Jinsi ya kupikia mkate kwenye jiko la gesi kwa njia rahisi. Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kupika mkate kwenye jiko la gesi.
MAHITAJI;
Unga wa ngano (375g/ vikombe 3 vya chai)
Maji ya vuguvugu (250ml /kikombe 1 Cha chai)
Chumvi (nusu kijiko Cha chai)
Sukari (kijiko1cha chakula)
Hamira (vijiko 2 na nusu vya chai)
Mafuta ya kupikia (vijiko 3 vya chakula)
Olive oil (vijiko 3 vya chakula)
Parsley
Kitunguu saumu kilichosagwa (nusu kijiko Cha chakula)
13 сен 2021