Mungu wangu nimecheka jaman kama biashara haiendi mfate mwenye frem mwambie ntaweza kuongeza frem nyingine ila pastor unatutia moyo sana kupitia mahubil Yako najifunza Ving sana na ninaona kuongezeka kwamaarifa ktk namna yauombaji ahsant yesu kwakumpaka mafuta huyu pastor 😊