanzania 🇹🇿
@marymwaya9685
@marymwaya9685 3 месяца назад
Mmefaidi jamani❤
@AntonyNdayanse
@AntonyNdayanse Месяц назад
Hakika najivunia kuwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nakupenda sana nchi yangu.
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 3 месяца назад
Ni kodi zetu na sio TRC tujipongeze wenyewe na aliyeibua na kiukweli tulichelewa,
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 3 месяца назад
Hongera mama samia
@godichua4457
@godichua4457 3 месяца назад
Kafanya nn? Hii yote ni miradi ya Magufuli
@shau78
@shau78 3 месяца назад
mama yetu SSH pongezi nyingi kwako na watenda kazi wenzako. sitataja waliotangulia kwa sababu wewe ndie rais wangu kwa sasa. na unatosha kabisa mama. kabisa
@peterally-zv2km
@peterally-zv2km 3 месяца назад
Hamna kitu hapo# bila Magufuli# Ni ujinga tu#
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 3 месяца назад
Hunger Tanzania 🇹🇿
@Kabwela776
@Kabwela776 3 месяца назад
Hila watanzania wasipokuwa wastaarabu hizo treni zitakuwa kama mavi uchafu, abiria wengine wataanza kuwashika matako wahudumu Na kuongea nao kwa lugha chafu , muhimu kuwe na police Na jela arrest kwenye train kwa abiria asiye mstaarabu Na wasiuze pombe kwenye train
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 месяца назад
Q😂😂😂😂😂😂😂😂
@goodmorningafrica6409
@goodmorningafrica6409 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 3 месяца назад
Ni kweli tahadhari ni Muhimu Sana
@salumumakombo
@salumumakombo 3 месяца назад
😅😅😅 kabwelaaa Sina mbavu
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 3 месяца назад
Kuna kikosi Cha polisi relief,huwa kipo miaka yote
@gervasonvenansi9204
@gervasonvenansi9204 3 месяца назад
Magufuli peponi
@tsindaalpha7583
@tsindaalpha7583 3 месяца назад
2:23 🥰😘🤩😍
@HawaMasoud-xw3ii
@HawaMasoud-xw3ii 3 месяца назад
Ila wahudumu wabadilishe mavazi
@IddrisaLubange
@IddrisaLubange 3 месяца назад
Asante mama umeundeleza mwingi baada ya kuupiga Big up
@osoromageta3381
@osoromageta3381 3 месяца назад
Niseme ukweli Magu angekuwepo mpka leo mengi yangeshakamilika but sio mbaya mama naye anajitahid japo kwamwendo wa chini sana
@SweetberthOscar
@SweetberthOscar 3 месяца назад
So nkitaka kwenda dar ni kama naenda chooni tu kazi mzuri Tanzania ya mama 🎉🎉🎉
@RebeccaMagabe-uu8xg
@RebeccaMagabe-uu8xg 3 месяца назад
RIP Magufuli through service we remember you.
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 3 месяца назад
Yani yangekuwa yanawezekana jpm angeluhusiwa tunamungu achungilietu kaziyake aliyo isimamia mana asingekuwa yeye tusingekuwa na leli hii mungu ilaze pemaloho ya kiongozieazo shupavu aliejitoa muhanga amen
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 3 месяца назад
Aise nauli bei gan
@petromwakyalabag9484
@petromwakyalabag9484 3 месяца назад
Hongera kwa tulipofikia ila bado tunahitaji treni bora na za kisasa sio hizo za kizamani
@godichua4457
@godichua4457 3 месяца назад
Hizi behewa zinanunuliwa used Korea zinakarqbatiwa sisi watanzania kwakuwa hatujawahi kuona kitu kama hiki tunajiona tumapaaaaata..! Hapo Amna kitu tumepigwa alafu hii ni teknolojia ya zamani sana kwa wenzetu wengi tu hamjui mnachelekelea kama mataahira
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx Месяц назад
Eti huyu mwamposa nayeye nabii😢😢😢
@DativaMbowe
@DativaMbowe 5 дней назад
Endelea kupumzika kwa amani magufuli mengi ulitimiza, kwakishindo
@godichua4457
@godichua4457 3 месяца назад
Hata mabasi ya mwendo kasi yalianzaga kistaarabu Hivi sote tuliona baada ya muda mfupi baadaye utaanza kusikia hii treni haifanyi Kazi mara safari zitaanza kuahirishwa bila sababu taambia linafanyiwa matengenezo yangu macho c tupo wabongo hawana maana yoyote
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 3 месяца назад
Management ndio tatizo.Project zote huanza ki smart ila baada ya mwaka ni vichekesho, seats na carpet zitachanika kwenye mabehewa ac zitakufa mtawekewa mafeni😂 na lugha chafu za wahudumu kwa abiria...Hii ndio Tanzania tuupe muda nafasi.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
hii ndo kilio kwa kweli..yaani kazi sana.. watu hatujali..kama ya mwendokasi ikaaribika mmh
@emmanueljohn4018
@emmanueljohn4018 3 месяца назад
MBONA RAHA AISEE JAMANI ICHI NDIO NATAKA TANZANIA TUMECHELEWA SANA PIGA KAZI TWENDE
@giftgondwe1674
@giftgondwe1674 3 месяца назад
😂😂😂vip kuna ma apple au sio mmeanza sanaaa mapema sana
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 2 месяца назад
RIP MAGU,,,MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI..Mzee mwenye udhubutu.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 3 месяца назад
Iko hivi mnyonge mnyongeni ila haki yake mpenzi,rest in peace JPM
@omarteethomar1533
@omarteethomar1533 3 месяца назад
Idea ya project mpaka kufika karibia wakandarasi ilianza Awamu ya Kikwete hivyo naye haki yake apewe.
