Тёмный

"MNAZULUMU MPAKA MAKABURI,TUAMBIE ILE NI HOSPTAL AU GUEST HOUSE"MAKONDA AGEUKA MBOGO BILA HURUMA 

Matukio Online Tv
Подписаться 359 тыс.
Просмотров 116 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

25 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@akimmbwego797
@akimmbwego797 5 месяцев назад
AIBU SANA Big up JPM SON❤
@user-eg4hk9pg5o
@user-eg4hk9pg5o 5 месяцев назад
Hongera kaka yangu Makonda Mwenyezi Mungu azidi kukutunza hakika wewe ndio mtetezi wa wanyonge
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 5 месяцев назад
Mimi nimeona tz watu wawili tu waziri mkuu na makonda nawapenda sana msaidieni mama samia
@nicksonzimbeiya
@nicksonzimbeiya 5 месяцев назад
Kaka makonda Kama kuchkua fom ya urais chkua una mpinzan Kaka unaweza njia magufuli vile vile una baya
@chire4574
@chire4574 5 месяцев назад
Makonda ndo mwanasiasa maarufu kwa sasa
@ezrayohana3541
@ezrayohana3541 5 месяцев назад
Uyu Mkuu tumuombee wasije wakamuua kama mzee wetu. Wezi hawapendi mambo haya
@dolomentfrance418
@dolomentfrance418 5 месяцев назад
Baada ya SAMIA NI MAKONDA
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 месяца назад
Makonda woyooooo Mungu akusaidie kakaaah😢😂😂😂❤❤❤
@user-rh9co7ws2b
@user-rh9co7ws2b 4 месяца назад
Makonda wewe ni????magufuli wapili💪jembe
@williamkazi4116
@williamkazi4116 5 месяцев назад
Hongera mh rais samia Makonda ni cd inayochezeka
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 5 месяцев назад
Nchi hii inaumwa sana inahitaji tiba
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 месяцев назад
Mmmm muongo jamni mungu anakuona toka mwaka 2020
@apostelgodwin
@apostelgodwin 22 дня назад
Makonda uishi milele nakuombea kaka Yangu piga kaz wala usiofie wanafiki❤
@yeshrunmimo-ph6dx
@yeshrunmimo-ph6dx 5 месяцев назад
Tunakuombea makonda
@user-bv1wt9ut8t
@user-bv1wt9ut8t 5 месяцев назад
Makonda katibu wetu mwenezi unafanyakazi sanasana MUNGU akubarik
@coolruler6820
@coolruler6820 5 месяцев назад
😢😢😢😢 muenezi anapaswa kutembea na fimbo,,,,kuna watu wanastahili adhabu mbele ya hadhara.
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 5 месяцев назад
😂😂
@yapelyapell2030
@yapelyapell2030 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 5 месяцев назад
😂😂😂😂🎉😂kula Nina we
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 4 месяца назад
i salute you bro makonda please take care of your life, my next president of republic of Tanzania makondaaaaaa
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 5 месяцев назад
Hii nchi inamatatizo makubwa sana kwenye ardhj
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
POLE SANA MDOGO WANGU MAKONDA, MUNGU AKUPE NGUVU.
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 5 месяцев назад
Uncle magu kufa mengi yanatokea mhhhhhhhh mungu tusaidie
@moiseszachariasmoisesmoises
@moiseszachariasmoisesmoises 4 месяца назад
mwenyekiti wew kama magumu❤unastair sifa
@user-su6yd2lt5f
@user-su6yd2lt5f 5 месяцев назад
Anajitambiua sana kaks uyo. Safi sana. Kula buku
@SurprisedAtom-vp5qe
@SurprisedAtom-vp5qe 5 месяцев назад
Makonda njoo kiteto baba
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 месяцев назад
Tatizo watendaji aliowaweka sio taisi
@magangiralucas6516
@magangiralucas6516 4 месяца назад
Awamajambazi mama wanamualibia nnchi sana kuchukia utawala ngaz ya juu kumbe awa viraza wa chini wanamchafulia
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 месяцев назад
Mungu patie makonda msimamizi bora ww ndiwe HURUMA ya waliyo onewa
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 5 месяцев назад
Ni maigizo na kampeni tu kwani si rahisi kutatua kero siku moja jukwaani mengine ni sugu mengine yako mahakamani. Kama ni utawala bora kwa mini kero zisitatuliwe na wahusika kama serikali za mitaa na mahakama
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 месяцев назад
@@hashimchaoga9566 serikali za mitaa tatizo Hawana karama ya kutumikia watu makonda anayo karama ya kutumikia
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d 5 месяцев назад
Hongera kaka kwa uongoz mzur yaan mtu anaulzwa maswal had anashindwa kujib, yaan kama viongoz wote wakiwa hiv wazulumaj watanyooka tu
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v 5 месяцев назад
