Masha Allah TabarakaAllah ustadhi Shookran jazzakaAllahukheir nimejifunza hapa, Allah akuzidishie subra uvumilivu hekma upendo Elmu utufunze dini yetu Islam
Shukrn kwa mafundisho na Mungu akubariki.lkn ungeelezea maji ya kwenye ndoo jee hufika kullateini?na vp maji unayoogea mengine yakidondoka kwenye ndoo hukmu yke ni ipi?pia ungeonesha nakuwafahamisha watu kuelea kwa maji ni lazma uchuchumae ama ukae uyajusudie maji kutia kwenye sehemu nyetu hashwa ya nyuma sbbu uk8wa umesimama sehemu zingibe zimefichika.ni ukumbusho tu.wa shukran sana ndugu yngu tumefaidika
Unaruhusiwa haina shida...hata kutia udhu kikubwa baada ya kuoga /kutia udhu ukiwa unatoka jimwagie maji miguuni utoke taratibu bila uchafu wa chooni kukurukia😊
Hapo kwenye kujimwagia maji upande wa kulia na kushoto me niliambiwa kuwa nijimwagie makopo matatu kila upande halafu ndiyo nijimwagie kichwani na kueneza mwili mzima.Je hili lipoje?
Mm nina swal wakat wa kuaza kuoga janaba hakun dua unasoma ? Na baad ya kumaliz kuog pia hakun dua unatakiwa usome? Tafhali niuelewa tu nataka nijue samahan kwa usumbuf mm nimeslim tu juz hivo vit ving sjui
Shehe kwa suala lamaji yanayojirudia kwenyechombo inaweza kuwa tatizo lkn kwakutotia mkono sio tatizo Ila sio uyatiemkono kwakusudi lingine.maana imethibiti Mtume S.A.W alikua akigombea maji wakati wakutia udhu kwamikono kwenye chombo chawazi.WALLAHU AALAM