Тёмный

Jussa: Serikali ya Mwinyi imeoza, mabilioni yanatafunwa, fedha za miradi za Rais Samia zachezewa 

Zanzibar Kamili TV
Подписаться 77 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

"Huku kujitapa kote kwa miradi hii munayoiona hakuna ulichokileta wewe ni fedha, za Uviko zilizoletwa na Mama Samia na ACT kutoa Mchango wake, kuna siku tutayaweka hadharani yote"
Ismail Jussa Ladhu
Makamu Mwenyekiti (Z)
@ACTwazalendo

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 3 месяца назад
Sawa kabisa Mr, mbungo endelea kucharaza hd aseme nimekoma narudi mkuranga & mashaAllah ww ni tunuyetu ya znz a,c,t ndio chama letu ❤from ymn mm na Zanzibar ❤ Zanzibar na mimi
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n 3 месяца назад
ndio baba tunakukubali tunataka nchi yetu ❤❤❤❤❤
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 месяца назад
Jussa ni ❤❤❤❤
@richardhosea8827
@richardhosea8827 3 месяца назад
Jussa nakumbuka marais wote waliopita huko nyuma kakika uliwatesa sana hasa Dkt Sheni
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 18 дней назад
I love ZANZIBAR.
@jaysullman3697
@jaysullman3697 3 месяца назад
Motoooo🔥🔥🔥👍
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 3 месяца назад
Msivunjike moyo, InshaAllah ipo siku
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 3 месяца назад
Kheir ikawe kwetu
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 3 месяца назад
Up sawa ukweli kuifagilia ccm ni sawa kuifagilia freemason.
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 3 месяца назад
Hivi nyie watu weusi mnayemshabikia Jussa kumbagua Mwinyi hamjui ndivyo hivyo mababu zake Jussa walivyokuwa wakiwabagua babu zenu kabla ya Mapinduzi ? fumbueni macho, hivyo ndivyo wageni walivyoweza kutugawa na kututawala walipokuja Africa, sisi watu weusi ni wajinga na ndiyo maana wageni wachache walikuja huko walikotoka pamoja na uchache wao, wakatutawala kilaiini, jivunieni uafrika wenu
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 3 месяца назад
Zanzibar inatajwa kama Zanzibar TANGANYIKA IMEPOTELEA KUSIKO JULIKANA SO TUNA ZANZÍBAR NA TANZANIA.
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 месяца назад
Sawa una zanzibar na tanzania unafaidika nini?? Na hio Tanzania??
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 3 месяца назад
@@omarmohammed5157 ULINIELEWA MAANA YANGU? ZANZIBAR INAINYONYA TANGANYIKA KWAKUTUMIA MLIJA UNAOITWA TANZANIA SO KAMA MUUNGANO UNAMAANA BAS ZANZIBAR ibaki zanzibar kama Ichi na Tanganyika ionekane ibaki kama ichi dhen kuwe n'a selikali ya kushughrikia maswala ya muungano, ila kwa sasa Tanganyika imepotea
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 месяца назад
​@@omarmohammed5157 Ni wewe tu hujatumia fursa wapo Wazanzibar kadhaa Tanganyika na mali zisizohamishika.