Mheshimiwa Makonda Mungu akubariki sana tetea walala hoi wapo viongozi wa CCM ni wezi kwa nini usiwabananishe acha kuwonea aibu kuna viongozi wa chama cha CCM ni Chawa nguoni
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 5 месяцев назад
Hakika hii nchi inahitaji makonda wengi
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 5 месяцев назад
Mhhhhhhhh akigombea tu tutaambiwa ana matatzo ya moyo mhhhhhhhh RIP JPM
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 месяца назад
We ndo unae just hii nchi ukipata Cha thamani hats hakidum daaaaa😢😢😢😢
@kashindesalha8107
@kashindesalha8107 5 месяцев назад
Hahaha😂makaburi haaa mnashiiiida nyie❤
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 4 месяца назад
Makonda Mdogo wangu Kamwambie Rais samia Nchi Hii Inaitaji Katiba Mpya C VINGINEVYO
@romanusnjovu6845
@romanusnjovu6845 5 месяцев назад
Kama namwona magufuli vile
@msafiripascal2757
@msafiripascal2757 4 месяца назад
makonda wewe ni sawasawa na yesu ....umejitosa msalabani kwajili yakuwahokowa wanyonge
@alimasha-qh3vn
@alimasha-qh3vn 5 месяцев назад
Kazi nzuri bro,,ww ndie mrithi wa magufuli
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 5 месяцев назад
Watuuu weweeee,Hii ndio Tanzania Eee mungu ee mungu nyie muogopeni mungu Haya yoote sababu ni kupita bila kupingwa,Acha onyeshe tuone panapovuja
@user-ro2sv3hv6w
@user-ro2sv3hv6w 5 месяцев назад
Hongera sana makonda
@jamesjuma1445
@jamesjuma1445 3 месяца назад
Napenda kweli
@user-py8ol3zd2y
@user-py8ol3zd2y 4 месяца назад
Dah kweli lazima wasikupende
@MarthaTemba
@MarthaTemba 2 месяца назад
Me nilikuwa simuelewagi makonda sasa namuelewa kweli kweli utabarikiwa kwa hawa wanyonge
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
PESA HIYO , HAO NDO VIONGOZI NA WASOMI WA TANZANIA.NI WAZULUMAJI NA WANYANGANYI WAKUBWA.
@magangiralucas6516
@magangiralucas6516 4 месяца назад
Aisee noma hawa ndio mabeberu wakibongo
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 5 месяцев назад
Kuna watu hawapendi kbc iki anachofanya Uyu mwenezi walaji ni wengi sana ongera sana makonda mungu Ndio kinga Yako watu wana roho mbaya sana
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 5 месяцев назад
Duuu this is Tanzania,
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 месяцев назад
Mhh hii dunia tunapita tutacha kila kitu,Makonda pambana kwaajili ya haki za wanyonge
@sadickmasoudi1689
@sadickmasoudi1689 5 месяцев назад
😢
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 20 дней назад
Makabuli sio yake na wale sio ndugu zake mnashida nyie😂😂😂😂😂😂😂
@user-jz6dd8cj8s
@user-jz6dd8cj8s 5 месяцев назад
Fanya hayo in deply cos kuna baadhi ya wasomi katika nchi hii hawa utu bali ubinadamu, haipendezi, from mwanza ukerewe
@LebahatiSongori
@LebahatiSongori 4 месяца назад
Simba na azam
@ezrayohana3541
@ezrayohana3541 5 месяцев назад
Hizo huduma mnazotoa wananchi hawazijui ni zipi
@user-zt4ih3bq8u
@user-zt4ih3bq8u 5 месяцев назад
Safi sana
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 5 месяцев назад
Hatuna viongozi mikoani wala wilayani hata kata maana yake maana yake serlkali yote ipangwe upya hilo litakarofuata jueni laja
@DenisMwanawane-of2bg
@DenisMwanawane-of2bg 5 месяцев назад
Makonda mungu akupe afya njema njoo mkoa wa pwani uone sebene la aridhi ndio utakubali matokeo bila kupenda
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 4 месяца назад
Hats nakuja nisubirr😊😊
@josephjulio6112
@josephjulio6112 5 месяцев назад
Tuandamana dunia nzima makonda uchukue fom
@ustadhtaqwa8868
@ustadhtaqwa8868 5 месяцев назад
Ulijisoga na malaa
@JamesNackor-xx8og
@JamesNackor-xx8og 5 месяцев назад
Tunajua uongozi ni kazi nzito lakini makonda unajua maumivu ya wananchi ,hiyo ndio maana halisi ya kiongozi .hakika tunajivunia
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 5 месяцев назад
Wakuu was mikoa na wilaya hawfanyi kazi na hawana maa.muzi hawataki au hawajiamini au hawajuianukumu yao shida
@user-pz7zi2bf1w
@user-pz7zi2bf1w 5 месяцев назад
Hayo yote mmeyasababisha haya ni ya ccm mnawajingaishs uma
@user-fq7sy4lo9d
@user-fq7sy4lo9d 4 месяца назад
Mwenez wetu wa nec na itakadi taifa kaka makonda unaupiga mwingi
@barakamanga5502
@barakamanga5502 4 месяца назад
Hapa najifunza kuwa ccm itaelewa kuwa watu wanapi leta mining'ono kuwa serikal mbaya ni hapo, kuwa walio pewa mamlaka wana haribu serikali yetu ya ccm.
