Тёмный

Kama unaroho ndogo USIANGALIE video hii ITAKULIZA, Bibi anaeteswa na mtoto wake amlilia MAKONDA 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 81 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 207   
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 месяца назад
Mheshimiwa Makonda ni msaidizi wa raisi wa inchi hii, tumshukuru mama Samia kumteua Makonda lkn pia tumpongeze Makonda kwa ujasiri, hekima,ufahamu na maarifa ktk uongozi wake, Tuipongeze pia team yake kwa kuwa washauri wazuri. Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza❤❤❤❤
@user-gw7vq7wn2h
@user-gw7vq7wn2h 3 месяца назад
Makonda mungu akupe uhai kaka piga kazi
@kinyangulishabani9396
@kinyangulishabani9396 3 месяца назад
Unakubali mama yako kipezi analia kwasababu yamali ww huna akili utapata laanaa ww
@ALEXLOTAN
@ALEXLOTAN 2 месяца назад
😂noma sana apigwe uyo mtoto
@JamalMassawe
@JamalMassawe 22 дня назад
Huyo mtoto ana akili anamtesa mama yake kisa mali hajuwi mali zinatafutwa ila hakuna mama wawili
@AllyFeruuz
@AllyFeruuz 8 дней назад
Kuna watoto wangebaki matumboni wangesumbua wazee kwa maradhi
@magejuliani5293
@magejuliani5293 3 месяца назад
Duh! Nilivyompenda Mama yangu pumzika kwa amani Mama yangu! Unathubutuje kumfanyia hivyo Mama yako?
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 3 месяца назад
Safi sana makonda anayefatilia unayoyafanya hakika atakuombea na huku akilia ww niwamfano nakuita magufuri mpya piga kazi watajifunza na wengine watu wengi nchi hii tunatenda wema tunazurumiwa haki zetu nadhani umekuja jibu la wanyonge kutoka kwa mungu ubalikiwe sana
@Swaleheadamu-gz4vm
@Swaleheadamu-gz4vm 3 месяца назад
Pole sana mh makonda kwa kazi gumu kiukweli umekabidhiwa mkoa wenye changamoto kubwa sana watu wamejawa na shida kubwa sana
@aminamohammed5373
@aminamohammed5373 3 месяца назад
Du kuzaa sikupata kupata majaaliwa uyu bibi kaniliza uyu mtoto anamtesa mama yake mungu anamuona anachomfanyia mama yake
@aminamohammed5373
@aminamohammed5373 3 месяца назад
Muishimiwa makonda msaidie uyu bb mungu atakulipa unawasaidia wanyonge
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj 3 месяца назад
Polee piaa mushkuruu munguu ...mamboo ndokamaa hayaaa sasaa😢😢😢😢😢😢
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 3 месяца назад
Mkuu wa mkoa aliepita alikuwa haoni haya kweli mbona madudu yamejaa sana kwenye mkoa wetu nyie
@abuuhafswamunsheedu5790
@abuuhafswamunsheedu5790 2 месяца назад
Dah mm mwenyewe najiuliza😢
@beathapontian2187
@beathapontian2187 3 месяца назад
Makondo Mungu akubariki sana Mungu alikuleta makusudi
@mamaafrica399
@mamaafrica399 3 месяца назад
Huyo msichana atazunguka hii dunia mpaka aje Kuga kama umbwa jirani! Niuchungu mkubwa sana! Mii ujua mtoto walkie ndie ushikilia mama huyo vipi mwewe nini!
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 3 месяца назад
😭😭😭dah hata sina neno walahi nimelia😭😭😭 mungu wa mbingu na ardhi simama na viumbe wako. Dah mama mungu akupe nguvu
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 3 месяца назад
Mungu wangu dunia hii inatisha sana
@theodosiampogole2672
@theodosiampogole2672 3 месяца назад
Mungu turehemu,mzazi unamutesa hivi kwanini asitafute mali zake Hana haki na hizo mali ,machozi yamenitoka hakika mali ni Bora kuliko mzazi ,laana zitamufuata mzazi kukulea ni mali Tisha😭😭😭
@JoshuashitaboJuma
@JoshuashitaboJuma 2 месяца назад
Makonda fanya kazi yako ikiwezekana uwe rais wa nchii hiii
@mohamedmmubullah1147
@mohamedmmubullah1147 Месяц назад
Makonda mbona uko peke yako mikoa mingine hatuwasikii wanaoweza kuwanyamazisha waliao vilio kama hivyo nivingi sana,kwenye mikoa mingine. unatutoa machozi makonda mungu aendelee kukulinda na kukupa maisha marefu kwa kujuwa wajibu wako.
