Тёмный

Jennifer Mgendi; Chai Moto (Official Bongo Movie) 

Africha Movies
Подписаться 1 млн
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Jennifer Mgendi Chai Moto Full Movie
Subscribe to Africa Movies on RU-vid here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment

Опубликовано:

 

29 июл 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 283   
@tresorkinyeshe6965
@tresorkinyeshe6965 3 года назад
Hiindiyo duniya Sasa movie tamu jameni eeeeeeeee dada yangu kweli wewenimsanii mkali kaabisaa nakukubali
@josephmwangi2090
@josephmwangi2090 Год назад
Mafunzo mazuri,,,akili za kuambiwa changanya na zako,,,,,,,hongera sana wahusika wote
@moreenbless-vr7oy
@moreenbless-vr7oy 10 месяцев назад
Daah ii mov ni uhalixia wa maisha ya watu katika jamii inayo tuzunguka eeh MOLA wangu nijalie maisha malefu niweze kuwalea wanangu pia ata nikifa wabaki kwenye misingi mizuri 🤲🙏
@jumakataka81
@jumakataka81 Год назад
Mafundisho mazuri sanaa baba yetu muhumba na mwokozi wetu yesu akumbariki wote wenye kutazama sinema hii amina Tanzania yesu alisema jihathari na mwanandam mana aduwe wa mtu ni yule🎉wa 😢 karibu hata zahindi nyumbani mwako biya kuna song ya rumba inaimbaga 😊 duniya hi ina mambo lukumba lukumba mwendo wa ngamiyah chunga mwenziyo atakudaganya kwa yote apendavyo tena yesu akasema _YOHANa10:1_ _ shetani ni mwaribifu tena muhuwaji tena muhogo .😢 thanks for a good❤ movie
@ElizabethBaraka-ml9yy
@ElizabethBaraka-ml9yy 4 месяца назад
Mung.naomba.uniokoe.na.shida.ninayo.ya.pitia.niwalee.wanangu.baba
@ElizabethMatiko
@ElizabethMatiko 4 месяца назад
Filamu hii ina2fundixh mambo mengi xan tunatakiwa 2jiekew tunapo ambiw ki2 2natakiw tukfikiriy kwa umakini mkubwa xan
@KaziyamamaVolonte
@KaziyamamaVolonte Месяц назад
​@@ElizabethMatiko1:03
@Bintluckas3918
@Bintluckas3918 10 месяцев назад
😭😭😭😭 Mungu naomba unipe maisha marefu niwalee wanangu
@johariwao6949
@johariwao6949 2 года назад
Masikini hawa Watoto tunaowaita yatima kumbe wengine ni sisi wanawake tumewasababishia uyatima,wanawake tuwe na mioyo ya huruma jamani,masikini jiji limekuharibu kiasi hicho kama kweli vile 😭🙏
@JulienKoko
@JulienKoko 2 месяца назад
Hongera sana kwa mafundis ho haya yamenibarika sana hadi kunitowa machozi , kiukweli hiindiyo dunia tunayo ishi , ila tunganganie kumuomb a Mwenyezi Mungu aliye msinji Wandoa aziimarishe na kutufundisha upendo na ustahili katika safari ya maisha hapa duniani . Mungu akubariki
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 8 месяцев назад
Dd Jennifer unajua natena na tena .❤unatufundisha maisha halisi😢
@kinsman-mx6qh
@kinsman-mx6qh 2 месяца назад
HUYU SHOGA YAKE JENIFFER ANA MAWAIDHA YA KUPOTOSHA KWELI URAFIKI HUU NI WA NDUMA KUWILI ULE WA KULANA KIVULI
@shabaninsengiyumva2591
@shabaninsengiyumva2591 3 года назад
Jennifer.tungupendakwel Ukuburundi.mungu aenderey Kukubalki na fammiliaako!!
@jumakataka81
@jumakataka81 Год назад
Natembeyah mimi ni marehemu !!!! Maisha ya mwanandamu ni kama mauuwa mimi na nyumba yangu ni tamwambundu bwana . Kwakuwa wewe umenikataa mimi namii nitakukataa mimi asemaa bwana wa majeshi good song by Jennife i see nikiwaa kwetu kenya western ingo luhya amina ukweli yesu alisemaa ambandacho mtu ndicho atavunaa
@lucyjoseph4025
@lucyjoseph4025 2 года назад
Mov zake nazipenda sana zinafundisha sanaa kaz nzur
@brayanmuiruri9850
@brayanmuiruri9850 3 года назад
Waah, nmehurumia hao watoi, nmeona ka ni really life aki. Be bless Jennifer
@Shannycharle
@Shannycharle 4 месяца назад
Dada jenifer unajua sana jaman mungu azidi kukuinua
@jacksonkatafuru5687
@jacksonkatafuru5687 3 года назад
Filamu hii imeniguza sana, duniani ata rafiki moja haiko
@marynganga5995
@marynganga5995 2 месяца назад
Mafunzo mazuri sana dada mungu azidi kukupa neema.watching from U.S.A.
