Тёмный

KANUNI NANE ZA MATUMIZI YA SIMU - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 293 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@janetmbwana553
@janetmbwana553 5 месяцев назад
😂😂😂 àsante sana kaka Joel kiukweli Mimi ni mhanga wa mipayuko, Yan daah niwe popote napokea tuu na sauti juu khaa Yan apa naona aibu wallah🤣🤣🙌🙌🙌🙌na naacha rasmi
@Madam255
@Madam255 4 месяца назад
😂😂😂😂😂upone
@neemasempombe1853
@neemasempombe1853 Год назад
All people should listen this For sure 😊
@furahakabage4464
@furahakabage4464 Год назад
Kwa kweli hii ni muhimu mnoo kwetu sotee🎉
@ibrahimsinashida2721
@ibrahimsinashida2721 3 дня назад
Asante sana mkuu nimejifunza san leo
@mansourkhamis457
@mansourkhamis457 Год назад
Nanauka leo umenichekesha sana Haha 😂😂😂😂 (Ety Okay sawa tumeshajua umeongea na waziri lkn inatusaidia nini 😂😂😂) Big up sana nanauka
@joelnanauka
@joelnanauka Год назад
😅😅😅
@hildakayun6445
@hildakayun6445 4 месяца назад
SI wazir tu hapo kwenye shangaz mchawi nacheekaa mpka 🤣🤣🤣🤣🤣
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
WaTanzania na Waaftica hiyo inatusumbua mno ,Asante saana hadi saa 8 usiku wanatuamsha aise
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 Год назад
Mungu atusamehe sana tume kosea watu wengi bila kujua, asante kwa somo nzuri sana, ya kuongeza ina omba mbele mtu anunue simu apate mafundisho kwanza, ✍️🇨🇩
@antonyojode5500
@antonyojode5500 2 месяца назад
Ubarikiwe kaka video zako zimenifanya change🙏🙏
@KhajraMchimae
@KhajraMchimae 5 месяцев назад
Hakika ww ni msaada katka maixha yangu,, Mungu aendelee kukupa maarifa ili tupone 🙏🙏
@Khadij-v3m
@Khadij-v3m Месяц назад
Jamni kwanza nimefurahi mie apo kwenye no 8 duu noma sana
@MariamuChidaga-bp1rr
@MariamuChidaga-bp1rr Год назад
Nashukuru sana kwa kufundisha hizi kanuni nimefurah sana ,pia nimejifunza kitu kikubwa hasa iyoo ya 7 aloooo huwa inakera sana lakn umenisaidia sana iyoo ya 8 ni mm kabsaa 😂😂
@arseriusrutaihwa179
@arseriusrutaihwa179 Год назад
Namba nane inakera sana. Tunajifunza kila siku, unakutana na zinazokukera lakini pia kuna kanuni ambazo unazikiuka 😂. Asante sana
@elisawildlife5358
@elisawildlife5358 Год назад
Asante sana kwa somo Zuri sana Life Coach, nishawah kukuta missed call 42, 38 za mtu Mmoja niliogopa sana nikawaza kapatwa na nn...🤣🤣 lakin hizi 4 za watu wa na baadae nilivyomrudia hakuwa na jambo kubwa sana. Kuna vitabia vingine vinakera 1. mtu anaepokea simu Kisha anakaa kimya anakusikilizia kwanza ww😂🙌🙌 2. Mtu anaepigiwa simu na ana muda wa kupokea lakn anaacha inaita mpka karibia ikate Kisha ndo anaipokea🤔
@ponsianaprotas8990
@ponsianaprotas8990 Год назад
Asante kwa Elimu nzuri. Joel wale wa kupayuka, umenichekesha san. Mimi huwa naona aibu badala yao. Nahisi huwa wanaongea na viziwi nusu.