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 3 месяца назад
Inauma sana ,kuna vitu vingine ukivisikiza unaona ni wapi tunakwenda
@angelasule1119
@angelasule1119 3 месяца назад
Makonfa mungu alulinde kuliongoza taifa lake l amina
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 3 месяца назад
Mzazi wangu ninavompenda hivi wengine wanawachezea
@angelamturi2207
@angelamturi2207 2 месяца назад
Hako katoto pengine kachawi, sio kwa unyanyasaji huo
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 3 месяца назад
Jamani mama basi uwiiii😭😭😭😭😭jamani dunia inamengi sana mungu tusaidie
@user-jb7uq3fr4r
@user-jb7uq3fr4r 3 месяца назад
Daaaaaah inauma sana navo mpenda sana mama angu mungu amtunze sana
@salhamohamed9240
@salhamohamed9240 15 дней назад
Maskini mpk nimelia kwa uchungu nimeumia sana unamliza mamako ivo unampandisha presha mzazi wako Inna lillah wainna illaih rajiuun dunia imefika mwisho
@DullahMamu
@DullahMamu 3 месяца назад
Ona dua njema za mama zinaombewa mwenzio na ww unazembea Ewe mungu nijaze mapenzi zaidi na my Angel Mum nimpende pk cku ya kiama InshaAllah
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 3 месяца назад
Hadi uchungu😢😢 Mungu tusaidie waja wako
@nkidakisenga9004
@nkidakisenga9004 2 месяца назад
Makonda nakuamini fanya kazi kaka mtu wa miaka 54 anategemea urithi si wampe urithi wa jembe na mtaji wa mbunga akalime
@esuvatlukumay9587
@esuvatlukumay9587 2 месяца назад
Duuu MUNGU wangu tusaidieeee mama kabisaaa uyo msaidizi wa kuzimu 😂😂😂😂😂😂 mama nakupendaaa MUNGU akupe miaka miaaaa
@JosephLaizer-bn1ly
@JosephLaizer-bn1ly 3 месяца назад
Makonda mungu aku bariki sana halika unatenda mema sana unastahili kuigwa na kila kiongozi
@lameckbenjamini4827
@lameckbenjamini4827 Месяц назад
alaah akpe maisha mrfu boss wa wanyonge
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂pole sana mama yangu pia pole sana makondo ila mam ayo niyakoo
@DANIELMWAMKINGA
@DANIELMWAMKINGA 3 месяца назад
Makonda, makonda, makonda MUNGU wa mbinguni akubariki HAKIKA kazi ufanyayo si yako ni kazi ya MUNGU. USIZIMIE MOYO, UTALIPWA NA MWENYE KAZI
@msafirimahenge729
@msafirimahenge729 2 месяца назад
Hivi kweli mambo haya mtu anamtendea mama mzazi sina mama sina baba wote walifariki niliishi nao kwa upendo kwa kutaka kupata ijapo neno kutoka kwao nimelia sana ninapo ona mama huyu anavyo jieleza kweli sasa mali ni muhimu kuliko mzazi tumefikia kwenye kizazi cha ibiri na kaini ,makonda fanya kazi tunakufwatilia mamilioni ya watu wewe ijapo hutuoni sisi tulio wengi tunakuona una fanya kazi kama musa enzi zake kazi unayo fanya ni ya Mungu utalipwa mbele ya safari maneno na kazi zako hakika zitaishi ijapo wewe hata ukifa utakuwa umejiwekea thawabu mbinguni amina
@user-ih1pk1vs4q
@user-ih1pk1vs4q 3 месяца назад
CHATANDA UKO wp ww mdomo kubwabwaja tu matatizo yote mnayo yaona chanzo chake viongozi tena wezi wa kura
@HellenAlquin
@HellenAlquin 2 месяца назад
Daaaah aisee Kuna watt na kuna mitoto ya ajabu Dunia hii ila naamn hiyo michoz ya huyo mama itamghalimu huyo kijana wake atailipia kbx yan daaah aiseee
@christineenoi5117
@christineenoi5117 3 месяца назад
Makonda Mungu akubariki
@sifakisaka2995
@sifakisaka2995 2 месяца назад
Makonda Mungu akutunze,
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u 2 месяца назад
Hongera Makonda,ubarikiwe sana
@karimsewando1407
@karimsewando1407 12 дней назад
Laana kum uyo kijana mwenzetu, Innalillahi waihnna illaih rajiun
@JosephMihayo-zg8se
@JosephMihayo-zg8se 2 месяца назад
Ubunifu mkubwa wa mama yetu Dr samia suluh ..lazima uwe na matokeo chanya kama haya ..