@dundoonlinesingeli
@dundoonlinesingeli 2 месяца назад
JPM R.I.P
@Village_man_HD
@Village_man_HD 3 месяца назад
😢 kama nawona magufiri ivi anatest... 😭
@kingnyamafutv8646
@kingnyamafutv8646 2 месяца назад
Tuna msgukuru MUNGU pia RAISI magufuri na mama samia
@walterandrew7379
@walterandrew7379 3 месяца назад
Nadhani hatua hii ya majaribio hailengi kutest speed, hatua ya ku test speed haijafika.
@Pendo941
@Pendo941 2 месяца назад
Bei ianzie laki 1
@AliBakar-sx7lu
@AliBakar-sx7lu 3 месяца назад
Tunataka speed 160km kwa Lisaa hapo bado sana
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 3 месяца назад
Hayo ni majaribio kaka, usijali itakuwa inakwenda hiyohiyo speed ya 160, kwa saa.
@user-si6xh4gh1v
@user-si6xh4gh1v 3 месяца назад
Ugandan when are we getting ours
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 месяца назад
Nauli sh ngapi
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 2 месяца назад
Watujibu sasa jamani, nauli sh ngap
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 месяца назад
Naomba muajiri na wahudumu wa kiume tafadhali
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 3 месяца назад
Acha kupangia watu wewe
@josephatn5040
@josephatn5040 3 месяца назад
Wapo!
@aminata3702
@aminata3702 3 месяца назад
Acha ubaguzi wewe.Kwaiy kuona wanawake unaumia au
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 3 месяца назад
Yupo sahihi, Kukiwepo jinsia ke na me ni nzuri zaidi. Kuna dhalula anaweza kuipata mwanaume akiwa safarini akaona aibu kumwambia mwanamke. Wakiwepo wote hata wachache tu ni nzuri zaidi
@shairaniabdi
@shairaniabdi 3 месяца назад
bei ya nauli nauliza jaman dar to dom
@user-oz5jm6uk8v
@user-oz5jm6uk8v 3 месяца назад
RIP Magufuri tulikupenda MUNGU amekupenda zaidi
@lordmasali3410
@lordmasali3410 3 месяца назад
Kongole gvt of Tz
@josephjohn2114
@josephjohn2114 3 месяца назад
Na wale wa kupanda na kuku na bata na magimbi tunaruhusiwa?
@veronicacormack1043
@veronicacormack1043 3 месяца назад
Proud of you our beloved president mama samia we salute you
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 3 месяца назад
Tunataka masaa mawili
@butotanto
@butotanto 3 месяца назад
Kweli kuna haja ya kula safari ya 4 hours, thats why waafrica tunavitambi
@kelvinmakala5338
@kelvinmakala5338 3 месяца назад
Hahaha mbona bites t hizo jmn
@user-wc8eb6nk6l
@user-wc8eb6nk6l 3 месяца назад
Magufuli popote ulipo tunakukumbuka sana ,il huku mambo yamerudi vilevile japo mama anajitahidi ila wanamuangusha
@JosephuSwai
@JosephuSwai Месяц назад
Naona manabii wafanya biasha wapo kwenye kula nchi
@SarahKihulwe
@SarahKihulwe Месяц назад
Nauli zikoje
@johnmboma771
@johnmboma771 3 месяца назад
Nauli shingapi Dar to Dodoma
@markkayuni9775
@markkayuni9775 3 месяца назад
Ongera mama samiha mitano tena👊🏽✌️
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 месяца назад
Wahudumu kwa nini wasivae SURUALI REFU AU SKETI REFU..... Maadili muhimu..... HUO SI UTANZANIA Kadogosa.... HAPO WAKIINAMA si CHUPI INAIONA... TUSIWEKE UMAGHARIBI MBELE... Hatimae watoto wetu watakuwa wanaikimbia Ajira waonapenda kujistiri....😢😢 #TANZANIA 🇹🇿
@robertmosha6801
@robertmosha6801 3 месяца назад
Wewe uneona chupi
@RAMADHANAllykibanga
@RAMADHANAllykibanga 3 месяца назад
Huduma zakishaamba
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 3 месяца назад
Kwani hazikuwepo???
Далее
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
Просмотров 22 тыс.
كـــارثة دبي القادمة 🚨
11:32
Просмотров 937 тыс.