Тёмный

JUX AELEZA SABABU ZA KUACHANA NA VANESSA - "DIAMOND AMENIFUNDISHA".... 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

JUX AELEZA SABABU ZA KUACHANA NA VANESSA - "DIAMOND AMENIFUNDISHA"....
Hii ni sehemu ya Pili ya Interview ya Juma Jux na Global Radio, akizungumzia kuhusu Album Yake na ishu nyingine zinazomuhusu..
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: ru-vid.com?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:ru-vid.com?list...
GLOBAL RADIO TV:ru-vid.com?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:ru-vid.com?li

Развлечения

Опубликовано:

 

21 ноя 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
Msimlaumu sana jux mi kwa upande wangu I hope wamefkia mwisho kwaajili ya dini zao hakukua na laziada, wazo langu tu si kwa ubaya,,pia mkumbuke hakuna kitu kisichokuwa na mwisho hata kama wangeendelea kuwa pamoja milele bado kifo kingewatenganisha.,
@iambaizo
@iambaizo 4 года назад
Amina Namoyo we ndo una akili sio hao mademu machoko yanayo comment kwamba jmaa anaumia kama wana uhakika na jux hajawah kumponda v na ame move on bila shida
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
🙏baraka sebastian
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 4 года назад
Well said
@Quiz-Blitz1
@Quiz-Blitz1 4 года назад
yaaani kila siku nilikua nikitafuta comment kama hii...
@levinamwaila7847
@levinamwaila7847 4 года назад
Jux una busara sana,Asante kwa kutomdhalilisha vanesaa🙏🏾you are a great man
@halimamashimba9617
@halimamashimba9617 4 года назад
Unahekima sana jux kwa hivyo utafika mbali sana
@teresiaemmanuelmswamwajuma2464
Uko sawa jux umeongea kama wanaume kumi🥰🥰
@hajrahemed5318
@hajrahemed5318 4 года назад
Daah inaskitishaa sanaa jamny jux
@kelvinmuia4760
@kelvinmuia4760 4 года назад
Oee nakkubalii sanaa jux.,big up kakaah mkubwaa Zidii kupikaa vi2 vikalii mkk
@kennix6457
@kennix6457 4 года назад
V hakuwa wako Kaka. Kaa na mwenye unaye. Nakukubali Sana Kaka rnb star
@reinampona69
@reinampona69 4 года назад
Safi jux umeongea kiume
@fatushabdi2786
@fatushabdi2786 4 года назад
Duh boy anajielewa kweli 🤙
@chunanachu2529
@chunanachu2529 4 года назад
Wanaume huwa wanaona umuhimu wa mwanamke akishakuwa na mwanaume mwingine pole jux ndio hupati tena demu mwenywe akili mstarabu kama veee
@gracehilary3208
@gracehilary3208 4 года назад
Jamaa ameuliza swali la kishamba, wasanii wengi wameulizwa hilohilo, majibu yanaeleweka hatutaki matabaka tunataka kukuza mziki uwe na ladha nzuri zaid na kibiashara.
@mariumpius9014
@mariumpius9014 4 года назад
Mav ya kale hayanukiiii!!!!! Jux ulkua wampenda v ,,,, nw waumia unajipa moyo 😏
@adolphyamin1245
@adolphyamin1245 4 года назад
Jux barikiwa bro
@kisikejackson5637
@kisikejackson5637 4 года назад
Jux is my number 1 bongo artist. I love the maturity and the composure he show always.
@africanreal8782
@africanreal8782 4 года назад
Jux mshukuru sana vanesa kakulindia sana heshima sisi tunakujua wewe ni mtu wa aina gani ......
@dn.n4983
@dn.n4983 4 года назад
Naona hapo venesa dini yeye ni mkristo na anapenda sana deni yake pia anapenda kazi zazi zake ziende kimataiga that very good rotini vesesa wakishana watazidi kinadashi kweli dunia itakywa kila siku wasasimuliwa wazishe reality show yao au angeingi kabisa kwa holiwoody movies ana fit kabisa super gili very talet both ila alikuwa anaitani mtu anaweza kupush na kumpa good direction mawaimbe wafike mbali hasiache kuwasaidia watanzania sio kiki za kijinga mbarikiwe wote pua amani sio chuki