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 месяца назад
Hao watoto wengine ni malofa nao na manyumbu ,lkn pia hao watu wa mahakama ipewe meno ili watu kama hawa wasiwe na uwezo wakusumbua hivi mtu anaweje kutoka mahakama ya WILAYA akaruhusiwa kurudishwa mahakama ya mwanzo tena na hapo kutakuwa na watu MAHAKAMANI wanamsaliti huyu mama
@patricemapike9244
@patricemapike9244 Месяц назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢jamaniiiiiii jamaniiiiiiiiii watu tuweni nahuruma , nipo burundi nafatiriya inauma saaaaana zaidi ya saaaaana
@qalbi8198
@qalbi8198 2 месяца назад
SubhanaAllah Allah akutunze mamangu polee
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад
Subuhanallah. Subuhaballah Mungu atunusulu. Yani unapataje nguvu ya kumstaki mzazi wako bila yeye ungetamba duniani kweri😢😢 Yarabi tusamee ss na vizaxivyetu Amyn
@philipomapundaa6801
@philipomapundaa6801 3 месяца назад
Makonda mungu akubaliki
@MagrethLue
@MagrethLue 3 месяца назад
Imeniuma sanaa.mtoto wako jamani.
@RucyMakapa
@RucyMakapa Месяц назад
Tena huyo mtt muheshimiwa muweke ndani kifungo cha maisha ametunyanyasa wanawake wotee mpeni mume aolewe huyo na yy akaongwe na wanaume
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 месяца назад
😭😭😭 nimelia sana mama ako kweli
@staminacastory5322
@staminacastory5322 2 месяца назад
Huyo dada anaishi hajielewi maisha yake yameshikiliwa na shetani aombe rehema kwa Mungu
@DativaDaud
@DativaDaud 2 месяца назад
Nimelia kweli, uyo binti ana rahana
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 3 месяца назад
Hadi nimetokwa machozi
@user-fl7jl7vk3n
@user-fl7jl7vk3n 3 месяца назад
Kuna watu wenye laana Dunia hii mama Yako unamtesa kiasi hiki
@DonaldSote
@DonaldSote 2 месяца назад
😮😮 Yan ni mtoto Wa kike mbna huna huruma na mama ako wew daaah Mungu akuone tu
@RucyMakapa
@RucyMakapa Месяц назад
Mwanaume mzimaaa. Bwegee ww huna faida ya kuwepo dunian
@MariamThomas-bg4rc
@MariamThomas-bg4rc 20 дней назад
Huyo dada laana itamtafuna mama kalia kwa uchungu😢😢😢
@GundelindaKibonge
@GundelindaKibonge 2 месяца назад
Hongera kwa habari motomoto
@GundelindaKibonge
@GundelindaKibonge 2 месяца назад
Huyo mtoto anatafuta laana
@GraceMoshi-yb3pw
@GraceMoshi-yb3pw 3 месяца назад
TUSOME SANA MAANDIKO MATAKATIFU.ILA vIJANA WENGI HAWAYASOMI.
@user-mx5xm8fw8h
@user-mx5xm8fw8h 3 месяца назад
Mungu akubariki makonda❤❤
@annwaithera5801
@annwaithera5801 2 месяца назад
Hii ni laana direct, watoto wacheni kuwalazimisha wazazi wenu kuwapa mali.hiyo mali hukutafuta naye mtapata laana bure navizazi vyenu kuridhi hiyo laana je unaweza kumlipa mama yako garama ya kukuleta duniani hadi ukawa mtu mzima.someni bibilia barakahaitoki kwa mungu inatoka kwa wazazj,acheni upumbavu
@AishaMaganga-vd1jg
@AishaMaganga-vd1jg 2 месяца назад
Mungu baba. Saidia huyu mama!!🤲🤲😢😢 kunawatu wanatafuta mama naMungu kachukua, wewe unae unamchezea? Iposiku utamtafuta.
