Тёмный

KAMA MAJINI WANALETA PESA MBONA MUNAUZA DAWA ZA MITI SHAMBA || Muhammad Bachu. 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@AbdurahmanBishariza-p9h
@AbdurahmanBishariza-p9h 3 месяца назад
Mashaallah sheikhe mhammad nasoro bacho nakupenda kwa ajili ya Allah
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 3 месяца назад
Ndugu yangu sheikh bachu usichoke kufundisha atakae sikia vizur asiye taka ,basi ALLAH ANASEMA SEMA HAKI INAYO TOKA KWA MOLA WAKO ,ANAE TAKA AFUATE ASIYE TAKA MUACHE AKUFURU,LAKINI HAKIKA TUMEMTAYARISHIA MOTO ,NA HATOTOKA HAPO SHIMONI ,NA ATASIKIA KIU ATALETEWA MAJI KAMA SHABA ILIYO YAYUSHWA, AYA INAENDELEA,SURAT AL KAHAF
@Captainome
@Captainome 3 месяца назад
Maa shaa Allah sheikh Muhammad bachu elimu ni amani, fikisha anaetaka na asikie.
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 3 месяца назад
Woote hao wahadhir bilbia, wamekuwa waganga, ivi kuhubiri dini wamemuachia mazinge pekeake,na tiba zao wengi wao ni za shirki, nyota, pète,majini, vyote hivyo ni haramu, mungu awepe mwesho mwema,bachu endelea kufundisha insha allah
@user-Anasmohammed12
@user-Anasmohammed12 3 месяца назад
شيخ محمد أحبك في الله
@mohamedkhairudin6418
@mohamedkhairudin6418 3 месяца назад
Masha Allah nimepata elimu kubwa sana kumchana mtu ni vizuri zaidi kuliko kumficha.na nimependa ulivyosema wazi yule MVAA MIPETE mshirikina
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 3 месяца назад
Mm namnasihi baba kiluwasha rafiki yangu. Usijiingize kwenye ujinga ujuwe familia nyingi zinakuunga mkono kwenye usaidizi wako wa kuziunga Ndoa. Ikiwa usheikh wako unaunga mkono washirikina akina Sule na wenzake. Ujuwe watu watakuwa hawakuamini Tena.
@husseinqaic5384
@husseinqaic5384 3 месяца назад
جزكا الله
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 месяца назад
Jazakallahu khairan. Waelimishe hao wafuga majini elimu zao ndogo.
@saidjuma4547
@saidjuma4547 3 месяца назад
assalamu alaikum shekh Muhammad Allah akupe kheri mkubwa Sana tunaiona juhudi yako Allah akulinde na Kila shari
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 месяца назад
Shukran sana sheikh muhammad baachu
@nasramusaro
@nasramusaro 3 месяца назад
Shekhe Mohammed Bachu nakupenda kwa ajili ya Allah
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 3 месяца назад
Allaah Akuhifadhi sheikh toa darsa wanatuchanganya na sisi Allaah Atuongoze
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 3 месяца назад
Allah akufanyie wepec ktk harakat hizi, nasmikiliza baba yako hapa na darsa zake
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 3 месяца назад
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
@MuhammadBAITANI-jh6kl
@MuhammadBAITANI-jh6kl 3 месяца назад
باب:العلم قبل القول والعمل.❤
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 3 месяца назад
Someni surat jini muone maelezo, ane toa rizki ni Allah peee ,hakuna kumtii au kumtegemea kiumbe shirki tuache
@aslamswalah7852
@aslamswalah7852 3 месяца назад
Assalam aleykum khui, Tabaraka Allah.usichoke kututoa takataka, Allah azidi kukuwezesha na akupe hekma na ujasiri.Allahumma Amiin
@TamimuMshare
@TamimuMshare 3 месяца назад
Mashaalah jazzakallahu haira mwenyezimungu amjalie shehe bachoo dawa zake zimenyooka sana
@mr_s.m.i.l.e254
@mr_s.m.i.l.e254 3 месяца назад
MaashaAllah
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 3 месяца назад
Madhara mengine makubwa ni hii itikadi ya makafiri wa zama hizi hasa huku kwetu Kenya,wakristo wengi wana itikadi kuwa waislamu wana majini.....baadae unapombainishia ukweli ndo anajua kumbe ni porojo tu hizo wanazoitakidi na ni idadi kunwa sana ya wakristo wenye kuamini hivo,sasa akitokea Shekhe mpotoshaji kama huyo ndugu yetu Sule inakua tu mtihani anawazidishia wakristo imani yao potofu dhidi yetu 😢 aisee ni jambo la kuskitisha sana.....cha ajabu anaporekebishwa,zile clip zake za kupotosha huwa hazifuti kwa RU-vid na mitandao mengine na kukubali kuradiwa,abaki tu kwenye mijadala na makafiri mambo mengine asiyokua na elimu nayo awaachie kina masheikh wetu wapendwa.....Allah akuhifadhi شيخ محمد
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 месяца назад
Kutumia majini ni ushirikina ndugu, hata huku Tanzania wakristo hudai eti waislamu wanamajini, lakin qur'an imekataza kutumia majini kunufaishana, sijui sulle hasomi au?. Al Quran: Al-An'am/6:128 --- وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ Translations: --- Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua. -- Ali Muhsin Al-Barwani.
