dah! cjui lin nitajua kuendesha scania kilasiku 2 fuso ila naamini ipo cku namm nitaendesha scania bado ninamda wakujifunza hata fuso nilikuwa nataman hivo na ikawa hivyo basi pia itakuwa hivyo
comment ni nyingi wadau wengine mnambeza sasa simngefanya nyie video mwache aelimishe utanzania umewazidi, mimi yangu ni kwamba Clourer tu ndo kaka hajaelezea
Hahaaaaaa u anazingua hebu cheki vizur video yako bab wengne hawajui rotation n nn na hzo button hebu niambie znatumikaje na znaitwaje na button ya pemben inatumika wakt gan