@salma-te4nq
@salma-te4nq 3 месяца назад
Makonde Mungu akuweke akupe uzima na afya utete kila anae teseka
@winfridamrema3738
@winfridamrema3738 3 месяца назад
Ama kweli kaka yangu Erasto unachomfanyia mama siyo kitu kizuri..nimesikitika sana kumwona mama analia hadharani kimeniuma.ulitaka mali za baba yako kwa nini hukumwambia baba akiwa hai?mali zote mali ya mama hadi kiama. Kaka laana ya mama ni mbaya sana.kaka siyo wote machizi wamepata laana kama unayotafuta.mama stela pole sn mama yangu.
@user-ex4hi7fj5c
@user-ex4hi7fj5c 3 месяца назад
Eeeeeh Mungu naomba unipe mwisho me a niwasaidie wazazi wangu na kuwaheshimu hata wasiponipa chochote kunizaa tuu inatosha...WATOTO WETU WATAFUNDISHWA NA MUNGU
@user-jl3ck5mf8p
@user-jl3ck5mf8p 2 месяца назад
Hii ni raana hata hao mahakimu wanasikiliza kesi ya hyu bibi hawana akili wote wanaraana 😢
@rebecamemu9899
@rebecamemu9899 Месяц назад
Miez Tisa kahangaika k leba ndo mwisho kakulea hujaungua moto Leo anatoa machoz laana ya milele😂😂😂
@iammarriey2861
@iammarriey2861 3 месяца назад
I always cry nki watch hizi videos za makonda God bless you bro
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj 2 месяца назад
God bless you makonda
@ixheryusuph1748
@ixheryusuph1748 2 месяца назад
Tunazaa kuijaza dunia lakini sio tunazaa wanetu watusaidie mmh hii haipo kwa sasa ila mwenye moyo safi anakusaidia sanaa na hakuachi hata kidogo
@user-ct7sw7ro3q
@user-ct7sw7ro3q 2 месяца назад
Hapo nimeshaona laana kabisaa
@SmilingBuoy-kb1yn
@SmilingBuoy-kb1yn 3 месяца назад
Watoto wa siku hizi ndivyo walivyo tunawaona wengi mbona dunia imeisha wazazi wengi wanahangaika na watoto
@AsiaAlly-t7z
@AsiaAlly-t7z 2 месяца назад
Huyo jamaa shoga nini!! Kama mwanaume si atafute vya kwake 😮
@z-1il
@z-1il Месяц назад
Ameen yaraab 🤲🏾
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 3 месяца назад
MAMA NI MAMA TU USISUBUTU KUMTAKANA MAMA YAKO AU KUMZARAU PIA MAMA YAKO MPENDE MAMA YAKO MJALI MSAMINI KWANI MAMA NI FUNGUO YA DUNIA
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 месяца назад
Pole mama😢😢😢nimejawa na uchungu.eemungu mama mzazi kweli😢😢
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n 3 месяца назад
Watoto wa kuua ndo kama hawa sasa unamuhangaisha bimkubwa wote huyo ndo nini
@machimushukran3742
@machimushukran3742 3 месяца назад
Wewe ni mzalendo wa kweli mungu atakulipa
@iddisalimu5028
@iddisalimu5028 2 месяца назад
Daah huyu mtoto analaaana duniani na ahera
@cristinajeremiah2450
@cristinajeremiah2450 3 месяца назад
Mtoto laana hiyo , mama msamehe mwanao imaana halijui atendalo
@monikamasasi7582
@monikamasasi7582 3 месяца назад
Ila makonda Mungu akubariki Sana
@DukaDanga
@DukaDanga 2 месяца назад
Sisi wengine tumefiwa na wazazi wote tukiwa wadogo tunamtamani mama kama ivi ata awe kichaa lakini wapii
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 3 месяца назад
Ama kweli nimelia
@BahatiKasembe-bw9hd
@BahatiKasembe-bw9hd 3 месяца назад
Pole mamy,,wazaz tunazaaa na nyoka
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 3 месяца назад
Mungu anakazi,siio, mchezo
@annwaithera5801
@annwaithera5801 2 месяца назад
