Asante sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho yako mazuli hakika yatametuokoa wengi mungu Akuongezee Ekima zaidi na zaidi hili huendelee kusaidia watu wa mungu
Humm ! Pasta ni kweli changamoto, za maisha ni ngumu sana, funjo laleo lime nipa nguvu, na lime nijenga, . Swali: Sasa kwani ni shetani ana ichezea afya na Ku zo ofisha uchumi! Na changa moto za la isha zizidi ? .