Тёмный

JUX AMUONEA HURUMA MIMI MARS, AZUNGUMZA HAYA, ATOA MSAADA HUU KWA YATIMA NA WASIO JIWEZA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@TahilaRamadhan-hz3pd
@TahilaRamadhan-hz3pd 8 месяцев назад
Muwe mnavua herini basii mnapoenda sehemu km hizo maana watoto ni wepesii kwa kuiga .ila hongera sanaa
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 8 месяцев назад
Kweli sijui hereni za nn? Yani wanaboa sana
@EASTOG
@EASTOG 8 месяцев назад
Hhh saf umemchana ila mwshoumempahongera zake
@hajudocompanylimited7996
@hajudocompanylimited7996 8 месяцев назад
Helen zinahusiana nini hapo
@waynejoree4039
@waynejoree4039 8 месяцев назад
Bonge la wazo
@funnyboy369
@funnyboy369 8 месяцев назад
Nakubaliana na wewe 100%
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 8 месяцев назад
Juma mwanangu, nimefurahi kwa hili Mungu Jehova hakulinde, hakutangulie, hawe nawe kwenye kila hatua utayopita. Be always blessed. Sasa umefanana sana kama baba yako marehemu. Salimia mama Mery, Fatuma,.❤❤❤❤❤❤❤😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇸🇪🇸🇪🇸🇪🙏😁 .Rither.
@IreneNahamson-qk3bi
@IreneNahamson-qk3bi 8 месяцев назад
Jmn mumuache mbn mnamsem n hz heleni nyie mlio watakatifu hakuna hat moja mlilofanya lamaan mmekalia kukosoa watu ebu mumuache bwana kha
@salmakiti1517
@salmakiti1517 8 месяцев назад
Mungu akulinde. Na akuzidishiye❤
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 8 месяцев назад
Mashallah 😍 Jux Allah akuzidishie upendo Kwa wote 🎉🎉
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c 8 месяцев назад
Juma jux kama skosei itakua ww ni mtoto wa kiislam kama ni kweli basi ww ni pumbavu sana hereni na kanzu pumbavu zako
@ChenchiKing
@ChenchiKing 8 месяцев назад
Mungu Awape Nguvu
@mwajoma1373
@mwajoma1373 8 месяцев назад
Mashaa Allah jux Allah akuzidishie
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 8 месяцев назад
Hongera sanaa Jux mungu akubaliki sanaa
@AzariaMkweli
@AzariaMkweli 8 месяцев назад
Mungu akulinde❤❤
@LightnessKoka
@LightnessKoka 8 месяцев назад
Mungu atakubarki zaidi na zaidi Barikiwa sana.
@athumanfuko199
@athumanfuko199 8 месяцев назад
Mwenyezi Mungu akujalie afya mwakani ufanye hivyo tena ❤
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 8 месяцев назад
Mungu akuzidishie zaidi kaka
@FatmaaBakar
@FatmaaBakar 8 месяцев назад
Hongera ila munapo taka kufanya jambo kama ilo jaribuni kueka stara msipende kujitangaza
@dfinalpatrick8555
@dfinalpatrick8555 8 месяцев назад
Hio ni hamasa ilinawengine wawasaidie ila kitukingine biashara nakukuza brand.
@josephfrank4446
@josephfrank4446 8 месяцев назад
Kamera ni nzuri kama unaona hazifai toa wewe kimya kimya kama utapata wadhamini wakukusaidia kutoa hio misaada
@MamodelPark
@MamodelPark 8 месяцев назад
Kashasema ametoa misaada sana bila camera na leo ndo tumejua kama nimtoaji mzuri tu behind the camera .... lengo la yy kuita media ni kuwapa uthubutu na wengine wakatoe misaada maeneo ya mbali. Alichokifanya ni kuhamasisha na ww ukatoe ata usipoita waandishi wa habari ila ukatoe na ww .! Muache kusema watu vibaya
@zahrayusuf5985
@zahrayusuf5985 8 месяцев назад
Ma shaa Allah tabarak Allah
@MashakaShobo-cs5wj
@MashakaShobo-cs5wj 8 месяцев назад
hicho ulichofanya ni kitu kikubwa sana MUNGU akubariki Jux
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 месяцев назад
Asante kaka jux Mungu akuzidishie
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 8 месяцев назад
Mashaa Allah Allah akuzidishie
@mrsinia3064
@mrsinia3064 8 месяцев назад
Safi sana jux....hivi sasa ndio mastaa wanatakiwa kuishi siyo kuenjoy peke yako
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 8 месяцев назад
Sijui nani aliwaambia mnapendeza hizo hereni?