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 3 месяца назад
Sheikh umefanya vema umenikosha jini haonikani utamjuaje kama ni muisla au la?
@YusuphAusi
@YusuphAusi 3 месяца назад
Masha Allah, Allah akuhifadhii
@AbuuKinero
@AbuuKinero 3 месяца назад
Asalamaalekum sn elim ila ukiw n elim ukafamika kw elimu ulionayo iwe ndg au y kiwngo y kat .Ukawa unaporosha wsiona elim wakakuami /sapot yoyte iwe y coment ....na ukaw Unaenda kinyume Uovu shirk n ulichokisoma ktk Dini huchukui mda uwov wko utadhirika kw wale uliowaongpea n kukuamin ktk iman kumilik maji mtiani mtt w shulle akiw na jini asomi zvr, iweje unae yafuga upose n uoe mmoja ndoa y mkeka 🙏🙏🙏🙏
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 3 месяца назад
Jazaaka ALLAHU KHAIRAN
@UlamaaWaUlamaa
@UlamaaWaUlamaa 3 месяца назад
Bachu kamaliza kila tu. Wasipo elewa basi watapata wanachostahili
@ameirameir4349
@ameirameir4349 3 месяца назад
Na wengi ya hao wauza dawa ni waongo
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 3 месяца назад
*NAMUULIZIA YULE MSHIA YUPO WAPI?*
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 3 месяца назад
Hakuna jini anae ingia kwenye kichwa cha mtu akawa mzuri, jini mzuri hanahabari na habari hizo wana muogopa Allah, ukiona jini anashirikiana binadamu huyo analengo baya la shirki, jini ni muongo kupita kiasi, tuwache shirki jamaani,
@mwinyijumamwinyi4656
@mwinyijumamwinyi4656 3 месяца назад
Kwa hiyo nabii Suleiman alikua mshirikina Cox alikua akishirikiana na majini Hadi kutaka kuamrisha miongoni mwao wamletee kiti? Kwani hakujua Kama kiti kinakuja kwa nguvu za Allah? Mawahabi akili zenu Ni sawa na mavi ya nguruwe.
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 3 месяца назад
@@mwinyijumamwinyi4656 yule ushamwita Nabii suleiman, au na huyo ni nabii sule? NABII SULEIMAN ALIPEWA NA UPEPO WANYAMA, MPAKA ALIKUA AKIONGEA NA WADUDU, SASA UNAKATA KUMFANANISHA NABII NA MTU WA KAWAIDA WEWE VIPI, MTUME MUHAMMAD S,A W, ALIPEW RUHUSA YA KUOA MPAKA WAKE 9 SASA JE WEWE UMEPEWA? USILINGANISHE VITU VYA MANABII NA AKINA SISI WALALA HOI, SOMENI MUACHE SHIRKI ALLAH PEKE YAKE NDIO WA KUMTEGEMEA, SASA KAMA MUNATAKA KUMFANISHA NABII SULEIMAN ,NA NABII SULE MWAMBIENI NAE AONGEE NA SISIMIZI NA AMRISHE UPEPO ,NA ASISAHAU KUONGEA NA KUNGURU , PUMBAVU zenu,
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 3 месяца назад
Sure anafikishiwa analeta kiburi waislamu tujiweke mbali na sure Na mfano wa sure
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 3 месяца назад
Shukran sheikh
@nasramusaro
@nasramusaro 3 месяца назад
Unanifurahisha sana mafundisho yako
@mohamedbashir4344
@mohamedbashir4344 3 месяца назад
Huyu Dr sule nilikuwa namsikiza Sana ila hapo Kwa majini amekufuru sasa sijui alikuwa amekunywa ama lakini amejiweka hadharani yeye ni mshirikina subhanaallah
@RamadhaniMohamed-wt3cq
@RamadhaniMohamed-wt3cq 3 месяца назад
Upo sahihi sheigh
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 3 месяца назад
Dr sule si mwiislam , imagine anasema akikuombea dua ,dua yake haina kizuizi eti inapita mojakwamoja na inakuwa mustajab
@idisaidi287
@idisaidi287 3 месяца назад
Yani anajihakikishiya dua ku kubaliwa utasema habari za mbinguni anajuwa
@dizobrownclassic8950
@dizobrownclassic8950 3 месяца назад
dahha hapo ashajipa cheo cha utume
@dizobrownclassic8950
@dizobrownclassic8950 3 месяца назад
na ashajipa cheo cha uchamungu
@kadiriosmam
@kadiriosmam 3 месяца назад
Asalam aleikum warakhmatullah tafadhali tujuze mengi kuhusu subject hii.nimihimu watu wengi wamepotezwa.
