Тёмный

Kutana na Mhandisi Pascal Duel akizungumzia mfumo maalum wa kupooza injini. 

ITV Tanzania
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Je unafahamu kuwa maji ya kawaida yanaweza kusababisha kutu katika mfumo wa rejeta yako pamoja na kuwahi kuchemka haraka tofauti na kawaida?? Hayo yote na mengine mengi Mhandisi Pascal Duel kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji anatujuza.

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@swedyjovano8275
@swedyjovano8275 4 года назад
Nimejifunza vya kutosha katika lugha nyepesi ya kiswahili. Asanteni sana kwa aliyeanzisha masomo mazuri sana.
@buhigwedc2827
@buhigwedc2827 2 года назад
Acha uongo
@octavianmashoto3723
@octavianmashoto3723 4 года назад
Great lesson...big up Mzinga an Paschal
@عبداللهباحميد-ت7ج
@عبداللهباحميد-ت7ج 2 года назад
Asante. Bro. Fundi.
@abdallahomary2885
@abdallahomary2885 4 года назад
Yaani unauliza maswali yele yale yalio kuwa kwenye kichwa changu big up
@mirajidrissa4647
@mirajidrissa4647 4 года назад
.... Thanks ...hii kipindi naelewa Sana...naomba kiboreshwe kivitendo...uku mnatuokoa tunao Soma hii..
@abdallahngwame9837
@abdallahngwame9837 2 года назад
my teacher duwe
@abdullipunjaje9603
@abdullipunjaje9603 3 года назад
Shukran Kwa elimu
@rhinoevarist7385
@rhinoevarist7385 2 года назад
Namuelewa sana mkuu
@williamshimba9371
@williamshimba9371 5 лет назад
Uko vizuri
@jumannemubusi1281
@jumannemubusi1281 2 года назад
Mwl Duel Hongela kwa kipindi kizuri hicho cha kuerimisha Wa Tanzania
@swedyjovano8275
@swedyjovano8275 4 года назад
Masomo mazuri sana. Nashukuru vya kutosha.
@sidebuggat5200
@sidebuggat5200 5 лет назад
Ktk mamb muhimu km hya nashangaa comment chache lkn video chafu wabongo weng wangechangia mada watanzania tumerogwa
@عبداللهباحميد-ت7ج
@عبداللهباحميد-ت7ج 2 года назад
Jee. Gari. Ya. Stafee. Korea. Nitumie. Maji. Aina. Gani.
@harounali1626
@harounali1626 5 лет назад
Ndu Pascal nime kuelewa sana hujaacha kitu
@jeremiahmussiba2473
@jeremiahmussiba2473 7 лет назад
je, inahitajika kumwaga maji yote na kuyabadilisha baada ya muda fulani?
@westonyosward8603
@westonyosward8603 6 лет назад
Kaka uko vizuli Mimi nataka kujifunza nifanyeje
@jumannegunda2276
@jumannegunda2276 2 года назад
Video
@joshuambiaji9808
@joshuambiaji9808 6 лет назад
Bonge la SoMo aiseeh
@issarashidi8455
@issarashidi8455 7 лет назад
gari yangu inawasha Power halaf haiendi inasizi tatizo nini
@deogratiusjeremiah9089
@deogratiusjeremiah9089 5 лет назад
Haiendi kutokutembea au haiendi VP Mkuu........ Nahitaji kukusaidia.
@peterkaili9343
@peterkaili9343 5 лет назад
Jitahidi kufanya diagnosis na sio kukisia kwa mafundi
@magaritechnology5427
@magaritechnology5427 3 года назад
😂😂😂 eti toyota red, marekani pink...material ya engine yanataka rangi, ya nn mhandisi. Ninachokijua mm rangi kwa ajili ya kuona level ndani ya expansion tank..Follow me @magaritechnology_tz,
@magaritechnology5427
@magaritechnology5427 3 года назад
liter 1 ya distilled water ni 3,500/= inaingia litre 4.
@tembodeo4581
@tembodeo4581 4 года назад
dah nampataje huyu pascal duwe?
@bobowrld9628
@bobowrld9628 4 года назад
kipindi hichi huwaga lini
Далее
Jinsi Dereva anaweza changia ulaji wa mafuta
27:34
Просмотров 13 тыс.
USAFIRI WAKO: MFUMO WA UMEME KATIKA CHOMBO CHA USAFIRI
30:11
USIPOFANYA HIVI GARI LAKO LITACHEMSHA/UTAUA INJINI
15:13
Why Do Engines Need 3 Piston Rings? Explained
12:09
Просмотров 633 тыс.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI,  OKTOBA 08, 2024
26:06
MFUMO WA MAFUTA KWENYE INJINI YA KISASA YA DIESEL.
28:58