@KassimSehume-hr2ub
@KassimSehume-hr2ub 8 месяцев назад
Kibaha sio mkoa boss
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 8 месяцев назад
Jamani Jux umefanya jambo jema Allah akujaalie,lakini naomba namie unisaidie ada laki mbili na nusu mwanangu yupo form six mpaka leo hajaenda kwani nimekwama nakama kunamtu umu atawiwa anisaidie wallah 😢🤲🙏 Inshaallah 🙏
@KawaTzHD
@KawaTzHD 8 месяцев назад
Bando umetoa wapi au uza simu hiyo ushauri 2
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 8 месяцев назад
Atapata usijar Fetty
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 месяцев назад
Kwa kweli umesema vizuri dada herini mikufu na matatuu lqzima muwe mnahifadhi pembenimnapofika ktk sehem kama hizo
@EuniceMwanri-jw9py
@EuniceMwanri-jw9py 8 месяцев назад
Mungu akubariki kaka
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 8 месяцев назад
Mihereni na Kanzu wapi na wapi!?? Acha Ushamba Jux!!
@AlbertMiti
@AlbertMiti 8 месяцев назад
One love # spj Zambia kamwala
@FatiaAhmed-m1u
@FatiaAhmed-m1u 8 месяцев назад
NYIE PUMBAVU MUACHENI JUX YEYE NI KIOO CHA JAMII. ANAHAMASISHA WENZIE VINGAP ANASAIDIA KIMYAKIMYA MITAAN KWAO HUKO KOMENI ACHENI KUJIFANYA MUNA DINI
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 8 месяцев назад
Mkoa wa Kibaha!!? Kweli mastaa wetu viazi haswa 😊
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 8 месяцев назад
Tatizo liko wapi ama kibaha sio mkoa? Wewe sasa ndio......i
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 8 месяцев назад
​@@nassercurtis9579Mkoa siyo kibaha nadhani ni pwani km jiografia haijapita kando sana
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 8 месяцев назад
​@@nassercurtis9579Kinaha sio mkoa ipo Mkoa wa Pwani😊
@badmanno.1650
@badmanno.1650 8 месяцев назад
Hereni zanini unapokwenda kutoa msaada kwa watoto jamani? Hujui kama hao watoto wanajifunza kwenu.
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 8 месяцев назад
Mngu akuzdishie kk
@omanoman2044
@omanoman2044 8 месяцев назад
Mtt wakiisilam na miheren kam mwanamke muww mnakumbuka ipo siku mtakuw ndan ya tumbo la aridhi na mkatow maheren nyie jamna kifo huja khafula bila taarifa mungu awajalie mwisho mwem wallah
@vibetz9991
@vibetz9991 8 месяцев назад
""" Oya vido vidox, naenda kusaidia Yatima,, njoo unitangaze nionekane nna roho nzuri""
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 8 месяцев назад
😂😂😂
@mohammedadam8261
@mohammedadam8261 8 месяцев назад
😂😂😂daaah sas huo sio msaada ww nia yako uonekane
@mohammedadam8261
@mohammedadam8261 8 месяцев назад
Fanya siri ili umotivate n wengne tutoe
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 8 месяцев назад
Mbona hat ni African boy lakini ina logo ya Prada
@SamiriBacha
@SamiriBacha 8 месяцев назад
Bro, hizo ndo changamoto zawalimwengu. Me binafsi nakushukuru kwaulichokifanya na wengine wenye mioyo na imani basi wataiga mfano wako Mungu ndie mtoa hukumu( usife moyo bro)
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 8 месяцев назад
Hauna mtoto ata ivo io nikiki bt Mche Mungu uachane na maovu unayo yaficha
@aaa64sa13
@aaa64sa13 8 месяцев назад
Usimuhkum mwezio kabla ujajihukum wewe mwenyewe. Wewe ni mkamilifi??? Wachakukosoa watu na kujifanya mumeen. Kupata mtoto ni majaaliwa. Kama ukujaaliwa hata ukaowa wake wanne. Mpuzi sana Jingazzzzz.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 8 месяцев назад
Mungu atampa na yeye mtoto .alicho kifanya sio ya mtoto ni.ammari.yake ya kesho.mungu akujalie.JIMMA❤❤❤❤❤❤
@kibatv255
@kibatv255 8 месяцев назад
Wasani mnaofanya ujinga kama huu acheni kabisa huu niujinga nakuto kusoma dini inavo takiwa huo sio wema uko nikijionesha kwa watu unafanya ria kwan huwez kufanya bila kuita waandishi au acheni ulimbukeni kweny dini yetu fanyeni matendo yenu kwa Siri
@navyoagrey7523
@navyoagrey7523 8 месяцев назад
Mnajua kuhumumu jaman binadamu 😅😅😅😅...Mungu atamhukumu mwenywe.