Je kama angelikuwa hana hiyo mali usingetafuta yako,wapendeni wazazi na muwatunze ili miaka yenu iyongezeke dunia hiyo ni amri ya 1 kati ya amuri kumi za mungu
@davidcyrus4115
@davidcyrus4115 2 месяца назад
Moyo wa mama yako mzazi unauacha unaumia hivi hii laana itakuandama mpaka kaburini walahii...🥹🥹🥹🥹🙌🏿💔
@HassanBambaza
@HassanBambaza 3 месяца назад
Mama ana kiswahili kimeenyooka vizur sana mung atakusaidia
@user-wz7tm6bp1g
@user-wz7tm6bp1g 2 месяца назад
Kama kweli URITHI yupo sahihi mama kaweni Sawa
@user-gy9uf5wm1c
@user-gy9uf5wm1c 3 месяца назад
Watanzania ni wabaya yani wanyewe kwa wenyewe nimegunduwa dahhh
@user-qt7ny6wm5h
@user-qt7ny6wm5h 3 месяца назад
😢😢😢😢😢😢Mama jamani 😭
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 3 месяца назад
Duh! Hatari sana hii! Hivi Kuna watu hawana akili kumbe! Duh ! Kesi ngumu hizi wewe mwanaume ni mpumbavu sanaaaaaa! Duh !
@maswamills3161
@maswamills3161 3 месяца назад
Uuwii!!!!! Watoto wanajua kutafuta laana kwa lazimae!!! Jamani!!!. MUNGU mtetee huyu bibi😭😭😭😭😭😭😭!!!!!!.
@halimaoman8726
@halimaoman8726 3 месяца назад
Sana kuitafuta laana ya mali alfu ww ni mtoto wa kiume tafuta yako jamani unamliza mma yako kweli
@giftmed1a332
@giftmed1a332 18 дней назад
Ivi mikoa mingine hakuna matatazo kabisa,mbona wakuu wengne wamejifungia tu maofisini kimya au Tz mkuu wa mkoa ni makonda tu?
@jacklinezombo5806
@jacklinezombo5806 3 месяца назад
tamaa watoto simtafute zenu jmn
@JosephKingwere
@JosephKingwere 3 месяца назад
Makonda alikuwa analia mwenyewe jmn Tz kwetu watu wanaonewa sana
@user-mm9qr7em8k
@user-mm9qr7em8k 3 месяца назад
Mm ndo staki hata kuoa bara.kwabalaa hz zakupenda Mali. Watu watafute Chao. wanataka hata kuua ili waridhii.
@sherryx.7897
@sherryx.7897 2 месяца назад
Iiwish kila nchi wafanye hivi kama makonda
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 3 месяца назад
Na hizo magakama kwanini wanapokea na kumsikiliza huyo mtoto😢
@JosephKingwere
@JosephKingwere 3 месяца назад
Makonda alindwe sana manawengine hawataki ukweli Jmn
@mariakisinza
@mariakisinza 3 месяца назад
So laana tu huyo mungu amufundishe adabu
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 2 месяца назад
Kuzaa sio kupata😢
@user-mq6wd3cx5j
@user-mq6wd3cx5j 3 месяца назад
Mpaka nimetoa machoz daaaah dunian hapa dampo la mambo machafu kwa kwel
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 3 месяца назад
Muuu huyu mtoto alaaniwe
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 месяца назад
Mh najikuta nalia jmn 😭😭 huyo mtt atakuwa chz jmn mama yako kweli? Unataka mali za baba ako kaona kahangaika huko kufanya umalaya kaona anazeeka anaanza kudai mali z bibi wa watu"!# hao mahakim kwann wasimtie ndan huyo chz? Mm nasema kuna familia zina ogopana" lait huyo dada angekuwa ndugu yetu ss kwenye familia yetu anamsumbua mama etu tungeshamuua" ss familia yetu haitak ujinga haki y Mungu mtu mmoja usumbue watu
@mwatummselem2411
@mwatummselem2411 3 месяца назад
Pole sana makonda
Далее
Apple Event - September 9
1:38:19
Просмотров 24 млн
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
India's 'village of widows'
10:43
Просмотров 23 тыс.