Tayari imevimba hiy sio nzuri Kwa kutembelea Ina hatarisha maisha na ndo sababu umemgongo ndaro karibu msangi shop kibaha maili moja tukubadishie tairi Kwa bei pw kabsa
Siku izi mtu wangu Steven mulikuwa amufanyi kazi vizuri acha tu ni wachane ✋🏾 ila kwaiyi mumefanya vizuri saana 'nimecheka 😃😂🤣 hadi mwisho Ni Nathani kutoka DRC 🇨🇩