@salama1113
@salama1113 8 месяцев назад
Kwani amtoi misada mboka muoneshe watu?
@hemedichipeka9306
@hemedichipeka9306 8 месяцев назад
We ungejuaje
@MamodelPark
@MamodelPark 8 месяцев назад
Nenda katoe na ww ya kimya kimya
@AthumanLugudi
@AthumanLugudi 8 месяцев назад
😊
@pro_the_dj
@pro_the_dj 8 месяцев назад
👏👏🙏🙏
@GODLOVEDIDAS
@GODLOVEDIDAS 8 месяцев назад
Inabidi ifike sehemu tukatoe msaada tuache Camera nyumbani😢😢
@josephfrank4446
@josephfrank4446 8 месяцев назад
Kamera zinasaidia sana kama hujui leo hata wewe umejua kuna watu mahara fulani unaweza kwenda kuwasaidia mpongeze jux kamera sio nzuri msibani tu
@MamodelPark
@MamodelPark 8 месяцев назад
Kashasema ametoa misaada sana bila camera na leo ndo tumejua kama nimtoaji mzuri tu behind the camera .... lengo la yy kuita media ni kuwapa uthubutu na wengine wakatoe misaada maeneo ya mbali. Alichokifanya ni kuhamasisha na ww ukatoe ata usipoita waandishi wa habari ila ukatoe na ww .! Muache kusema watu vibaya
@alitumbo846
@alitumbo846 8 месяцев назад
bro umevaa kanzu halafu na kapelo na pia mbaya zaid mpk herini umevaa ivi hao watoto nn wanajifunza hapo
@mtambojr1815
@mtambojr1815 8 месяцев назад
Kibaha sio mkoa ni wilaya ambayo ipo mkoa wa pwani!
@naeema8155
@naeema8155 8 месяцев назад
Kanzu na hereni 😂😂jmn
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 8 месяцев назад
Mwehu ww una Vaa kanzu na heleni
@tumainihilary6839
@tumainihilary6839 8 месяцев назад
Camera za nn kwenye utoaji??
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 8 месяцев назад
Mda mwengne sio vibaya kwa ajili ya kuamasisha wengne nao kujitoa ukizingatia yy ni mtu watu.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 8 месяцев назад
Binadam bwana yani mmeona heren hamjaona alicho kifanya kuwen na utu mda mwingine
@SaidyMathias-x1n
@SaidyMathias-x1n 8 месяцев назад
Hongeea kaka
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 8 месяцев назад
Hongera,,,lakini muwe mnatoa kimyakimya inakuwa poa zaidi
@navyoagrey7523
@navyoagrey7523 8 месяцев назад
Wanatoa hivyo ili kushawishi wengne watoa pia ....sio vibaya.
@KudraEliasa
@KudraEliasa 8 месяцев назад
Iko poa san
@officialtinnyaltezza9878
@officialtinnyaltezza9878 8 месяцев назад
Mkoani kibaha kweli???
Далее
LOLLIPOP-SCHUTZ-GADGET 🍭 DAS BRAUCHST DU!
00:28
Просмотров 12 млн