@barkyabdallahsuleiman7069
@barkyabdallahsuleiman7069 2 года назад
Daah hii ina mafunzo saana wanawake tuchagueni marafiki,masikini hao watoto
@aoodalbadi8473
@aoodalbadi8473 4 года назад
Ongera mussa banzi kwakushirikishwa na jenif mgendiii 👏👏💪
@sophybenedict5706
@sophybenedict5706 2 года назад
Duuuu! Kama kuna mtu kama Jasmine then hii kazi. ..... Ila ujumbe mzuri Mr fimbo mpole mwengine angemfukuza muda tuu
@mariamphd1657
@mariamphd1657 9 месяцев назад
Eeeh! MUNGU Naomba maisha marefu nilee watoto wangu mimi 🙏🏼
@yasintatemba8424
@yasintatemba8424 9 месяцев назад
Kabsa Dear
@jacksonkatafuru5687
@jacksonkatafuru5687 3 года назад
Maman samahani utupatatiye titre ya mwimbo huyu ya mwisho ni muzuzuri sana
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 3 месяца назад
Ujumbe Umefika Nakukubari Saana Dada Angu Kipenzi Mov Zao Zinanibariki Saana Haujawahi Kuniangusha
@faniceokila8967
@faniceokila8967 4 года назад
Si mungu anipatiye mme kaa huyu haki , jasm ni mjinga tu sana
@user-qm2fw8pu4h
@user-qm2fw8pu4h 6 лет назад
Lov u Jeni
@hakuzwebirinda
@hakuzwebirinda 3 месяца назад
Mama Jennifer,niko Zambia nakupenda sana....
@bellah7467
@bellah7467 3 года назад
Aki nasikia uchungu anavyo wapiga hadi ananitia wasawasa na wanangu sijuwi huko waliko wapo vipi aki MUNGU aturehemu sisi wana wake aki🙏🙏
@IsayajosephMarwa-tv6vt
@IsayajosephMarwa-tv6vt Год назад
I like it so much
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 года назад
Hi nayo kali yamwaka wenyekudanganywa namarafiki hongera sana jenfer mghendi wasubiri move ya tamaa mbele mauti yetu
@mosesmsanzu3555
@mosesmsanzu3555 3 года назад
Wow!
@simonlukondo8326
@simonlukondo8326 2 года назад
Yes ni kazi nzur sana
@user-sl6xh8vt7d
@user-sl6xh8vt7d 4 месяца назад
Kila lahele my sister
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 3 месяца назад
Movie hizi zinaerimisha kwa kweli ❤
@alfredsimakala7135
@alfredsimakala7135 2 года назад
Daaaaah!!! Umetisha sana jenifa mungu akubarik sana na akutie nguvu
@JackieOduor
@JackieOduor 5 месяцев назад
Tupa tupa kweli ni wengi 😂😂😊
@sharobboyimatheboy9639
@sharobboyimatheboy9639 6 лет назад
Jen nakubal injili yako mungu akubariki ni mm ima
@ramadhanimsati1848
@ramadhanimsati1848 3 года назад
Na omba wimbo ya shela
@deogratiasassey6872
@deogratiasassey6872 4 года назад
Safi sana Jen uko vizuri
@lilyiminza79
@lilyiminza79 Год назад
Wanawake tujifuze kufumilia Kwa doa na tuwaja ushauri zawatu wengine mwanamke ujega nyumba yake Kwa mikono miwilii na umbomoha mwenyewe Kwa mikono miwilii Jennifer God bless you 🙏🙏🙏🙏 umenifuza Jambo kumbwa Sana barikiwe Sana
@tantinendayishimiye579
@tantinendayishimiye579 Год назад
Mapenzi si pesa jamani wanawake tulizike na waume wetu
@lilyiminza79
@lilyiminza79 Год назад
@@tantinendayishimiye579 thanks 💓💓
@LightnessMunise
@LightnessMunise 10 месяцев назад
Kazi nzuri sana nimejifunza kitu kikubwa kwenye maisha yangu
@awazimalilo3869
@awazimalilo3869 9 месяцев назад
Tamaa ni mbaya na kuna wimbo umeimba etii tamaa mbele mauti nyuma ona sasa tamaa imekuponza umemuua mumeo kisa ana utajiri sasa umefadika nini kumuua mumeo 😢😢😢😢😢😢😢
