Katika video hii nitafanya Mapishi ya pilau ya kuku. Kama mnavyojua pilau ni chakula maarufu sana, pilau ni chakula kipendwacho na wengi, wakubwa kwa wadogo. Kaa nami hadi mwisho wa video hii. zari malkia wa nguvu swahili tanzania
19 май 2018