Тёмный

Jinsi ya Kuchukua Udhu kwa Ufasaha 

Muumin
Подписаться 5 тыс.
Просмотров 78 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@fadhilishebe7354
@fadhilishebe7354 Месяц назад
Jazakallah khayra
@salhiakhamis2577
@salhiakhamis2577 3 года назад
ماشاءاللہ جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
@ZenaHassan-y8z
@ZenaHassan-y8z 27 дней назад
Shukran❤
@Maha-fl9qe
@Maha-fl9qe Год назад
Masha Allah
@Rajabuathumanibahariabah-ew5oj
@Rajabuathumanibahariabah-ew5oj 5 месяцев назад
❤❤❤
@saumupallango1782
@saumupallango1782 3 года назад
Shukran
@mahamuduswedi6792
@mahamuduswedi6792 7 месяцев назад
Ubarikwe
@SaumuTambwe
@SaumuTambwe 7 месяцев назад
❤ubarikiwe
@MariamMasoud-c8b
@MariamMasoud-c8b 7 месяцев назад
Shukran 🙏
@chikumussa7983
@chikumussa7983 2 года назад
Jazzakallahu khaira
@ZainabuAdamu-c5v
@ZainabuAdamu-c5v 8 месяцев назад
Mashallah
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 2 года назад
Shukran nimeelewa nilikuwa nakosea
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Mashallah
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Tuendelee kujifunza zaid ili tuzidi kuboresha swala zetu
@saumusuleiman9740
@saumusuleiman9740 Месяц назад
Je, ikiwa mtu tuseme katiwa bandage kwenye mkono atafanya nini
@marthamgaya1304
@marthamgaya1304 3 года назад
Inshaallah
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Год назад
Shukran sana kwa maelekezo ya udhuu kingine nimeona umepaka maji kichwa x1 je yafaa au sijaangalia vizuri? Pia sijasikia sauti yaani kila kipengepe kwani hakunaga matamshi furani au Dua?
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Asalaam aleylum warhamatullah wabarakatuh 1. Hukmi ya kichwa ni kupakwa maj mara moja tu ukizdsha co mbaya 2. Na kuhusu dua zpo ila co wajibu muhim ni kufuatanisha viungo kwa mpangilio
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Год назад
@@muumin7118 waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh shukran sana kwa kunielewesha
@jumaraimundi7540
@jumaraimundi7540 6 месяцев назад
Unavyochukua udhu ukisema tu Bismillah kila kiungo inatosha au?
@muumin7118
@muumin7118 6 месяцев назад
Hapana unasema unapoanza kutia udhu tu bas
@TamlaMwinjuma
@TamlaMwinjuma 7 месяцев назад
Naomba kuuliza unafanya tu kwavitendo au Kuna maneno unaongea nijbu tafadhar nakuomba
@jumaraimundi7540
@jumaraimundi7540 6 месяцев назад
Kama umejibiwa swali lako nisaidie na mim
@Zainabuabduriy-ui5cg
@Zainabuabduriy-ui5cg 11 месяцев назад
Nisaidie
@hadeeegahalmawali504
@hadeeegahalmawali504 Год назад
Inshallah
@Shamir-j4h
@Shamir-j4h 9 месяцев назад
Isnhallah
@Zainabuabduriy-ui5cg
@Zainabuabduriy-ui5cg 11 месяцев назад
Samahani mm nataka kuliza je kama nimemaliza kutawaza halafu hiyo duwa nikashindwa kuitaji itakuje nakuomba nisaidie hp
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 11 месяцев назад
Unasali ndugu yangu na swala yako itakubaliwa InshaAllah ispokuwa ujifunze iyo dua.sali sala yako inakubali ila hakikisha ujifunze na uijue
@sakinabakari5660
@sakinabakari5660 3 года назад
Naomba nitumie mwazo mpaka mwisho
@muumin7118
@muumin7118 3 года назад
Iyo nayo ipo mwanzo mpaka mwisho ukhty
@shufaahmmmohamed1833
@shufaahmmmohamed1833 Месяц назад
Unasema nini sasa
@salmalaga3132
@salmalaga3132 2 года назад
Naomba unijibu minimaamuma kutawadha mikono umevaa nguo ndefu isiokunjika inaswihi maananailoweka nguo mpaka inalowanangozi
@muumin7118
@muumin7118 2 года назад
Hapana ni lazima viungo vyote vya udhu vishike maji kwahyo utalazimika kupandisha nguo ili ufikishe maji kwenye viungo vyote Lakini ikiwa mtu amefunga bandej kutokana na kuumia au kuna barid kal atatia udhu mara moja alaf mara ztazofuata kama atatakiwa kutia basi anaweza kupaka maj juu ya soks kisha kuendlea na ibada zake
@asmahchongoe1117
@asmahchongoe1117 2 года назад
Matamshi si lazima
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Ni lazima ndio
@asmahchongoe1117
@asmahchongoe1117 Год назад
Kwann yeye hatamki hapo anaonekana km ananawa mana sio wote humu wanajua matamshi kwann asitamke kinachostahili kutamkwa ktk kila kiungo?
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
@@asmahchongoe1117 samahani nilikua sijakuelewa oama unasemea matamshi ya kila kiungo hayo sio wajibu Yaani hatana haja ya mtu kutamka Samahan mwanzo sikuelewa vizur
@KismartAbdul
@KismartAbdul 7 месяцев назад
Shukran
@sophiaismail6580
@sophiaismail6580 2 года назад
Mashallah
@salimmyinga7519
@salimmyinga7519 Год назад
Masha allah
@akbaslismh9874
@akbaslismh9874 Год назад
❤❤
@eddahmwinzi
@eddahmwinzi Год назад
Mashallah
@manamisibakari4822
@manamisibakari4822 3 года назад
Shukran
Далее
Namna Ya Kuoga Janaba /How to perform Janaba - PART 4
11:52
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
FAIDA YA KUTAWADHA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
14:16
Просмотров 17 тыс.
Dua Baada Ya Kutawadha
6:12
Просмотров 27 тыс.