@ElosyKinyua-tg1ti
@ElosyKinyua-tg1ti 8 месяцев назад
Kazi nzuri Jennifer hii ndio funzo ya watu wasio tosheka na boma zao😂😂😂😂
@rebecca-nj6wl
@rebecca-nj6wl 11 месяцев назад
Mungu akuzidishie zaidi ya mahitaji yako dada unamafunzo mazuri saana nahiisi unaniinua
@marthanzeyimana6749
@marthanzeyimana6749 4 года назад
Asante sana 🙏🏻🙏🏻
@alphonsefofo-wr1fx
@alphonsefofo-wr1fx Год назад
Ubarikiw sana jen uku b Burundi
@newtongabriel8529
@newtongabriel8529 3 года назад
Kwaya ninayoimba nikiwa Dar hapa Tabata Kimanga (kisukuru) ni NEW SONG SINGERS nimefurahi kwenye movie mmeitaja NEW SONG
@NyandwiEliphase-wb8rk
@NyandwiEliphase-wb8rk 2 месяца назад
Asante
@ElianeBikorimana-kf1lz
@ElianeBikorimana-kf1lz 2 месяца назад
Jennifer ubalilie sana ninapenda mafundisho yako
@user-sl6xh8vt7d
@user-sl6xh8vt7d 4 месяца назад
Amina
@beatriceelias194
@beatriceelias194 4 года назад
Unakifua we baba mungu wangu
@PalukuEnock
@PalukuEnock 2 месяца назад
Aksanti kwa mafundisho.
@esterulanga3673
@esterulanga3673 4 года назад
Ujumbe mzuri sana
@sophydaud5351
@sophydaud5351 4 года назад
Kwel kama kupenda pesa sio hvo Dada umetisha mungu akuponye Jenifer huyo mweny pesa anakudanganya atakutimua tyu
@atufigwegeizilael5558
@atufigwegeizilael5558 3 года назад
Huyo dada nichiz au maaan mambo anayo mwambia mwenzake mh mungu anakuon na huyo mjomb agop mke wa mtu jenifa na huyo tajili wako machiz wote
@maryd1538
@maryd1538 Год назад
Be blessed dear
@user-um1wq3df7t
@user-um1wq3df7t 9 месяцев назад
naangalia 2023 jmnii 😢😢😢jeniph mgend
@user-zg1hd6no9v
@user-zg1hd6no9v 2 месяца назад
Hiii nayo kaliii dada Jenifa....
@emmanueloinoth
@emmanueloinoth 2 года назад
Mungu akupe miaka mingi na yenye baraka🙌
@youngteo4158
@youngteo4158 2 года назад
Move hii nimeipenda sana
@johnpaul7621
@johnpaul7621 3 года назад
Nashukuru sana wanawake wabadirike mana wanaerekezwa hawasikii
@user-uu5mc5to5w
@user-uu5mc5to5w 11 месяцев назад
Unajuwa sana
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 4 месяца назад
Pole kila. Meanzo Ni mgumu mvumilivu hula mbivu
@edricktewele2447
@edricktewele2447 2 года назад
Good
@amaliaanthony3739
@amaliaanthony3739 2 года назад
Nmekupend dada Jennifer umejua kuect onger xna ina mafunzo meng xna
@dorothycherotich5763
@dorothycherotich5763 10 месяцев назад
Nice 👍
@JohnsonJames-jy2cs
@JohnsonJames-jy2cs 3 месяца назад
Movi❤
@user-en6vk2ez1l
@user-en6vk2ez1l 4 месяца назад
Good job you teach me a lesson
@JacklineAdhiambo-pf2ob
@JacklineAdhiambo-pf2ob Месяц назад
Kazi nzuri ❤❤❤❤
@mauanassoro5529
@mauanassoro5529 3 года назад
Safi CNa tuna injoy ila mpunquze matanqazojamani
@user-gm6sc8qu7e
@user-gm6sc8qu7e 2 месяца назад
Mubarikiwe sanaaa ❤❤❤❤
@giftmwenzegule8934
@giftmwenzegule8934 3 года назад
Marafiki bwanaa
@user-qm2fw8pu4h
@user-qm2fw8pu4h 6 лет назад
Axante kwa ujumbe Dada Jennifer
@Bkysaiboytz
@Bkysaiboytz 3 года назад
Online saree shopping
@MosesKhaemba-wt2sg
@MosesKhaemba-wt2sg 2 месяца назад
Mimi ni mukenya lakini napenda film Sako
@nduwayezutadsonchannel4084
@nduwayezutadsonchannel4084 2 года назад
Gali ya 10 million eti million 100 natari sana
@josphinemwangala3244