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 3 месяца назад
Nilikuwa namthamini sana Dr. Sure, lakini tokea aseme anapata msaada Kwa Pete na majini, nimempuuza sana na Wala sitaki kusikia madam yake yeyote, ni mshirikina mkubwa aloharibikiwa saaana
@esir6667
@esir6667 3 месяца назад
Hata ww hatukujui kama muislam unaweza ukawa unajiita shekh kumbe unapoteza watu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 месяца назад
Kenya wako na paybill tayar wamepeka chakula gaza mara tatu hya mkishamaliza michambo muhamasishe kuweka paybill watu wachange na kusaidia ndungo zetu baba kiruwasha
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 3 месяца назад
Keshasema hashughulishi na radi zao yeye yke yanamuendea anatembelea Lexa wao waendelee kuvaa ndara mtu wa namna hiyo utamuweza uyo kirwasha na sule wote wachawi
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 месяца назад
Hii nguvu tungeiweka kwenye ushoga na usagaji na watoto wa zinaa na kupigana na wayahud tungeogopewa na manabii wa mungu walivyokuwa
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 месяца назад
Ukipigina na ushoga unapigana serekali. Hilo jamb lina mkono mrefu dada angu sio jepes kama unavyofikiria
@kassimothman666
@kassimothman666 3 месяца назад
Ushoga na usagaji NI kupigana na SERIKALI kubwa za kidunia
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 3 месяца назад
Hakuna aya wala hadith inayo ruhusu kutegemea jini, tuwache ushirikina jamani njaaa itatuangamiza dah,
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 месяца назад
naona mambo yako wazi sana hao wanaotetea kushirikiana na majini ni wapenzi tu wa shirki Allah amekataza mashirikiano na viumbe hawa awe muislam awe kafir mana hao wote wana roho za kupenda uasi
@yasiniKingazi
@yasiniKingazi 3 месяца назад
Babakiluwasha gani huyo mbona hujambanisha
@kassimothman666
@kassimothman666 3 месяца назад
Baba Kirwasha sio MTU mbaya ila nadhani kateleza lkn atarudi ktk haki
@saidjuma4547
@saidjuma4547 3 месяца назад
sule kakosea Sana anastahiki kufundishwa akitaka
@mwinyijumamwinyi4656
@mwinyijumamwinyi4656 3 месяца назад
Nabii suleiman alijengewa miongoni mwa majengo yake na majini,pia aliamrisha miongoni mwao walete kiti cha malkia balqis Swali je nabiisuleimsn alikua hajui kama kiti kibgekuja kwa nguvu za allah? Hadi atake kuamrisha miongoni mwa majini walete?.
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 месяца назад
Kwanz kijana nabii suleman hakumuamrisha jini alete kiti bali aliuliza nan ataleta kiti jini akasema mm nitakileta kabla ujaka hapa chini na kasema mtu wa kawaida tu mm nitakileta kabla hujafumba macho na kufumbua kwa hivy kiti kililetwa na mtu.. Pili ucjiilinganish na manabii walipewa vitu vingi ambavy sis hatuna... Na kila kaumu ilipewa mtume kulingana na watu wake.
@mwinyijumamwinyi4656
@mwinyijumamwinyi4656 3 месяца назад
@@YahyaYahya-vp2pp usinifanye mm hko kisa sikijui vijana wa kikijozi mmoja,ww siumesema mtu akijihusisha na majini Ni mshirikina swali nabii Suleiman Ni mtu au Nani? Acha ushabiki hapa
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 месяца назад
@@mwinyijumamwinyi4656 hukijui na hukijuii sanaa nambie ni sura gani na aya namba ngapi na fsri uliyoisoma ww imeshereheswa na nani. Suleman aliuliza tu nani atanileta kiti cha enzi nd akaruka jiini mm nitaleta na wala haakuamrisha alite hapa hapo mtu mweny elim ya kitabu tena mtu wakawaida akaleta kiti kama ww ni msomi kidog niambie ni sura gan.
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 месяца назад
@@mwinyijumamwinyi4656. Kwanza jua suleman hakua ktk umati Muhammad na kila umati umepewa miujiza yakee sasa suleman kupewa jeshi la majini ni saw kani allah ameshamchagulia hivy.. Hoja hizo lete kwa mtume Muhammad mana ndio kigezo chetu wapi alikua majini ktk mambo yake or maswahaba wake
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 3 месяца назад
@@mwinyijumamwinyi4656 sasa unataka kusema nabii suleiman alimuamrisha jini na jini ndio alekilta kiti?
Далее
MADHARA YA KIBURI ||KHUTBA YA IJUMAA ||Muhammad Bachu.
33:37
Sheikh KISHKI - {1/2} - MAJINI NIVIUMBE AINAGANI ?
42:36
WENYE KUKUMBATIA DUNIA || Muhammad Bachu || 1445.
47:16