@user-og9fs6dc8o
@user-og9fs6dc8o 3 месяца назад
Mijambazi ya ccm hiyo hiking chama cha kipumbavu sana
@FredyObed
@FredyObed 4 месяца назад
Mmmmh hii nchi ngumu
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 4 месяца назад
Huyu kijana tafadhari mpeni nafasi awatumikie wananchi anafaa kabisa kua kiongozi wawananchi ako na uwezo huo mpeni hata uwenyekiti
@aminaosman3315
@aminaosman3315 5 месяцев назад
,mahakama Tanzania NI tatizo ndio inayoongoza kudhulumu wanyongekama hapa tanga mahakama imempoka haki yake mjane mnyonge haki
@ngossomahenge3500
@ngossomahenge3500 5 месяцев назад
Mama yuko kazini, makonda oyeeeee wanao kuujumu janwali makamba.. mzee kinana nape na uyee mzee kikwete. Mzee makamba hao niadui watanzania
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 месяцев назад
Unae mwanasheria?
@ImaniMalekela
@ImaniMalekela 3 месяца назад
Hawa viongozi tunao wataka uje hata huko ismani
@mwandisimfukwe326
@mwandisimfukwe326 5 месяцев назад
mama kachanga karata zake vyemaaa
@user-wo8ej8kg5l
@user-wo8ej8kg5l 4 месяца назад
mwana malundi
@AmosJuma-wp2pe
@AmosJuma-wp2pe 5 месяцев назад
Mimi nilikuwa chadema ila kila nikiona chadema naona kama hawana ujasili kama makoda kwaiyoo makoda kama ni urais chukuwa baba
@sungisungi6589
@sungisungi6589 4 месяца назад
Wafanyakaz wa serikal
@msafiriomary893
@msafiriomary893 5 месяцев назад
Mahakaman kwenyewe rushwa tupu serikali ya saizi shida tupu
@user-ut3gf1tg2n
@user-ut3gf1tg2n 5 месяцев назад
Yan wanae shida sio kidogo
@msafiriomary893
@msafiriomary893 5 месяцев назад
Angaria hata sura yake ukibaka mtupu
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 месяцев назад
Tumuombee makonda wasimuue kama magufuri
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 5 месяцев назад
Makonda ni mpuuzi,kesi iko mahakamani usiingilieee,jua mipaka yako
@user-ig4in5ut9k
@user-ig4in5ut9k 4 месяца назад
C makosa yao wanafata useless kila mbuzi ale kwa useful wa kama yake
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 3 месяца назад
Kamani aibusana kwaserekari
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 5 месяцев назад
Makonda ugombee mwakani
@maulidasaa9407
@maulidasaa9407 4 месяца назад
Hii yote ni kampeni ya 2025
@daudimwita-bk6mg
@daudimwita-bk6mg 5 месяцев назад
Sa jaman mbona watanzania niwanatabu
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 5 месяцев назад
Aibu tupu
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 5 месяцев назад
Wakusikilize ujinga huyo ni muwongo mkubwa 😅😅😅😅😅😭😭😭😭😭😭😭
@user-og9fs6dc8o
@user-og9fs6dc8o 3 месяца назад
Upumbavu mtupu hiki chama tukitowe madarakani
@user-gt2ic6uq6p
@user-gt2ic6uq6p 5 месяцев назад
Sasa nimegundua tatizo sio raisi Tatizo ni watendaji wake ambao ni watu wakaida ndio shidaa ise
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 5 месяцев назад
Usanii mtupu
@JlmwinukaOnlineTv
@JlmwinukaOnlineTv 5 месяцев назад
😂
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 5 месяцев назад
Kumbe hadi wa ccm nao wanadeseka😮😮
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Месяц назад
Mama wapige spana wakuu wa mikoa wako wamelala sana
@MarthaTemba
@MarthaTemba 2 месяца назад
Heeeee ardhi mnasema wachaga kumbe ni makabila yote muache basi
@cosmasmlyuka4727
@cosmasmlyuka4727 5 месяцев назад
😢
Далее
Каха и суп
00:39
Просмотров 1,1 млн
Бывший #шортс #комедии #юмор
0:45