@academiazsoft
@academiazsoft Год назад
Ahsante sana... was waiting
@furahakabage4464
@furahakabage4464 Год назад
Kwa kweli zote ni muhimu sanaaaa lakini hiyo ya tatu ni kama dharau Kwa huyo aliyepo hapo maana haiwezekani unaongea Naye lakini AKILI yako bado inaendelea na Mengineyo Kwa mwingine 🎉🎉
@rizikylaizer1602
@rizikylaizer1602 Год назад
Mm Huwa najitahidi sana hizo vitu but wenzangu na mm wanaonaga kawaida tu
@KhajraMchimae
@KhajraMchimae 5 месяцев назад
Ila nimecheka hapo ukipiga cm mara nyingi,, unaseviwa msumbufu🤗🤗🤗🤗,, mwisho mara 2 sasa
@fatumaramadhan-u9d
@fatumaramadhan-u9d 7 месяцев назад
umetisha sana nilikuwa vibaya leo angalau nimepata tabasam😂
@SaidMsuya-hb7to
@SaidMsuya-hb7to Год назад
Kupayuka Sana joeli😢
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Год назад
Wooooooh hili somo vzr sana asante
@SwediEmanuel
@SwediEmanuel 15 дней назад
I have learned something
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 Год назад
Jambo jema snaa kaka
@EdnahJames-eq7bl
@EdnahJames-eq7bl Год назад
Nimekuelew unafundish vizr san
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Год назад
Dah! Yaani ucku wa Jana tu nilikutana na huyo wa nane (8). Mbona nilijuta!
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Год назад
Asandi pro nakufwatilia sana kutoka Kenya nakukupali sana❤❤
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 месяца назад
Kweli shukran
@MozaHamad-d5x
@MozaHamad-d5x Год назад
Asate sana kaka joell umetufunndsha wengi😊
@Ipyanag
@Ipyanag Год назад
Thanks Joel. Was waiting as well. Blessed.
@Ipyanag
@Ipyanag Год назад
Nimekutana nazo zote. Na moja nilikuwa nikiifanya mara chache nikiwa nimepanick au nataka majibu ya haraka katika KAZI.
@BarakaMartin-ge7tf
@BarakaMartin-ge7tf Год назад
Sawa kaka
@humphureyurasa8424
@humphureyurasa8424 Год назад
Nice lesson
@upperclass68
@upperclass68 4 месяца назад
yourso legend for my future
@mtotompole1040
@mtotompole1040 Год назад
Nakukubali Sana Mwalimu Wangu 😊
@rejoicekamonya8995
@rejoicekamonya8995 Год назад
Asante sana mwalimu
@geoffreylema-wt2yd
@geoffreylema-wt2yd Год назад
Ahsante sana Kwa elimiu hiyo,Mimi nimeshakutana na kama zote,na pia nimejifunza mengi nililokua nayafanya nilizania ni ushamba kwangu.
@PriscillaMunishi
@PriscillaMunishi Год назад
Asante sana nimejifunza.Nimekutana na upo kwenye kikao unasikia simu inalia kama bomu, upo kwenye daladala unasikia anaongea kwa sauti asema mimii nipo Dodoma Mjomba kumbe yupo Dar.
