Тёмный

SCANIA 124 420 GARI NZURI SANA KWA MAZINGIRA YA TANZANIA. 

sisi limited
Подписаться 566
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Kampuni ya SISI LIMITED ni waagizaji wa magari kutoka mataifa mbali mbali kuja Tanzania, pia tunahusika na uondoshaji shehena/mizigo bandarini (customs clearance). Sisi pia ni mawakala wa bima. Tunafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kwa uaminifu na bidii kubwa karibu tutembelee ofisini kwetu. Tupigie au whatsap 0738133775

Авто/Мото

Опубликовано:

 

28 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@idontknow2rhhfhf
@idontknow2rhhfhf 10 месяцев назад
Why is the axle so close to the chassis
@ZacharyMwanga-em3ee
@ZacharyMwanga-em3ee Год назад
Mbona ujaeeenderea kutujulisha vitu vyote kwenye hiii SCANIA Wataalamu. Tunakudeeereee
@sisilimited
@sisilimited 4 месяца назад
Muda haukuwa rafiki, unaweza kuongeza hapa comment yenye ujuzi zaidi kuhusu hii gari, kujifunza hakuna mwisho, tunathamini kila comment
@MagwegaElias-df7zn
@MagwegaElias-df7zn Год назад
Engine inayotumik hapo kaka ni DSC 124L -420hp SCANIA ENGINE
@sisilimited
@sisilimited 4 месяца назад
Asante kwa kuchangia kuelimisha watazamaji, tafadhali usisite kuchangia ujuzi zaidi unaoujua hapa. Tunathamini kila comment :-)
@PaulEmmanuelEmmanuel-rq3pn
@PaulEmmanuelEmmanuel-rq3pn Год назад
Namna ya kuendesha
@sisilimited
@sisilimited 4 месяца назад
Ni rahisi tu, unahitaji kujifunza na kufanya mazoezi nyingi utaelewa vizuri sana. :-)
Далее
DEREVA MKONGWE AZIPANGA GIA   CHEKI PAKA MWISHO
4:48
Просмотров 33 тыс.
NOOOOO 😂😂😂
00:15
Просмотров 6 млн
jinsi ya kuprogram actross na axor
3:05
Просмотров 27 тыс.
Jinsi ya kuendesha 124 - 420
2:40
Просмотров 176 тыс.
FOR SALE | Scania R440 2013 Automatic with Retarder
2:47
BMW M5 VS COBALT  QANCHAGA TUSHDI 😱💣
0:17
Просмотров 1,8 млн
MATIZ БЫСТРЕЕ GOLF GTI И MINI JCW
54:54
Просмотров 1,3 млн