@josphinemwangala3244 3 года назад
Mapanga nayo, mwanamkee wee, mungu akutagulue, mbao kwanza
@georgembii1185
@georgembii1185 3 года назад
Tamu sana
@alexisnduwimana4363
@alexisnduwimana4363 4 года назад
Inafundisha sana iyi filamu
@marynasyieki3783
@marynasyieki3783 3 месяца назад
Mavunzo mazuri Sana dada.Barikiwa🙏🏻
@hafsaali7976
@hafsaali7976 3 года назад
Kazi nzuri
@halifajuma8123
@halifajuma8123 4 года назад
Wanawake mungu awasaidie
@reycwkizenga7593
@reycwkizenga7593 10 месяцев назад
Dada jenifa mungu akubalik
@poureenkunambi6413
@poureenkunambi6413 4 года назад
Movie tam balaaa
@suzanne9517
@suzanne9517 Год назад
Mafunzo mazuri sana
@samsonodhiambo1180
@samsonodhiambo1180 4 года назад
Ujumbe nzuri sana tena imenipendeza sana*100%
@jafetkandonga7644
@jafetkandonga7644 2 года назад
Wpi
@emanuelshila9343
@emanuelshila9343 3 месяца назад
Usikubali utekwe na dunia Yes yupo malangoni toba ni muhimu
@sandrineigiraneza
@sandrineigiraneza 5 месяцев назад
ulisababisha wtoto wawe yatima!Mungu weee😢
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 2 месяца назад
Du hii video nzuri sana
@branhamshanda910
@branhamshanda910 4 года назад
Nice♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👌👌👌👌👌👋🌹🌹🌹🌹
@nusrashaban6946
@nusrashaban6946 3 года назад
Nicee one
@jakobojohn7680
@jakobojohn7680 4 года назад
Hii kweli chai ya moto dada jeniva umemaliza mwenye masikio naaskie na macho mboni kwenye kioo dada kazana ili uokoe ndoa za wengi ni mahubili safi
@paulinakitali5584
@paulinakitali5584 2 года назад
Mungu akubariki
@esthercharil7607
@esthercharil7607 2 месяца назад
Mafundisho mazuri sana
@user-rf1ut3zc6l
@user-rf1ut3zc6l 3 месяца назад
❤❤❤
@amaliaanthony3739
@amaliaanthony3739 2 года назад
Jennifer umerikurupukia jiji la dar es salaam na litakufunza adabu pole xna
@elizabethuwezo290
@elizabethuwezo290 3 года назад
Yaani nmeliaaa ad macho kuuma
@jumakavula.896
@jumakavula.896 Год назад
🙏🙏
@hamidahassan1014
@hamidahassan1014 2 года назад
Upo Vzr Dada Ubarikiwe
@piusgeorge1551
@piusgeorge1551 3 года назад
Hongera dada
@furahiniombeni5050
@furahiniombeni5050 2 года назад
Hiri nifundisho zuri xn
@gaudensiamganga1695
@gaudensiamganga1695 4 года назад
Eee shoga mwenyewe miguu mieus, khaa eti sm kmkipande cha miogo daaah tamaa Mungu tuepushe na vizazi vyetu
@leeybhoke9904
@leeybhoke9904 2 года назад
🙏🙏🙏🙏
@hubirikandonga4261
@hubirikandonga4261 5 лет назад
Ubalikiwe Dada kwa kazi yako njema
@raymondbahati7626
@raymondbahati7626 3 месяца назад
Movie nzuri Jennifer
@joycentongani388
@joycentongani388 2 года назад
Fundisho zuri sana .
Далее
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 4,8 млн
Beautiful sport😍
00:20
Просмотров 237 тыс.
Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi
11:26
Просмотров 2,4 млн
MTOTO NYOKA  ( FULL EPISODE 1 - 5 )
46:45
Просмотров 680 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
Просмотров 680 тыс.
MR MACHALE FULL MOVIE
53:38
Просмотров 728 тыс.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
Просмотров 1 млн
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Просмотров 846 тыс.
Beautiful sport😍
00:20
Просмотров 237 тыс.