@deusmasawe
@deusmasawe Год назад
Broo kwa asilimia kubwaa hivyo ulivyovizungumzaa nimekutana navyo au baadhi ya vyengine nimevifanya kwa Bahati mbaya, ila watu wanaonishangaza ni Waleee wanao ongea viasi vya pesa ndefu utasikia usiwaze hiyo MILION 60 ntakufoardia mda sio mrefu, wakati hapo una jero lako la nauli unalipapasa mfukoni kila wakati lisije likayayuka ukashindwa kulipa nauli ya daladala,😂😂 Ila hongera sanaa bro kwa kazi nzuri na Mungu akubariki sana.Ameen
@joelnanauka
@joelnanauka Год назад
😂 ndio maisha yalivyo
@deusmasawe
@deusmasawe Год назад
@@joelnanauka Haya kaka nashukuru
@EdisaLaulian
@EdisaLaulian Год назад
Mimi nina hii kuongea kwa kupayuka siwezi kuongea kwa utalatibu nitajitahidi kupunguza asantee🙏
@girshonmatha1037
@girshonmatha1037 Год назад
Asante kwa somo zuri
@shijandoya1780
@shijandoya1780 Год назад
Habari yako Joel nashida na vitabu vitatu ,TIMIZA MALENGO 2.NJINSI YA KUTOKA KWENYE MADENI, KANUNI ZA MAFANIKIO
@SELPINVESTMENTS
@SELPINVESTMENTS Год назад
Hii naisubili
@jmmobilefix7588
@jmmobilefix7588 Год назад
Hii nzuri
@jacklinemwandoloma285
@jacklinemwandoloma285 Год назад
Sth amazing
@cymone6159
@cymone6159 Год назад
Always my mentor
@JumaMussa-nr2zr
@JumaMussa-nr2zr Год назад
True
@salumukyara8416
@salumukyara8416 Год назад
Good point brother
@ramseymaster6714
@ramseymaster6714 Год назад
Asante kwa darasa
@abdulisalim798
@abdulisalim798 Год назад
Nimekutana na mtu kwenye mgahawa wakati twapata lanchi bc simu yake ikaiti daaah alipayuka huyo ooh kama hela yangu hamtaki kunipa bc mimi namwachia mungu daaah ilinikera
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Asante sana
@194summer
@194summer Год назад
Thanks my mentor
@NasraAmour-s7j
@NasraAmour-s7j Год назад
Asante
@nyamoyenyamoye6077
@nyamoyenyamoye6077 10 месяцев назад
Wa kupayuka kwenye pablic au kwenye bus, pia na kikaoni simu inaita Kwa sauti
@EPALATA
@EPALATA Год назад
Ni vizuri sana
@ipyanamwaisekwa8209
@ipyanamwaisekwa8209 Год назад
Mwl. Hii Elimu wengi hawaizingati na tunaoishi nayo tunaonekana tunadharau, na huwa tunaambiwa tutakosa Fursa. Mimi kuondoka mazabe haya nina namba mbili "block" na "unblock" nikiwa Kikao, darasani ninafundisha au mahali ambapo ninaona simu inaweza kuwa kwazo ninacall Block na inablock incoming calls zote, ila ntapokea Sms zinazoonyesha nilitafutwa, then nikimaliza shughuli husika ninacall Unblock naendelea na maisha ya kawaida. Kuna watu Simu ni zaidi ya mtoto wake 😅 yaaani ikiisha charge au mtandao hamna moyoni na akilini anahisi kama kuna kitu kimeondoka
@SOSPETERSIMBA
@SOSPETERSIMBA Год назад
Elimu nzuri sana Mr. Nanauka japo nmecheka sana wale wanaoongelea personal topics ile ya yaan unajua ww shangazi mchawi sana we😂😂😂😂
@joelnanauka
@joelnanauka Год назад
Yaani hatari sana
@EdnahJames-eq7bl
@EdnahJames-eq7bl Год назад
unafundish vizur nimekuelew san
@ETT3
@ETT3 Год назад
Upo vizuri kaka ila tunaomba ulete mbinu za kujifunza mambo kwa haraka kwa wanachuo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
Hahahaha
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Hatujakwepa kwa kusumbua watu
@194summer
@194summer Год назад
Ninamjua jamaa mmoja ni rafiki yangu ngoja nimtumie hii aelimike,Yeye huongea kwa kupayuka sana sindani kama kuna mtu mwingine anaweza kuongea na cm kwa sauti kubwa kama huyu jamaa!