@Mrjjwhitemusician
@Mrjjwhitemusician Месяц назад
Safii sanaaa gusa kwa hii profile yangu kuna ngo yangu mpya apo RU-vid uni saport
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 года назад
Jamani kuna watu huwa mna comment mbaya. Mnamtukana huyu kaka kwa nn na kumuhukumu kwamba atamkumbuka? Embu pevukeni akili watu. Duuh kabla ya watu kumiliki simu ingepaswa wapimwe uwezo wao wa akili sema tu basi
@fatimaamir7954
@fatimaamir7954 4 года назад
Unampenda sn v money lkn ngumu kumeza Pole
@sterlingmemes8966
@sterlingmemes8966 4 года назад
Watu mnacomment utumbo wakati wenyew hawakutoa sababu ya kuachana
@aginessjacksoni8115
@aginessjacksoni8115 4 года назад
Bwege ne ndazako we mborooo
@mwanamisimarinaa3005
@mwanamisimarinaa3005 4 года назад
Na Bado wapenda v na v Bado anakupenda sana so munapendana Katika wapenzi kukosana kuko kuwa makini usijege cuki kwa v bado yuwakupenda v
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 4 года назад
Dah ww jifunze kwanz kuandika maana hatar😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@upendomwalupogo462
@upendomwalupogo462 4 года назад
V juuu htree but utamkumbka vmony htr
@mwanamisimarinaa3005
@mwanamisimarinaa3005 4 года назад
Juma jux nn mbaya bro wachana na wanahabari please unajiaribiya mambo yako kama uliamuwa mpenzi basi usitagaze kila kitu kwa midiya
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 4 года назад
Watangazaj ma choko kweli
@jumamkongowe8870
@jumamkongowe8870 4 года назад
Asanionyeshe alichokupa mama 😂😂😂
@adventureguidertanzania2331
@adventureguidertanzania2331 4 года назад
Sugua
@zamdakimaro2973
@zamdakimaro2973 4 года назад
YAANI KAMA NAMUONA VANESSA ANAVYOACHWA NA ROTIN NA JINSI ANAVYOJUA KUPENDA NAHISI NDIO ATAZIMIA KABISA DA TUWAOMBEE MASTAA WETU WADUMU KWENYE MAHUSIANO YAO JAMANI
@ntamugabobizi4580
@ntamugabobizi4580 4 года назад
Jux anapedasana nyiye hamumu juwi musi zani mupore wana waketunaweka vitu vigi
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 4 года назад
Mbon ka unateseka mlamba lips
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 4 года назад
Wivu sina ila roho inauma 😒
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 года назад
😂😂😂😂
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 4 года назад
mond ajui kuimba musimpe sifa mariooo anaimba vizuri
@CodydaGaribeji
@CodydaGaribeji 3 года назад
Kanumba
@salomerobert3668
@salomerobert3668 4 года назад
Kukaa kote na Vanessa umeambulia kolabo ya nje na nyashiski uko serious kweli.
@judithshirima9077
@judithshirima9077 4 года назад
Salome Robert ww ulitak apate nn
@judithshirima9077
@judithshirima9077 4 года назад
Salome Robert ww ulitak apate nn
@zainabually3723
@zainabually3723 4 года назад
nyoio
@stevrnb19
@stevrnb19 4 года назад
Bro kufny ngoma na mond kwng ni burudan xn coz jux na mond kwng ndo waxanii wakubwa tz
Далее
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
03:28
Просмотров 14 млн
“ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” MANARA AVUNJA UKIMYA
4:23
Documentary With Jux
5:59
Просмотров 8 тыс.
Mkasi - SO5E07 With Sajuki
28:12
Просмотров 280 тыс.