@thanimosi8906
@thanimosi8906 3 месяца назад
Mnaendeleza mipasho tu hamna jipya nyie kazi kusema uongo tu
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 месяца назад
Weye si mzanzibar ndio unasema hivo
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 3 месяца назад
Ukiwa wapi ume pakatwa Nakupakwa Mafuta Matakoni kwako😋😋
@kassim1262
@kassim1262 3 месяца назад
Waongo ccm tngu enzi za mababu namabibi zetu znzbr inajengwa barabra tu 😂😂😂😂wala hazimalizi wjinga km nyie ndio mnadangwanywa et kuna maendeleo 😂😂😂😂😂😂shtuka mjomba maendeleo yccm nibrbr tu
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 3 месяца назад
@@kassim1262 Kuitetea Zanzibar na kuwabana CCM wala siyo tatizo, tatizo ni pale Kumbaro Jussa anavyotaka eti yeye awe ni Mzanzibari zaidi ya Mwinyi, hivi kweli Kumbaro awe na haki Zanzibar kuliko Mwafrika na nyie watu weusi wenzangu mliobaguliwa na hao Makumbaro na Wamanga waliopinduliwa mnakubali kuwa Jussa ni ndugu yenu zaidi kuliko Mwinyi !!??, hivi mkiwekwa hapo mbele nyie mnafanana na Jussa au Hussein Mwinyi ? 😄 Hebu jaribuni kuona haya japo kidogo basi 😜
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 3 месяца назад
WEWE GUJIRATI INDIA MBINA HUENDI KWENU .HIVYO MWINYI KWA ZANZIBAR SAWA NA WEWE. WEWE MUHINDI MUHINDI TU WACHA UBAGUZI. SEMA MENGINE UBAKISHE USIMALIZE YOTE. SISI WAPEMBA TUNA NENO TUNAITA KUAKIBIZA. KWA HIVYO AKIBIZA
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 месяца назад
Sawa ila bora muhindi mwenye kheiry kuliko mswahili mwenye shaary
@abbiecox1
@abbiecox1 3 месяца назад
@@omarmohammed5157 mtumwa asilimia mia wewe heri wakomwenye shari kuliko mhindi mwenye kheri au anakupaga shilingi mbili tatu! bwege wewe usiyejijua
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 3 месяца назад
Wewe kichwa box jussa kindaki ndaki mzawa kabisa cc hatutwmbui uwepo wa mkuranga arudi kwao ht wewe asiliyako yatoka ama umetokea chini ya ardhi uliza mababuzako wp kwao jb utalipata box lilisilo eleweka
@salyali7807
@salyali7807 3 месяца назад
Nyie ndio wale wanaoiuza zanzibar kwa akili zenu za kitumwa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 месяца назад
Ubaguzi sio kitu kizuri, mwenye hoja alete lakini mchanganyiko wa watu ndio visiwa vyote duniani vilivyoundwa!
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 3 месяца назад
Meko hawafai kweli maana barabara ya wete kongwe mpaka leo hii inshindwa kumaliza
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 месяца назад
Jusa wacha ujinga Samia na mwinyi wote mafisadi na wezi hawana tofauti.
@SeifMjawir
@SeifMjawir 3 месяца назад
Hmna jipya bhanaa
@abbiecox1
@abbiecox1 3 месяца назад
mpya hizo ndevu kama kichaka cha nyasi
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 3 месяца назад
Unalo wew
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 18 дней назад
Uyo mbunge wa mkuranga atuache kidogo.. Uzalendo mbele!!.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 3 месяца назад
Zanzibar viongozi wote utasikia fedha fedha , inaonesha wazi hakuna hata mmoja atakae weza kuiongoza Zanzibar
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 3 месяца назад
WANASIASA WA TANZANIA WANAYUMBA SANA UNASIKIA HUYU MZAZIBAR MWINGI ANASEMA HUYU MNDENGEREKO HII KWA VIJANA WA KITANZANIA HAINA MASHIKO UBAGUZI HAKUNA NAFASI WW TAZAMA MCHANGA ANAGOMBEA MOROGORO UBUGE ANAPATA KUNA MIFANO MINGI ACHENI HIZO BADILISHENI SWAGA SASA
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 18 дней назад
Wazanzibar wanapitia mengi machungu ndio maana wanafunguka, we hujui, siri ya mtungi aijuae kata!!wazanzibar hawana tofaut kubwa na wasomalia, ambao wanaikimbia nchi yao na kuenda kutafuta maisha nje ya nchi yao, hali nchi ina rasilimali za kutosha.
@AloysiusNewenham-Kahindi
@AloysiusNewenham-Kahindi 3 месяца назад
Watanzania wanataka kuona historia yenu ya mafanikio huko nyuma!! Kukosoa ni RAHISI mno, Jussa!! Kutimiza ni kitu kingine!! Hebu Jussa tuonyeshe nini ulifanya nyuma ili watu wakuamini wewe hutafuti madaraka tu!!!