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Год назад
😂😂😂
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 Год назад
😅😅😅😂
@hajiissani8201
@hajiissani8201 Год назад
😂😂😂😂 ya kupayuka mmmmmh
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Год назад
Nikweli mwalimi tunafaa kujivunza njisi ya kutumiasimu.hatatukiwa kwenye manyumba,yani kama bibi na bwana tusijifanye sana kuwa na simu kuliko kuwa na wenzetu,kwanihizi simi zimeharibu sana ndowa
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Год назад
Hata mimi huwa nachukizwa sana na mtu anakutafuta na anajua huna namba yake lkn hajitambulishi nachukia sana kwasababu mimi nikimtafuta mtu na najua hana namba yangu lazima nijitambulishe tena km namba nimepewa na mtu anayemjua lazima nimwambie ba nimepata wapi kisha nieleeze shida zangu ila watz hatupogo hivyo sijui kwann
@BarakaMartin-ge7tf
@BarakaMartin-ge7tf Год назад
Missed call 25
@stuntkizzy
@stuntkizzy Год назад
❤❤❤
@adamummy4363
@adamummy4363 Год назад
Mimi nakutana sana na hii ya 8 dah ni balaaa mtu anapiga mwanzo mwisho😂😂😂
@neywilly9817
@neywilly9817 Год назад
Umesema Vizuri kaka, zote nimewahi kukutana nayo. Umesahau moja. Mtu anakupigia na namba tofauti halafu anakuambia hujui mimi ni fulani..😅
@janicejohn62
@janicejohn62 Год назад
Hapo sasa. Anawaka
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Год назад
anataka umbahatishe
@HeriethSylvester-dm3nb
@HeriethSylvester-dm3nb Год назад
Nilipanda bus na mdada tulikuwa tunatoka Morogoro kwenda Dar alikua anaongea personal issues hadi kero ile milioni 10 nitakupa ile pesa kwenye account imeingia yaan nilitamani kushuka
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 Год назад
Daah hao wakupayuka ndio mtihan wako wengi utamkuta mmama au mdada anaongea kwenye daladala mpka unaogopa yaan 😂😂😂😂
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Год назад
Haha mimi tabia ya no nane nimimi kabisa mimi nikimpigia mtu hashiki narudia hata mara 10😂😂😂
@enoshmukama4783
@enoshmukama4783 Год назад
Watu wanapayuka sana na kutokujari wakiwa kwenye mazungumzo, ila Kuna watu unaweza ukawaambia nitakupigia Niko mahali sio sahihi wao wakazidi kuongea ukimkatia ahisi umemdharau je kwa huyo nifanyaje???
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 Год назад
Kuna watu wanakera jamani. Anatoa maelekezo ya chakula Cha kupika nyumbani kwake akiwa kwenye bus. Anapayuka mno. Huyo kuku myonyoe vizuri na hayo maharage yasiungue😂
@selfawere2970
@selfawere2970 Год назад
😂😂
@cupcandymushi9126
@cupcandymushi9126 Месяц назад
😂😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
😂😂😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🤝
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 Год назад
😂😂 niliyowah kukutana nayo niyakupayuka,nakumbuka nilikuwa kwenye daladala alafu mtu akaamekaa seti ya nyuma akawa anaongea kwa saut sana ila katika mazumzo yake akaongea...bhana sasahivi nina sim ndugu yangu uwe unanipigia 😂😂😂 basi nikajuwa siyo kosa lake
@antonyojode5500
@antonyojode5500 2 месяца назад
Ubarikiwe kaka video zako zimenifanya change🙏🙏
@KhajraMchimae
@KhajraMchimae 5 месяцев назад
Hakika ww ni msaada katka maixha yangu,, Mungu aendelee kukupa maarifa ili tupone 🙏🙏
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 Год назад
Asante
@g2mh704
@g2mh704 Год назад
❤❤❤❤
Далее
UNACHO TAKIWA KUFANYA SASA -JOEL NANAUKA
14:39
Просмотров 1 тыс.
NAMNA YA KUIMARISHA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
12:10
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Просмотров 105 тыс.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Просмотров 59 тыс.
LIFE WISDOM : MADHARA YA KUWA NA KIBURI - JOEL NANAUKA
14:28
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Просмотров 8 тыс.
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Просмотров 181 тыс.