Jamani marafiki zangu kuendesha gari siyo kazi ,asikudanganye mtu ,maana najua kuna baazi ya madereva wanajikutaga wao ndo wao kwenye tasinia ya udereva.#automatic car#kuendeshagari
Yaani mnamfanya mtu ajue gari kwa njia rahisi mno yaani miongoni mwa ndoto nilizo nazo moja wapo ni hii ya kujua na kuiendesha gari kubwa hasa roli za kwenda mbali hakika mmenipa ujasiri mkubwa mno asanteni sana ndugu zangu.