@kassim1262
@kassim1262 3 месяца назад
Ww ulitaka afnye nini kwni hiyo ccm ipo madarakani miaka stini naa wnajenga barbara tu 😂😂😂mbona huwahoji ccm kwenye hilo
@AloysiusNewenham-Kahindi
@AloysiusNewenham-Kahindi 3 месяца назад
@@kassim1262 mimi siongei juu ya Chama au CCM ... mimi naongea Jussa na wenzake watuonyeshe nini hasa cha mafanikio walifanya nyuma ... ili tuwaamini!!
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 месяца назад
Hiii ndio viongoz wa zanzibar ikawa haina maendeleo ya maaana pesa zikiingia tu watu wanannza kutafuna juuu kwa juuu
@Shdy2569
@Shdy2569 3 месяца назад
Kuweni wastaarabu wakuzungumza siasa sio vita msitake kuleta fujo zanzibar
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 месяца назад
Sasa kila viongozi munawasakama yupi aliekuwa fresh kwenu
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 3 месяца назад
NDUGU TANGAZA SERA MSIMTANGAZE MTU HAPO NDIPO MNAPOPOTEA HATIMAE KUPOTEZWA
@afropanorama4730
@afropanorama4730 3 месяца назад
mwacheni mwinyi afanye kazi
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 месяца назад
Wewe si mzanzibar ndio maaana
@afropanorama4730
@afropanorama4730 3 месяца назад
@@omarmohammed5157 kwaiyo ili niwe mzanzibari ulitaka niwe na mawazo sawa na yako, mpuuzi mkubwa
@salyali7807
@salyali7807 3 месяца назад
Mwacheni Mwinyi aimalize zanzibar
@hasbunakhamis487
@hasbunakhamis487 3 месяца назад
Jussa nakulubali
@nassorseif7907
@nassorseif7907 3 месяца назад
Pesa sio tatizo tatizo kuipata serekali
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 3 месяца назад
HIVI UKIULIZWA ZANZIBAR MWENYEWE NANI UTAJIBU NN
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 18 дней назад
Wewe kwenu unapajua!!!!???.
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 3 месяца назад
Muongo huna mpango ccm oyee
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 3 месяца назад
ANAWEMA MKUBWA KWETU.YLIYOBAKIA NI MAMBO MADOGO MADOGO YA KIBINAADAMU AMBAYO MTU YOYOTE ANAWEZA KUFANYA. MKAMILIFU NI ALLAH
@salyali7807
@salyali7807 3 месяца назад
Wema wakuchukua dhamana ya kuimaliza zanzibar ... laanatullah
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 3 месяца назад
Tushachoka na vijembe twambieni mtafanya nini na mtafanya vipi na mipesa itatoka wapi.
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 3 месяца назад
Subiri washike dola ndio utajua pesa watapata wapi Bi - idhni - lah
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 месяца назад
​@@nailamohd-wn6sbndio sera waeleze sio mipasho tu saiv washa anza kunichosha
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 месяца назад
Mimi nashangaa ukiongelea ufisadi mwinyi na Samia wote ni mafisadi. Acha ujinga.
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад
WAPAMBANAJI HAWACHOKI NA WAPAMBANAJI HAWASHULIKI NA PESA WANASHUHULIKA NNCHI
@BobNgagi2023
@BobNgagi2023 3 месяца назад
@@nailamohd-wn6sb Mapinduzi daima ! Dola ZNZ haipatikani kwa makaratasi, kumpa dola Jussa ni sawa na kudhihaki Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964 , sawa na kumrudisha Sultan aje kutunyanyasa tena
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 3 месяца назад
Rudi kwenu kumbaro
@salyali7807
@salyali7807 3 месяца назад
Utakufa nacho kijiba cha moyo ... Jussa ni kipenzi cha wazanzibari
@salyali7807
@salyali7807 3 месяца назад
Kumbaro ndio star yetu wazanzibari
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 258
БЕЛКА РОЖАЕТ?#cat
00:28
Просмотров 314 тыс.
🔴KIPIMA JOTO  Septemba 13, 2024
Просмотров 25
JUSSA AWEKWA KIKAANGONI NA MHE:NADIR
10:02
Просмотров 12 тыс.