Тёмный

MAMA ALINIPA LAANA AKIJUA DAR NNA PESA |SITAKI KUMPA PESA YA MATIBABU |NALIPWA LAKI 1 |ANA KANSA 

Maximum Tv Online
Подписаться 454 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@maximumtvonline
@maximumtvonline 5 месяцев назад
TUMA MCHANGO WAKO HAPA #0753393036 ZAHIRI MUSTAFA
@ambiliasiamosha3428
@ambiliasiamosha3428 4 месяца назад
Pole sana mama.. Zuhura nitafute mwenyewe tafadhali.
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli 5 месяцев назад
Mungu awafanyie wepesi ni kipindi tu cha mpito
@omanoman2044
@omanoman2044 5 месяцев назад
Walkah tumchangie huyu bint inshaallah
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 5 месяцев назад
MUNGU atakupa hela nyingi sana dada, mama na baba ni watu wa khchunga sana, cha msingi ni kypambana kufanya kazi, atakutuma kubaya kwa haliyo, shetani ameingia hapo. Muite MUNGU akupe wepesi.
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 5 месяцев назад
Mungu awafnyie wepesi
@omanoman2044
@omanoman2044 5 месяцев назад
Laan haiwez kukufika kam hujamfanyia kosa mie nipo uarabun pesa natuma nisipo tuma naambiw nitakulaan namie huw nacheka tuy huw na mwambia ww nilaan badae anasem nisamehe hiv mungu atawasaidia laki ten dar nilifanya kaz kwa mtuy nikaw nalipwa elf thelasin lakin sai nina kilo moja
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 5 месяцев назад
Mie niko ulaya lakini mamamgu ananipigia simu nichukue ulaya nipe pesa ninunulie honda msaidie mjomba ako sijui nifanyenini na hataki kuongea na mie kisa nimfanyie yote hayo na ukimuambia sina anakuambia kama mimi ndio mamako nilokuzaa usiponsaidia mjomba wako mie sio mamako hawa wazee wanatumia umama na hiyo laana ndio kimbilio lao ujue huku tuna bills na chengine kama unataka nikufanyie ayo yote Vipi nitakuchukua wakati sina pesa kwa account wazee muda mwengine wanakosea lakini utasikia mlezi hakosei lakini Mungu ndioanaejua
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 5 месяцев назад
Si bora huyo anafanya kazi kwa shilingi laki 1wengine wanafanya kazi kwa shilingi elf 30 tu nakulipwa wanasumbuliwa 😊😊😊
@AnethyDaniel-n4t
@AnethyDaniel-n4t 5 месяцев назад
Pole sanaaaaa jipe moyo
@JuniorLema-vk8me
@JuniorLema-vk8me 5 месяцев назад
Mungu akubariki kwa msaada wako
@sweetnessmnene3041
@sweetnessmnene3041 4 месяца назад
Huyu mama ni jirani yetu moshi December tulikuwa naye alikuwa mzima jamani no ilifanyika
@gracekilacy512
@gracekilacy512 5 месяцев назад
Zahir ubarikiwe
@Bashitetako
@Bashitetako 5 месяцев назад
Serikali inawaachia wachina wanawatumikisha watz bila faida yeyote wakati wao wana faidika
@fatmamansour676
@fatmamansour676 5 месяцев назад
Mama wengine wapo kipesa tu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 месяцев назад
Sanatu yani mama zetu wakiafrica mtu anakupa laana bila kosa
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 5 месяцев назад
@@fatmafatu1128kweli kabisa wanatumilia kisingizio cha razi ndio utimize wanachotaka
@hadijamohd6028
@hadijamohd6028 5 месяцев назад
Zahir mshauri uyo dada aje omani nitamuunganisha na ajent mbona atapambana tu sisi tupo kwa mwezi tunpt lk 7 na kumi juu
@Nashoora8
@Nashoora8 5 месяцев назад
tatizo mama yake mgonjwa ww kwani uujui ugonjwa wa kansa bahati na sibu kupona alafu aende mbali na mama yake siyo kweli ww kuweza
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 5 месяцев назад
Sasa aende Oman halaf mama ake amuache na Nani?
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 5 месяцев назад
Niungashe mimi ila msiwe mnataja mishahara yenu
@arafakiloli749
@arafakiloli749 5 месяцев назад
@@maryamtanzania9743 ulimbukeni
@leylam2121
@leylam2121 5 месяцев назад
Mtu mamaake anaumwa wamwambia aje omani wewe waweza ivyo
@AshaMwamba-v2o
@AshaMwamba-v2o 5 месяцев назад
Ikiisha atafute chumba cha40
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 месяцев назад
Aje omn huyu binti
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 4 месяца назад
Sasa aje huiyo mama yake atamwachia Nani ? Si mpaka mama awe sawa ndiuo atoke nje kama inawezekans
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 месяцев назад
Mwaambie aje oman
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 5 месяцев назад
😢
@RevinaKatunz
@RevinaKatunz 5 месяцев назад
Niunganishe 6:01
@RevinaKatunz
@RevinaKatunz 5 месяцев назад
Mambo vp
Далее
КОТЁНОК ЗАСТРЯЛ В КОПИЛКЕ#cat
00:37